Huu ndio uchanganuzi unaotustahili watu na kwa uchanganuzi huu ni vigumu mtu kupotea kwa maana unaleta tija zote kwa mtu aliyeusikia na kukamilisha akili timamu asante sana Row Wominige ubarikiwe na ya mungu mwenye vyote 🙏
Nmependa masomo yenu ila bei ya vitabu ndio changamoto maana sasa kama mtu anataka kujifunza ili achukue maamuzi bado bei sio rafiki ya kuongeza waumini wa dini.. kwa maoni yangu naomba mtupunguzie gharama ya vitabu
Mimi nafurahia Afrika inapoonesha hatua za Kujisimamia yenyewe katika kila kitu. Swali hapa, Ni kwanini basi MTU au watu wanahitaji IMANI? Iwe juu ya Jadi, Asili, Mila au Desturi?
Huu ni ukafiri tu.. Mnatak tuabudu miti na mawe na vinyamkera.... Mtapata wasiojielewa ama waislamu tuna muabudu mola mmoja tu na hatutafuata jadi wala desturi ispokuwa uislamu
Akuna jadi inayotoa mafundisho ya wewe kuabudu miti wala mawe. Sikiliza vizuri somo au fatilia masomoko kwa umakini utaelewa jadi inakwambia nini. Acha paniki za kiislam
Huu ndio uchanganuzi unaotustahili watu na kwa uchanganuzi huu ni vigumu mtu kupotea kwa maana unaleta tija zote kwa mtu aliyeusikia na kukamilisha akili timamu asante sana Row Wominige ubarikiwe na ya mungu mwenye vyote 🙏
Garda Mitod...Ewe Himu Ya Kuishi Kwa Waja ...,, Tubarikiwe na YaMungu Mwenye Vyote Kwa Amani na Wema.
Hekoooooo Mwalimu wa Maisha.Row Wominige wa 786🙏🙏
Garda mitod ewe Rrowominige wa 786
Hekoooooooooooooooo
ROW-WOMINIGE MWAMI LOKOKO
Hongera sana Mwami Lokoko
Nmependa masomo yenu ila bei ya vitabu ndio changamoto maana sasa kama mtu anataka kujifunza ili achukue maamuzi bado bei sio rafiki ya kuongeza waumini wa dini.. kwa maoni yangu naomba mtupunguzie gharama ya vitabu
Hekoo ❤
Hekooo Mwami lokoko ewe himu ya kuishi kwa waja🙏🙏🙏
Hekooooo Ewe himu ya kuishi kwa waja 💯💯💯💯💯
Hekoooo
Hekooo hekooo MWAMI LOKOKO
Hekooooooo Ewe Himu ya Kuishi Kwa Waja 🙏🙏
❤
Hekoo himu ya kuishi kwa waja
HIMU YA KUISHI KWA WAJA
Garda mitod ewe Himu ya kuishi kwa waja, hekoo kwa elimu ya kufunguka password ya vichwa
Lakini pia mbona mifano ya Mila, Asili, Desturi, tamaduni nk yote inafanana? Kwamba ni makatazo juu ya yaliyopo katika mazingira!
Mimi nafurahia Afrika inapoonesha hatua za Kujisimamia yenyewe katika kila kitu.
Swali hapa, Ni kwanini basi MTU au watu wanahitaji IMANI? Iwe juu ya Jadi, Asili, Mila au Desturi?
Nivizuri uchukue namba za simu kwenye somo hili ili ukutane na waalimu kwa kueleweshana zaidi
@@Nderemi786 Taken
Huu ni ukafiri tu..
Mnatak tuabudu miti na mawe na vinyamkera....
Mtapata wasiojielewa ama waislamu tuna muabudu mola mmoja tu na hatutafuata jadi wala desturi ispokuwa uislamu
Akuna jadi inayotoa mafundisho ya wewe kuabudu miti wala mawe.
Sikiliza vizuri somo au fatilia masomoko kwa umakini utaelewa jadi inakwambia nini. Acha paniki za kiislam
Hekooo
Hekoooo
Hekoooo
Hekooooo
Hekoooooooo
Hekoooooo
Hekoooo