ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Kama wewe unatoka kaskazini na unawakubali wadudu gonga likes 😂😂😂😂😂
❤wadufuduuu wako timamuu Kila idaraa big up kwa waduduu wa #chugastaniani
Bangi n tamu Sana ukilichemsha
Dha! Jamaa ana mnyoo mweus mkubwa kama mamba😂😂😂😂🙌🙌
😂
Hay kazi kwenu wataalamu wa kiswahili sijui hii lugha ya wadudu itaitwaje
Mna taarifa uko mtoto amechinjwa na amewekwa kwenye beseni subhanna Allah 😭😭
Taharifa wanazo na nyumba nzima imevunjwa
Ambao hawajaelewa hiyo misamiati kama Mimi tujuane hapa,wadungunyu,kwadekerea,fekeche Toni 😂😂😂😂😂😂😂
Nawakubali sana hawa jamaa iseee Mbeya mbalizi hapa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
This man they play fair
Very creative
Sayansi na teke linalokujia🔥🔥🔥
😂😂😂😂😂
Arusha ni nchi nimebelieve
Eti hii defender ni Kilometer 1 yaani ni Maganda Piruuuh Mpyaa babalai
Maisha ya uko ni magumu sn uwiiiiii😂❤❤
hiyo rugha kweli ya wadudu
🎉🎉🎉🎉🎉🎉 umetisha San
Ila Hawa jamaa wanakili sana,inabid waendelezwee ni wabunifu Sanaa aiseee shida tu wanachukuliwa poa😢 lakini wakiendelezwa watabuni vitu vikubwa sana
Ooh my country
Nchi ya arusha bwana
Kweli Arusha ni nchi
Na DEKEREA NDO KUANGALIA AU?!!!😂😂😂😂😂😂😂
yeah
Duh kiswahili kinakufa kwa wadudu
Tumesoma sayans na teke linalo kujia😂😂😂😂😂
Kazikazini atujawai kishindwa na jambo ata serikali inakua ilo.🎉🎉🎉🎉❤
Dda uko vzr mno....UTAFIKA MBALI SAAAANA
Hahaha ety tunauza kesho
Hiii ndio noma na nusu sijawahi ona duh wadudu mmh
Uwwiii Chuga ni ududuni!
Chuga iyooo😂.shikaraboo
Arusha raha sana
Loshoro ni top sana
Hebu nyie wauni wangu muulize Mhaya akwambieni nn maana ya neno CHUGA. 😅😅😅
Huna hoja kichwani unawaza mambo ya kjinga tuu
@@ChrisogonOrest-rz1tw Nimewaza au naeleza neno kwa lugha nyingine. Akiri finyu ww.
Mimi Muhaya 😂😂😂
Fresh tu
Hahaha tz kunauhuru wa ajabuu banger
hawa vichwa vinanuka kitu ya r chugar😂😂😂😂
Tatizo hiyo nchi ya Arusha bangi mvua ikinyesha bangi inaota kila kona sasa kazi ndiyo hayo 😅
Bj6 najivunia kuzaliwa R chuga rababa uhakika
Daaaah wadudu waneokoka
kweli chuga ni nchiiiii
Apo ni rais na virse president wa wadudu utaki😂😂😂😂❤❤❤❤
Oya kama vp tengenezen kwa wingi ayo magari ya mbao na sisi tumilik😮
Hatari sana
Teke linalo kujia ( technologia)
😂😂😂😂😂😂😂 sayansi na teke linalokujia😁😁😁😂
Dah 🤣🤣🤣Vile viatu sasa vya yule jamaa mwingine,nacheka sina mbavu jamani.Watu wa Arusha bhana mie nawapenda bureeeeeeeeeeeeee😂🤣🤣
M Hawa jamaaa ni shidaaaa
Tunafurahia izo style zao.. ila ni ujinga huu sio mambo yakuyapeleka mbali kama content, vijana wanaharibika ... TUWEMAKINI
Like gani watu mnauwana kama nzige hamna hata hofu ya mungu
😂😂😂 kwani nini kinakukeraa?
@@talentshow2024Huyu anakerwaga na kila mtu hadi mkewe na watoto. Hanaga furaha hata ukimtekenya hacheki labda ajitekenye mwenyewe 😊
Kweli nyinyi waduu
Huyo jamaa ametaja Kadindii nimekumbuka mbali sanaaa..hio ni kuogelea au makachu kwa lugha za kipemba
Duhh hii imeendaaa
Hawa jamaa wangepewa nchi Yao maana tayari lugha wanayo
Safi
Weka mbali na watoto.
Kumbe Makonda nae mdudu kama wadudu wenzie
Arusha Tanzania 🇹🇿 🎉😂😂😂😂
Hawa jamaa wana pigo kama wale wa South Afrika
Wadudu mko poa sana
Eemeen
😂😂😂😂😂😂😂 hivi Kuna mtu amcheka kam mimi
Mbona hawashi litembee 😂😂
Wadudu wanampango wakuiuza kesho
Daaaa Arusha😂😂
kesho inauzwa jumla na reja reja 🤣🤣🤣🤪😃😂.nyi mtabaki na mtondogoo🤣
wanaarusha oyeeee😂😂😂
Wadudu ni sefengx
Aisee kweli cha Arumeru ndio naelewa ni balaa😢
Kina vumbikwa kwenye shimo la choo
Bangi si chakula ndomàna vichaa wengi 😅😅
United States Arusha
Kesho mnamuuzia nani?
Usikute hawa sio wabongo
Ni yechuuuu
Nimwendo wa kamba tu 😂😂😂
😮😮😮
Ase uyu chalii namkubali. Anavobongaa dah
😂😂😂😂😂😂 nimechela balaa ila Dunia Ina watu
Wadudu nikwer
Hii si ya kudekrea masnich nawee lamama 😂
Makonda kaipatia sana arusha 😂
Mama mh rais, makonda akimaliza kuipaisha arusha mpeleke tu na dodoma akaikamilishe kazi aloianzisha mzee baba
Jaman kesho inauzwa huko.
Bangi tu hizooo
NOMA NA NUSU
Umesahau sifa ya raia ya chuga awali mandazi
Kweri makonda kaziipo
Kuiuza kesho jumula na rejereja
😂😂😂sayansi natekelinalo kuijia
jamaa wmetishaa,,
Wametisha kinoma
Wanampango wa kuiuza kesho kwa bei ya jumla na rejareja.
Baada yakuonyesha huyo land rover mnatuonyesha tu surazenu
Chuga kama chuga wanangu mmefunika kweli
Kuwadekerea. Kwaiyo wadudu mna Lugha yenu😅😅😅😅
Kudekerea ni kuangalia
Mim naona Arusha wana nchi yao awa jamaa
Camera man angetuonesha hio gari ingekuwa poa sana lkn ndio hivyo!!
Ukila bangi alafu upati chakula ndio madhara ayo
Hawa jamaa bhana😂😂😂😂
Nikwere jombii
Bando izo Arusha
Ni luga ya mtokonyo wadudu gwararaaaaa
Wadugunyi cyo poa