Unachotakiwa kujuwa hawa watu wote unaowaona pwani ukiwatoa waarabu waliobaki wote walitokaga bara. Na vizazi ni vizazi vilivyotoka Afrika ya Kati zamani. Watu wa bara Walikuwa wanakijua kiswahili kwa maana kiswahili ni Muunganiko wa lugha zao kama wao
Sikatai Kiswahili ni lugha yenye asili ya kibantu Kindakindaki ila yeye yualeza masuala ya kisiasa na athari zake kwenye maenezi ya Kiswahili ili haelezi wenye lugha ni kina nani
Kiarabu kilikuja kuunganika na kiswahili Kwa Maana kiswahili ndio Lugha iliyokutwa kabla ya Kiarabu . Kiswahili ni Muunganiko wa lugha za Asili za Afrika mashariki na kati. Na baadae lugha hizo za Afrika mashariki na kati zikaja kuunganishwa na lugha za Mataifa ya Mbali kama Kingereza, kiarabu, nk...
Hekooooooo ❤❤
Asante kwa somo ewe himu ya kuishi. Na tuzidi kubarikiwa kwa mengi. Chikk
Hekooooo
Hekoooooooo❤
Asante ewe himu yetu waja
Hekoo
Hekooooooo
Hekooo
Mbona watupotosha Kiswahili chenyewe kiliwezaje kufika pwani ilhali jamii za bara zilikuwa hazikifahamu
Unachotakiwa kujuwa hawa watu wote unaowaona pwani ukiwatoa waarabu waliobaki wote walitokaga bara. Na vizazi ni vizazi vilivyotoka Afrika ya Kati zamani.
Watu wa bara Walikuwa wanakijua kiswahili kwa maana kiswahili ni Muunganiko wa lugha zao kama wao
Sikatai Kiswahili ni lugha yenye asili ya kibantu Kindakindaki ila yeye yualeza masuala ya kisiasa na athari zake kwenye maenezi ya Kiswahili ili haelezi wenye lugha ni kina nani
Hekooooo ewe himu ya kuishi kwa waja
Kwanini wanasema kiswahili kimetokana na kiarabu je ni kweli kiswahili kimetokana na kiarabu
Kiarabu kilikuja kuunganika na kiswahili Kwa Maana kiswahili ndio Lugha iliyokutwa kabla ya Kiarabu . Kiswahili ni Muunganiko wa lugha za Asili za Afrika mashariki na kati. Na baadae lugha hizo za Afrika mashariki na kati zikaja kuunganishwa na lugha za Mataifa ya Mbali kama Kingereza, kiarabu, nk...
Hekoooooooooooooo
Hekooo