mtu anauliza et Lissu Lini utashughulikia Jimbo lako...Ama kweli Watanzania Tumefanywa Mazuzu sasa nayeye awe kama Makonda abebe miwaandishi ya Habar au apost Mitandaoni sasa Itakuwa uwajibukaji au Mauzo embu Watanzania Tujenge Hoja tumekua Wapuuzi kweli kweli Dah Inauma
Isingekuwa ni maslahi ya chama na chama Tundu Lisu anafaa anafaa sana kuwa Rais cha cha wanasheria nchini.Kwa uelewa wa sheria alinao angekisaidia chama cha wanasheria na nchi pia,wanasheria ubanganeni pmj ili kuleta mageuzi na ustawi wa sheria kwa kumchagua Tundu Lisu kuwa Rais.Wekeni itikadi na maslahi ya kila upande mtokako ktk vyama vya siasi MBALI.Boresheni chama hili kipate kuwa HAI na kustawi nchi.Tundu Lisu anafaa sana.
Renatus Kanunu hivi karibuni alikuwa huko ihanja fatlia au vile haikutangazwa vile yeye sio mbeba waandishi apatwe kuandikwa hapo tu vile walikuwa wanamsibiri jimbo lake alisema kuhusu njaa umesahau alikamatwa akiwa jimboni kwake akasafirishwa usiku kwa usiku mpaka dar??
Tundulisu wewe ni msomi mkubwa unayejua kutetea haki za watanzania cjui kwanini hii nchi haitaki kubaki kwenye ukweli ili wakuamini maana kama kusumbuana na serikali umeweza vzr na unajua kupangilia hoja vzr
Festo Mamboleo tatizo ni sisi wananchi pia tunamuona Lissu ni mwehu kisa yupo chadema lissu anafanya kila kitu kwa mwenendo wa sheria hata siku ile aliwekwa ndani alilotoka alitoa taarifa kuna vijana wapo mahabusu miezi4 bila kupelekwa mahakamni wapate dhamana na kweli walipelekwa ila kuna watu walibaki kumwambia Lisu si chochote mropokaji hawajui na kumbe sheria mtu akikamatwa na polis akae masaa 24 tu apelekwe mahakamni ila watu hukaa hata mwezi hakika yafaa tumsikilize tutajifunza mengi
Festo mamboleo mkubali wewe na umwamini wewe inatosha ili ikiwezekana umwombe aje akupangilie namna ya kuishi na mke wako pia maana ni msomi kwa mujibu wa kauli yako.
Hahahahaha we ni mwanasiasa tu hujawahi tetea haki yangu wala hujawahi tetea wanyonge hujawahi tetea masikini ila ni siasa tu maana ww sio masikini sio mnyonge kwa hiyo wadanganye hao ulioteka akili zao😏
Ayub Rogath usipojielewa hutojijua ulifanya au unatachotaka kufanya hivyo boraunyaze hutaeleweka, kama samaki wa baharini asipotanua mdomo ndoano hainasi kawe
big up xana tundu lisu unajitaidi hongera mwanasheria wetu
huyu mjamaaa mbali na hiyo elimu ya sheria he is very talented guy
nadhani pia👆
asante Lissu na imani na wewe rudisha utawala wa sheria
Asante lissuuuuuu
nakuamini sanaa ww ndiye mwanasheria unayejua kufuata sheria na taratibu zote za nchi na unajitahid sana kupigana kwaajili ya haki za watanzania
gervas Moses gud
Great move...
Nakubali jembe langu lisu
Rais wa Tanzaniaa miaka ijayooi Lema Godblesss
UTABIRI WAKO UMEKARIBIA
Big up Lissu wenda utawala wa kisheria ukarejea Tanzania
mtu anauliza et Lissu Lini utashughulikia Jimbo lako...Ama kweli Watanzania Tumefanywa Mazuzu sasa nayeye awe kama Makonda abebe miwaandishi ya Habar au apost Mitandaoni sasa Itakuwa uwajibukaji au Mauzo embu Watanzania Tujenge Hoja tumekua Wapuuzi kweli kweli Dah Inauma
Nakuelewaga sana coz unajua unachokifanya
Lisu uko vizuri sana
Mimi lisu nakukubali sana...najua uko sahihi kwa kila unacho Fanya..Sheria ni tofaut na siasa
haki sawa
wanakuongopa wewe ni moto mkali sana
TUNAKUSHUKULU KWA KUTUPIGANIA WATANZANIA MAHANA TUNAPATA SHIDA SANA BABA
pamoja xana
Respect u!
Nikimaliza masters yangu ya linguistics nitaanza kusoma sheria ili niwe kama Lissu
Isingekuwa ni maslahi ya chama na chama Tundu Lisu anafaa anafaa sana kuwa Rais cha cha wanasheria nchini.Kwa uelewa wa sheria alinao angekisaidia chama cha wanasheria na nchi pia,wanasheria ubanganeni pmj ili kuleta mageuzi na ustawi wa sheria kwa kumchagua Tundu Lisu kuwa Rais.Wekeni itikadi na maslahi ya kila upande mtokako ktk vyama vya siasi MBALI.Boresheni chama hili kipate kuwa HAI na kustawi nchi.Tundu Lisu anafaa sana.
Viva lisu
Siku moja nitakuw kama ww lissu ndo mwanasiasa pekee nnae kuangalia na kuku fuatilia
Wazi
mimi kosa matatizo ya kuongea (kigugu mizi) ningekuwa mwanasheria kam lissu na kibatala
tunaelekea WAP?
TLS (Tundu Lissu SINGIDA) yan hata majina yako yanaendana kabisa na kuwa Rais wa TLS
TLS is abbreviation of Tundu Lissu Sheria.yan hata Nina lake linaendana kabisa na kuwa Rais wa TLS
samahan mh. lissu hivi lini unashughulika na jimbo lako walau hata kusema tu kuhusu jimbo lako. I am so tired
Renatus Kanunu hivi karibuni alikuwa huko
ihanja fatlia au vile haikutangazwa vile yeye sio mbeba waandishi apatwe kuandikwa hapo tu vile walikuwa wanamsibiri jimbo lake alisema kuhusu njaa umesahau alikamatwa akiwa jimboni kwake akasafirishwa usiku kwa usiku mpaka dar??
Renatus Kanunu kama watoka wilaya ya Ikungi karibu kwa group la wilaya ya ikungi utafaham mengi kuhusu lissu tuko naye pia hata maswali hujibu pia
haya majitu bhn kila kitu yanajifanya majuaj nayapa dole la ..........ti
kafito TV Kuma la mama yako
kafito TV wewe kiazi kweli
Tundulisu wewe ni msomi mkubwa unayejua kutetea haki za watanzania cjui kwanini hii nchi haitaki kubaki kwenye ukweli ili wakuamini maana kama kusumbuana na serikali umeweza vzr na unajua kupangilia hoja vzr
Festo Mamboleo tatizo ni sisi wananchi pia tunamuona Lissu ni mwehu kisa yupo chadema lissu anafanya kila kitu kwa mwenendo wa sheria
hata siku ile aliwekwa ndani alilotoka alitoa taarifa kuna vijana wapo mahabusu miezi4 bila kupelekwa mahakamni wapate dhamana na kweli walipelekwa ila kuna watu walibaki kumwambia Lisu si chochote mropokaji
hawajui na kumbe sheria mtu akikamatwa na polis akae masaa 24 tu apelekwe mahakamni ila watu hukaa hata mwezi hakika yafaa tumsikilize tutajifunza mengi
Zaudat Makula jamaa hawampendi kwa kuwa anatumia sana udhaifu wa sheria ya hii nchi. ila kwako very well said
Festo Mamboleo yan huyu baba nizaidi yamchwa jmn
Festo Mamboleo yani watatudanganya nn nasheri ipokichwan kwa jembe aliloshusha mungu baba .
Y
lissu kiboko yao
uko vzr
Festo mamboleo mkubali wewe na umwamini wewe inatosha ili ikiwezekana umwombe aje akupangilie namna ya kuishi na mke wako pia maana ni msomi kwa mujibu wa kauli yako.
msumbufu kwer du kila kaz unataka!! wasom hatuna? Migabe ipo shaz
masumbuko joseph jenga hoja na ushahidi
Hahahahaha we ni mwanasiasa tu hujawahi tetea haki yangu wala hujawahi tetea wanyonge hujawahi tetea masikini ila ni siasa tu maana ww sio masikini sio mnyonge kwa hiyo wadanganye hao ulioteka akili zao😏
Ayub Rogath
Kwani kuwa masikini ni kuonewa utetewe nawanasheria??? Fikiri vizuri kaka
Ayub Rogath usipojielewa hutojijua ulifanya au unatachotaka kufanya hivyo boraunyaze hutaeleweka, kama samaki wa baharini asipotanua mdomo ndoano hainasi kawe