Lugha ya Kiswahili:

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.ย. 2024
  • This is a discussion pertaining to the Swahili language and its people beeter known as 'Waswahili'. A very informative discussion on a very controversial issue.
    Haya ni mazungumzo baina yangu na Mwalimu Abdilatif Abdalla kuhusu Lugha ya Kiswahili kuwa ina wenyewe- na wenyewe ni Waswahili. Ni mazungumzo yenye maelezo ya taarifa muhimu kuhusu mjadala unaotatiza wenzi kwa muda mrefu.

ความคิดเห็น • 40

  • @nassirnassir4843
    @nassirnassir4843 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah! Very good discussion. Loved it!

  • @asilclub
    @asilclub หลายเดือนก่อน

    أستاذنا الكريم العادات والتقاليد والسلام في خبر كان

  • @barghashbinsaid9414
    @barghashbinsaid9414 2 ปีที่แล้ว +4

    A alaikom 60 AD kulikua na mfalme WA asili yake ya Yemen kwenye kisiwa chi itwacho RABTA kiko karibu na Zanzibar hii kisiwa kilizama mbona wasema waarabu walingia Karne ya nane semeni ukweli

  • @loubshauri6298
    @loubshauri6298 3 ปีที่แล้ว +1

    Sio Lugha ya ki Amu Bali ni Lugha ya Kibajuni ustadh wetu

    • @stambuliwash.abdillahinass8123
      @stambuliwash.abdillahinass8123  3 ปีที่แล้ว

      Kiamu, Kipate, Kitikuu na kadhaalika, ni lahaja tafauti kama vile Kimvita, Kimrima, Kitumbatu na kadhaalika kuwa ni lahaja za Kiswahili pia.

    • @fikafikan8484
      @fikafikan8484 ปีที่แล้ว

      Ni lugha ya kiamu sio kibajuni mbajuni wanao luga zao tafauti kama warasini waongea kirasini wasiu waongea kisiu hazilingani na kizingitini lugha ya kiswahili chimbuko lake ni amu ama lamu

    • @fikafikan8484
      @fikafikan8484 ปีที่แล้ว

      ​@@stambuliwash.abdillahinass8123sawa sawa star tumekuelewa

  • @user-iv8kq3do6g
    @user-iv8kq3do6g 7 หลายเดือนก่อน

    Sh. Abdul Latif maelezo yako yote yanahitaji marekebisho

  • @mahmoudshallo9138
    @mahmoudshallo9138 3 ปีที่แล้ว +1

    Mabruk Mjomba

  • @jumakibula4851
    @jumakibula4851 3 ปีที่แล้ว +2

    Lugha al Sawahiliya

  • @jkizondoswahilibites434
    @jkizondoswahilibites434 ปีที่แล้ว +1

    Kweli desturi nyingi zimepotezwa na maadili pamoja na Kiswahili kimepotezwa 😢

  • @khamismaulid6839
    @khamismaulid6839 7 หลายเดือนก่อน

    Na maneno ya kihindi kibao mfano pesa, gari, serikali,lakini, laki,champali na mengi tu

  • @user-iv8kq3do6g
    @user-iv8kq3do6g 7 หลายเดือนก่อน

    Pia kudai kuwa Waarabu waliingia Karne ya name SI sahihi. Waarabu wako Mwambao wa Afrika Mashariki tangu na kabla ya zama za Queen of Sheba (Malika Saba) wa Yemen ambaye utawala wake ulifika Hadi East Africa naye Queen of Sheba sliishi zama za Nabii Sulaiman. Wabantu wamekuja mwambao as recently as Karne 5 tu zilizopita

  • @fatmaali2050
    @fatmaali2050 ปีที่แล้ว +1

    Hapo mulipozungumza kuna maneno kibao au tele au mengi ni ya kiarabu kama sheria(shar ia)lakini (lakin) madhubuti ,mila,milla nakadhalika, subiri,sauti-swauti hivo haiepukiki lugha ya kiswahili na kuingia maneno yakiarabu

    • @stambuliwash.abdillahinass8123
      @stambuliwash.abdillahinass8123  ปีที่แล้ว +1

      Kwa hakika, kwanza, ni muhimu ieleweke kuwa maneno uliyoyataja yamo kwenye lugha ya kiswahili kutokana na uhusiano wa karibu zaidi wa lahaja/ndimi husika na hiyo lugha ya kiarabu- na uzoefu huu unatokana zaidi na hali ya kuwa Waswahili na Waarabu wameowana na kuzaana kwa muda mrefu sana tangu walipokutana kwa mara ya kwanza miaka zaidi ya elfu mbili iliyopita.

    • @fatmaali2050
      @fatmaali2050 ปีที่แล้ว

      @@stambuliwash.abdillahinass8123 vizuri umeeleza mzee wangu lkn umeyaona hayo maneno

  • @barghashbinsaid9414
    @barghashbinsaid9414 2 ปีที่แล้ว +1

    Mbona mwakimbia kimbia kama ni ya kiswahili maneno ya kiarabu ni mingi 70 percent semeni ukweli

    • @fikafikan8484
      @fikafikan8484 ปีที่แล้ว

      Sema ww ukweli luga ya kiswahili chimbuko lake ni ki amu lamu

  • @feisal6592
    @feisal6592 ปีที่แล้ว

    Yes walikuwekio lungs ya kiswahili ni mchaganyiko wa muarbuu mijikenda itamareji ndio akapatikana mswahili oky

    • @fikafikan8484
      @fikafikan8484 ปีที่แล้ว

      Urongo kiswahili chenyewe kimetoka lamu asli yake kabla ya mtume s a w kuja na wadigo walikua hawajakuja kenya mdigo mumekuja juzi tu wakati mukipijana na waorma ama wagala sasa utasemaje kiswahili kimetokana na warabu na wadigo huo ni urongo kiswahili kiko kabla ya mdigo kuja na muarabu asili ya kiswahili ni lamu

  • @yahyashee4857
    @yahyashee4857 ปีที่แล้ว

    MIMI NAAMINI KISWAHILI NI LUGHA YA WATU WOTE KATIKA AFRIKA MASHARIKI AMBAPO HUZUNGUMZWA HADI CONGO NA MOZAMBIQUE, KISWAHILI HAIEZI KUWA KABILA.

    • @stambuliwash.abdillahinass8123
      @stambuliwash.abdillahinass8123  ปีที่แล้ว +1

      Kwa hakika, hayo ni maoni yako (binafsi) na muhimu yahishimiwe. Hata hivyo, nami naamini 'Kiswahili' ni lugha ina wenyewe ambao ni 'Waswahili'- wala hili sina shaka nalo kabisa! Na, naweza kukuthibitishia papa hapa. Kwa mfano, iwapo wewe waamini hivyo ulivyosema, basi hebu nifafanuliye haya maneno yafuatayo;
      Washika sichi na sichi, sichi ndicho, sichi sicho
      Wala kimoja hulichi, tukajuwa upendacho
      Watenda mawi huyachi? Moyo huutii kicho?
      Muata-kiwi hanacho, na chema kimpotele.
      Au, ukipenda, tafsiri shairi hili:
      Mbwene Shumndwa na mbuzi wachandamana pamoya
      Na kuku mke na Kozi, wana wao wachileya
      Na mtu msi maozi akionya watu ndiya
      Hayano si kusikia, niwene kwa mato yangu

  • @user-iv8kq3do6g
    @user-iv8kq3do6g 7 หลายเดือนก่อน

    Kwanza Kwa mujibu wa maelezo yako Waarabu wamekikuta Kiswahili. Hili si sahihi kwani basically kiswahili kimeundika kutokana na kibantu na kiarabu. Hii ni kusema kabla ya kukutana Waarabu na wabanti Afrika Masharika Mwambao; hakukuwa na kiswahili.
    Pili kusema kuwa kiswahili kimeundika kutoka katika lugha nyingi - kipemba kipate kiamu nk. Pia ni mushkeli kwani kwani hakuna historia kwamba Sehemu hizi zilikuwa na lugha tafauti Bali zilikuwa na lahaja tafauti tu - lugha moja.
    Na yako mengine mengi ya kujadiliwa katika maelezo yako.

    • @stambuliwash.abdillahinass8123
      @stambuliwash.abdillahinass8123  7 หลายเดือนก่อน

      Kwanza, katika kukujibu, nami (kwanza) naanza kwa kuuliza kuwa kwa nini jina lako walifita?! Pili, jawabu yako haina hujja ya ufafanuzi mzuri wa kiilimu kwa kuwa hujafafanuwa Waarabu unaokusudia kuwa walikutana na Wabantu ndipo kukapatikana Waswahili ni Waarabu gani, na wakutoka wapi! Na, kosa hili hufanyika mara nyingi kutokana na mtu kukubali kuwa 'kasuku' wa aliyofunzwa skuli tu... yaani, mtu kukubali (bila kufanya utafiti zaidi) mambo aliyofunzwa skuli alipokuwa mtoto mdogo! Tatu, nimeuliza ufafanuzi wa huyu Muarabu munayemnasabisha na timbuko la Waswahili kwa kuwa kuna Waarabu wa Yemen, Iraq, Syria, Saudia na kadhalika, ambao Waswahili walIkuwa wakifanya nao biashara kabla ya kuvamiwa na Wareno (Portuguese) na kutawaliwa ki-nyama sana kwa muda wa miaka mia mbili mfululizo kabla ya kuona dharura ya kwenda kuomba msaada nchini Oman ili waje kutusaidia kuwaondowa hao Wareno huku kwetu. Sasa, tafadhali, hebu fafanuwa hili la Waarabu kwanza. Kisha, hebu eleza wewe hao Wa-Bantu unaoitakidi walikuwako huku kwenye Mwambao wa Pwani kabla ya Waswahili ni Wa-Bantu gani?! Baada ya kupata jawabu ya ufafanuzi wa mabo haya niloyaeleza ndipo nitakaporudi kuendeleza huu mjadala. Ahsanta.

  • @feisal6592
    @feisal6592 ปีที่แล้ว

    Zamani ilikuwa ukiitwa mvita badari mvita

  • @feisal6592
    @feisal6592 ปีที่แล้ว

    Pia sababu kubwa yakuona wataliano wakihama makindi

  • @feisal6592
    @feisal6592 ปีที่แล้ว

    Makindi na maulidi wakwanzaa kwakutumiya hawataki maulidii

  • @feisal6592
    @feisal6592 ปีที่แล้ว

    Ndio nika mchagua zaitunii ndio mswahili mwezagu

  • @yahyashee4857
    @yahyashee4857 ปีที่แล้ว

    MIMI HUWA NASHANGAA NIKISIKIA MTU ANASEMA KUWA YEYE NI MVITA AU MJOMVU, HIVI STAMBULI WEWE NI KABILA GANI?

    • @stambuliwash.abdillahinass8123
      @stambuliwash.abdillahinass8123  ปีที่แล้ว +2

      Mimi ni Mswahili Mkilindini, ukoo wa Mwinyi Nguti wa Mwinyi Mwinzagu, mlango wa Mwinyi Matano.

    • @yahyashee4857
      @yahyashee4857 ปีที่แล้ว

      NAAMINI LUGHA YA KISWAHILI NI LUGHA YA WENGI NDIO MAANA INAZUNGUMZIWA NA NCHI NYINGI NA NCHI HIZO ZIKO NA KABILA ZAO. KISWAHILI TUNAKIZUNGUMZA SOTE ILA TUNA MAKABILA YETU.

    • @stambuliwash.abdillahinass8123
      @stambuliwash.abdillahinass8123  ปีที่แล้ว +2

      @@yahyashee4857 kwa hakika, lugha ya Kiswahili ina wenyewe wajulikanao kuwa ni Waswahili isipokuwa, kwa ukarimu wao (hao Waswahili) wameisambaza lugha yao kutokana na kufanya kwao biashara pamoja na kuawiliana na watu wa maeneo hayo tafauti waliyofanya biashara nayo ndipo hata wakaweza kuowana na watu wa huko hadi kuweza kueneza lugha hiyo kwa muda huo wa uhusiano wao (Waswahili) na watu hao (wa kabila nyengine). Na, dalili moja ni kuwa Waswahili hawana lugha nyengine isipokuwa hiyo ya Kiswahili, lugha yenye lahaja zisizopunguwa 12!

  • @barghashbinsaid9414
    @barghashbinsaid9414 2 ปีที่แล้ว

    Sheikh SEMA ukweli kuhusu hao unaosema ni waswahili ni nani na ni nani au antokana na nani mbona

    • @stambuliwash.abdillahinass8123
      @stambuliwash.abdillahinass8123  2 ปีที่แล้ว +1

      Kwa hakika, kweli ni hii nnayokwambia hapa kwenye kanda hii. Na, huyu ninayezungumza naye wamjuwa ni nani! au, kwa sababu zisizoeleweka, wataka kushindana tu na wala huna ujuwalo?!

    • @-xm6qj
      @-xm6qj ปีที่แล้ว

      Washungwaya

    • @-xm6qj
      @-xm6qj ปีที่แล้ว +1

      Washungwaya ama wangozi.... Ndio lugha ya Kwanza ya Kiswahili inayo zungumzwa Sana na wa amu. Ndio maana muamu Hana herufi ja Bali ni ya. Kando na hapo mijikenda hawavai miaka zaidia ya miatatu ufuoni... Mijikenda wote walipo kuja walipata washungwaya ama wangozi ambao ndio waliowakaribisha... Hamna mswahili anaye jua kimijikenda na wamijikenda asili hawakijui Kiswahili. Waduruma asili wanazungumza kiduruma, wadigo, wachonyi, wataita wagiriama wote wanaoishi mashambani haswaa hawajui kiswahili

    • @fikafikan8484
      @fikafikan8484 ปีที่แล้ว

      ​@@-xm6qjkiswahili chimbuko lake ni amu kweli kabisa ndio kikanza kueneya kila sehemu na kiswahili kilikua kiko kabla ya mtume s a w hajazaliwa na ushahidi tafuta video ya mohammed al baidh utapata history safi