INATISHA! FREMU ZAHARIBIWA MIKOCHENI, WAKILI MADELEKA AINGILIA KATI, FIDIA ZAIDI YA BILIONI 2 KU....

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ต.ค. 2024
  • #JAMBOTV
    ...........
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►TH-cam: / @jambotv908
    ►INSTAGRAM: / jambotv
    ►TWITTER: / jambotv_
    ►FACEBOOK: / jambotv
    ►WEBSITE: jambo.tz/

ความคิดเห็น • 77

  • @fahadfaraj6474
    @fahadfaraj6474 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +21

    Kumtoa Jerry Slaa kwenye hiyo wizara ilitosha kabisa kuona serikali haiko tayari kupambana na migogoro ya ardhi

    • @NixonJohnson-r4m
      @NixonJohnson-r4m 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

      😂umejuaje ndg yangu hii serikali ni ya namna ya ajabu duniani...

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +8

      @@NixonJohnson-r4m ukifanya kazi serious unatolewa unaonekana unakua maarufu kumzidi raisi ivyo unatolewa hakuna kusikika sana hadi yule makonda kwa wanaomjua alivotoka iyo likizo kaufyata kaamua awe afisa utalii sio kupambana na wanaotesawanyonge tena.

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      ​@@fahadfaraj6474
      Wakati akitenda haki akivunja mpaka za vigogo na wakubwa akirididhia wenyewe wanyonge that why walimtoa kwa kuwa akifata sheria msumeno😂😂😂

    • @frankmlinda1181
      @frankmlinda1181 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Hii ndio Tanzania angekuwa magufuli wangekoma

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      @@FatimaAli-of4gh nchi za kiafrica wanajiita viongozi ni wahuni na vibaka wenye mamlaka

  • @jtlehhema
    @jtlehhema 48 นาทีที่ผ่านมา +2

    Edward Mushi karudi tena? Jerry Silaa alimkamata na kumtaja kama tapeli mkubwa wa ardhi Dar..!!

  • @YasinOmary-m6n
    @YasinOmary-m6n 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +9

    Tatizo kwenye nchi yetu mtu akionekana anasaidia wananchi wakubwa wanamtoa ili watu wateseke tu,Jerry slaa alijitahidi kusaidia watu ktk nchi hii,kwasasa hata sijui waziri wa Ardhi nyumba na maendeleo ya makazi,sijui anafanya kazi gani🤔🤔🤔🤔🤔

    • @TOUNDISELASSIE-xj8oy
      @TOUNDISELASSIE-xj8oy 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Ni kweli kabisa, Jerry slaa alisaidia sana watanzania kwenye wizara hii ya ardhi.

    • @RubenMtuwaMungu-bz8ee
      @RubenMtuwaMungu-bz8ee 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

      Mama hataki kufunikwa, kazi yake ni kuzima kila nyota inapong'aa.

    • @TOUNDISELASSIE-xj8oy
      @TOUNDISELASSIE-xj8oy 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      @@RubenMtuwaMungu-bz8ee
      Lakini mazuri yote yaliyofanywa na Jerry slaa, yalikua yanaipa sifa serikali hii.

  • @deejeydaev
    @deejeydaev 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Huyu jamaa wa mwisho anajua kuelezea na kichwani very bright

    • @johnmbungo1971
      @johnmbungo1971 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Huyu Dogo yuko vizuri sana and he sounds legalise hii ni kesi nzuri sana ikimpata wakili mbishi Kuringe ni mvamizi na atatupwa nje upon court being just and fair

  • @ShukuruEdward-v1l
    @ShukuruEdward-v1l ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    waliomtoa slaa kwenye wizara nimatajiri mama aliambiwa tu

  • @Mimi-wf7mb
    @Mimi-wf7mb 42 นาทีที่ผ่านมา

    Mwenzenu Dar siijui. Hiyo Mwai Kibaki inakutana na Ali Hassan Mwinyi Mikocheni kwa Mwalimu?

  • @The1979bornagain
    @The1979bornagain ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hata kama huyo anayedai amenunua hiyo ardhi /eneo. Iweje avunje nyumba usiku ambayo inakaliwa na watu na mali zao? Na hata kama ameuziwa, wapangaji wana haki pia.

  • @Byme6434
    @Byme6434 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mama Wa Kambo Mpk Najisikia Kucheka🤣🤣🤣

  • @mwasongweimani5495
    @mwasongweimani5495 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hii nchi ina shida jamani! Hivi unawezaje kufanya hayo huku kesi ipo mahakamani?
    Hela zina jeuri sana. Bila hela hauwezi kufanya hivi.

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Jeuli wanajua shelia ina ufa haina meno ndio maana wana jeuli ya kutosha

  • @quilijohn8634
    @quilijohn8634 17 นาทีที่ผ่านมา

    Jamani hizi tamaa, ubinafsi,🎉 kuvuruga families. Why? I hope family will be rightly compensated.😡😡

  • @SKY-fk3fz
    @SKY-fk3fz 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Ajira nguumu wanaajiriwa kuvunja usiku

  • @seleshaban48
    @seleshaban48 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kesi za aridhi nchii zinaleta umaskini wa akili mwili na robo.

  • @alsam4881
    @alsam4881 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kwa baadhi ya wabongo wengi mara nyingi huwa wanatumia hisia ktk kufanya jambo badala ya kutumia Akili, kwasababu wengi wao hawajaelimika kuhusu sheria na hawana ustaarabu na kufuata sheria.

  • @saltechnologiesco.ltd.2377
    @saltechnologiesco.ltd.2377 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Intelijensia ilikuwa imelala muda huo!! Eeh Mola tusaidie😢😢😢

    • @fatmaOmmy
      @fatmaOmmy ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hiyo itelijenjensia ni ya umbea2 kuchunguza kina mbowe wanasema nini.

  • @DennisAnthony-j5y
    @DennisAnthony-j5y 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Usiseme mama wa kambo sema mama mdogo au mlezi

  • @gidongailo7174
    @gidongailo7174 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Watanzania wazito sana kufuata sheria

  • @maryamabdullah9169
    @maryamabdullah9169 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Washenzi yaani Binaadamu kama Wanyama Hawana Iman

  • @wanguwangu34
    @wanguwangu34 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mambo haya yamekuwa mengi sana sijui Kwa nini, auction marts zingefungiwa kwanza ndiyo source ya matatizo mengi sana kama haya..

  • @RajeshiSanga
    @RajeshiSanga 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Naombeni kazi ningeuwA hata watatu ndipo selikali ije .bila hivyo mtasubili sana

  • @NixonJohnson-r4m
    @NixonJohnson-r4m 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    😂😮❤hawa ni wahanga na serikali ndio inataka hivyo...

    • @HuseinMwakindole
      @HuseinMwakindole 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kila kitu serikali acheni bwana, ikiwa hivyo kunasiku tutachukuliwa wake na hiyo tutaituhumu serikali

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 2 นาทีที่ผ่านมา

    Nchi haifuati Sheria ndio maana watu wanafanya wanavyotaka.

  • @methodiutou7278
    @methodiutou7278 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ndo maana watu wanaamua kujichukulia sheria mikononi maana kuna mambo yanachosha na unaona kama sheria inachelewesha maamuzi😢

  • @RajeshiSanga
    @RajeshiSanga 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Mlinzi wenu hana bunduki

  • @stellamwasenga6205
    @stellamwasenga6205 57 นาทีที่ผ่านมา

    Kazi iendelee tutafanyaje sasa

  • @bamdogokiki1486
    @bamdogokiki1486 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Enzi za Jerry hii kitu siku tatu tu, inaisha.

    • @MtanganyikaTanganyika
      @MtanganyikaTanganyika ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Jerry ndio nani wewe boya na haya yanatoka wapi kama hayakuwepo acha siasa kwenye mambo ambayo yanahitaji utaratibu wa kisheria

  • @FatimaAli-of4gh
    @FatimaAli-of4gh 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kumbukeni ya kwamba ardhi tutaiwacha awache kujifanya mbabe😢😢😢

  • @johnsonkatanga
    @johnsonkatanga 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Serikali si ipo sisi yetu macho

  • @pegionstudiotz8910
    @pegionstudiotz8910 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sana hao walinzi walikua wanakazi gani mana kulinda kumewashinda

  • @victorcephas3618
    @victorcephas3618 59 นาทีที่ผ่านมา

    Mama wa Kambo Oyeeeeee

  • @Lundege_Hips
    @Lundege_Hips ชั่วโมงที่ผ่านมา

    JERRY SLAA ALIPOTOLEWA TU NIKASEMA SASA UWONEVU WA ARDHI UMERUDI

  • @AthanaseKiyoja
    @AthanaseKiyoja 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mnaenda kuomba kura.Lkn kila kitu mmeshindwa.Hamjui kuwa.mna jukumu la kulinda raia na mali zao ?

  • @Lundege_Hips
    @Lundege_Hips ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Inaonekana huyu mama anapangiwa nani amuweke wapi na nani amtowe

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Matatizo ya Mirathi ni shida ya Mahakama zetu kutokutenda haki .Haya matatizo yapo nchi nzima. Na wanunuzi wa mali wawe na ufuatiliaji wa sehemu wanazonunua wasiwe wababe kununua mali za watu kwa viburi vya uwezo. Kuna Mkuu mmoja mstaafu kanunua mali ya watu kibabe ndio maana naongea haya

    • @ikungetajohnluketa8601
      @ikungetajohnluketa8601 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kununua mali ya urithi inaitaji umakini sana.

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      @@ikungetajohnluketa8601 Sana na sio tu ya urithi ila kununua Ardhi nyumba inatakiwa kujiridhisha na anaekuuzia ni mmiliki halali ?

  • @oam14l
    @oam14l 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Investment environment in Tanzania.

    • @Byme6434
      @Byme6434 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Yaaaani Hapo Wanaojiita Mainvestment Wamevamiwa Asaivi Wanataka Wakikujengea Hakuna Kikomo Cha Mkataba Hawa Si Wezi Hawa Sie tumewafukuza Nyumbani Tumewaaambia Watuwache na Umaskini Wetu

  • @gilliansiara3324
    @gilliansiara3324 29 นาทีที่ผ่านมา

    Jerry, Jerry,Rudi baba

  • @Lundege_Hips
    @Lundege_Hips ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Waziri aliekuepo sasa hivi Anakaa ofisini tu

  • @STELLAMARCELY
    @STELLAMARCELY 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yaan uyu kuringe nae amekua kama kirusi...ni mvamizi kweli wa Ardhi

  • @GiselaMungereja
    @GiselaMungereja 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kweli inasikitisha ,tumefikia mahali kuna wale wanaojifanya wako juu ya sheria na yote hayo ni uongozi huko chini haufanyi kazi wako kimaslahi zaidi.

  • @faithjonathan3845
    @faithjonathan3845 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ndo tatizo la mali za urithi. Hapo kila mtu angetafuta chake mapema wala huu ugomvi usingetokea mzee yeye angeendelea tu kugombana na mkewe basi. Na kama mke angeuza vyite basi watoto wangemlea baba yao wakiwa makwao

  • @FloridaAdelinus
    @FloridaAdelinus 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wameona sheria hazifuatwi wakaamua kufanya mwenye nguvu mpishe. Wanasema kuku mkubwa alimfundisha kuku mdogo ku........

  • @MOSESIMCHUNGUZI
    @MOSESIMCHUNGUZI ชั่วโมงที่ผ่านมา

    MBONA MNAKUWA WASENGE DSM? KWANINI MSIWAUWE?

  • @samorajama8833
    @samorajama8833 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hawa kiboko yao ni slaaa

  • @MohadiTv
    @MohadiTv 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Sasa sungu sungu wanachukua ela za nini

    • @knight6757
      @knight6757 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      🍺🍻

  • @mwikamwika4851
    @mwikamwika4851 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Serikali mnataka ifanye nini wakati kesi ni ya watu waliouziana wenyewe?
    Kila kitu mnataka serikali. Kesi ya hapo ni umiliki wa ardhi. Kuna mtu alinunua na waliouza. Kwahiyo ninyi wakamateni hao wawili muuzaji na mnunuzi.

    • @1961nungwi
      @1961nungwi 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Uko sahihi. Ila unakosea: kuvunja usiku sio sahihi

    • @mosesmacha1080
      @mosesmacha1080 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Wewe hujui Serikali ni pamoja na jeshi la police

    • @tynashao9200
      @tynashao9200 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Fidia itamlamba shenzi huyu Bora wangetumia utaratibu na wapangaji wakisema wameibiwa hela hachomoki

  • @dicksonkilupa2258
    @dicksonkilupa2258 10 นาทีที่ผ่านมา

    NAOGOPA KUKOMMENT MAANA NDG YENU NDIYE ALIYEMWUZIA KURINGE KWA KUTUMIA JINA LAKE , SASA MLITAKA KURINGE AANZE KUTAFUTA MTU AMBAYE HAYUMO KTK UMILIKI WA HATI? HAPO MWELEWANE NA NDG YENU AWAGAWIE MNACHOKILILIA AMA AMLIPE KURINGE PESA YAKE NA FIDIA ZAKE KWA KUMSABABISHIA HASARA .

  • @geofreysadok4823
    @geofreysadok4823 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mademu wabovu kwakujifanya wanajua kuongea kingereza 😅pyeee

  • @fredrickipembe8188
    @fredrickipembe8188 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hao wakamatwe kama majambazi

  • @DeoKimbe-gt4op
    @DeoKimbe-gt4op 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Baba yenu kauza na baba yenu mzima tatizo nini?Watoto,tafuteni zakwenu.