Ulieunganisha ivi vipande vya hii show,saluuuuute kwakoooo .....fid q ni mfalme Wa live band ya hip hop,show ilinipa hisia jmos ila hii video imenipa hisia Mara mia....the music is good ....big up waandaaj
Sometimes wabongo munapenda kujifanya munajuwa wakati hamujui na ndio hapo muna feli Nimekwambia ku enjoy mziki mzuri sio lazima unyooshe mikono juu nikakupa mfano show za westlife Ukasema mziki wanaofanya Westlife sio anaofanya Fid (Yes ni sahihi 100%) Sasa cha ajabu unanitajia wengine ambao hawafanyi mziki wa Fid Lil wyne na Drake (Ge Violar) hao wote wanafanya Trap na Crack sio HIP HOP Sasa rudi tena TH-cam anglia show za KRS ONE,RAKIM,NAS ESCOBER,EMINEM na JAY Z (zilizopigwa na BAND) halafu uniambie utofauti na hiyo ya Fid Nilikupa mf wa westlife kwakuwa wanapiga na BAND Play Back wanaruka sana kwasababu mziki unaosikika ni km ule wa Club(Base yake na mnato wa vinanda) Live Band mtu ana enjoy performance na mashairi mazuri (Anarukaje hapo?) Ila ukiwepo hapo chini hautamani amalize kwa7bu gani? Kuna vitu viwili MUSIC na MUSICAL
LIVE BAND ni MUSICAL SHOW PLAY BACK ni MUSIC SHOW Natumai utakuwa umeelewa hapo Au labda tafuta ya mwaka jana aliyopiga PLAY BACK hapa hapa DAR uone utofauti
Ramadhan Kibwana nmeona kidogo hapa nastahili kukujibu sababu hauelewi ni kwann karibu wote stegin wanavaa miwani mieusi. sababu ni moja tu usku dical lite zinaumiza mwanga za taa ni mkali sana ndo maana wanavaa miwani mieusi
Karamah Hassany niwa nyonyaji lkini wanakufikisha unapotaka ni bora kuliko fella na talle yamoto band nyumba zao ziko wapi bi cheka ghorofa lake liko wapi
THE BEST performance I ever seen in while.... Tatizo bongo they do not know how to different best and worth performance
Big UP MWANAMALUNDI
Live music Is a real and good music, thanks fid & bella
Nakukubali Faridi kubanda mkoa TZ nzima we nomaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Much love 4 Fid Q all the way from +974
Ulieunganisha ivi vipande vya hii show,saluuuuute kwakoooo .....fid q ni mfalme Wa live band ya hip hop,show ilinipa hisia jmos ila hii video imenipa hisia Mara mia....the music is good ....big up waandaaj
Fid q achana na clouds. Njoo wasafi broo uta hit kinomaa. Washabiki wako wa ukweli tuna suport harakati za wcb. We love you broo!!
tuwa jafar acha ushabiki uchwala wewe mziki sio lazma wcb boya ww
kaanza muziki kabla hujaijua wcb
Best performance bro, ila shabiki hazina vibe kabisa
Big up king hiphop
tupia like hapa kama unamkubali fid......
King wa hip hop
Huyu jamaa akiendelea kujilinganisha na hawa wa hapa bongo ataua kipaji chake.,......very clear performance
Wew ni ngosha ila chakushangaza hufananii na wale mangosha wengine wakiboya huwa unajielewa canaaa mzee babaaa
$@ Respect canaaa kubanda % $
hakunaga ngosha boya ww
mko wengi canaaa falaaa wee
Wanamuziki tu ndio wanaweza kufanya hivi. Tutofautishe kati ya wanamuziki nawaimbaji bwana. Respect to you guys
jamaa anajua mpaka anaboa, Kipaji kama Mangwea
Big up my real broodaaa njoo chugaa uko wabana pua wengiii.. kutusua n mpaka uwaimbiee madamu manyimboo mengiiii..
Mwenye hip hop yake
Good performance bro big up
Greatest show fid
Big up fid q umefunika wote,,,
2:22-2:30 😂😂😂😂 umeshake Co...Btw haijawh kufel 🙌
ngosha the swagger don katsha
Never seemed before u've killed ngosha aise dis is the best performance
Nakukubali Sana Sana genius
ukiskia live performance ndo hizi sasa
Hii ndio show sio wale wa CD,mziki mzuri hata kuusikiliza tu bila hata ya kucheza
Ngosha My Brother...Saaaafi
Kwa kweli ngosha ww ni hatari sna hip hop hakuna wa kubisha
kauwa sio sili kbsa....rap kwenda mbele
This is how live performance supposed to be,big up
Jamaaaa ana radha yake music tamuu San!!
Hip hop king
fid q nimekuelew sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
This is the live music now sio play back big up Fiesta !
Da bro sio mchezo
Fid q
U r a treasure
Ngosha the Don we got u
Mziki unahisia Kali sana
Huyu jamaa inabidi aachane kabisa na music wa level za bongo aende international wise
Da bonge la show
hahshaaha fiestaaaa ikoo mwishomwisho inakata rohooo inakufaa soon r.I.p fiesta
Karamah Hassany unazngua ww ujui ulipotoka
+FAL Tv usiwateteee wanyonyajii mzee hujui loloteee
Karamah Hassany Amna bila claudz tunge parr wapi
Karamah Hassany uko ndipo tulipo toka inapandixha adi machipukizi xtejin hiv uon brooo
😁😁😁😂😂😂😂
Fid Q
Fundiiiiiiii
show zote hukoseagi young fid
FidQ ni mkali na haendi kimataifa, sijui ni wapi wapi anakwama!!!
Umepiga show kali.. Ila vibe unalo we tu mkuu....
Ila shabiki wanakushangaaa tu hta hawana vibe kabsaaaa
Kui enjoy mziki mzuri sio lazima unyooshe mikono juu
Anglia show za west life utanambia
😂 angalia westlife wanaimba mziki gan na fid q anaimba mziki gani....
Tafuta show za Lil Wayne, drake, migos uone vibe mdau..
Sometimes wabongo munapenda kujifanya munajuwa wakati hamujui na ndio hapo muna feli
Nimekwambia ku enjoy mziki mzuri sio lazima unyooshe mikono juu nikakupa mfano show za westlife
Ukasema mziki wanaofanya Westlife sio anaofanya Fid (Yes ni sahihi 100%)
Sasa cha ajabu unanitajia wengine ambao hawafanyi mziki wa Fid Lil wyne na Drake (Ge Violar) hao wote wanafanya Trap na Crack sio HIP HOP
Sasa rudi tena TH-cam anglia show za KRS ONE,RAKIM,NAS ESCOBER,EMINEM na JAY Z (zilizopigwa na BAND) halafu uniambie utofauti na hiyo ya Fid
Nilikupa mf wa westlife kwakuwa wanapiga na BAND
Play Back wanaruka sana kwasababu mziki unaosikika ni km ule wa Club(Base yake na mnato wa vinanda)
Live Band mtu ana enjoy performance na mashairi mazuri (Anarukaje hapo?)
Ila ukiwepo hapo chini hautamani amalize kwa7bu gani?
Kuna vitu viwili MUSIC na MUSICAL
LIVE BAND ni MUSICAL SHOW
PLAY BACK ni MUSIC SHOW
Natumai utakuwa umeelewa hapo
Au labda tafuta ya mwaka jana aliyopiga PLAY BACK hapa hapa DAR uone utofauti
Bado kuna maboya wanamlinganisha na youngkiller
Nyeusi ngumu...yani fresh
safi live band
Alilewa ?
fid don
Legend uko vzuri ila sema awaja kuelewa
Daah jamaa ana chana sana
Sometimes malaika wa kheri hutembelea motoni
Makini xana
G.O.A.T
mzik wa live mzur
Ngosha
Fiesta haina vibeeeeee......fid anakaza lakin mashabik wako kimyaaaaaaa.......gonga like kama unawakubali wasafiiiiiii
Show ya fiesta ya maturity sio kwangukaa stage
we msenge mavi hata huoni hz shangwe
Uwez ona steji za mbao apo
Saimon Joseph fiesta ishadodaaaa....
Tido hyo live mzee cyo show ya kichiz had unuke jasho ye babaaaa
Kaua sio kitoto
No one like u kwa live show tz kwa upand wa rappers Bro,
Kawaida sanaa
ngoshaaaaaaaaaaaaaaaaa
Fanya yako
Apo ilikua wap dodoma au😂😂😂
MTU mbaya.
Nenda wasafi epuka unyonyaji
huyo ni gwiji ucmfanishe na malimbukeni
fiesta kazidi wasafiii festival
Aime Patrick fasteval imezidiwa WAP nyumbu ww
Nothing
Wewe kweli amnazo ucku unavaa mawani meusi na mchana jee show imebuma Mzee baba
Ramadhan Kibwana nmeona kidogo hapa nastahili kukujibu sababu hauelewi ni kwann karibu wote stegin wanavaa miwani mieusi. sababu ni moja tu usku dical lite zinaumiza mwanga za taa ni mkali sana ndo maana wanavaa miwani mieusi
Alieona hasara ya bifu za kijinga za kuwagawa wasanii na mashabiki like hapa... ....
kifoo hakipoo hivyoo mzee ww ndio unafeliii kwanii haoo ndio kinananii mpakaa wasifeee hahaha nivungie hauna poent unawateteaa wanyonyajii
Karamah Hassany niwa nyonyaji lkini wanakufikisha unapotaka ni bora kuliko fella na talle yamoto band nyumba zao ziko wapi bi cheka ghorofa lake liko wapi
aslay kuomba kundi kuvunjika sio mjinga aliona hakuna mahala nafika rayvan kuomba kwa tale aomdoke aende wcb sio chizi hamna alichokuwa anaingiza kuleee
+Hassani Dossa hahah hayo ni matokeo hasii tu umakini wa makubariano mzee
kama ukikubali matokeo ya makubaliano hata walionyonywa walikuwa na utaratibu wa makubaliano tuuh
movoko kaenda wcb c kumemshinda unaelewa kwann unyonyaji ni kila kona mtuu anataka kukutumia ili aingize yy binafsi mzee
#Anajua
ata kidogosijamuelewa babu uyu
Kama hujitambui sio rahisi kumuelewa.
Kwa watoto wa juz huwez kumwel genius huyu
Ma genius huwezi kuwaelewa kwasababu wewe KILAZA😂😂
Uwezo Wako we kiakli n mdogo
hata kuandika kwako kunaonesha wewe n lifala
Mshamba tu uyo