Kama mungu alisha wayi kutendeya maajabu liké mungu ni mungu Aleluyah .. MUNGU abariki uyu ambaye anasoma uyu ujumbe Na ambaye anayo sikiliza wimbo huu❤❤🙏🙏🙏🙏🙏
Acha ata mm nijaribu❤ singing 🎶 Unaona tuko sawa, uyo ni Mungu Kwa magonjwa akawa dawa, yeye ni mungu Uo mwaka ametulinda, uyo ni Mungu Ata ujao tutauona, yeye ni munguu.. Endeleza.... Much love, weka like kama unaamini 2025 tuaiona❤
uyu nimwamba kwanza mtu mwenye Hof ya MUNGU mtu anaejua bila MUNGU hakuna mafanikio bas nibora Sana sio mtu mwenye majivuno hamkumbuki MUNGU naiman atazid kungaa siku zote
Iyi nyimbo kwangu ni kama vile inanitonesha vindonda ya maisha nilipitiaga kipindi kya ziki rayvanny sijuwi nikuweke nafasi gani you are the BEST i like the video since drcongo kalemie i'm DJ Simple🔥🔥🔥
Rayvanny is going far and a level no east African artist has reached. You can't kneel and show honour bfr God and go unrewarded. My time is coming too Isaiah 60:22
Watakae sema vibaya kwa hii nyimbo ni wachawi tu juwachawi awaonangi vitu vizuri wanatakia watu wote wanawo fanya vizuri wasi fanye vizuri hata kidogo atcheni roho mbaya hukiona mtu ana shukia huyo ni chetani hukiona mtu ana upendo hanapenda watu Wafanyi kiwe huyo ni mungu tu
Ee Mungu nibariki na mimi nifike mbali..Amen,🙏🙏
Nice vannyboy, am from KENYA 🇰🇪
Much love 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Umefanya vizuri kumtangaza mwamposa na kutangaza neno la Mungu
Naitwa rayvanny wa Congo 🇨🇩🇨🇩 nahitaji hata like inne tu
Me I like when rayvanny anaimba hizi nyimbo... I feel very encouraged natamani kumwona day moja❤
Semaa saut nzur mashallah❤❤❤
Njoo kwenye gospel vanyboy 🥰🥰
Kama mungu alisha wayi kutendeya maajabu liké mungu ni mungu
Aleluyah ..
MUNGU abariki uyu ambaye anasoma uyu ujumbe
Na ambaye anayo sikiliza wimbo huu❤❤🙏🙏🙏🙏🙏
❤
Ubarikiweee 🙏🙏
Noma sana❤ like nyingi kama unamkubali #tellaaxis
LEO NIMECHELEWA KUWA WA 1 ILA NIPENI ❤
Kama unamufatiliya mutumishi wa mungu mwaposa ngoga like hapo
Mambo?
BABA BLESS ME!!! MAY EVERY SOUL BE BLESSED IN JESUS NAME!!!!
😍 Thank 💗 you 💗 for 😍 New 💓 song 😘 and 😍 the 💗 best 💗 song 😍💗 💗😍 much 😍 love 💓😘
Hii ndo gospel yangu ya kufungia mwaka na nimeitumia kupunguzia stress😊
Acha ata mm nijaribu❤ singing 🎶
Unaona tuko sawa, uyo ni Mungu
Kwa magonjwa akawa dawa, yeye ni mungu
Uo mwaka ametulinda, uyo ni Mungu
Ata ujao tutauona, yeye ni munguu..
Endeleza....
Much love, weka like kama unaamini 2025 tuaiona❤
Noma kuliko hata noma yenyewe
Kaka hii nyimbo Ina nibariki sana 🙏🙏🙏 hii nyimbo itaishi Kwa watu wote
Wakenya tunakubali Rayvany
BIG UP SANA KWELI ❤❤❤ FROM DRCONGO UVIRA 🇨🇩 C'EST TJR PHILANTHROPE
Nakubali sana kazi zako bro😊😊😊😊
uyu nimwamba kwanza mtu mwenye Hof ya MUNGU mtu anaejua bila MUNGU hakuna mafanikio bas nibora Sana sio mtu mwenye majivuno hamkumbuki MUNGU naiman atazid kungaa siku zote
Nyimbo hiyi ina nibariki sana kama Niko kanisani vile,da Mungu akubariki uanze imba nyimbo zainjili kk yangu
Nyimbo poa sana.
Shabiki kindaki ndaki toka Ngoma ya kwetu till now
Heri mwisho wa jambo kuliko mwanzo wake kama unaamini mungu habagui piga likes ❤❤❤❤❤ much love to Ray from 254 tupe like ❤❤❤❤
Mungu habagui???
@@chifuwasalimatz2971yes 💯✋😅❤
Iyi nyimbo kwangu ni kama vile inanitonesha vindonda ya maisha nilipitiaga kipindi kya ziki rayvanny sijuwi nikuweke nafasi gani you are the BEST i like the video since drcongo kalemie i'm DJ Simple🔥🔥🔥
Fanya worship moja iyo sauti inafaaa
Hili goma umeuwa vanny boy
Wimbo mzuri sana...much love from kenya vannyboy❤
Mi ndo yule star nijae 🙏🙏🙏🙏🙏😭 uyo ni mungu
Aaah sindio wale wakenya tunaokupenda❤🎉🇰🇪🇰🇪
Chui na mm naomba subscribers nawaomben mnisapoti wadau wote wa chuii Ray nomaaa
From BURUNDI, BUYENZI❤❤❤❤
Mmi kama mkenya nampenda rayvanny🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Following from kericho Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Balikiwa sana rayvan watu wanasema kila siku 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Oyo tunae amini mungu nimuweza yote tukutane apa kwakulaki 🎉🎉
❤❤❤❤ our love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Miye ndoyule ni lovar bicard liké zenu ziko wapi🎉🎉🎉❤
Dah!! Kaka Ray,,umetisha sana kakangu,,show love from this side🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Inanikubusha faaa maan
Hi ndio bifu yenye tunaihitaji...Ngoma safi Chui
Ni Mungu . Kabisa.
Tunao mkubali vannyboy tujuane kwaku like hii comment
❤❤❤ĥaujui kùn̈àmungu
namkubali sana vànny xo one love my brother by naty
❤🎉 Amen
Jambo la busara uimbe kwaya uku kwngne ..kausha
Fundi sana vany boy
Huyo ni mungu ❤❤❤❤
This song touched my heart😢
Inapendeza sana kuona vijana wanamtegemea Mungu
Kweli ni mungu atufikishe mwaka mpy Salam wote na abadilishe maisha yetu isiwe kama ya 2024❤❤
Daah wachawee wimbo.huyo jama nimwamba halow
Ni God manze🎉😊
Great Rayvanny keep it up without God everything is nothing 🇰🇪
Kupitia nyimbo hii naamin nimebalikiwa saw🙏🙏🙏
Mungu mwema sana bigapu sana sana tu mungu hamtupi mja wake aminaaaaa
Daaaah maisha ni safari usikate tamaa unaesoma hii coment🙏🙏
Giving up is not an option keep fighting until God makes it happen 🙏 Thanks Rayvanny much love from kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 ❤️
Album nzima ya rayvanny ni hits tupu, huyu jamaa ni mkali, team vanny boy mpo💪
Jambo ulilolifanya vani ni jambo kubwa kwa jamii na kwa Mungu ubarikiwe broo❤
Wellcome in the Kingdom of Jesus Christ
Kali sana hi video chui huna baya bro 🔥✊🏾💯🚀🚀🚀🚀
Rayvanny is going far and a level no east African artist has reached. You can't kneel and show honour bfr God and go unrewarded. My time is coming too Isaiah 60:22
The only pure talent Alive... Vee. VANNY BOY HATA KASWIDA TWENDE
Kama unamkubali rayvanyn. Mwamposa gonga like hapa🙏
Hongera Raymond kwa kumpokea apostle ufalme wa Mungu ni wako❤😂
❤ from Burundi
Watakae sema vibaya kwa hii nyimbo ni wachawi tu juwachawi awaonangi vitu vizuri wanatakia watu wote wanawo fanya vizuri wasi fanye vizuri hata kidogo atcheni roho mbaya hukiona mtu ana shukia huyo ni chetani hukiona mtu ana upendo hanapenda watu Wafanyi kiwe huyo ni mungu tu
Wimborne wangu wa kila wakati pia ringtone. ..wakenya njoo jameni
#Ni mungu brother chui nilikuwa nasubiri sana melodic sound like this tisha
Naamini level zetu zitapanda kwa IMANI na nguvu za MUNGU pekee. Asante kaka Rayvanny zidi kubarikiwa. AMINA!.
Amen ujumbe tosha kutok kwa vannyboy🔥🔥🔥🔥
Huyu jamaa namkibaligi sana❤❤🎉
Asante kwa wimbo ambao unatugusa moyoni tunakufwata tano ju ya tano toka Congo 🇨🇩🇨🇩 Goma !tumwamini mungu yote anaweza
Bonge La Wimbo....Naupenda Sana ❤❤ Thanks For The Song Vanny🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mungu awe naweza chui
I feel sooo Blessed
Wakenyaa najuaa tuko hukuuu🎉🎉Wapii likes RayVanny
From Drc 🇨🇩 naomba support yako
GOD is always faithful 🙏 🙌 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
Kwakweli MWAMPOSA u vizuri endelea kutuombea Amen 🙏🙏🙏🙏
Grory to God...For there is no respect of persons with God..Roman 2:11
kweli ukiona kanyumba uyonimungu👏👏👏
Umetisha sana v van boy🎉congratulations 🎊 🎉🎉🎉mungu ni mkubwa sana kama unaamin mungu anakusaidia mpaka sasa gonga like apa twende sawa 🙏
Nimngu akuna mwingine brother ❤❤❤❤ nakupenda sna mngu akusaidie kwayote
Am from kenya and we all say this song is a hit ‼️‼️
Blessings 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Wanakenya SImnipe likes za vannyboy 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Tuko hapa 🇰🇪😂
Me ndo yule walio sema sitofika popote ila Mungu akinifikisha walipokua wanasemaje stofika ❤❤
Better Wanyakyusa kushirikiana na Kubebana kwenye kazi!!
Mfano wa kuigwa
Naona wakenya wanapambana sana uyu Mungu jmn wa Tanzania na sis tuwe pa1 drop bendeera 🇹🇿
Rayvann Wewe nimbongi sikuzote 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
From buja afro bet🇧🇮🇧🇮🇧🇮 apex maua 🥀 anagonga sana
🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 WE ❤️❤️❤️ you Vanny Ukiona emoji zangu uta elewa nini na maanisha ❤
Asante Mungu kwa Kumuumba Huyu mwamba, N sababu kubwa kwetu kutuletea Mziki Mzuri🎉
Wakenya oyee ebu tuonyeshe bendera ya taifa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 kenya rayvanny kijana wetu huyu watanzani wote tuwe na umoja karibuni kenya🎉🎉🎉
❤❤🙏
😂😂 wakenya walimwita rayvany takataka lakini Mungu anazidi kuwazima😅
🇰🇪🇰🇪🇰🇪Nairobi
Nice
❤❤❤❤
Leo hii mie ndo wa sita hapa kwa Chui, nipeeni likes jamani ndugu majirani 🎉🎉💯
Mungu ni wetu sote brother chui nakuaminia kazi juya kazi ❤❤
Ilikuwa siku ya baraka sana mkesha kwa mwamposa nilipomuona rayvanny live 🙏🙏 Mungu akubariki na wewe unayesoma ujumbe huu 🙏🙏
chui shift kwa gospel aki,uko na kipaji🎉naomba likes hata nne kama mnakubaliana na mm
🎉❤iko support from Kenya 🇰🇪
Hakika imeniliza wangapi Kenya imewaliza kama mimi ❤ gonga like hapa