MAMBO SITA MUHIMU KAMA KIJANA UNATAKIWA KUYAFUATA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024
  • Kwenye kijiwe chetu leo tutazungumzia kuhusu mambo muhimu ambayo kama kijana unapaswa kuyafuata ili uweze kuishi vizuri na kuhakikisha unapambana na changamoto za maisha.
    Nimewaandalia hadithi au jambo lilitokea huko nyuma ili tuweze kupata mafunzo mazuri ndani yake.
    Subscribe, Like na Comment.
    TH-cam: / @auntsadakalessons
    Subscribe na Sikiliza Podcast 👇🏾
    Spotify: open.spotify.c...
    Apple: podcasts.apple...
    Follow me:
    Twitter: / auntsadaka
    Facebook: / auntsadaka
    TikTok: vm.tiktok.com/...
    Instagram: / auntsadaka
    #AuntSadakaLessons #AuntSadaka
    #lifelessons #parenting #relationships
    #lifechallenges #lifeopportunities
    #kijiwechetu #mentalhealth

ความคิดเห็น • 12

  • @rajabuhassan1932
    @rajabuhassan1932 9 หลายเดือนก่อน +1

    Nakupnda sana mazaa but naomba hata cku Moja nikutane na ww kwa uwezo wa Allah tutakutana

  • @SKY-fk3fz
    @SKY-fk3fz หลายเดือนก่อน

    Ahsante ❤

  • @abdulrahmanhassan5998
    @abdulrahmanhassan5998 ปีที่แล้ว

    Ahsante sana mama mwenyezi mungu akupe afya njema

  • @graceneemaramadhaniabdalla7734
    @graceneemaramadhaniabdalla7734 ปีที่แล้ว

    Mungu azidi kukupa afya njema na maisha marefu, uendelee kutupa mafunzo na nasaha nzuri

  • @abelkitole8223
    @abelkitole8223 ปีที่แล้ว +1

    Aunt sadaka nakuombea kwa mungu uwe na moyo huo huo mzuri wakuzidi kutufunza yaliyosahihi

  • @gracemadibu9447
    @gracemadibu9447 ปีที่แล้ว +1

    Nisaidie please

  • @bintidaughter9315
    @bintidaughter9315 ปีที่แล้ว

    Asante Aunt Sadaka I wish vijana watasikiliza na kuangalia hii.

  • @beatricefrankngalubutu1448
    @beatricefrankngalubutu1448 ปีที่แล้ว

    Namshukuru mungu kwaajili yako mama🙌❤️.....yanii kuna vitu unataman ungevijua 5 years ago lakin lipo kusudi kwa sisi kulijua sasa huenda kwaajili ya wadogo zetu ama watoto wetu...Ahsant sana mama kwa some zuri ❤️🥰🤗naomb kwaniaba ya wenzangu tuandalie somo la maisha kwa vijana (kuanzia 25 ad 30)

  • @user-wk1ix1gm1p
    @user-wk1ix1gm1p ปีที่แล้ว

    Asante sana aunt sadaka

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 ปีที่แล้ว

    Asante sana

  • @gracemadibu9447
    @gracemadibu9447 ปีที่แล้ว

    Jmn namtafuta huyu mama aunt Sadaka jmn nisaidie please nampata wapi

  • @gracemadibu9447
    @gracemadibu9447 ปีที่แล้ว

    Jmn namtafuta huyu mama jmn