Pt1_Niliishi na Malkia kutoka bahari ya Hindi | USHUHUDA WA ASSANE WA CONGO MCHAWI ALIYEOA PEPO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.
    M-pesa Lipa Namba.5634017
    AirtelMoney Lipa No.3878783
    Namba za mawasiliano/kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 Majina ni Jacktan Msafiri
    Kama uko tayari kuwa mchangiaji wa kila mwezi jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp....
    PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO PIA UTAPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
    1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
    2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
    #ShuhudaZaPromoverTv #Ushuhuda #PromoverTV

ความคิดเห็น • 25

  • @polinepoline2863
    @polinepoline2863 9 หลายเดือนก่อน +4

    Ahsante Jacktan kwa kutusimulia mwenyewe maana wengine hatusikiangi sauti zao ziko chini.Barikiwa toka🇰🇪🇰🇪

  • @user-mv3rw8bw9o
    @user-mv3rw8bw9o 10 หลายเดือนก่อน +4

    Mwenyezi Mungu awabariki, tunajifunza mengi kuhusiana na ufalme wa Mungu na shetani

    • @floramongi1410
      @floramongi1410 9 หลายเดือนก่อน

      Mungu tusaidie hats majina ya nywele na mitindo ya nguo tuwe makini nazo

  • @KulekatsengeHaruni-sb6qc
    @KulekatsengeHaruni-sb6qc 10 หลายเดือนก่อน +1

    Amen santé kwa kazi

  • @NaomieMasoka-xp4ob
    @NaomieMasoka-xp4ob 10 หลายเดือนก่อน +2

    Part2 tafadhali na Mungu akubariki kwa shuhuda hizi

  • @maryandason1815
    @maryandason1815 10 หลายเดือนก่อน +1

    Power of testimony❤ blessed kaka jacktan na promover tv❤

  • @juniorkalinge5861
    @juniorkalinge5861 10 หลายเดือนก่อน +2

    Thanks for this testimony, AMEN&AMEN

  • @miria659
    @miria659 10 หลายเดือนก่อน

    Weh tukesheni tukiomba ulimwengu wa Giza upon Asante Jactan

  • @SabinaEzekiel-vb5nh
    @SabinaEzekiel-vb5nh หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏🙏🙏

  • @josephmutemi7494
    @josephmutemi7494 10 หลายเดือนก่อน +1

    Amen YESU anaweza yote

  • @user-po2fw5yu7o
    @user-po2fw5yu7o 8 หลายเดือนก่อน +1

    Thank you AMEN

  • @peninahkariuki4679
    @peninahkariuki4679 10 หลายเดือนก่อน

    Be blessed Mr, Jacktan following
    from Kenya

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 10 หลายเดือนก่อน +4

    Kila kitu technology na tunavyoviona lakini hata yesu alipelekwa kwenye kilima na kuonyeshwa milki yote ktk maono dunia nzima hilo tulitambue vizuri kuna mambo hatuyajui na yapo tu

  • @Queenrinna98
    @Queenrinna98 10 หลายเดือนก่อน +2

    powerful testimony

  • @rerisamba
    @rerisamba 10 หลายเดือนก่อน +2

    Tunangojea part 2 story ya marmeid

  • @floramongi1410
    @floramongi1410 9 หลายเดือนก่อน

    Chumvi ukiitumia kwa imani inaharbu uchawi ila sio chumvi za kuuza za kina mwamposa wale wanafanya biashara

  • @eliethmwanguya7118
    @eliethmwanguya7118 10 หลายเดือนก่อน +1

    Duuuuuu!!!

  • @user-mq8kg1qu9k
    @user-mq8kg1qu9k 9 หลายเดือนก่อน

    Alieoa pepo

  • @kayf-kk7bg
    @kayf-kk7bg 10 หลายเดือนก่อน

    Hapo kwenye kumshukuru Mungu kwa ajili ya chumvi kumuokoa mmmhm??

  • @user-lc1tz7ut3u
    @user-lc1tz7ut3u 9 หลายเดือนก่อน +1

    Vitu vyote ni vya shetani?kwa hiyo wakristo hawatakiwi kutajirika?hawatakiwi kuwa na magari?mmh!mali na fedha na dhahabu ni mali ya BWANA lazima tumiliki na kutawala,lakini kwa uangalifu pasipo kumkosea MUNGU

  • @salngas902
    @salngas902 9 หลายเดือนก่อน

    Makubwaa

  • @Mch_David_Batemba
    @Mch_David_Batemba 10 หลายเดือนก่อน

    Nina mashaka na huu ushuhuda.

    • @flm1530
      @flm1530 10 หลายเดือนก่อน

      Kwnn

    • @miria659
      @miria659 10 หลายเดือนก่อน

      You listen n test the spirit

    • @DavidGodwin-is2hc
      @DavidGodwin-is2hc 9 หลายเดือนก่อน

      Kwako si rahisi kuelewa au kuamini ila aliyekusudiwa ndiye atakayepona