LEMA AWEKA HADHARANI YANAYOENDELEA KWENYE MCHAKATO WA UCHAGUZI S/MITAA ''WANATAKA KUTUIBIA KURA''..

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ต.ค. 2024
  • #JAMBOTV
    ...........
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►TH-cam: / @jambotv908
    ►INSTAGRAM: / jambotv
    ►TWITTER: / jambotv_
    ►FACEBOOK: / jambotv
    ►WEBSITE: jambo.tz/

ความคิดเห็น • 7

  • @edwindezidery632
    @edwindezidery632 วันที่ผ่านมา

    Lema mungu akutangulie unalipigania taifa na mimi nakuaidi mwezi wa kumi na mbili mwaka huu nakuja tuonane live sijawai kukuona live angalau nikuachie mafuta full tank mbili za kuzungukia kidogo na kuwatoa watanzania hasa vijana wasiojatambua. Kwenye box mungu akutangulie unitumie na namba yako tafadhali

  • @AbdallaMwagora-sm1rj
    @AbdallaMwagora-sm1rj วันที่ผ่านมา

    Ni kweli mheshimiwa WATANZANIA tume zubahishwa sana na vitu ambavyo haviwezi badilisha maisha yetu.

  • @ElishaOisso
    @ElishaOisso วันที่ผ่านมา

    🎉🎉🎉🎉

  • @salummohamed2689
    @salummohamed2689 วันที่ผ่านมา

    Mimi sielewi haya maisha tunayoishi Watanzania yatabadilishwa na watawala hawa wa mfumo huu.

  • @piusmelkizedeck9823
    @piusmelkizedeck9823 วันที่ผ่านมา

    Maisha yamebdilika sana,sual la dereva pikpki ndyo kwnza ni mwanzo,hali siyo nsuri kweli maana pikipki zimekuwa nyingi kama baiskeli ndyo maana hata haskari hawaangaiki nazo

  • @dismasmtui729
    @dismasmtui729 วันที่ผ่านมา

    Maisha ni magumu sana na ni kama viongozi wamewaachia wananchi wapambane wenyewe!

  • @jacksonmsola154
    @jacksonmsola154 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tufanye kazi kwa bidii na kile tunachokipata tukitumie kwa nidhamu,Hawa wanasiasa hawana wanachotusaidia zaidi ya maneno,Leo wanaokula ruzuku ya serikali ndiyo wanaolalamika,waliosoma kwa hela ya watanzania wanyonge ndiyo kutwa mitaani kusema Manisha magumu,maana hata wao elimu haiwasaidii,tuishi uhalisia wetu Tanzania ni nchi huru tusiishi kwa kukalili