Fid Q ft Christian Bella - ROHO ( Official Video )

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 918

  • @chauzuriShafii
    @chauzuriShafii 9 หลายเดือนก่อน +101

    Nani yupo nami 2024

  • @mwachiaddibanks4206
    @mwachiaddibanks4206 ปีที่แล้ว +31

    Nliiskiza 2016… 2017… 2018… 2019… 2020… 2021… 2022… adi leo 2023 na inshaa Allah ntaskia 2024 coz bado iko Fresh

    • @Enozflex
      @Enozflex 6 หลายเดือนก่อน +3

      Badooo upoo

    • @williumjafar
      @williumjafar หลายเดือนก่อน

      🎉tunakuomb hapa 2024

  • @braytonystieven5211
    @braytonystieven5211 5 ปีที่แล้ว +12

    mapenz ni pepo ambaro halinapingamizi kwenye hii dunia 🔥🔥🔥 kama umeelewa hii ngoma naomba like zako mtz mwenzangu 2019

  • @yohanacharles872
    @yohanacharles872 ปีที่แล้ว +13

    Kwangu bado haijafuja sababu mwamba yupo vzr naomba like za kutosha tunayoifwatilia hii ngoma🇹🇿🇹🇿

  • @kihanda2554
    @kihanda2554 8 ปีที่แล้ว +20

    Bella hajawahi kuniangusha, Likewise Fid Q. Kazi nzuri sana. Nimependa Beet nimependa Corus na Michano+ Masseg ya Wimbo.

  • @santimina9322
    @santimina9322 8 ปีที่แล้ว +117

    fid q is no doubt among the illest rap legends in east & central Africa. kenya tulikubali tangu enzi za Agosti kumi na tatu. Big Up.

    • @harunaunyambwa5766
      @harunaunyambwa5766 7 ปีที่แล้ว +2

      santi, kweli umesema.

    • @theafricanprincevivecongo8632
      @theafricanprincevivecongo8632 7 ปีที่แล้ว +1

      Not central Africa be careful 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 u ain't know a lot rappers👏👏

    • @mikelechoco2010
      @mikelechoco2010 6 ปีที่แล้ว

      @@theafricanprincevivecongo8632 Merci yebisa ye il n'a pas le niveau de youssoupha

    • @landdevelopersspot4604
      @landdevelopersspot4604 5 ปีที่แล้ว +2

      @@theafricanprincevivecongo8632 if you could only hear his content.. You will undoubtedly confess his mastery as a lyricist... The flow is just amazing..

    • @joshuarobert5922
      @joshuarobert5922 5 ปีที่แล้ว +1

      Kabisa Bro

  • @GoodluckAM
    @GoodluckAM 2 ปีที่แล้ว +24

    2022 am still coming back to this living masterpiece🙌🏽🇹🇿🇹🇿, thanks FidQ and Christian kwa mziki Mzuri.

  • @uncletito1618
    @uncletito1618 4 ปีที่แล้ว +9

    Bongo hiphop is the most mature music nimeskia.🤝. Kongole fid Q

  • @dulasonic
    @dulasonic 5 ปีที่แล้ว +41

    2019 kama tupo pamoja gonga like maishaa yansonga wananguu🎹🎶🎵✌✌✌

  • @Elly_corner
    @Elly_corner 8 ปีที่แล้ว +62

    respect to other rappers in africa but truth be told, fid q is the king of hip hop in africa but too sad he is very underrated....keep the good music alive brother fid

  • @tonywilliams8819
    @tonywilliams8819 5 ปีที่แล้ว +6

    Bonge la song!!Good art work.Nilitegemea kungekuwa na hata 30 million views since it's release.

  • @KalilimehboobKhan
    @KalilimehboobKhan 9 หลายเดือนก่อน +1

    ni kweli Kama ligi ya bongo

  • @sammrdrama6191
    @sammrdrama6191 5 ปีที่แล้ว +24

    Money makes a man lakin.. Love n hustle, u know who u love, but u don't know who u loves u 😍... Fid Q ni Ma'sta🙌

  • @enriqueigresias3275
    @enriqueigresias3275 4 หลายเดือนก่อน +15

    2024 nina yuko hapa?

  • @tracejeezy8917
    @tracejeezy8917 8 ปีที่แล้ว +12

    Daah Fid q ungekuweka 3 verses... . Bongo tumebarikiwa vingi aisee... Nataman kumuona Ngosha akipewa heshima Africa zaidi ya Sarkodie... Kwan wao wana nn mbona tunavichwa Vyetu vikaliii tena saaaana.. Noomaaaaa saaaana

  • @frankvenance3613
    @frankvenance3613 3 ปีที่แล้ว +2

    Roho niwimbo ambaouna wezakusikiliza unamawazo kishana ukaesawa 💪💪✍✍ tajili wamashaili👑👑

  • @tiniemlawa6347
    @tiniemlawa6347 8 ปีที่แล้ว +12

    Utatuua ngosha🔥🔥🔥

  • @MelichioliMarco
    @MelichioliMarco 4 หลายเดือนก่อน +3

    Money makes money, love ni hustle you know who you love but you don't know who loves you🙌🙌

  • @mohammedtenga8208
    @mohammedtenga8208 5 ปีที่แล้ว +48

    Who is here 2020,True say"mapenzi ni kama league ya mbuzi striker anaeza potea wengi wanacheat na kuwaudhi wanaoplay fair "NGOSHA🔥

  • @MrBankslave
    @MrBankslave 6 ปีที่แล้ว +2

    GREATEST OF ALL TIME!!!! USICHOKE KUTUELIMISHA NA KUBURUDISHA KAKA!!! AFRIKA NAKUTAMBUA

  • @abubakarizuberi1801
    @abubakarizuberi1801 8 ปีที่แล้ว +9

    bella kapatia sana hii chorus, jaribun kuisikiliza vizuri hii hit single ya roho, melody ya bella inaakisi na kusawiri vilivyo flow ya fid q

  • @cgkray2464
    @cgkray2464 11 หลายเดือนก่อน +2

    Ukimuuzi mtu mwambieni pole 🫡

  • @adammalimbwi2754
    @adammalimbwi2754 7 ปีที่แล้ว +4

    Fid hujawahi kuniangusha. Very excellent composition kuanzia melody mpaka lyrics. Hizo ni rare melodies. Big up sana.

  • @twalibomy1826
    @twalibomy1826 8 ปีที่แล้ว +2

    daaah nna zaidi ya sababu ya kukupa uking wa hip hop fid jiwe baada ya jiwe baada ya chakula cha ubongo SUMU sasa jiwe la mapenzi sumu nice king

  • @sefoo8084
    @sefoo8084 8 ปีที่แล้ว +10

    Hip hop king... Mulikua wawili. Sasa umebaki peke yako baada ya Mangwea kufariki. R.I.P Ngweir.

  • @sweetbertmulokozi4106
    @sweetbertmulokozi4106 8 ปีที่แล้ว +1

    hajawahi kubahatisha mtoto wa mwanzamwanza along side king of the best melody....bellaaaaaaaa

  • @georgengadada2429
    @georgengadada2429 8 ปีที่แล้ว +27

    i real proud of being Tanzanian, every after see Mr. Kupanda keep on educating youth and men from all ages, thank you God of let us have this artist.

  • @danielchamzuri1335
    @danielchamzuri1335 8 ปีที่แล้ว +4

    jamaa ni blessed!! ana vijimesemo flan hiv vanaufanya wimbo unoge

  • @livefutbol44
    @livefutbol44 8 ปีที่แล้ว +10

    Hii shida ingine in our Africa continent asee nimekuelewa bro keep it up

  • @charlesmakunga7946
    @charlesmakunga7946 8 ปีที่แล้ว +1

    kaka, hata iweje utabaki kua KING wa HIP HOP bongo, i salute u bro, this work is AWESOME, nimeskiliza verse ya kwanza tu imenibid ni stop ili niandke hii comment.

  • @MartinEtabo-dw4ds
    @MartinEtabo-dw4ds ปีที่แล้ว +4

    Hadi Léo bado naskiliza ngoma nzuri sana hili

  • @maroahkissiry4863
    @maroahkissiry4863 8 ปีที่แล้ว +1

    Ugumu njaa unaanza kumtoka Fid Q, anaanza kufuata njia za Joh makini ili atengeneze mpunga!
    Big up for music switch!!

  • @JUNIOUR251
    @JUNIOUR251 8 ปีที่แล้ว +25

    i always adimire the two of you. i love the way Fid Q goes with music and Bell is just a natural vocalist. it is a perfect match, you should think of coming up with another song together.

  • @Alvidosa
    @Alvidosa 8 ปีที่แล้ว +1

    Ngoshaaaaa on 🔥🔥🔥🔥ni hatareeee jiwe kwa jiwe

  • @inspirationmotivation2858
    @inspirationmotivation2858 8 ปีที่แล้ว +3

    you know who you love, You dont know who loves you. nice verse.umetisha sana

  • @emmanuelasheri7037
    @emmanuelasheri7037 8 ปีที่แล้ว

    that girl with short hair is beutfull,nice song"mapenzi yalifanya nikaumbuka nashukuru hayakuniua"

  • @CasmaRamadhani
    @CasmaRamadhani 9 หลายเดือนก่อน +12

    In March 2024 still my fav song❤🔥

  • @erastotweve2586
    @erastotweve2586 8 ปีที่แล้ว +1

    Iko sawa kinoma!! Endelea kukaza mkuu maana ukitaka kutoboa vichupa vikali kama hivi usivikwepe!!

  • @najytv2294
    @najytv2294 8 ปีที่แล้ว +5

    Kwenye upande wa Koti sio sana,Coz wana Hip Hop wanajijuaga wenyewe kwenye mavazi,Sitaki kuamini kama ukubwa ule Fid ajaona,ILa bella imekua kama ndoo moja ya maji ya bomba alafu anatakiwa abadilishe bahari,Kazungua kwenye hii hit

  • @andrew-kitwanambogger8242
    @andrew-kitwanambogger8242 6 ปีที่แล้ว

    am from Alaska i don't understand the language but FID Q KWANGU WEWE NDIO BEST EMCEE AFRICA NZIMA

  • @jumannemwandara3718
    @jumannemwandara3718 8 ปีที่แล้ว +17

    ngoma ya sumu ni sumu inayotbu wenye sumu kwa ubongo kama hedex, hakuna wa kuweka X kwa Fid Q n mkali zaid ya director wa X! #Sumu @Roho *Ngoshaz

  • @reservationsreservations336
    @reservationsreservations336 8 ปีที่แล้ว +1

    Kumsahau siwezi sana ,kumkumbuka nisiemjua ,Mapenzi yalinfanya nikaumbuka ,Nachoshukuru hayakuniua.

  • @hansmloli
    @hansmloli 8 ปีที่แล้ว +5

    m speechless, Mwanamalundi ur the best lyricist alive in East Africa

  • @vicmassluodollar
    @vicmassluodollar 8 ปีที่แล้ว

    Kazi safi Ngosha the Don

  • @tonywilliams8819
    @tonywilliams8819 5 ปีที่แล้ว +7

    This guy is absolutely another level!!Big up brother

  • @peterhumbo2333
    @peterhumbo2333 8 ปีที่แล้ว +2

    Fid q nyimbo zako hazjawahi kunikonga tangu ulipotoa wimbo wa tangu august 13,lakini huu umenikonga sana brother Big up pull up ur socks

    • @jumamichael4083
      @jumamichael4083 8 ปีที่แล้ว +1

      Sio bure bado haujajua muzik mzuri ni upi zaidi ya kupenda hit song

  • @DjRapse
    @DjRapse 8 ปีที่แล้ว +9

    wengi wanacheat na kuwaudhi wachache wanaoplay fair. U know who u love but u dont know who loves u. #word.
    much love from +254 Kenya.

  • @ijueafyayako5654
    @ijueafyayako5654 8 ปีที่แล้ว

    dah bro ww ni king wa hip hop Africa wakubisha wabishe tuu.. ngoma imetulia sana bela saaf kajitahid nae.. ukija kwa majan dah.. akoseagi beat kali mno..

  • @justinesanga8809
    @justinesanga8809 4 ปีที่แล้ว +4

    Bado naangalia mpaka leo 2020 nikijiliwaza na corona

  • @tonykipobota4265
    @tonykipobota4265 8 ปีที่แล้ว

    ngoma ya #sumu ilibidi niisikilize mara10 kuelewa vzr ulichospit,, hii nayo ya #roho mara 7 ndo nmeipata vzr,, FID Q,, THE LYRICAL GENIUS

  • @barakaswai6855
    @barakaswai6855 4 ปีที่แล้ว +20

    this song never gets old🙌🏽

  • @loserianmollel5400
    @loserianmollel5400 2 ปีที่แล้ว +1

    Salute sanaaaa #Ngosha

  • @mustapheradam9676
    @mustapheradam9676 5 ปีที่แล้ว +6

    Nilipo mmiss hakutokea ..........still listen October 2019 like

  • @jacksonitembe6512
    @jacksonitembe6512 6 หลายเดือนก่อน +1

    mapenzi ni kama league ya mbuzi striker anaweza potea wengi wanacheat na kuwaudhi wanaoplay fair🎉🎉🎉

  • @duccimedy
    @duccimedy 8 ปีที่แล้ว +4

    U kno who u love/ buh u Dnt kno who loves u
    Fid q u the best brother
    When comes to rate u deserve⭐️⭐️⭐️⭐️⭐️

  • @clauselijah8262
    @clauselijah8262 3 ปีที่แล้ว +2

    Thé genius Fid Q with the best vocalist Christian Bella what a collabo🙌🏾

  • @yonajohn8708
    @yonajohn8708 8 ปีที่แล้ว +4

    Big up brother.....ze swagG Don

  • @mussahashim7244
    @mussahashim7244 8 ปีที่แล้ว +5

    one of my life time hip hop artist ......so flexible hip hop goes with time hip hop changes very good fid q

  • @chuzilapweza6517
    @chuzilapweza6517 8 ปีที่แล้ว +1

    baba fei....again and again...kwenye quality yako ya juu kabisa...nice song mtani#ngosha

  • @ombennykamwela2516
    @ombennykamwela2516 8 ปีที่แล้ว +5

    I'm addicted in playing this song, 15 times per day,. so nice song ever

  • @ramadhansaidi3549
    @ramadhansaidi3549 8 ปีที่แล้ว +1

    huyu ndo legendary fid q ndan ya hiphop ya tz...😉

  • @degetaylor6378
    @degetaylor6378 8 ปีที่แล้ว +3

    YA KNW WHO YA LOVE BT YA DONT KNW WHO LOVE'S YA
    TABASAM ZAID YA WAFUNGUA MILANGO WA 5STAR HOTEL
    TISHAAAA SANA BABA NGOSHA

  • @mwakiophilicia7045
    @mwakiophilicia7045 8 ปีที่แล้ว

    Fid q siku zote hutema madini ya uhakika......apa ulifunga kazi.

  • @jamesjevaby245
    @jamesjevaby245 8 ปีที่แล้ว +4

    Kazi nzuri sana broo..huwa hubahatishi kazi zako big up sana.

  • @siegfrieddavid6816
    @siegfrieddavid6816 8 ปีที่แล้ว +1

    speechless,najiuliza huwa ni mara ngapi unafikiri tofauti na wengi tunavyo fikiri!!!

  • @nancytarimo1947
    @nancytarimo1947 8 ปีที่แล้ว +3

    Now this is Art, great stuff. Heshima yako mkuu... 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @sirajimoshi1450
    @sirajimoshi1450 8 ปีที่แล้ว

    Huu wimbo ni mkali balaaa.....hongera xana Fid Q

  • @Darupdates
    @Darupdates 8 ปีที่แล้ว +3

    Short and clear!! Iko poa sana

  • @droneafrica
    @droneafrica 8 ปีที่แล้ว +1

    Daaaa noma sana! Hawakuangalii ww ila wanawaangalia wale ulio wa inspire bt wataelewa tu

  • @khalidwaziri5403
    @khalidwaziri5403 8 ปีที่แล้ว +3

    you the best brother.. keep taking this Hip Hop industry of ours into the next level.. ts me your die hard fan...

  • @omarymashauri7307
    @omarymashauri7307 8 ปีที่แล้ว

    Tokea ngoma ya walk it off run nilijua fid anakuja kuwamaliza… audio kali kichupa kikali🔥🔥🔥🔥💥💥💥

  • @jumamichael4083
    @jumamichael4083 8 ปีที่แล้ว +3

    Nachoamini kutoka kwako ni kwamba haujawahi niangusha big up bro

  • @alishomar7549
    @alishomar7549 8 ปีที่แล้ว

    Mungu akinijaalia mtt wa kiume ntamwita fareed....

  • @EmmanuelKwezi
    @EmmanuelKwezi 8 ปีที่แล้ว +32

    Fid Q we ni madini yaliyosahaulika kuwekwa kwenye orodha, baada ya dhahabu tanzanite unafuata wewe!!

    • @abdulmohamed3394
      @abdulmohamed3394 8 ปีที่แล้ว +2

      umeua kaka..kubanda is the best MC ever.

  • @watufx
    @watufx 7 ปีที่แล้ว

    Mwana unaskizwa apa kenya large up brother my inspiration...BONGE LA COLA BOH

  • @malwarepeter
    @malwarepeter 8 ปีที่แล้ว +7

    Bella's voice,,, 🔥🔥🔥🔥

  • @winnifridajoseph7051
    @winnifridajoseph7051 8 ปีที่แล้ว

    yaan for sure namkubali sana FdQ +blla 😍😍😍😍😍😍.nice song

  • @mjobegameplay2410
    @mjobegameplay2410 3 ปีที่แล้ว +3

    Leo nmeirudia hii ngoma kuitazama 2021😨😨

  • @omarbongo3975
    @omarbongo3975 8 ปีที่แล้ว

    Lazima wajue kutafautisha..salute legnd🙌

  • @kitatakitata8678
    @kitatakitata8678 6 ปีที่แล้ว +9

    Waooh Jamaica Ilove You Tanzania #Like nice

  • @jimmykerpal9426
    @jimmykerpal9426 8 ปีที่แล้ว

    wengi wanawacheat na kuwaudhi wachache wanao play fair.....bro u ols rock bro....kila sku naskiza this song kaka

  • @henryramadhan8803
    @henryramadhan8803 8 ปีที่แล้ว +3

    always u'r the king of HipHop broh...

  • @othmandaddy7084
    @othmandaddy7084 8 ปีที่แล้ว

    dah !!? Je tisha mbaya fid unajua bro i can say #respect...

  • @heritiermbaleelokiza9517
    @heritiermbaleelokiza9517 8 ปีที่แล้ว +3

    i would like to know how you spend your quite time bro, sababu unacho tema ni zaidi ya misemo . respect FID Q

  • @musaalfani9303
    @musaalfani9303 ปีที่แล้ว

    My son najua ipo siku utaona hii comment ila jua baba ako nilikua nakupenda na nakuasa tafta hera uwezavyo maana inareta raha maishani bye bye 2023❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @saidachoti21
    @saidachoti21 5 ปีที่แล้ว +7

    Perfect 👌🏾 punch lines is hard more than my life 🔋

  • @lemymasele7306
    @lemymasele7306 8 ปีที่แล้ว

    mapenzi matam nahofia kuumizwa moyo nashindwa kujaribu na roho inaniuma sana roho inaniuma roho inaniuma nahofia kuumizwa moyo bila hata kupewa pole da Hongera christian bella kwa chorus nzuri na mistari ya brother fid iko powa.

  • @AZAM_MEDIA
    @AZAM_MEDIA 3 ปีที่แล้ว +3

    The king never gets boring

  • @rogersswai3684
    @rogersswai3684 8 ปีที่แล้ว

    Farid Kubanda ni msanii ambaye watu wanaopenda kujifunza na kuchambua mambo wanamfaa..... kazi nzuri...

  • @nobertmulesi3387
    @nobertmulesi3387 8 ปีที่แล้ว +11

    real hip hop from a hip hop legend

  • @emmanuelmanuma4675
    @emmanuelmanuma4675 8 ปีที่แล้ว

    Nice job, Bella Fundi Sana, hongera Christian Bella

  • @hamashmash3368
    @hamashmash3368 6 ปีที่แล้ว +5

    I love this song deep from my heart

  • @archkeels3753
    @archkeels3753 6 หลายเดือนก่อน +1

    Wakunifanya niwe baraka kama misheli 2024 ndan ya bibilia

  • @chidyqubanda3365
    @chidyqubanda3365 7 ปีที่แล้ว +3

    miaka mia hi ngoma itakua bora

  • @lwazimujuni5023
    @lwazimujuni5023 8 ปีที่แล้ว

    aiseeeeeee laaaaah fid umekuwaje mbn umepanic hivyo we nomaaa aiseeeee!!!!big up

  • @youngkillermsodoki7664
    @youngkillermsodoki7664 6 ปีที่แล้ว +299

    **Nani anaingalia hii ngoma 2018-2019-2020**

  • @Mzungu-fh1of
    @Mzungu-fh1of 8 ปีที่แล้ว +2

    fid q uko juu sana. ningeomba upige colabo moja na ali kiba

  • @mzigwaismymom2208
    @mzigwaismymom2208 8 ปีที่แล้ว +5

    Fid Q hatariii💪good music

  • @udesibin8074
    @udesibin8074 5 ปีที่แล้ว

    legend namkubal hadi umaut wang cz anajua nini anafanya ndo mana haporomoki ktk game fid Q mwanza mwanza✌️✌️✌️✌️

  • @hilltopenglishmediumschool7669
    @hilltopenglishmediumschool7669 7 ปีที่แล้ว +17

    best rapper in east africa