- 20
- 35 726
Aunt Sadaka's Lessons
เข้าร่วมเมื่อ 22 พ.ย. 2022
SELF LOVE: MAMBO YANAYOKUZUNGUKA, CONFLICT RESOLUTION.
Mambo yanapokua sio sawa kati yetu, sio mwisho wa mahusiano yetu.
Tunapokua na mitazamo tofauti ndio muda wa kuzatiti hisia zetu tuweze kusimama vizuri pamoja. Ndani yangu ninaouwezo wa kukabili vurugu na niwe kiongozi wa kuyaweka sawa?
Ninaouwezo wa kukubali kutokukubaliana au ninachoamini ni sawa lazima kifuatwe?
Tunapokua na mitazamo tofauti ndio muda wa kuzatiti hisia zetu tuweze kusimama vizuri pamoja. Ndani yangu ninaouwezo wa kukabili vurugu na niwe kiongozi wa kuyaweka sawa?
Ninaouwezo wa kukubali kutokukubaliana au ninachoamini ni sawa lazima kifuatwe?
มุมมอง: 672
วีดีโอ
SELF LOVE: NINAJIBEBA? "Mirror Mirror!!! Kila jambo linaanza na mimi
มุมมอง 616ปีที่แล้ว
Naangalia nafasi yangu kwenye mahusiano kimaisha. Najiuliza, hulka yangu, mapaji na uelewa nilio nao unanisaidia? Nikiambiwa msingi uliobora wa mahusiano unaanza na mimi naelewa kilichosemwa? Niko tayari kubeba majukumu yanayoendana na huu usemi? Hii ni "Mirror Mirror" nikiangalia kwenye kioo, huyu ninaemuona anaouwezo wa kusimamia show maisha yawe matamu?
SELF LOVE: LULU ZA MAHUSIANO YENYE TIJA.
มุมมอง 1.4Kปีที่แล้ว
Mahusiano matamu yanaanza na mimi, "SELF LOVE" Kuingia kwenye mahusiano ni rahisi, kuyadumisha ni mtihani kidogo. Kwa msingi wa kujipenda na kujithamini, chagua unachokitamani na ukifanyie kazi. Mambo matamu hayatokei bila kuweka nguvu ya ziada. Jiangalie ndani yako, unao uwezo wa kuzikamilisha baadhi ya hizi LULU (pearls): 1. Honest 2. Trust 3. Respect 4. Open Communication 5. Juhudi binafsi 6...
SELF-LOVE: KUJIPENDA NA KUJITHAMINI
มุมมอง 3.7Kปีที่แล้ว
POWER OF SELF LOVE!! Maisha matamu yanaanza na mapenzi ya nafsi zetu kwanza. Tutajua jinsi ya kupendana kupendwa pale tutakapowekeza mapenzi ndani yetu sisi kwanza kabla ya kuwapa wengine. Tujue raha na thamani ya kile tunachokibeba ndani yetu na tutoe pale tunapokua tumesheheni kila kona.
JINSI GANI UNAWEZA KUCHUKUA TAHADHARI KWA MADHARA AMBAYO YANATOKANA NA UKATILI DHIDI YA WATOTO.
มุมมอง 275ปีที่แล้ว
Wapendwa kwenye kijiwe chetu leo tunaongelea jinsi ambavyo wazazi au walezi tunaweza kuchukua tahadhari kwa madhara ambayo yanatoka na ukatili ama unyanyasaji wa namna yoyote ile kwa watoto wetu. Subscribe, Like na Comment. TH-cam: youtube.com/@auntsadakalessons Subscribe na Sikiliza Podcast 👇🏾 Spotify: open.spotify.com/show/6jvVCwig17XqppalJ6sdnc?si=7ZCDoWA4TPOaLsJCGpxM8Q Apple: podcasts.apple...
FANYA HIVI KUMUDU WORK - LIFE - BALANCE.
มุมมอง 493ปีที่แล้ว
Watu wengi wamekua wakipitia wakati mgumu sana kwenye kuweza kubalance, "WORK" & "LIFE". kwenye episode hii tutazungumzia jinsi yakuweza kubalance maisha ya kazi na maisha ya familia. Subscribe, Like na Comment. TH-cam: youtube.com/@auntsadakalessons Subscribe na Sikiliza Podcast 👇🏾 Spotify: open.spotify.com/show/6jvVCwig17XqppalJ6sdnc?si=7ZCDoWA4TPOaLsJCGpxM8Q Apple: podcasts.apple.com/tz/podc...
MAMBO SITA AMBAYO USIPOZINGATIA HAUTAFANIKIWA KWENYE MALENGO NA MIPANGO YAKO.
มุมมอง 885ปีที่แล้ว
Wapendwa kwenye kijiwe chetu leo tunaongelea ni nini chakufanya ili maazimio au matarajio yetu yasiharibike ama yasivurugike. Subscribe, Like na Comment. TH-cam: youtube.com/@auntsadakalessons Subscribe na Sikiliza Podcast 👇🏾 Spotify: open.spotify.com/show/6jvVCwig17XqppalJ6sdnc?si=7ZCDoWA4TPOaLsJCGpxM8Q Apple: podcasts.apple.com/tz/podcast/aunt-sadakas-lessons/id1655814944 Follow me: Twitter: ...
EPISODE 7: MAMBO SITA MUHIMU NINAYOZINGATIA NINAPOPANGA MALENGO YANGU YA MWAKA MPYA.
มุมมอง 4952 ปีที่แล้ว
HAPPY NEW YEAR WAPENDWA. Ni siku nyingne na mwaka mwingine na leo tutaangalia mambo muhimu ninayozingatia ninapopanga malengo yangu ya mwaka. Sikiliza kwa makini naamini utajifunzaa kitu na pia itakusaidia kuweza kupanga malengo yako kwa usahihi. Subscribe, Like na Comment. TH-cam: youtube.com/@auntsadakalessons Subscribe na Sikiliza Podcast 👇🏾 Spotify: open.spotify.com/show/6jvVCwig17XqppalJ6s...
EP 7: PROMO - NINAYOZINGATIA NINAPOPANGA MALENGO YANGU YA MWAKA MPYA.
มุมมอง 752 ปีที่แล้ว
Salamu zangu za mwaka mpya kwenu wapendwa. Kwenye Aunt Sadaka’s lessons wiki hii nitashare na wewe niliyojifunza kuhusu kupanga malengo ya mwaka kitu kizuri ambacho naamini utajifunza. Na pia itakusaidia kuzingatia mambo mbalimbali ili uweze kuepuka kujipanga kwa mazoea. Usikose kufuatilia Episode hii ifikapo kesho saa nane Kamili mchana . Subscribe, Like na Comment. TH-cam: youtube.com/@auntsa...
ONGEZA THAMANI NDANI YA MAISHA YAKO
มุมมอง 2.4K2 ปีที่แล้ว
Wapendwa wangu naendelea kushare nanyi mambo muhimu katika maisha ilituweze kujifunzaa wote kwa pamoja. kwa sababu hakuna aliemkamilifu hapa duniani na ndio maana katika kijiwe chetu tunakumbushana ili tuweze kurekebisha mahala tulipokosea. Subscribe, Like na Comment. TH-cam: youtube.com/@auntsadakalessons Subscribe na Sikiliza Podcast 👇🏾 Spotify: open.spotify.com/show/6jvVCwig17XqppalJ6sdnc?si...
SINGLE MOM FANYA HAYA KULEA MWANAO USIMTELEKEZE.
มุมมอง 2.3K2 ปีที่แล้ว
Kwa namna ambavyo nimekua nikipata cases tofauti tofauti nimeona sio mbaya leo kwenye kijiwe chetu tuzungumze namna yakujijali, kujithamini na kuhakikishaa kama mtoto wakike unafanya maamuzi yaliyo sahihi kwenye maisha yanayokuzunguka. Ili tuweze kuepushaa utelekezaji wa watoto wasio na hatia kwa maamuzii uliyoyachukua. Subscribe, Like na Comment. TH-cam: youtube.com/@auntsadakalessons Subscrib...
TUEPUSHE UTELEKEZAJI KWA WATOTO. - PROMO
มุมมอง 722 ปีที่แล้ว
kwa namna nyingi sana kumekua na tabia ya kutelekeza watoto na hili limekuwa ni kama kawaida kwa maisha ya sasa. Subscribe, Like na Comment. TH-cam: youtube.com/@auntsadakalessons Subscribe na Sikiliza Podcast 👇🏾 Spotify: open.spotify.com/show/6jvVCwig17XqppalJ6sdnc?si=7ZCDoWA4TPOaLsJCGpxM8Q Apple: podcasts.apple.com/tz/podcast/aunt-sadakas-lessons/id1655814944 Follow me: Twitter: a...
MAMBO SITA MUHIMU KAMA KIJANA UNATAKIWA KUYAFUATA.
มุมมอง 4.5K2 ปีที่แล้ว
Kwenye kijiwe chetu leo tutazungumzia kuhusu mambo muhimu ambayo kama kijana unapaswa kuyafuata ili uweze kuishi vizuri na kuhakikisha unapambana na changamoto za maisha. Nimewaandalia hadithi au jambo lilitokea huko nyuma ili tuweze kupata mafunzo mazuri ndani yake. Subscribe, Like na Comment. TH-cam: youtube.com/@auntsadakalessons Subscribe na Sikiliza Podcast 👇🏾 Spotify: open.spotify.com/sho...
CHANGAMOTO ZA VIJANA KATIKA MAISHA - PROMO
มุมมอง 2522 ปีที่แล้ว
Mara nyingi kama kijana unaweza kujikuta unapitia changamoto nyingi ambazo zinaweza kukukatisha tamaa na ukakosa furaha kwenye maisha yako. Sasa kwenye Podcast yangu wiki Hii Episode mpya nitashare na nyie uzoefu wangu kidogo nilichojifunza nikiwa kijana miaka hiyooo ehee 😊! kwa maana hata mimi nilikuwa kijana, Na mambo gani haswa niliyapa kipaumbele na yapi niliepuka ili kuwa na furaha? Usikos...
USIFANYE MAKOSA HAYA UTAMHARIBU MTOTO WAKO.
มุมมอง 13K2 ปีที่แล้ว
Kwenye Episode hii nazungumza na wewe kuhusu mambo niliyojifunza kwenye malezi ya mtoto wangu na watoto wengine wengi waliobahatika kupita kwenye mikono yangu. Mimi kama mama kuna vitu nimekutana navyo ambavyo natamani ningevijua mapema ingeniokoa pakubwa kwenye safari hii ya malezi. Sikiliza Episode hii mpya nimekufafanulia kwa undani makosa ambayo hutakiwi kuyafanya kwenye malezi ya mtoto wak...
Mambo sita makubwa niliyojifunza kuhusu malezi (Full episode).
มุมมอง 2.1K2 ปีที่แล้ว
Mambo sita makubwa niliyojifunza kuhusu malezi (Full episode).
Niliyojifunza kwenye MAISHA yangu / Sharing my best LIFE lessons
มุมมอง 2K2 ปีที่แล้ว
Niliyojifunza kwenye MAISHA yangu / Sharing my best LIFE lessons
HIVI NDIO UNAWEZA KUWA MFANO BORA KWA MWANAO - PROMO
มุมมอง 3692 ปีที่แล้ว
HIVI NDIO UNAWEZA KUWA MFANO BORA KWA MWANAO - PROMO
Ahsante mungu akubariki
👍
Aunty nimekupenda sana,naamini kama ukiita hii podcast,NGUVU YA NDANI.kwasababu kila kitu kinaanzia ndani ya mtu
🙏❤
Asante aunt sadaka Kwa mafunzo haya.Rose wa Grumeti
jaman naomba unitumie namba nikupigie nikueleze changamoto yangu
Ahsante ❤
Mashaallah umesema kweli shukrani
tunaomb to download
Najifunza mengi kupitia ww...mungu azidi kuongeza kipawa chako😊...asantee mama
mimi nimepatikana ukisahihisa kazi zote utapata zawadi condition naomba mbadala ya conditions nifanyaje
asante aki nimeamini cjipendi i have to love ma self first
🙏
Shukran sana aunty sadaka❤
Thanks my lovely mommy
Nakupnda sana mazaa but naomba hata cku Moja nikutane na ww kwa uwezo wa Allah tutakutana
Be blessed mama and thaks
The higher power indeed. Amen ❤❤
Ahsante sana mama
Ahsante sana mama
Ahsante sana mama
Mungu akubariki na somo zuri Aunt
Your the best
Mungu azidi kukupa afya njema na maisha marefu, uendelee kutupa mafunzo na nasaha nzuri
Asante sana aunt sadaka
Unasema kwel Mama🙏
Ahsante sana mama mwenyezi mungu akupe afya njema
Asante Mama Kwa ushauri
Asante sana mm aunt sadakas lkini sis wanawake tunsvumiliya san hawa wanaume zetu hawabadiriki
Sisi tunafanya kazi huku nch zauarabuni lakin tunsyopitiya nimagumu sana mtot mdogo tu anakuamrisha kwa sababu we nimfanyakazi naten unaitwa shaahala km zsrahu mpk tunajion sis km masikini wenzentu huku kila kitu uwafanyie hat chup unafuwa za bb za mm za wasichan
Hongera san mam umeongeya point sana
❤❤❤
hilo latupa kule nimelipenda
Alhamdulillah maneno mazuri sana aunty
Aunty Sadaka Nakupenda Asante
Lovely
Aunt sadaka nimekuelewa Sana hasira zote na familia yangu naziachilia tangia leo,Mungu akupe mapya kila ck,nakupenda,
I love you aunt sadaka
Asante anty nimevutiwa sana ulipokuwa unaongea kwenye sentro.
Aunt mungu aendelee kukuweka.. Asante kwa kuniponya😢
This is well put 😍
Shukran mama unatufunzaa
sasa aunty kwa madini haya mbona kama ofisini tutapata shida kufika🌹❣
How do I stop praying for u my Aunty.here u killed it mum
Unatuponya wengi mama nakupenda fram sweden
Well said
😢 Asante mama
Thanks so much Aunty.
Apo kwenye tupa kule dah mala nyingi ndipo panapoleta ugumu na kuendelea kupata maumivu,,labda utufundishe ni vip au njia gan unaweza ukatumia ukafanikisha suala la kumuacha yule aliyekupa maumivu Ili wakat unamuacha usibaki na maumiv ya kumpoteza. Asante kwa SoMo zuri sana
Mama unafundisha vizuri Sana unawekeka Mambo wazi maana wengi hushindwa kijithamini kwa kuachana na wenzi wao. Hawajui kwamba maisha na ni wewe mwenyewe.
Tunajifunza asante mama