KIONGOZI WA CHADEMA AJERUHIWA VIBAYA NA VIWEMBE DAR SAKATA LA UANDIKISHAJI WAPIGA KURA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 11 ต.ค. 2024
- #JAMBOTV
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►TH-cam: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/
Pole Sana kaka yangu ccm ndiyo walipotufikisha ila ipo siku Allah atawaonesha
Ukitegeneya alg pekeyake nbilakujisaidiy
Pole sana, yaani ma CCM yapo tayari kuuwa kwa mambo ya dunia
Mungu atawalipa TU waache wajifanyie wanavotaka lakini mungu atajibu
Mtoto wa miaka 10 akiwa amevaa sare za ccm au ni mwanaccm anaruhusiwa kumtemea mate Lissu au Mbowe na asikaripiwe lolote.
Duuuh pole sana
Tembeeni katika makundi, kamwe msitembee mmojammoja.
Pole sana ila kama stahili ndiyo hii hatufiki mbali. Ni uonevu na ukatili.
Tanzania eti kuna amani mmh😢
Kwani shida nini madalaka tuu daa ccm bwana mungu ana waona
Hangekua wa chadema duh hacha kabisa hii sio poa mpaka wanatia haibu kiukweli.
Hao waliomjeruhi huyo inabidi Sheria zifuate mkondo wake
Angelikuwa niwa chadema kafanya hivyo Ni jela moja kw moj
Mgonjwa kesha jiishiya ccm aiuziki waliomo wana fata mkumbo ila chamoto wanakiona halinimbaya huu nimda wakujikomboa kifikla
Ccm imekosa sera wenyeviti wawo hawana sera mpya
Pole sana utu upo wapi?madaraka yanapita utu je?
Wemuongeza mdomo jamani Tanzania 🇹🇿 kazi ipo
Aisee ,huu uchaguzi sijui itakuwaje hadi unaisha
Pole sana bana dar
Jamani jamani eeee hii Hali idhibitiwe
Watatolewa ao kama ccm
Huyo mtuhumiwa ataachiliwa tu mwisho wa siku... Tujitathmini tunakwenda wapi kama Taifa
Da hii hatari sijui mwisho wake itaishia wapi hii hali
Dah pole sana
BWANA YESU AKUPONYE
Dah jamn hata uenyekiti sjui mabalozi,,,, ni nini hiki jamn Mungu simamia vijana wetu waache mihemuko
Kuna pepo la watu kufanya uhalifu afu unaambiwa toa ushahidi kama ni mimi😂😂😂
Mnaleta watu kutoka mitaa tofauti mnategemea nn?
Tembeen na panga ma nyie achen uboya mtalia mbaka lin
Duhuu jamaniiii.hofu ya Nini inchi Iko kwenu acheni hivyo
Mmh hali ni mbaya
Tafuteni maisha....siasa waachieni wenye pesa....na uchu wa madaraka....
Duh jamaniii
Mnavaaje maguo yenu kituoni mtachezea sana
We ni Mbwa kama Mbwa wengine tu, huyo aliyejeruhiwa kavaa nguo za Chama Mbwa wewe? Huu Ushenzi wenu mjue siku zinahesabika Mshenzi wewe.
Duuh I'm not in any political party but can said crimes is crime u can't hurt someone for any reason is illegal so here I'm with u guy sorry dear
Nyinyi msiwe wajinga ccm wa kotayali kwaiyo mshikamane vinginevyo mtapigwa pakushitaki akuna jino kwajino apo apo mpaka polisi wanakuja pamejulikana unamwaga dam kiboya wewe ccm awataki feya
Simu yake huyu mjeruhiwa kushikwa inahusu Nini?
Mtengeneza sumu kafa kwa sumu, muumizane na
Misiasa yenu mimi nalima huku sijuwagi siasa nini.
Mwandishi wewe mpuzi maswali gani unauliza
HAWA WENDAWAZIMU CHADEMA WAMEISHIWA SERA NA WANATENGENEZA MATUKIO TU!!
Mimi nazani wewe ndio chizi na mwendawazimu
Mungu akusamee kunasiku nawe yata kukuta
Siku yakimkuta kaka au dada yako ufunge hilo kopo
@@saltechnologiesco.ltd.2377 SASA WEWE SIO POLICE UNATOAJE JIBU LA MOJA KWA MOJA KWAMBA NI CCM BADALA YA KUSUBIRI UCHUNGUZI WA POLICE. IKITOKEA KAMA CUF ITAKUAJE?
@@godfreymbwambo4460Jina lako la pili kifupi chake ni mbwa na mbo unategemea utakua na akili