Mambo sita makubwa niliyojifunza kuhusu malezi (Full episode).

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • Kwenye episode hii nataka kushare na wewe mambo sita makubwa niliyojifunza kuhusu malezi. Mimi kama mama ambaye nimelea mtoto wangu na watoto wengine wengi waliobahatika kupita kwenye mikono yangu haya ni mambo ambayo yalinifunza kwa kiasi kikubwa na kunifanya kubadilisha mtazamo wangu kuhusu malezi ya watoto.
    Kuna vitu tunafanya kwenye maisha yetu bila kujua kuwa kuna vurugu zilizopo ndani zinazotusukuma kufanya tunayoyafanya kama wazazi bila kujua tunajenga au kuharibu kiasi gani maisha ya baadae ya watoto wetu.
    Sikiliza halafu uniambie na wewe umejifunza nini kwenye comments hapo chini.
    Yaliyomo kwenye Episode hii.
    00:03 Utambulisho
    00:50 A silent screamer maana
    01:23 Mama wa kambo si mama
    04:14 Usipandikize chuki
    04:53 Muonyeshe kwao ni wapi
    06:53 Busu paji la uso
    07:43 Vurugu zibaki kwa mke na mume
    08:48 Thamini ubinadamu wake
    09:28 Usimlinganishe mtoto wako unamvunja thamani
    10:20 Tafuta chanzo
    10:24 Jipendekeze kwa Mungu
    11:50 Usipige nduru anapokosea/usimtangaze
    12:46 Watoto wanaongea kwa hisia
    14:26 Muonyeshe kwa vitendo
    14:40 Mwisho
    Niandikie Comment yako hapo chini.
    Bofya Link, Subscribe, Like na Comment.
    TH-cam: / @auntsadakalessons
    Subscribe na Sikiliza Podcast 👇🏾
    Spotify: open.spotify.c....
    Apple: podcasts.apple....
    Nifuate;
    Twitter: / auntsadaka
    Facebook: / auntsadaka
    TikTok: vm.tiktok.com/...
    Instagram: / auntsadaka
    #youtube #video #life #youtubechannel #youtuber #subscribe #youtubelikes #learning #career #AuntSadaka’slessons
    #bestlifelessons #lifelessons #inspiration #motivation #parenting #relationships
    #lifechallenges #lifeopportunities
    #kijiwechetu

ความคิดเห็น • 9