Noma Sana: Vibe la FID Q Lafunika Tigo Fiesta Mwanza: Aimba na Live Band Mwanzo Mwisho

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @Mbeyaconscious
    @Mbeyaconscious 6 ปีที่แล้ว +75

    WA kwanza jamani kila siku nachekwa sipati like naombeni basi

  • @MjusSlam
    @MjusSlam 6 ปีที่แล้ว +43

    Namkubali sana uyu ni king of hip hop Africa mashariki.
    kama mnakubaliana Na hii like.

    • @masungwajr1us604
      @masungwajr1us604 6 ปีที่แล้ว +1

      Bonge moja ya show legend 💪🏿💪🏿respect

    • @MjusSlam
      @MjusSlam 6 ปีที่แล้ว

      🔥🔥

    • @azaboicomedy
      @azaboicomedy 4 ปีที่แล้ว +1

      Hata bila kulike iko wazi, tuljua tokea enz zle

  • @priscapaul1922
    @priscapaul1922 6 ปีที่แล้ว +6

    Uyu jamaa kaiwekea Heshima kubwa mwanza Kwa mtazamo wangu Wange weka Bango lake unapo ingia Mwanza au katikati ya mji wa mwanza anapo toka

  • @velaalberto7766
    @velaalberto7766 6 ปีที่แล้ว +6

    Wasibishane kuhusu hip hop!! Wataendelea kukungoja!! Fid jeshi la mtu mmoja👑👑🔥🇹🇿

  • @simonmtuka8473
    @simonmtuka8473 6 ปีที่แล้ว +8

    kubanda we ni mnoma cyo kwa vibe lile ulilotupa jana

  • @abdulmohd6880
    @abdulmohd6880 6 ปีที่แล้ว

    the hip hip king, we appreciate sn ww fid you are the king of hip hop na hukiuki micngi km walivyo mafala flani.....

  • @fredytarimo6421
    @fredytarimo6421 6 ปีที่แล้ว +16

    fid kwa ulichokifanya hapo unastail uking Wa hphp bongo hongera pia kwa Dada Melisa apo kwa saut ya kumtoa nyoka pangon

  • @samuellevy2564
    @samuellevy2564 6 ปีที่แล้ว +6

    U deserve to be called a KING OF HIP HOP walai

  • @reubensawe4365
    @reubensawe4365 6 ปีที่แล้ว +2

    jaman naomben like zenu huyu jamaa ndo anafanya watu wanasubri kwahamu mwaka huu yaan vibe kama loteee kubanda

  • @sassboy9360
    @sassboy9360 6 ปีที่แล้ว +1

    Endelea kuwaonesha utofauti wao na ww amazing sana

  • @masungwajr1us604
    @masungwajr1us604 6 ปีที่แล้ว +4

    Bonge mojaaaaaa la show respect legend 💪🏿

  • @chipanzedoni8609
    @chipanzedoni8609 6 ปีที่แล้ว +1

    Daaah huy mwamba ni hatr

  • @goldenkillertz873
    @goldenkillertz873 6 ปีที่แล้ว +2

    Mwenye HIP_HOP take ngosha the don't💪💪👊👊

  • @maulidrehani
    @maulidrehani 6 ปีที่แล้ว +3

    Home boy ako fire mbaya....
    Big up fid

  • @eventelias3566
    @eventelias3566 6 ปีที่แล้ว +1

    nmependa hiyo sauti waliyoweka kwenye Fresh song yaan imekuwa fresh

  • @heartoftourismsafaris1425
    @heartoftourismsafaris1425 6 ปีที่แล้ว +1

    For me you're the BEST HiP HoP artist in Africa

  • @raulentbenard2749
    @raulentbenard2749 6 ปีที่แล้ว

    unajua sana hadi unakela mwanza❤💪💪

  • @privinusdecroshan135
    @privinusdecroshan135 6 ปีที่แล้ว +3

    Fid tulienyoy king wa hip hop African

  • @bonaventurebenedict8478
    @bonaventurebenedict8478 6 ปีที่แล้ว +1

    Taking Bongo hip hop to the next level...
    👑King kubanda 👑

  • @shekhekhandereizer559
    @shekhekhandereizer559 6 ปีที่แล้ว +6

    ili jamaaa kila linavoimba naliangalia kichwa na miwani najiuliza ww nimtu waaina gan unaimba mpk mwl wang umesisimka nakuona kwmba km mm siwezi lazima nisahau asee ngosha mtot wamwanza tunakuelewa brother kichwa chako unakijua mwnywwe asee

  • @mpjozzegalvanize4926
    @mpjozzegalvanize4926 6 ปีที่แล้ว

    My favourite MC in tz. We ni Icon bro wa hiphop bongo

  • @ernestkasanga3840
    @ernestkasanga3840 6 ปีที่แล้ว

    something so good keep it up bro,

  • @chrispinashayo795
    @chrispinashayo795 6 ปีที่แล้ว

    napenda sanaaaaa love you fid q

  • @kefawales8187
    @kefawales8187 6 ปีที่แล้ว

    Best song writer in Tz hiphop

  • @edwinlawi710
    @edwinlawi710 6 ปีที่แล้ว +2

    Fid ww mtu mbaya mno big up

  • @emanuelmbata4329
    @emanuelmbata4329 6 ปีที่แล้ว +1

    Mnyama nakukubar brother regend wa hph

  • @omaryommy594
    @omaryommy594 6 ปีที่แล้ว

    Nabii kakubalika kwao nakubal kng of hip hop mamb n ivi🔥🔥🔥

  • @deuskahonja1014
    @deuskahonja1014 6 ปีที่แล้ว

    Lordland.. Salute

  • @azaboicomedy
    @azaboicomedy 4 ปีที่แล้ว

    Naitizama hii show December ya 2020

  • @georgeburtonburton6740
    @georgeburtonburton6740 6 ปีที่แล้ว

    Baba vibe nimelielewa sana

  • @bilalyussuf890
    @bilalyussuf890 6 ปีที่แล้ว

    King of hip hop in Tz

  • @majaliwathobias485
    @majaliwathobias485 6 ปีที่แล้ว

    Like kam wakubali fid ni king wa hip hop

  • @mohamedali4347
    @mohamedali4347 6 ปีที่แล้ว +1

    Dawa so chungu ndugu uchungu marazi..hakiamungu tena chuki humchoma anaehifazi.hip hop fo real faridi qubanda noma sana

  • @mahshreydesignersartaccade3109
    @mahshreydesignersartaccade3109 6 ปีที่แล้ว +1

    This guy is talented

  • @joedimnazi1473
    @joedimnazi1473 6 ปีที่แล้ว

    King from ma hommie n fu****n Goat of Hip hop

  • @eventelias3566
    @eventelias3566 6 ปีที่แล้ว +1

    BONGE LA SHOW

  • @festoami4014
    @festoami4014 6 ปีที่แล้ว

    King of every year

  • @johnjashidasisso9780
    @johnjashidasisso9780 6 ปีที่แล้ว

    Ngosha #king of hip hop#

  • @richardmpera1625
    @richardmpera1625 6 ปีที่แล้ว

    Sema Ngoshaaaa habatishagi huyu jamn 🔥🔥

  • @andreyfesto4900
    @andreyfesto4900 6 ปีที่แล้ว

    Ur de best rapper fid

  • @ahmedsaeid3314
    @ahmedsaeid3314 6 ปีที่แล้ว +2

    Ushatumaliza Afrika kama loteeeehhhhh

  • @jumannenyabuge83
    @jumannenyabuge83 6 ปีที่แล้ว +3

    Kiukweli mwanza tulienjoy

  • @jilugalamarco9308
    @jilugalamarco9308 6 ปีที่แล้ว

    u deserve to be king of rap bongoland

  • @streetdanceofficial3827
    @streetdanceofficial3827 6 ปีที่แล้ว +7

    hatarii sana Hip hop

  • @neljack4227
    @neljack4227 6 ปีที่แล้ว +2

    LEGENDARY

  • @jesssejerard8930
    @jesssejerard8930 6 ปีที่แล้ว

    Kali sana

  • @wilbertpastor3648
    @wilbertpastor3648 6 ปีที่แล้ว

    Dah unajua bro

  • @youngloyclassic3173
    @youngloyclassic3173 6 ปีที่แล้ว +1

    hakuna king wa hip hop Africa km ww fid q u the bast bro

  • @luchomodise
    @luchomodise 6 ปีที่แล้ว +2

    maproducer wetu wawape vitu vyote kuhusu nyimbo yani

  • @allyvorogwe3277
    @allyvorogwe3277 6 ปีที่แล้ว +2

    Huyu jamaa anajua

  • @samsonmusa7626
    @samsonmusa7626 6 ปีที่แล้ว

    Fid q uwe unapiga fresh remix ndo ina mzuka zaidi...... Rayvanny na diamond wamekatiza vizuri awe anapiga hiyo so hii

  • @denismazamba6135
    @denismazamba6135 6 ปีที่แล้ว +1

    Fid unajua sanaaa

  • @yasinamiri7649
    @yasinamiri7649 6 ปีที่แล้ว +3

    Home sweet home mwanza mwanza ndio home

  • @chipanzedoni8609
    @chipanzedoni8609 6 ปีที่แล้ว +1

    Una weza baba me xhabika wako mpk mixho Hip Hop

  • @kashinjetz5288
    @kashinjetz5288 6 ปีที่แล้ว +1

    Ngosha the swaga

  • @ernestkasanga3840
    @ernestkasanga3840 6 ปีที่แล้ว

    nilitaman ukeshe jukwaani maana nilitoka geita kufata show mwanza l like good music like this,cha kwetu ndo kila kitu hatutak wasaniii wa nje hata kidogo,

  • @hoseaibra7242
    @hoseaibra7242 6 ปีที่แล้ว +6

    Kwni mnakwama wapi aise....mbona mnatuwekea Video nusu wekeni show mzima....kwni bando lenu au letu..... Au mnateseka kuweka fully show.....!!!!

    • @raphaelluiso9163
      @raphaelluiso9163 6 ปีที่แล้ว +1

      HOSEA IBRAHIM ndo hivyo brother utafikir wanatununulia bando bhna!!

    • @goldiansig8965
      @goldiansig8965 6 ปีที่แล้ว

      Mwangu nami nimeudhika kinoma

    • @goldiansig8965
      @goldiansig8965 6 ปีที่แล้ว

      Mwangu nami nimeudhika kinoma

    • @mcsabufa2716
      @mcsabufa2716 6 ปีที่แล้ว

      😂😂😂

  • @gilbertpatrick9857
    @gilbertpatrick9857 6 ปีที่แล้ว

    king king !!!!!

  • @edwardloppa180
    @edwardloppa180 6 ปีที่แล้ว

    baba lababa heee baba lababa kizazi sana aiseeee noma sana

  • @emmanuelcharles5104
    @emmanuelcharles5104 6 ปีที่แล้ว

    Much respect brother fid

  • @mdachiog5211
    @mdachiog5211 6 ปีที่แล้ว +2

    King bongo hip hop

  • @mapromomc3934
    @mapromomc3934 6 ปีที่แล้ว +1

    The realest ever.......

  • @Alegria_doPovo
    @Alegria_doPovo 6 ปีที่แล้ว

    Kitu liveee

  • @luchomodise
    @luchomodise 6 ปีที่แล้ว +3

    wangekua wanachukua beat na mixng na kila kitu kuhusu nyimbo. maana hivo ndivyo wasanii wakubwa dunian kote wanafanya wakitaka kufanya live pamoja na band ili sound inoge yan chek live moja ya travis scott kwenye show ya SNL ALivyofanya live alaf htr

  • @youngxhadah7951
    @youngxhadah7951 6 ปีที่แล้ว

    nilivyosema wadau waonheze ubunifu sijamaanisha kukata viuno au naviponda vyanyumbani no apana man... live performance like hiyo m mh! bado sana kibongo, msikilize fid vizuri anavyochana hapo utagundu kama alihitajika mtu mwingine wakushika mick na kuziback up voko zake. nadhan nimeeleweka.

  • @edwardcabanga6083
    @edwardcabanga6083 6 ปีที่แล้ว +1

    Salute fid

  • @stevengeorge1178
    @stevengeorge1178 6 ปีที่แล้ว +2

    hii ndo maana halisi ya show ngosha umeuaaaa

  • @robertsylvester7728
    @robertsylvester7728 6 ปีที่แล้ว

    Duuuuuu noma upo hom ten ngosha hatuwez kukuangusha

  • @andreamakanja3700
    @andreamakanja3700 6 ปีที่แล้ว +1

    nomaa sana

  • @abdullmikidad5508
    @abdullmikidad5508 6 ปีที่แล้ว

    Godfaza wa hip hop bongo

  • @domeddtzbouraaa
    @domeddtzbouraaa 6 ปีที่แล้ว

    Ngosha ngosha shida hiii

  • @thomaspaulo1312
    @thomaspaulo1312 6 ปีที่แล้ว

    Fid Q....The meaning of Bongo hip hop....

  • @isaiahrajab1409
    @isaiahrajab1409 6 ปีที่แล้ว

    Ngosha Ngosha ngosha

  • @helenamusa432
    @helenamusa432 6 ปีที่แล้ว +2

    Nice FID Q

  • @buzwagimagubiki1571
    @buzwagimagubiki1571 6 ปีที่แล้ว

    back vocals ndo shida

  • @michaelipius2660
    @michaelipius2660 6 ปีที่แล้ว +1

    Nice

  • @neemamlay-om4bb
    @neemamlay-om4bb ปีที่แล้ว

    Nouma sanaaaaa

  • @ommymrocky5816
    @ommymrocky5816 6 ปีที่แล้ว +1

    Mia👊

  • @magohestephens9933
    @magohestephens9933 6 ปีที่แล้ว

    G.O.A.T

  • @jamaldinmbarike6102
    @jamaldinmbarike6102 6 ปีที่แล้ว

    Ngoshaaaaaaa

  • @mirajifikirini6305
    @mirajifikirini6305 6 ปีที่แล้ว

    Safi

  • @edwardloppa180
    @edwardloppa180 6 ปีที่แล้ว

    naii
    ndio
    hiphop
    sio
    midudiko

  • @wanjemkilila3897
    @wanjemkilila3897 6 ปีที่แล้ว +1

    perfamance kama hii,harafu unasikia mtu mmoja amefanya utafiti eti sijui weupe/weusi ndio wamepeform vizur.Bongooo ushabiki unatuponzaaaa.

  • @georgeadam5194
    @georgeadam5194 6 ปีที่แล้ว

    King

  • @Mtamaduni14
    @Mtamaduni14 3 ปีที่แล้ว

    GOAT

  • @saidhamis7631
    @saidhamis7631 6 ปีที่แล้ว

    U killed Ngosha respect wengne wanapga back vocal na bdo pumz znakata

  • @BlackSolidier-hs3uw
    @BlackSolidier-hs3uw 10 หลายเดือนก่อน

    🇧🇮🎤👏

  • @mdachiog5211
    @mdachiog5211 6 ปีที่แล้ว

    Nomaaaa

  • @ziotajumanne9837
    @ziotajumanne9837 6 ปีที่แล้ว

    duu kweli unastahiri kuitwa ngosha

  • @allyianbgoya5163
    @allyianbgoya5163 6 ปีที่แล้ว +1

    Unamuona mlupo kisa ulimgonga kwa mshiko.....Fid Q

  • @mufuruwajura118
    @mufuruwajura118 6 ปีที่แล้ว

    Life show broo walio toa kiingilio hawajaibiwa wameona life show broo fid we jamaa ni vampire unajua kulko

  • @meekmila4153
    @meekmila4153 6 ปีที่แล้ว +3

    qonk ile mbay

  • @d-manb-free3478
    @d-manb-free3478 6 ปีที่แล้ว

    Oya,pamba hizi,nimeziona kwenye video yake feature Chin bees?daaaah Ngosha Vipi?

  • @salumtamopa5480
    @salumtamopa5480 6 ปีที่แล้ว +1

    ngosha knoumer

  • @donprince9752
    @donprince9752 6 ปีที่แล้ว +1

    Fid na unju TZ ndo Kendrick na Eminem njee

  • @sibiromallya5894
    @sibiromallya5894 6 ปีที่แล้ว +1

    hyu jamaaa hanaga mpinzaniiii Ukweliii ndo utabakia hivyo yan

  • @kapona927
    @kapona927 6 ปีที่แล้ว

    Shidah

  • @hermannbiniface9458
    @hermannbiniface9458 6 ปีที่แล้ว

    yan nmesoma comment z watu HD nafurah tz inatakiwa tuwe tunaskilza watu wanavyojua kuimba sio kucheza cheza n mabeat ovyo ovyo

  • @richardyusuphmsongolomakat2049
    @richardyusuphmsongolomakat2049 6 ปีที่แล้ว +1

    Hepaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaap....

  • @japhetbarton8268
    @japhetbarton8268 6 ปีที่แล้ว

    FID Q