Pt5_Niliona mwanamke anamezwa na kuzimu sababu ya kusuka na kujiremba|USHUHUDA WA MICHAEL SAMBO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 16

  • @VeeSunshine-zr3iv
    @VeeSunshine-zr3iv ปีที่แล้ว +3

    Yesu naomba unisaidie nishinde ya dunia😭😭😭okoa ndugu zangu na wanawake tukutii na kuacha mapambo ya ibilisi

    • @mesamale
      @mesamale ปีที่แล้ว +1

      Yaani shida kubwa makanisani hatuambiwi ukweli,na baadhi ya watumishi wanasema sio dhambi hivyo wanawahi wanaendelea tu

    • @mesamale
      @mesamale ปีที่แล้ว +1

      Na Kuna msemo huwa siupendi mtu ukimwambia anasema mbona na mama mchungaji anafanya, ndugu zangu kila mmoja atatoa hesabu ya matendo yake sio kila anachofanya kiongozi wa dini yako ndo iwe reference

  • @EdithaMyenzi
    @EdithaMyenzi ปีที่แล้ว +3

    Mungu aturehemu sana wanawake Mungu atufungue ufahamu juu ya vitu vya uzuri ambavyo vinapeleka wengi kuangukia kuzimu wachungaji hubirini neno la Mungu la kweli wana wa Mungu wanapotea kuzimu kwa kutokuwambia kweli ya Neno la Mungu wachungaji hubirini kweli.

  • @MosesWakristo-ko5ze
    @MosesWakristo-ko5ze 20 วันที่ผ่านมา +1

    Nguvu Na utukufu,uweza Na ukuu una Bwana wa ma bwana, Mfalme wa wafalme.

  • @maryandason1815
    @maryandason1815 ปีที่แล้ว +2

    YESU wangu nisaidieee 😢😢hi dunia isinifanye nikose mbingu😢😢 naogopa jamani hiz mambo ya MUNGU..😢 blessed kaka jacktan

  • @DenisCasey-kh8ub
    @DenisCasey-kh8ub 3 หลายเดือนก่อน +1

    Asante Bwana Yesu Kristo😢

  • @catherineangaufoo2530
    @catherineangaufoo2530 ปีที่แล้ว +3

    Kristo nisaidie. Amen.

  • @rerisamba
    @rerisamba ปีที่แล้ว +6

    Waa jamani inahuzunisha yani siku hio umetenda dhambi nandio siku hio hio shetani anakuua akupeleke kuzimu

    • @JELSONMAUKI
      @JELSONMAUKI ปีที่แล้ว

      Yani alikufa siku hyo hyo jamani 😭😭😭😭

  • @lydiamichael5509
    @lydiamichael5509 ปีที่แล้ว +2

    Amen
    Barikiweni sana kwa shuhuda hizi tunaendelea kujifunza

  • @LilianAkoth-xq1rl
    @LilianAkoth-xq1rl ปีที่แล้ว +2

    Amen na shukuru kwa haya mafundisho

  • @samwelimwanja4105
    @samwelimwanja4105 ปีที่แล้ว +1

    Ameni Mtumishi tupo Pamoja from Singida.

  • @endtimes9850
    @endtimes9850 ปีที่แล้ว +2

    Amen Amen

  • @josephmutemi7494
    @josephmutemi7494 ปีที่แล้ว

    Amen