Asalaam Alaykum. Hivi huu ni ujinga wa aina hii Utaisha lini?. Marehemu Sheikh Abuulama aliyefariki ana Mamlaka yepi akiwa Balzak kutoa Pongezi kwa Huyu dogo kuwa amefanya Jambo kubwa kwa Allah na Allah amlipe.Hii ina maana huyu dogo amemuhakikishia Pepo Sheikh Abuulama!!!! Hii ni aibu Kwa Uislam. Huyu dogo Hajui Uislam Kabisa na yupo katika Maslahi ya Dunia TU. Huku ni kuchezewa kwa Dini ya Uislam.
Mkenya na nani hatukutaki Kenya kwetu hatutaki ujinga huo Baki huko kwenu Kwa wajinga Kila wahadhiri wahongo mashrif feki n huko kwenu Taz kwetu hakuna upuzi huo
Mwivi mkubwa tokaaa ama kweli wewe ni muongo na tapeli unasema mpaka marehemu wanakujia na wanakwambia uendelee na utapeli wako toooka kunguni wa mbagala
Mashalla.
MashaAllah!!!
Supaa mganga
Allah atuongoze sote
Washirikina masharifu
Mganga ndio tiba zke za visomo hazichagui
Tapeli wewe njaa inakusumbuwa
Umekuwa huwezi Dua Kwa kiarabu pia kusoma sura yoyote Kwa Quran ndio umeita WENGINE kwenda zko mtapeli
Unamaliza mb za watu kwa hasara tu
Mashariff WENGINE pia Sasa n nani atajulika kama amekuwa mkali hapo
Karama tena
Mwapigiana debe ulikimbia scndl ya kuzika mibuyuni ili itulie
Uliangalia Sheikh SHARIFF Matongo anavaa kilemba vipi na miwani vp nawe ukaweka kilemba na miwani
Visomo uvisome weweeeeee
Tapeli Huyo Waislamu Na Ni Mshirikina Mkubwa
Asalaam Alaykum. Hivi huu ni ujinga wa aina hii Utaisha lini?. Marehemu Sheikh Abuulama aliyefariki ana Mamlaka yepi akiwa Balzak kutoa Pongezi kwa Huyu dogo kuwa amefanya Jambo kubwa kwa Allah na Allah amlipe.Hii ina maana huyu dogo amemuhakikishia Pepo Sheikh Abuulama!!!! Hii ni aibu Kwa Uislam. Huyu dogo Hajui Uislam Kabisa na yupo katika Maslahi ya Dunia TU. Huku ni kuchezewa kwa Dini ya Uislam.
Mkenya na nani hatukutaki Kenya kwetu hatutaki ujinga huo Baki huko kwenu Kwa wajinga Kila wahadhiri wahongo mashrif feki n huko kwenu Taz kwetu hakuna upuzi huo
Unaombea watu waoe ww mbn hujaoa?
Mwivi mkubwa tokaaa ama kweli wewe ni muongo na tapeli unasema mpaka marehemu wanakujia na wanakwambia uendelee na utapeli wako toooka kunguni wa mbagala
Mlanguzi mkubwa n ww
Huna lolote muhongo
Tafuta pesa Kwa wajinga