MAJALIWA 'Amkaanga' KAMANDA "Amechoma Moto Ofisi, Huna Taarifa? / MKAMATE HUYU"
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025
- MAJALIWA 'Amkaanga' KAMANDA "Amechoma Moto Ofisi, Huna Taarifa? / MKAMATE HUYU"
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Majaliwa namwelewa sana,Mungu ampe afya njema afanye ziara kwa nchi nzima,kuna madudu mengi sana kwenye halmashauri zetu
Kaka majaliwa mungu akutunze sana
Nawewe Hera urizo urizwa nambunge wamakete mbunge sanga zikowapi usijifanye unawabana wenzio
Well said pm mungu awatie nguvu,kazi Bado ni ngumu katika kuiendeleza nchi yetu. Msivunjike mioyo pambane Hadi tone la mwisho mungu amekwisha watia mafuta hayupo mtu wa kuwapausha.
Waziri wangu nakupenda,nakuombea jembe la Taifa la Tanzania,Mungu Mlinde na maadui wote wanaomwangalia Kwa ubaya.
Siku moja Bwana yesu jaalia huyu mheshimiwa awe namba moja
Big up 💪🏽 MH.KASIM MAJALIWA MAJALIWA Mungu aendelee kukujaalia simama2 imara Mkuu huku chini tunakuangalia viiiiiiiiiiiiiiiizuuuuuuuuuuuuuuuuri saaaaaaaaaaaaaaaaaana👍🌍Tukipata kama 20tu Tz iyooooooooooooooo nimekubali Sana 🙏🏼
Allhamdulillah ya Allah kwakutiletea kiongozi mwema Majaaliwa
Waziri mkuu tunakuamini baba we piga kazi tu tunajua sala zetu zinapokelewa kwa Mungu na siku moja utakuwa uongozi wa juu kabisa.
Mungu akulinde
Uyu ndiyo rais anapoongea kwelii watu wanakua na matumaini na yeye
Asante kaka maliwa
Mwamba huyu hapa tena Mungu ampe afya na maisha marefu yani namkubali sana
Amyn🤲
Waziri Mkuu (MB) Kassim Majaliwa.
Nikiona ni kisikia sauti yako ya kazi ikipanda hewani ukitoa maelezo na maelekezo kwa Niaba ya Mh Rais.
Songa mbere Mungu akulinde na maadui.
Kweli mzee Majaliwa Una pambana .My compliments.
Mungu msaidie sana waziri wetu kassimu majaliwa sasa hv watanzania wote ndo jicho limebaki pale tu tunamwangalia yeye napenda sana mamuzi yake ata unakuwa na ile hamu ya kuangalia tarifa zake hongera kiongozi wetu kwa hyo tunayo yaona unafanya mungu azidi kukulinda nakukupa afya tele tunae imani kubwaaaa sana na wewe
Mimi najua huyu ndiye rais afaaye kabisaaa hivi huyu akiwa rais ni zaidi ya magu mungu mtunze mpe nguvu na afya wabaya wasimwone mpe kibali ili baadae aje kuwa rais wa tanzania aminaaaa
Waziri mkuu mungu akubariki utende haki gombea uraisi mweshimiwa
Mungu ibariki Tanzania Mungu akupe afya njema na maisha marefu mkuu
Majaliwa mungu akubariki sana
Majaliwa wetu Mungu akupe afya njema akusimamie kila uendako nakupenda sana waziri wetu
Kwa utendaji kazi wako
wamefanya ujanja hao.....
washughulikiwe. Walipa kodi tumechoka kuibiwa na kudanganywa kama hatuna akili vile.
Asante waziri mkuu wetu
I love you my father majaliwa ukiwa raisi tutaishi kwaamani maana kwasasa maisha magum sana jamani
Nyie mabwea wote ambao huwa mnacoment mambo kwenye humu mitandaoni na kuandika jina la Mungu na kuanza na herufi ndogo mnanikera sana Mungu sio sawa na chale mjue....
CONGRATS PRIME MINISTER ON AN OUTSTANDING, AND AMAZING PERFORMANCE.
Jamani Majawaliwa, mungu akuongoze na kukulinda. Majangili kila upande, yaani hata aibu hawana, hawana uchungu. Majawaliwa hawezi peke yake, watampoteza tu. Inasikitisha sana, ubinafsi na roho mbaya. Wauwawe tu!
Nakuelewa sana Muheshimiwa,,,,shikilia hicho kiwembe vizuri. Katakata takataka zote zinazojinufaisha peke yao
Subhanallah mh kiumbe mzito kaona kashafanya makosa huyo ndio akapoteza hizo kumbu kumbu kwa moto lahawla
Kwakwel mh allah akusimamie yaarabbi
Fanya kazi yako baba tusaidie tunaumizwa. Wezi wanatuibia
bila hata woga wala aibu wala huruma
UNA KILA SIFA YA KUWA RAISI MASHAALLAH HIVYO NDIVYO UONGOZI UNAVYOTAKA NA SIO KUONEANA HURUMA NCHI HAIWEZI KWENDA KAMA KUTAKUWA NA WAFANYAKAZI WACHACHE AMBAO HUWA MZIGO KWA UTENDA AJI
Nampenda sana uyu Baba yupo vizur aisee
Kazi unapiga vizur kweli ila sizani kama mnafanya in team work yaweza kuwa viongoz wenzako wanakushangaa maana hamna kiongoz kwa utawala huu anayejituma kama wewe, ila naona wewe pekeyako ndo unauchungu na nchi hii, lakin pambana wala usikate tamaa kuwatumikia watanzania nawe Mungu atakuona na kukuinua
Yaani inauma Sana pale mtu mmoja anapopambana Kwa ajili ya nchi,halafu wengine wametulia tu.
RIP Hon.JPM
Yaani inauma Sana pale mtu mmoja anapopambana Kwa ajili ya nchi,halafu wengine wametulia tu.
RIP Hon.JPM
Majaliwa nakupenda sana kutoka moyoni kwa stahili yako ya utandaji kazi Kila mtu atakuwa tayari kulipa kodi
Piga kazi baba msaidie mama yetu, kuna siku kazi nzuri itakulipa.
Kuna siku utakuwa rais wa hii nchi tunakutabiria. Tunakukubali sana.
Mungu akulinde akupe afya njema kwa ajili ya Tanzania
Kwa kweli nampenda sana majaliwa
@@neemaruhembe6360 tunakijua chama kile mtu wa namna hii hawampi kwa sababu atawabana
Kweli kabisa
MAJALIWA NI SHIIIIIIIIIIIIDA! ANAFAA KUWA RAIS , perfomance ya hali ya juu sana
Waziri mkuu mungu akujalie nguvu kwenye kazi Yako
Jamani watanzania nashukuru uwepo wa majaliwa naomba tumpe nafasi ya juu zaidi
Tatizo letu tunashindwa kuelewa kati ya chama na kiongozi huyu ni kiongozi tena zaidi ya kiongozi
Namuombea miaka ya mbele uwe raisi unafaa ww chimbuko la Anco Magufuli 💪
Kweli kabisa
Mheshimiwa Rais wetu mpya inshallah 🙏🙏
Mm hua najiuliza sana kwann huyu majaliwa asipewe hii nchi aiongoze jaman mzee baba we ndo kiongozi uliebaki hapa TZ na mungu alisha andaa kiti chako kule peponi kinakusubilia.
Much respect
Mungu akubariki sana
Inaumiza sana kwa kweli.madam president Anazunguka kila kona kutafuta hela huku kunawapuuzi wanaziiba.inaumiza sana
Hongera baba
Goood performance Majaliwa Mh
Ondokaa nae yule tengeneza dah😅😅😅😅😅😅💯💯💯
He deserves to be the president of this country
Mungu ndo anapanga ndomana akuwa raisi
Yes
Majaliwa tembeza mkeka kwa waganga wakuu wa wilaya zote hawasimamii kitu wengine wakipewa uhamisho wanagoma kuhama shauri ya maslahi hasa ars
Kabisa
@@hajjiomary2383 mipango ya utawala kwenye nchi hii ni ya watu wewe na sio mungu mfano kutoka mwinyi mzee hadi mwinyi mtoto kuwa rais Zanzibar nayo ni mungu kapanga uko wapii wewe ebu jitafutee!!
Mh. Nakubali maamuzi yako tatizo lipo kwa walemavu na wagonjwa wa Afya ya Akili mh. Mfano tembelea Wilaya ya Handeni Mjini wananyimwa ata mkopo wa maendeleo ya Jamii hospital ya Wilaya aina dawa. Uku shida
Kazi nzuri
Mungu akutangulie ktk majukumu ya Taifa letu
Ukweli nakubali sana mh
Nakuona Majaliwa Kwa macho ya nyama ila macho ya roho namuona Magufuli
Ikitokea mh.majaliwa akawa Raisi wa nchi hii kenge wote watapotea hongera xana
Mungu akupe nguvu mh khasim majaliwa ww ndio mzalendo wakweli
Asante baba
Napenda kiongozi wa namna hiyo,💪
Wew unafaa Sana Majaliwa ..Kama tunamuona Mzee MAGU
Magu huyu mwendazake dikteta?
Appreciation to the PM, sasa recovery ya pesa ifanyiwe kazi.
Good mheshimiwa
Mama anania nzuri sana na taifa tatizo watanzania walioaminiwa sio wazalendo na hili taifa.
safi sana majaliwa wapo wengi sana
Wahuni hawo,vyakula bei sana,maisha magumu sana,halafu wanaiba.
Mh. Waziri mkuu madudu nimengi sana ndani ya inchi hii kama kwenye jeshi la police wallah haki zetu zinapoteya sana natamani siku moja upitiye kituo Cha police Cha mburati dar es salaam uliziye mwendeno wakesi mm nipo na kesi yangu pale ipo wazi lakini nazungushwa mpaka Leo hakuna majibu kila nikienda nambiwa upelelezi bado wakati chombo Cha moto wamekishikiliya nasasa hivi ntawapeleka kwenye media ili haki yangu niipate
Waziri mkuu anafanya kazi kubwa sana. Tumbua hao
Much respect boss
Fanya Kazi Majaliwa
Hatareeeeeeeee, Majaliwa ni chuma kuliko Mama Samia
Aaaiiiiii!!! tatizo wasahaulifu Sana ai
Jamani alituambia mtanikumbuka kwa mazuri wala si kwa mabaya 🤣🤣🏃🏃 BABA BASHIRU TEGEMEO LA WATANZANIA POPOTE ULIPO JIANDAE KISAIKOLOJIA Kuwa RAISI WA TANZANIA 🇹🇿CHINI YA UMOJA PARTY kisha tupindue meza mchana kweupee wenye machungu kama mm #Bashiru2025 🇹🇿
Mnafiki wewe na network yako ya bashiru.
Hujui kuwa Rais ndiyo anayemtuma huyo waziri mkuu kikatiba kusimamia shughul za serikali?,Rais ndiyo mkuu na mwenye mamlaka zote
We majaliwa ubarikiwe
Ya Moto SASA💪💪
Huyu ni kama hayati JPM❤
Jamani Tanzania yangu du
Kweli magufuri Yu hai nakuelewa waziri wangu
🎉🎉🎉 ni tumaini letu uku ruangwa
Yuko vizuri uongo mbaya
Ila sijaelwa Nyaraka zikichomwa Kwani mtandaoni Benk hazionekani Komputer je hapo kuna tatizo la kitaalamu Serikali rekebisheni mifumo ya hela.
Nyaraka ziko nyingi. Lkn pia Kuna nyaraka nyingine zinaanza kwenye makaratsi halafu ndio zinaingizwa kwenye COMPUTER,...Sasa inawezekana kabla hazijaingizwa zikachomwa Kwa makusudi Ili kuficha WIZI...!
Hiyo ni point ya msingi
Hiyo ni point ya msingi
@@ismailmasoud6001 hapo ni mifumo mibovu inayoruhusu mwanya wa wizi
Kwa suala la pesa uko sahihi lakini kuna mambo mengine mengi yanategemea paper work mfano mikataba mbali mbali kama vile ya manunuzi, ujenzi nk. Ndio maana taasisi zetu nyingi bado zina masijala za makabati
Majaliwa kuna wakati una umagufuli ndani yako congratulations
Samia ndyo tatizo hayupo siliuse nakaz, anacheka sana, Sasa watendaj wadogo kama Hawa mawazili wanaonekana wanasifa kumbe Samia ndyo tatizo,,
Ingekuwa ofisi ya Chadema mngepita mtaa wa saba wakati wanaopata shida ni watanzania hao hao sasa hapa naona mzee umekomaa kweli kweli unajisafishia 2025
MUNGU akulinde waziri wangu mkuu,natiwa moyo namwona Magufuli ndani yk,njoo na kwenye umeme unakatika ovyo
Usiwe mjinga wewe unamuona mwendazake dikteta Magu ili tuje kuuwawa na kutekwa kusikojulikana?
Huyu waziri ananifanya nijivunie kua mtanzania
Dalili za ufisadi zipo, lakini mhasibu hana hatia mpaka ithibitishwe otherwise. Tusubiri uchunguzi.
Je baraza lote la Jpm lingebaki, hivi vilio vya wa Tz visingekuwepo, mama angefanya kazi kwa urahisi sana...na 2025 njia ingekuwa nyeupeeee.....
Tumwogopeni basi hata Mungu jamani?
kuiba mijasho na haki za watu wengine ili ujifaidishe mwenyewe ni wizi tu na hakuna baraka ni nuksi tupu jamani mbona hatuelewi? Hivi unathubutu hata kupiga goti na kusali kweli?
Huyo Mungu unamwambiaje baada ya kuiba pesa za walipa kodi? Unampelekea sadaka? Mungu hahongeki jamani tujitafakari sana.
Nakukubali maja endelea hivyovyo
Nimemkubali akitoka Samia aingie huyu
Hivi kwanini wasitumie technology kuhifadhi nyaraka? Hata computer zikiungua zote bado nyazaka zote utazipata zote. Technology ipo na siyo gharama kubwa kuliko hiyo mipesa yetu inayoibiwa.
Magufuli wa pili hongera sana
Takukuru, polis, wakurugenzi wa eneo hilo yaani iwe hawajui na wako kimya mpaka PM anafika!!duh
Cant wait who's next🤸🤸🤸
Nakuelewa
Najisikia raha sana na Amani kubwa ninapo muona Waziri wangu Mkuu Akiongea. Raha sana kwangu.
Ninakuunga mkono Kings wanakuwa weusiweusi tatizo uwelewa nakusahau yaliyopita ndiyoshida yaanikama bendelavile
hapa watu tutathimini kwanini Hadi afike ndo azungumuzie na Jao waliompa taarifa kwanini hawakumpa zamani na na kama walilimpa kwanini asingechukua hatua hats bila kufika kule mapema na kama amepewa Sasa basi hao walio mpa taarifa anapasa kuwawajibisha maana ni ucheleweshaji na kama walimpa zamani basi kunajambo kama sio kutaka kupata political influence mtendaji mzuri ni kutenda hata bila media results itaongea
Jamaniiii haya mambooo ni kasheshe wanaoniamini ni Tuwe wengi hivi ili kazi iendelee hee po
Halafu baada ya hapo, hakuna anaefungwa😂😂
Raisi wangu uyooo
Huyu ndio kamanda hana cha baadae
Huyu Angefaa kuwa Rais
Tatizo viongozi wa naongea sana, kama ingekuwa wevi wa Mali za uma wanafungwa na kutaifishwa Mali zao na wake zao, hakika Kungekuwa na amani ya Mali za walipa kodi
Huwa napenda kukusikiliza Mzee weee jamani
Huyu lazima awe Rais wangu anifute machozo ya Magufuli maana bado namlilia
Tunàmtaka agombeeee nafasi ya urais mwaka 2025,,,atàtufikisha pale tulipoishia mh:Kassim....
Kwann aswe Rais jamani anafaa sana
MUNGU, tunaomba mlinde Huyu Mkuu. Yasije yakamkuta kama yaliyomkuta aliyekuwa....(.) Anatugusa wadogo. Tunampongeza
Majaliwa uzid kujaaliwa,
Kuna upuuz mwingi sana unaibuka cku hiz