@@fatmakiruwasha2378 yaani bado sijakuelewa kwa Nini unamkandamiza hivyo huyo mwanamke. Au wewe ni ndugu yao wa karibu kuwajua vzr? Ila Kama Ni wa mtandao Kama Mimi ungesubiri kusikia na upande wa mwanamke ndio utoe maoni yaliyo sahihi
@@ilovejesus9303 Kumbuka mchepuko siyo jibu la matatizo ya ndoa. Km stamina ndio mwenye matatizo kwenye ndoa, mwanamke alitakiwa aende kwa wazazi wa stamina au wazazi wake akaongee hayo matatizo, kisha utaratibu wa kuvunja ndoa ufanyike. Ila kwa hayo aliyofanya mwanamke ya kukimbilia kwa mwanaume mwingine wakati bado yupo kwenye ndoa siyo sawa. Anagombana na mume wake anakimbilia kwa mchepuko. Anaenda kwa mwanaume mwingine halafu mume wake anajua kila kitu. Mwanamke alikuwa na jambo lake. Endapo stamina angekuwa na matatizo, mwanamke angerudi kwao, kisha mpango wa taraka ungefanyika then ndo angefanya hayo aliyoyafanya.
Stamina wee ni mwanaume kamili!!! Uwezo wa kufunguka wanaume wengi hawananga, ndo maana wengine wao wanakufa na depression ndani ya nyumba . Kudos Stamina, that is the way to a total healing
Pole sana stamina kuwa na moyo wa uvumilivu hiyo yote ni njia moja wapo ya maisha jtahid sana kumwomba mungu atakusaidia katika maisha yako sote tumepitia katka situation hyo daaaa inauma sana pole sana kaka ya mungu mengi kikubwa zidi kumwombea maisha marefu huko aliko ili azid kujua alipokosea ni wap
Nilichohofia ni kama stamina angekuwa ameudhika na comments za ROMA ila yeye mwenyewe amekiri yaleyale ambayo msimamizi wa ndoa aliyoyasema na kwamba ana mapungufu mengi Ila blaablaa etc..Amani sana team kijiwe nongwa. Nakupenda sana ROMA na nnasema Asante sana ndugu Stamina kwa kuwa mtulivu na kumwelewa bro. Wanawake mjifunze kubalance mambo msichukulie personal tuu na kuongelea mambo ya ndani kwa watu wa nje, mara nyingi walio nje ya ndoa yenu wanasubiria mgombane ili wawachukue au wawatenganishe. Kaeni mtatue mambo. Na wazazi pia mjifunze ktk hili, mmeona hapo alichofanya shangazi, alichemka!! #Nawaombea AMANI!!
1.Stamina 2.Adam 3.Dozeen Mko sahihi kuhusu mabeste lakin nendeni SNS mkasikilize full interview ya mwanamke afu muunganishe na hio story ya xxl mlofanya na mabeste nadhan mtaelewa
Dah hata mimi nilifunga ndoa bira kumjua ikatokea akiwa na ujauzito wa miezi 5 nilikuja kumfumania kalala na mwanaume mpaka asubuh mungu anazidi kunipa nguvu
hussein masito kweli kaka jamaa anaona kama joking ngoja na yeye yamkute au kama sio yeye Dada yake ,au familia yake .maana namuona anamuona jamaa kama Mtu flani hivi anatafuta kiki.!
Bro usichojua ni kwamba kila kipindi chenye watangazaji zaidi ya mmoja basi kila mmoja ana content yake... usifikili kila mtu atakuwa upande wa Stamina... wapo mashabiki wa simba watapingana nae na mwakilishi wao studio ndo Mchomvu. Simpleee
@@euvassammy8537 broo wakati wowote jua kua tuko tofauti kama vidole kuna wenye tunaelewa na kuna wenye hatuelewi mwisho wa siku maisha ya shonga mbele
Stamina umekanyaga pabaya ndugu Kabila hiyo yakinyarwanda sio ni watu wamaajabu Mambo yao hawanaga utulivu n'a niwabagusi hâta huyo mchezaji wasimba nae ajiandae lazima ataumia tu Siku moja sasa wewe mshikuru mungu tu kaokoa maisha Yako ulioa babaya bahati tu ukuzaa nae mungu atakusaidia pole sana
This is amongst interviews that arouses emotions of every serious person in love wheither your married or not. Never give up Mr Boneventure and I give upper hand XXL in clouds now the entire society should learn something about love.
Daaaaaahh aisee bro anamoyoo sanaa.. kwa ninavo jijuwaa roho yangu huyo dem angenikumbuka hata kwa makovu. Uwezi ukanitia uchungu moyon mwangu bila sababu zisizo za maana kama angekuwa hataki angesema tu mapema ili niishi nae kwa tahadhari..
Bravo yo men Boniventure hawa wanawake kama ilivo kawahida hawajawahi kuridhika sio kimapenzi tu kila upande so kigumu wakileta usengerema unajikataa unapiga michongo yako maisha yanaendelea
Andree#254 hapa...bro stamina....yaliokupata yashanipata...na chamuhimu brother ukishajijua huwa poa sana ki afya na kimaisha sababu wengi huwa hawataraji kama mume anaweza akapitia mateso kindoa kisa mke.picha halisi huwaficha wake ilihali machungu mume anayoyapitia huwa sumu sana.ni heri tu kila mtu ashike njia yako ya maisha kwasababu mikasa kama hi ya kindoa suluhisho bora kuachana tu....
Nilichongundua ktk ndo ya stamina ni kuchet ana kwa kukomoana... APO inaonyesha dhahiri stamina alimchet mke wake na mke nae akaona bora alipize kisasi kwa kumchet na yy Tena kwa x wake WA zaman.... Km mwanamke aliamua kuolewa na stamina inamaa aliamua kuachana na Kila kitu ktk maisha yake... Hakuna kitu kinauma km umeamua kuwa na mtu na ukamua kuachana na kila kitu ktk maisha yako alfu baada ya ck mtu yule yule anakuona c lolote c chochote kwake na anamua kukuchet... Kwa mwanamke mwenye BUSARA Hawezi lipiza kisasa hutulia na kuangalia hatima ya ndoa yake... Sasa mke WA stamina alikosa busara na stara ktk kipi cha matatizo ya ndoa yao na yy akamua kulipiza kisasi ndio haya yanayomkuta now anaonekana Malaya msaliti na anashindwa kujitetea kwasababu tayar ameshafuliwa ila km angejistir akamua kuwa Kimya Leo hii na yy angekuwa na mengi ya kusema kuhusu mumewe.!
Pole broh kwa maswahibu dar nimeku si Kiliza sana noma sana wanawake mmh Ndomana huaga wenye miyoo mepesi Wanafanya unyama mkubwa sana pole Naic hutamani tena kwa sasa kuhoa kaka umefunguka kinoma yani
Yes!!bro nimekukubali kwan umeongea kiume@mwenzi wako akizungua aijilishi awe ke au me mnapigana vibuti afu maisha mengine yanaendelea kwan maisha hayahitaji stress
Stamina hili Ni SoMo kwa sisi wanaume kweli yawahenge panapokupa utamu ipo siku patakupa uchungu tue teli kuavumilia Kisha kuyatatua kilohosafi pasipo madhara yoyote Asante Sana
Pole Sana Stamina, Ila ulipo mtongoza huyo mwanamke alikuwa bado na uhusiano na x wake Ila walikuwa na migogoro ndo Mana alikubali kuolewa nawe, Ila mkeo anampenda Sana x wake kuliko ww, ulipo muoa alikuwa tayari kashagombana na x, alipo kuwa ndani ya ndoa walikutana wa kayamaliza wakakubaliana wa tembee kwa Siri, ila mwanamke ni Kama mtoto mdogo kashindwa Siri kwa kua kapenda Sana x wake,nakushauri Stamina mpotezee kabisa usimtafute asikutafute, ukiendelea naye atakuletea mimba ya msela.maoni yangu tu na muono wangu.
@@sir_ENOCKMACHA mi mwenyewe nishaumizwa sana.na ao waume..ata sina amu nao..eri niwe single nisubiri kufa...Yani tuseme dunia hii ya sasa wake Kwa waume wabaya..ukipata mzr mshukuru mungu Tu
Sio kuingia kwenye ndoa tu mkiwa kwenye mausiano inauma sana usiambiwe hiki ndicho kinanifanya niwazalau wanawake sana.......sababu ni watu ambao awajielewi....sio wakuwamini na kunyanyaswa kwa wanawake akuta isha hivo yan mm nais ndio mwanzo.....yani yote ayo yalikua n kutafuta sababu mbwa uyo tena mkaushie hatakukumbuka stamini kitakuja kupiga simu chenyewe usiwaze....mwanamke kama nyigu yani we chukulia ulikua mpira unachezwa na wengi achana naye mamae zake...ulivumilia sana kuingia wakati katoka kutumbwa walai mwanangu ulimkubali sana ulisha kuwa boya wa mda....nakupa ongera kutoka kwenye kifungo
@sitamina pole sana ndowa ndowana piga chini twnzetu. Ila unaonekana I'm kutach sana pole brother 😍😫😫 some time adamu chomvu upunguze bang brother is too much, kama ume amuwa kuwa comedy u2 ambie you are brother lakin some time unazingua 🎤🎤🔊
Nilichogundua yule demu hakukupenda kabisa stamina demu hakukupenda kabisa na ndomaana ndoa imevunjika haraka pole sana bro
Je kama na Stamina alikuwa na shida zake wakashindwana?
Kaka yangu mwamke ndiye am aye Hana adambu
@@fatmakiruwasha2378 yaani bado sijakuelewa kwa Nini unamkandamiza hivyo huyo mwanamke. Au wewe ni ndugu yao wa karibu kuwajua vzr? Ila Kama Ni wa mtandao Kama Mimi ungesubiri kusikia na upande wa mwanamke ndio utoe maoni yaliyo sahihi
@@ilovejesus9303 Kumbuka mchepuko siyo jibu la matatizo ya ndoa. Km stamina ndio mwenye matatizo kwenye ndoa, mwanamke alitakiwa aende kwa wazazi wa stamina au wazazi wake akaongee hayo matatizo, kisha utaratibu wa kuvunja ndoa ufanyike. Ila kwa hayo aliyofanya mwanamke ya kukimbilia kwa mwanaume mwingine wakati bado yupo kwenye ndoa siyo sawa. Anagombana na mume wake anakimbilia kwa mchepuko. Anaenda kwa mwanaume mwingine halafu mume wake anajua kila kitu. Mwanamke alikuwa na jambo lake. Endapo stamina angekuwa na matatizo, mwanamke angerudi kwao, kisha mpango wa taraka ungefanyika then ndo angefanya hayo aliyoyafanya.
Ukiona ndoa imedumu jua mmoja kajigeuza bwege
Nakukubal since i new you stamina,,,Kama unamkubal stamina toka kitambo,,like hapa nkuone👇
Pole sana stamina...wewe ni zaidi ya mwanaume 😍😍😍😘😘mungu atakubariki sana
Cyno Baby mtu Akiwa zaidi ya Mwanaume anakuwa nani huyo tena?
achawehu nizaidi ya mumeo sio ya wanaume kosoa kauliako
Jumanne Khalifa ok
Unaongea kihisia pole sana kakangu
Gonga like kma unamkubali stamina
Stamina wee ni mwanaume kamili!!! Uwezo wa kufunguka wanaume wengi hawananga, ndo maana wengine wao wanakufa na depression ndani ya nyumba . Kudos Stamina, that is the way to a total healing
Ila si kutangaza in public that's why babu na bibi zetu walidumu mpaka sisi tukawaona
@@maanohassan5579 hukuwaona babu na bibi kwa public maana hakukuwa na media. Kungekuwa na media tungewaona tu. Tunaenda na wakati bro
Maono hujielewi!! Kabla hajaaondoka stamina alikuwa kimya sasa keshavunja unasema anyamaze asivunje ndoa!!??!
Pole sana ,ndio dunia ilivyo
da! inauma pole sana Stamina jipe moyo utapata mwingne huwez jua Mungu kakuepusha na nini kutoka kwa huyo mwanamke
Hawa machoko wa clouds sipend interview zao story za kisenge na kudisi kama umeona hiyo tia like hapo chn
Akil ndogo san wew
Hasa huyu BiDazen.
Like yanini ww
Wanaume mtakufa kwa kukaa na vitu moyoni, muongeee jmn... Hongera kwake stamina
HAPA ANGEPATA WATANGAZAJI SIRIOUS TUNGEIENJOY SANA KUSIKILIZA LAKINI WANAFANYA MAUTANI HAIJAKAA POA ' HUYU DADA HAKUMPENDA STAMINA MUNGU ATAKUPA CHAGUO LAKO
Lili Ommy anaweza kuinogesha hii interview
Zamda Kimaro @kweli kabisa
Uyo dem hajakupenda mdoqowangu,anaekupenda anakueshim, uwenda huyodem ulimpata kwenyeshoo
STAMINA PUMBAVU HIYO INTERV,U WALIKULIPA BEIGAN? MBONA UMELAP SANA, ATAHAPO ULIPO STUDIO UENDA KUNAMCHEPUKO WA DEMU WAKO NDOMANA HAO MANIGA WANACHEKASANA,
Zamda Kimaro Angekua millad ayo
❤❤sending love from kenya brother mwamba siku zote
Mtangazaji adamu unaboa sana broo kuna interview za matani na seriuosly
Utoto mwingi
Kabisaa anaboaa...
Umeona yan dar angeenda kwa milard ayo tunge enjoy
Bangi nyingi Adam..
Bangi nyingi
Hy Adam msenge sana mzaha wakideyuth pumbavu sana
Duuh xo hurts end pain kiukweli, Mungu akuongoze Sana bro hawa watu nlishakataa kuwaamn kbsa Mungu anisamehe tu.
Pole sana stamina kuwa na moyo wa uvumilivu hiyo yote ni njia moja wapo ya maisha jtahid sana kumwomba mungu atakusaidia katika maisha yako sote tumepitia katka situation hyo daaaa inauma sana pole sana kaka ya mungu mengi kikubwa zidi kumwombea maisha marefu huko aliko ili azid kujua alipokosea ni wap
achana nae kaka angu ipo Siku ataikumbuka ndoa wengne wanalilia ndoa ye anapata ndoa anaichezea wako yupo uyo alikua daraja be hero
umenichekesha eti watu wanalilia ndoa!! seriously!!hahaaaaa wanawake wa mikoani hao watakua hahaaa
Kweli
Haswaaaaa atampata wa kucop nae
Nilichohofia ni kama stamina angekuwa ameudhika na comments za ROMA ila yeye mwenyewe amekiri yaleyale ambayo msimamizi wa ndoa aliyoyasema na kwamba ana mapungufu mengi Ila blaablaa etc..Amani sana team kijiwe nongwa. Nakupenda sana ROMA na nnasema Asante sana ndugu Stamina kwa kuwa mtulivu na kumwelewa bro.
Wanawake mjifunze kubalance mambo msichukulie personal tuu na kuongelea mambo ya ndani kwa watu wa nje, mara nyingi walio nje ya ndoa yenu wanasubiria mgombane ili wawachukue au wawatenganishe. Kaeni mtatue mambo. Na wazazi pia mjifunze ktk hili, mmeona hapo alichofanya shangazi, alichemka!!
#Nawaombea AMANI!!
1.Stamina
2.Adam
3.Dozeen
Mko sahihi kuhusu mabeste lakin nendeni SNS mkasikilize full interview ya mwanamke afu muunganishe na hio story ya xxl mlofanya na mabeste nadhan mtaelewa
Mwenyew nimeskiliza sana
Nakukubali sana 🕴🕴STAMINA🕴🕴 since day one
HII MAMBO IMETUPATA WENGI TU SEMA WANAUME TUNA KAWAIDA YA KUWEKA MOYONI HONGERA STAMINA
Na kuweka moyoni ni hatari sana. Bora useme
Sanaa wahanga ni wengi sana ktk wanaume ila tunavumilia tu
Pole sana kaka
Hata Mimi nimuhanga hakiyamung
Haaaaa duu shoo ndg zarau stamin
Kutoka Bujumbura Burundi''''Stamina pole sana
Mademu noma sana
Dah hata mimi nilifunga ndoa bira kumjua ikatokea akiwa na ujauzito wa miezi 5 nilikuja kumfumania kalala na mwanaume mpaka asubuh mungu anazidi kunipa nguvu
M ningemfira huyo mwanaume kweli aone Kama vizur
@@mtmatk5093 duuu kumfira ten mwamba
@@mohamedmuhajiri8348unajua inaumaa
Du umenikumbusha ata mimi jaman ilikuwa hivyo😭😭😭
@@gracemalatwe6064 ulifumaniwa
Kama hauja mjua uyo dogo wa simba gonga like apa zikifika 25 naachia
Adam hua unachkulia vitu simple una utoto flan hv unayumbaaa
Si utoto tu kwa Adam na mibangi pia inamyumbisha..
Adam we n msenge sanaa inamaan we unaon hy issue n ndg xanaa
yaan wako km watoto vile wameboa kweli kweli
Haendan na hii show
Sio utoto bhana ananogesha kipindiii
Pole sana kaka stamina, na mimi pia niliumia from mozambique
Adam try to behave with respect sometimes no jok
hussein masito kweli kaka jamaa anaona kama joking ngoja na yeye yamkute au kama sio yeye Dada yake ,au familia yake .maana namuona anamuona jamaa kama Mtu flani hivi anatafuta kiki.!
Hii game lazima ucheshi ili refresh mind hope umeelewa
Bro usichojua ni kwamba kila kipindi chenye watangazaji zaidi ya mmoja basi kila mmoja ana content yake... usifikili kila mtu atakuwa upande wa Stamina... wapo mashabiki wa simba watapingana nae na mwakilishi wao studio ndo Mchomvu. Simpleee
@@euvassammy8537 broo wakati wowote jua kua tuko tofauti kama vidole kuna wenye tunaelewa na kuna wenye hatuelewi mwisho wa siku maisha ya shonga mbele
hussein masito sure sometimes aangalie emotional za mtu
Da,yalinikuta haya. Nimefanya kipindi EATV cha DADAZ tittle "Baada ya Kuachwa" , i know how Boniventure is feeling...
Nnt
Na ww ulipitia Kama ya stamina au
Kweli mambo ya wanawake ni nachungu sana
Poleeee
Baraka KINGS Music
Una bahati stamina maana ungeitwa baba jina . wenye watoto wangekua wengine
Pole sana Stamina, hayo ndiyo maisha.Kukosea si kosa bali kurudia kosa, take care brother!
Baba Ang stamina unatupa gundu sisi Simba tangu umetutaja ushindi umekua shughuli 🛑🛑
FineBOY TV hahahaha
Hahah
🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😅
Bora angemtaja wa Yanga
Pole kaka umejifunza sasa mungu akupe moyo subra utapata wa kufanana nae
This was emotional interview I Wonder watangazaji mna mcheka Cheka, na kuleta matani yasofaaa jifunzen kwa zamarad
Kwel hii interview ilikuw iwe kwa zamarad...ingekuw very emotional
Yani stamina angetoa machoz
Huyo Adam fala kweli
Stamina umekanyaga pabaya ndugu Kabila hiyo yakinyarwanda sio ni watu wamaajabu Mambo yao hawanaga utulivu n'a niwabagusi hâta huyo mchezaji wasimba nae ajiandae lazima ataumia tu Siku moja sasa wewe mshikuru mungu tu kaokoa maisha Yako ulioa babaya bahati tu ukuzaa nae mungu atakusaidia pole sana
nikimaliza kipind narudi kwenye ngoma. "asiwaze"
Kweli mwana inaumaa kinyamaaa
Komaa na hal yako wanaume tunakufa kwa ajl ya kubeba mambo meng sana huo pia n ugonjwa big up sana ujumbe umeeleweka
Stamina take time God will reward you mob love from🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
This is amongst interviews that arouses emotions of every serious person in love wheither your married or not. Never give up Mr Boneventure and I give upper hand XXL in clouds now the entire society should learn something about love.
I salute wach yu say
Pole sana broo stamina mungu atakuletea Wa kwako atakae kukusamini na kukujali
Daaaaaahh aisee bro anamoyoo sanaa.. kwa ninavo jijuwaa roho yangu huyo dem angenikumbuka hata kwa makovu. Uwezi ukanitia uchungu moyon mwangu bila sababu zisizo za maana kama angekuwa hataki angesema tu mapema ili niishi nae kwa tahadhari..
Pole sana Stamina. Eenyi wanawake mnapokubali kuolewa na mkubali kuvunja mahusiano yenu ya nnje, haijalishi yalikua kabla.
Stamina is HUMBLE. ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
you can't tell until you know him well....mimi hawa waongeaji maarufu hawa siwaamini...ingawa amejitahidi kujieleza na kujitetea
Very humble
Pole sana bro..utapata mwingine wa maisha yako
halafu ADAM MCHOVU unafanya maujinga na mautani hata katika issues serious , punguza jombaa tafadhari
Kwa kweli kabisa
Pole kaka Mimi nipo kwenyee ndoa miaka mitano bado nipo shule
Nipigie kupitia hii nikupe dawa yake 0629204606
Deborah Justine Rwambogo I feel sorry for him, much respect to stamina
uyo c kichaa we unazan bangi nzur
Bravo yo men Boniventure hawa wanawake kama ilivo kawahida hawajawahi kuridhika sio kimapenzi tu kila upande so kigumu wakileta usengerema unajikataa unapiga michongo yako maisha yanaendelea
Dah hizi mambo zipo san sema tu wengi wanakufanayo moyoni,,Ur humble STAMINA umewasemea wengi
Andree#254 hapa...bro stamina....yaliokupata yashanipata...na chamuhimu brother ukishajijua huwa poa sana ki afya na kimaisha sababu wengi huwa hawataraji kama mume anaweza akapitia mateso kindoa kisa mke.picha halisi huwaficha wake ilihali machungu mume anayoyapitia huwa sumu sana.ni heri tu kila mtu ashike njia yako ya maisha kwasababu mikasa kama hi ya kindoa suluhisho bora kuachana tu....
mwanangu STAMINA be strong bro, aliyokufikiya is just an experience and made you to the next level...
Stamina yuko real saana like zake bas
Adam siku nyingine acha upuuzi wako wa masiala kwenye mambo ya msingi
😂😂😂
Natamani hii interview Ange ifanya millilard ayo Inge noga Sana
Umeonaee yan hawa wajinga makelele tu🥴🥴
Zuhura Abiki Tungeelewa kila kitu hawa wapiga kelele darasani
@@sekelamwangosi3289 yaaan hawajauliza hata maswali ya msingi Mara interview imeisha Wana kera sana
@@veronicadaniel1122 Sana tu saa wamepiga kelele mpk interview imeisha jamaa bado ana endelea kufunguka
Umeona eheee Zuhura
Pole xna bro stamina but mungu atakupa kitakachokupendza but I love u
Kama ulikuwa umesubiria vc note ya mchezaji.......like tujuane
Stamina anaongea kwa hisia Sana, inauma Sana
Ngomaa kali sna nmeikubli mbyaa big up stamina ww mwanaume shujaaaàaaaa nmelewa ulicho imbaa
Stamina we ni mwamba..✊✊ umefunguka kiume kaka..Respact sana jombaaah..👊
Sure pole Sana stamina sema ndoa za Christian kidgo Zina mashaka pole broo
Mzee wa stamina me nimemkubali kwamba tuliaa kaa kunywa soda 😂😂😂😂 acha maisha mengine yaendeleee stamina nakukubali broo
Leo ndo nimekuelewa kaka pole sana huwez jua mungu kakuepushia nn wa kwako yupo
Much respect kwako mluguru mwenye msimamo big up kaka
Huyusio.mlugulu nimhehe full uluguluni aliishi tu due life stuation
Nimerudia KUANGALIA hii interview aseee ni noma wakuuuuu
Yani kila nikimuona stamina nakiona kidumu changu zuberi( Zubu) yani dah 😃😘
Hhhhhh fet ww
Nilichongundua ktk ndo ya stamina ni kuchet ana kwa kukomoana... APO inaonyesha dhahiri stamina alimchet mke wake na mke nae akaona bora alipize kisasi kwa kumchet na yy Tena kwa x wake WA zaman.... Km mwanamke aliamua kuolewa na stamina inamaa aliamua kuachana na Kila kitu ktk maisha yake... Hakuna kitu kinauma km umeamua kuwa na mtu na ukamua kuachana na kila kitu ktk maisha yako alfu baada ya ck mtu yule yule anakuona c lolote c chochote kwake na anamua kukuchet... Kwa mwanamke mwenye BUSARA Hawezi lipiza kisasa hutulia na kuangalia hatima ya ndoa yake... Sasa mke WA stamina alikosa busara na stara ktk kipi cha matatizo ya ndoa yao na yy akamua kulipiza kisasi ndio haya yanayomkuta now anaonekana Malaya msaliti na anashindwa kujitetea kwasababu tayar ameshafuliwa ila km angejistir akamua kuwa Kimya Leo hii na yy angekuwa na mengi ya kusema kuhusu mumewe.!
We adam acha masihara ktk masuala ya ndoa sku nyingine usiropoke ropoke upuuzi wako fara nn
Adam anakulaga matako nn
Charles Blazio 😂😂
@@marynyondo2763 😃😃😃😃😃😃
Adamu boya tyu!
Kweli mwenzake anatoa hisia za maumivu afu yy analeta masihara ngoja yamkute ndio atafyata.
Nimependa hiyo ya mwisho. Ntakaaje mwenyewe miezi 11.😆😆
Napenda sana mtu muwazi hivi. Hufi Haraka.
Clouds media mwambieni Adam awe anatulia anaharibu sana kipindi
Pole broh kwa maswahibu dar nimeku si
Kiliza sana noma sana wanawake mmh
Ndomana huaga wenye miyoo mepesi
Wanafanya unyama mkubwa sana pole
Naic hutamani tena kwa sasa kuhoa kaka umefunguka kinoma yani
Tatizo watu wanamhoji kimasihara ila ndoa ni mtihani ulio mgumu kuliko mtihani wowote duniani
medard peleka ni kwel kabsaa, yaan watangazaj wanachukulia kawaida bila kujuwa jinsi gani mapenzi yanaathiri mtu. Washenzy san Watangazaj
Pole sana bro huyo mke hakufai tafuta pesaaaa
Love clouds 4 ever🔥
Ila Dom hamckiki cku ya 3 Leo jmn
Pole sana bro kiukweli umepitia magumu mno ni jambo ambalo linauma mno
Daaah haya Mambo yasikie kwa mwenzio,yakikukuta sio poa. Binafsi yalinikuta lkn maisha yanasonga mbele na Niko vizuri sana
Yes!!bro nimekukubali kwan umeongea kiume@mwenzi wako akizungua aijilishi awe ke au me mnapigana vibuti afu maisha mengine yanaendelea kwan maisha hayahitaji stress
Pole my dear
Dogo mwana mke usishindane naye ata kizaririsha iyo ndio siraha yao kubwa wana wake wote wapumbavu kasoro mama yangu mzazi
Hahaha yamekukutawewe
yeah tuko wengi mitihani imetufika na maisha tukiondokana na wanaume pia tunakua vizuri ktk maisha mana inakua mikoc sometimes
Pole stamina kutoka south africa ila na sisi atutaowa tuta ishi tu boy friend na girl friend basi
Pole sana stamina DJ mamy naona yanakuingia vizuri mwache aende huyo kwa mchezaji wa simba wa yangu sikumoja atakumbuka mabaya yake
Stamina hao hawasaidii unaendelea kujidharirisha kwenye media,,,pole shukuru Mungu huyo mwanamke hujazaa nae
Me naona mchovu atoke kwenye hicho kipindi anambi ya kixhoga
Stamina hili Ni SoMo kwa sisi wanaume kweli yawahenge panapokupa utamu ipo siku patakupa uchungu tue teli kuavumilia Kisha kuyatatua kilohosafi pasipo madhara yoyote Asante Sana
Kuishi na mtu mzima mwenzio kazii,,,
tena mtu mzima ambae munajuana ukubwani sasa
Sana
Cjui kama nitarudia kuoa tena mimi
@@ntilampebhailankunda8655 😂😂😂😂kwann
@@jasmineshechambo3401 yashanikuta magumu sana!
Pole Sana Stamina, Ila ulipo mtongoza huyo mwanamke alikuwa bado na uhusiano na x wake Ila walikuwa na migogoro ndo Mana alikubali kuolewa nawe, Ila mkeo anampenda Sana x wake kuliko ww, ulipo muoa alikuwa tayari kashagombana na x, alipo kuwa ndani ya ndoa walikutana wa kayamaliza wakakubaliana wa tembee kwa Siri, ila mwanamke ni Kama mtoto mdogo kashindwa Siri kwa kua kapenda Sana x wake,nakushauri Stamina mpotezee kabisa usimtafute asikutafute, ukiendelea naye atakuletea mimba ya msela.maoni yangu tu na muono wangu.
Adam una ufa*la sana kwenye issue serious.
Mpuuzi sana utoto mwingiii
Nikajua nmemsoma pekeangu
Watangazaji mnazinguaaaa bhanaaa . Kaeni kimya kama dozen hapo . Pole stamina
Kuna watu tunatamani ndoa .unapata ji mwanamke kupavu limepata ndoa na mume mtulivu bado Lina chepuka . walah uyo mwanamke atakuja juta
Mnaumiza sana
@@sir_ENOCKMACHA mi mwenyewe nishaumizwa sana.na ao waume..ata sina amu nao..eri niwe single nisubiri kufa...Yani tuseme dunia hii ya sasa wake Kwa waume wabaya..ukipata mzr mshukuru mungu Tu
Halima naomba nitafuta 0685116065 naomba kuongea na ww
@@sudysaidykamonongo7549 INSHA'ALLAH
Ohh pole sana stamina mungu atakusaidia najua kama unapitia wakat mgumu ila mungu yupo pamoja na ww
Dah pole sana broh wangu mmi mwenyewe nimepigwa chini nipo chumbani nimelala naugulia maumivu ya kuachwa inauma sans
😂😂😂😂😂😅mbao zitawaua mwaka huuu
Pole
Muhhh ambeye hayajawahi mkuta ndo ataongea inauma sana jamani sijui kama nitakuja kupenda tena😥😥😥😭
Pole sn
@@salmajuma4015 unaongea tu bhna
pole sana ndugu yangu ulichukua ubavu sio wako sasa mwombe mungu akupe ubavu wako
Adam Embu tulia acha kuropokoa tusikilize interview
Lydia Thadeous anaboa?
Lydia Thadeous anaboa kweli mibangi mingi jitu zima lina zero iq
Sio kuingia kwenye ndoa tu mkiwa kwenye mausiano inauma sana usiambiwe hiki ndicho kinanifanya niwazalau wanawake sana.......sababu ni watu ambao awajielewi....sio wakuwamini na kunyanyaswa kwa wanawake akuta isha hivo yan mm nais ndio mwanzo.....yani yote ayo yalikua n kutafuta sababu mbwa uyo tena mkaushie hatakukumbuka stamini kitakuja kupiga simu chenyewe usiwaze....mwanamke kama nyigu yani we chukulia ulikua mpira unachezwa na wengi achana naye mamae zake...ulivumilia sana kuingia wakati katoka kutumbwa walai mwanangu ulimkubali sana ulisha kuwa boya wa mda....nakupa ongera kutoka kwenye kifungo
I love you clouds fm mko poaw sana
Sanaaaa
pole sana bro wenye vibamia atujaoa aisee sijui itakuwa Vp aisee
Sikiliza wimbo wa Perce slage "take time to know her" am a country boy
kaka kwanza pole napia hongera kwa umamuz
Niko kwenye ndoa miaka kumi sasa,Stamina nakuelewa kinachotoka moyoni kweli tupu
hatariiii naelewa
Ivi ndoa ni ngumu xan jmn
nataman hata ningeingia nikiwa na miaka 35
@@hijakhalifa845 ingia ukajionee ukihadithiwa huwez elewa vizur
Polee Stamina maisha mengine yataendelea
Pole sana duu hiyo pesa yako uliyo fanyia shelee ni ubola unge peleka kwa watoto yatima
Angeeenda studio kurekod tena
Bora umekua jasir dogo ungechukua hasira ungepoteza maisha yk
Hicho kibao hakitosh toa mistar mingine uelimishe jamii ndoa nying matatizo
@sitamina pole sana ndowa ndowana piga chini twnzetu. Ila unaonekana I'm kutach sana pole brother 😍😫😫 some time adamu chomvu upunguze bang brother is too much, kama ume amuwa kuwa comedy u2 ambie you are brother lakin some time unazingua 🎤🎤🔊
Kuna wanawake wa Aina 2
1.wengine wameumbwa kwa ajili ya burudani ya wanaume hao hata ukimuoa hamuwezi kudumu
2. Wengine wameumbwa kwaajili ya kuolewa
Pole brother wanawake Mungu anawaona kuweni wakweli
Ndoa bwana. Kama utani mwana, unaminya minya nyanya unanunua biringanya...
Pole bwana BONIVENCHA
Hahaha balaa sana kuchamba kwingi
Noma sana
Duuh acha tuu bro😓😓
Pole sana kaka
Huyo sijui Adam ana upuuzi mwingi sana, he should be serious kwenye issue serious. Anajiongelesha km mtoto wa Primary school.
Daaaaah pole sana stamina bcz ni wachache sana wanaume wavumilivu
Stamina ndoa yako kama yangu ucjali piga goti mungu ni mwema hata kuacha
Achana nae huyo malaya wa mjini oa wa nyumbani mwenzako nakukubali sana broo stamina