Tom Daktari na utani wake kwa Harmonize - Uzinduzi CHEKA Plus TV
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 14 พ.ค. 2024
- UZINDUZI WA @chekaplustv CH 414: Kutoka Kenya +254, mchekeshaji @tomdaktari amekuja Bongo kumpa nguvu mshkaji wake @coy_mzungu na hapa anaanza kwa kusema yeye hajaja kumpa 'sapoti' amekuja ili akimbie mafuriko 😅
Uzinduzi ulikuwa LIVE muda mfupi uliopita kupitia #UTV108 @utvtz
#ChekaTu #ChekaTu414 #ChekaTuPlus #azamtvburudanikwawote
One of our own..we're proud of you Tom
Tom weeetuu❤❤❤❤
Napendaga sana kucheka jamani Hawa wanachekesha kama nn
1:39 ra 2:02 zacki
Ana zingua
Yes
Kazi nzuri😂😂
Good performance😅😊
Harmonize anaweza
1:39
Tom daah 😂
Tough crowd
😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂
Huyu jamaa ndo aliyesema MUNGU demu dar!hata hamu sina
We Acha uchoko au we ni hakim
@@AllyBabu-kr6lg unakubali kumdharau aliyekuumba kisa mziki wake!!!mtanzania hawezi akawa na fikra mbovu kwa aliyemuumba
Halafu unaitwa ALLY na unamtetea anayedharau mungu!!!pole
Nikweli alikosea lakini kakiri kuwa kakosea kwahiy nivizuri TUMUOMB dua nasisi Allah atuongoze zaid@@abdunasiriathumani9011
Hapo umesema wew sio yeye