Je, chimbuko la Kiswahili ni Kenya au Tanzania

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ก.ย. 2024
  • Wapo wanaosema chimbuko la Kiswahili ni kaskazini ya pwani ya Kenya, kuwa kilitokana na Kingozi, wengine wanashikilia kuwa kwa kuwa msingi wa Kiswahili sanifu ni Kiunguja, basi kitovu cha Kiswahili cha sasa ni Tanzania. Sikiliza mitazamo mbalimbali katika video hii. ‪@eastafricankiswahilicommis2339‬ ‪@markazswalihinal-islamymom2745‬ ‪@barazalavijanawilayayawete8158‬

ความคิดเห็น • 1

  • @AllanKaita
    @AllanKaita 13 วันที่ผ่านมา

    Kiswahili ni lugha ashirafu tamu na adhimu toka Lamu twavyofahamu