Wanaudhalilisha uislam kwa mikono yao, na sasa wanajidhalilisha kwa mikono yao wenyewe. Mungu hujibu kwa njia nyingi. Muungwana akivukwa na nguo huchutama, ukiona bado anasimama ujue kuna shida
Watu kama nyie amnaga atakitu mlichofanya kupeleka dini mbele Kaz yenu lawama na chuki.ivi wewe ungepewa jukumbla kuhukum watu nadhan kile kipengele Cha Toba ungekitoa waislam achen chuki za ovyo.na roho mbaya.fanya jitihada za kuendeleza uislam sio Kila wanachofanya wenzenu mnaponda nabado chanel yao unaangalia.pambania din sio majungu na kuhukum watu wewe sio Allah
Piga astaghafirullah maana ALLAH ndo mjuzi anaejua ya Siri na dhairi usimseme muislamu mwenzako wala binadamu mwenzako vibayo ujafa ujaumbika wewe unahuhakika gani kama upo correct kwa kila kitu ukimsema vibaya muislam mwenzako au binadamu mwenzako ALLAH atakufanyia hivyo hivyo ulichomfanyia mwenzako kwahiyo usipende kuwasema vibaya ALLAH pekee ndo mjuaji ushauri tu nimekupa
Mwaka wa kiislamu ni 1446. Hata hivyo mwaka wa kiislam huingia mfunguo nne. kwa hiyo dua ya kufunga mwaka kiislam inasomwa mwishoni mwa mfunguo tatu ili kuukaribisha mwaka mpya. Hii ya disemba ni mila za kigalatia
Aende akasema huyo kijana.

Mitapel imekutana hapo
Auna lolote njaa tu Ina wasumbua
Nenda nawewe ukale
Mwaka wa kiislamu ni 1446. Hata hivyo mwaka wa kiislam huingia mfunguo nne. kwa hiyo dua ya kufunga mwaka kiislam inasomwa mwishoni mwa mfunguo tatu ili kuukaribisha mwaka mpya. Hii ya disemba ni mila za kigalatia
We nae acha chuki kwani yeye apo sikafafanunua Kwan kasema huu mwaka niwakislam