BIBI HARUS AGOMA KUMTAMBULISHA BWANAHARUS MBELE YA WAZAZI AMWAGA MACHOZI,WALIPIZANA VISASI ,

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 863

  • @neemaedward4567
    @neemaedward4567 2 ปีที่แล้ว +112

    Huyu binti anaonekana ana maumivu mengi moyoni mwake. Huenda wazazi familia au kulazimishwa pia kuolewa.ukimwangalia ni binti aliekata tamaa ya maisha.nyuma ya pazia lake kuna jambo.analijua yeye na Mungu wake aonae sirini Mungu akusaidie akupe amani ya Moyo wako siku zote za maisha/ndoa yako mwanangu

  • @msuzann6005
    @msuzann6005 ปีที่แล้ว +16

    Where is a grown up to stop this forced marriage?
    She's not happy
    This has to stop, my heart is broken to watch her crying

  • @goodluckndagile9381
    @goodluckndagile9381 ปีที่แล้ว +13

    What a comeback 😯, anyways don't force marriage guys.

  • @joycematogo4023
    @joycematogo4023 ปีที่แล้ว +8

    Acheni kuhusisha Mungu kwa maovu! Arusi ya lazima sio haki. Mungu saidia madada wetu. Such a shame! She needs to take off.

  • @nymmoh1694
    @nymmoh1694 2 ปีที่แล้ว +51

    This girl feels like crying loud and just let all her anger out💔💔💔.... I feel for her.
    Please stop forcing marriages 😭😭😭😭

  • @shufaakimolo9864
    @shufaakimolo9864 2 ปีที่แล้ว +44

    Hatari sana hii sio ndoa ni majaribio ya bom la kinyuklia litakapo kwenda kulipukia sijui kama kutakuwa na usalama kweli.. Sijui wazazi na wachungaji wanao unganisha ndoa kama hizi dah ngoja niishie apa, wazazi mnakula na kunywa mnaondoka wakati watoto wanaingia kwenye moto. Apo hakuna ndoa kila mtu apo anamachungu yake. Inaumiza sana ndoa za lazima ndio sababu vifo na mauaji ya kutisha yanaongezeka kila siku. Mengine wazazi wanachangia kwa asilimia kubwa. MUNGU aponye mioyo yao. 😢

  • @kalumbugideon4159
    @kalumbugideon4159 2 ปีที่แล้ว +1

    Kiburi Sio Jambo Jema.... Maana Huku unakuta send-off Kijana unagoma kutambulisha ....kule kwenye Harusi nawe unagoma kutambulisha Mwanamke duh noma Sana....Tit for Tat..

    • @christinemwita2079
      @christinemwita2079 2 ปีที่แล้ว

      Jaribu kutafakari itakuwaje kwenye safari Yao nzima isiyokuwa na kituo! Mwanzo uko hivi, hiyo ndoa itakuwa ya visasi tu,

  • @ireneezekiel8198
    @ireneezekiel8198 2 ปีที่แล้ว +6

    Duh Atari Sana Hawa Maharusi Wetu Toka NIANZE KUONA Harusi Jaman Hawa Wametisha
    Aibu Kwa Ndugu wa pande Zote 2
    Hapo HATA Wakisikia Mtoto Wetu Kanyongwa hawatashangaa watajisemea Yalianza Kuonekana Mapema
    Kama Wamelazimishwa🙌🙌
    Shikamo Bi Harusi

    • @batistamngullu9235
      @batistamngullu9235 2 ปีที่แล้ว +2

      😂😂😂 za kizamani bi harusi kachukia viti havitoshi ndg zake hawakupata viti

    • @eunicechacha4052
      @eunicechacha4052 2 ปีที่แล้ว

      😂😂😂halooo

  • @lucyalto7320
    @lucyalto7320 2 ปีที่แล้ว +11

    Tatizo wanaowana Bado watoto kile kiburi na jeuri ya ukuwaji havijamuisha Bado wataenda kusumbuana tu huko ndoani

  • @najmahhassan7853
    @najmahhassan7853 2 ปีที่แล้ว +15

    I love you bi harusi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @damackilineemmy575
    @damackilineemmy575 2 ปีที่แล้ว +33

    😭😭😭😭😭😭😭Wazazi mnatutaka nini 😩😩tuacheni tu olewe na tunao wapenda ndoa si Lazima 😔😔sasa wataishije hapo 😭😭😭

  • @dianacharles9648
    @dianacharles9648 2 ปีที่แล้ว +4

    Heri kunyamaza kuliko kujukuwa oaths za uongo mbele ya ekalu ,signs of early divorce

  • @dorcasfanto9957
    @dorcasfanto9957 2 ปีที่แล้ว +14

    Huyu binti hakuwa tayari jamani wazazi mcwalazimishe watoto wenu

    • @wamburasungura6812
      @wamburasungura6812 2 ปีที่แล้ว

      Angalia mwanzo Wa siku ya sendoff acheni kuangalia mwishoni

  • @odhiambo2419
    @odhiambo2419 2 ปีที่แล้ว +16

    This bride needs help, the authority should look into this...

  • @annastaziamademla8841
    @annastaziamademla8841 2 ปีที่แล้ว +12

    Nimeumia japo siwajui maharusi but all in all Mungu akawabarikini sana katika Safari yenu hii mliyoianzisha maana ibirisi ameanza kujizihirisha waziwazi,,na ikawe amani na upendo katika ndoa yenu🙏🙏❤️

  • @faithjonathan3845
    @faithjonathan3845 2 ปีที่แล้ว +9

    Hawa ndo wanaouana kwenye ndoa. Hivi ndo vyanzo vya mauaji

  • @kebbymody5606
    @kebbymody5606 2 ปีที่แล้ว +6

    Hakupenda kuolewa ILA anaogopa radhi za wazazi na hataenda kuishi vizuri na huenda ndoa ishavunjika

  • @peninahkariuki4679
    @peninahkariuki4679 2 ปีที่แล้ว +5

    Hawa watu wote hawana Hekima hii harusi haifai kushikanishwa🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️🇰🇪

  • @boneshaissa1487
    @boneshaissa1487 2 ปีที่แล้ว

    Blo umetisha sana et ila angalia sana huyo mwanamuke blo ehe ngayo ndaze chiyeho

  • @neemamathew7465
    @neemamathew7465 ปีที่แล้ว +1

    Sa hadi amevaa shera ,,c angekataa tuu kama hataki kuliko kutia aibu ivi ,,ila kijana nae ndo yaleyale tuu😥🙈

  • @laymashabani832
    @laymashabani832 2 ปีที่แล้ว +4

    Shikamoo biharusi 😂😂😂😂japo nimechelewa kuangalia

  • @bernadngimba5394
    @bernadngimba5394 2 ปีที่แล้ว +11

    hawa wote akili zao zina shida ,wananikera wanalitaja jina la Yesu afu wanafanya vitu vya hovyo.

    • @flavianamrema7857
      @flavianamrema7857 ปีที่แล้ว

      Mh bibi harusi ana uchungu kwenye halaiki sijui ndani itakuwaje. Walipaswa wawasuluhishe baada ya send off ili ndoa iwe na furaha.

    • @YOSHUAMWAMPETA
      @YOSHUAMWAMPETA 8 หลายเดือนก่อน

      Yesu aweza kuwaadhibu kwa wakati wake anaona KULIKO SISI.

  • @uwezomayonko5101
    @uwezomayonko5101 2 ปีที่แล้ว +11

    Mimi najiuliza! hivi hii wizara ya jisia wazee na ustawi wa jamii inayo ongozwa na dkt gwajima! ni kweli hwaoni unyanyasaji huu wa kijisia? ama hakuna maofisa wa wizara hiyo wanaofuatilia mambo haya wakati dunia imekuwa Kijiji? ama wanayaona na kuyapuuza kwa makusudi???

  • @user-of5dy9yi4x
    @user-of5dy9yi4x 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu amsaidie uyu binti aky ju nimaumivu hayo ata sio ndoa

  • @celestinekhabukwi5519
    @celestinekhabukwi5519 2 ปีที่แล้ว +28

    Don't force someone for marriage

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 2 ปีที่แล้ว +11

    Akuna Kibuli Apo Wazazi Wamekula Pesa Kusipo Pendwa

  • @user-ng6yt2od7l
    @user-ng6yt2od7l ปีที่แล้ว +1

    Watu wanakula pilau be blessed wote

  • @fransiscoanthony1065
    @fransiscoanthony1065 ปีที่แล้ว +4

    Hii ni nzuriiii😂 acheni kulazmisha watoto ni Jambo la Moyo jamani🙌🏿🙌🏿

  • @alaikamyale784
    @alaikamyale784 2 ปีที่แล้ว +14

    Mume jeuri mke jeuri kazi iendeleee hakuna wa kushika cjui itakuwaje.

    • @stellamwasha1409
      @stellamwasha1409 2 ปีที่แล้ว

      Hahahaha jamani umeniacha hoiiii

    • @user-pg6db8jl2y
      @user-pg6db8jl2y 5 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂 iyo ndoa itakua ngumi kila day ila sas mwanamme nae ako namadhalau sana

  • @user-rk9lu4ri6k
    @user-rk9lu4ri6k ปีที่แล้ว

    Mhuuuuh Mimi sijaipenda hata kidogo upumbavu mtupu sijui mungu wanamntaja was nnn

  • @happymbegalo2965
    @happymbegalo2965 2 ปีที่แล้ว +3

    Duh jmn Kuna kitu nyuma ya paziaa mbona magum hiviiii ni aibu kwa jamiii uwiiii bibi arus wetuuu poleee kwa kweli😭😭😭😭😭

    • @zachaamaster5378
      @zachaamaster5378 ปีที่แล้ว

      #mwaka mbari kote uko mwez to kwisha Abari yake

  • @esthermoraa6648
    @esthermoraa6648 2 ปีที่แล้ว +5

    Jamani binti wa watu anaumia, anataka lia😭😭😭😭wazazi please wacha kulazimisha watoto kuolewa kama bado umri

  • @stellahjulius5858
    @stellahjulius5858 2 ปีที่แล้ว +1

    Daah adi uluma mi ndio ningekimbia. Usiku kabila ya arusi dah Mungu akamtie nguvu uyu binti

    • @estarmathias9398
      @estarmathias9398 2 ปีที่แล้ว

      Yan akil zetu zinafanana my me ningesep na wasinge niona milele

  • @nass-d.696
    @nass-d.696 ปีที่แล้ว +3

    Bongo kama mmefika mpaka stage hii noma sana

  • @amanichelangwa7091
    @amanichelangwa7091 2 ปีที่แล้ว +22

    KIJIJI KIZIMA KIMEZAMIA HARUSI HATAREEE

    • @zuwenaramadha5741
      @zuwenaramadha5741 2 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣

    • @mwitaagness455
      @mwitaagness455 2 ปีที่แล้ว

      Saa ya chakula ndo utafurahiq show🤣🤣

    • @mwitaagness455
      @mwitaagness455 2 ปีที่แล้ว

      Huyu kaka anaonekana mkatili tuu hata kwa sura km bint ana akili ahirushe tuu, sasa ni harus au mkutano wa kijiji😛😛

  • @productofgrace2
    @productofgrace2 2 ปีที่แล้ว +13

    THIS IS ONE OF MOST SHAMEFUL MARRIAGE I HAVE SEEN. BIBI ANALIA NIKAMA AKO KWA MATANGA .SHE'S IS NOT HAPPY AT ALL😕 .WAME CHAGUA HUYU DADA LAKINI HUYU DADA YAONEKANA MDOGO AKILI IKO SHULENI AMA KWAKE MAPEMA KUOLEKA.

  • @upendommbaga7070
    @upendommbaga7070 ปีที่แล้ว +1

    Hii harusi au mkutano wa injili. Aise watu ni wengi

  • @vinnahmichael8350
    @vinnahmichael8350 2 ปีที่แล้ว

    Hii sio ndoa 😁😁😁🤔 Mimi ningegoma tuu, alafu sijui Ni wokovu wa aina ipi wanaouongelea🙄🤔

  • @rizikahmad6930
    @rizikahmad6930 2 ปีที่แล้ว +67

    Wazazi muache kulazimisha watoto wenu kuolewa paspo lizaa yao mungu awasaidie😭😭😭😭

    • @AfricaQueen
      @AfricaQueen 2 ปีที่แล้ว +1

      Maneno yako kweli kabisa huyu bado mtoto.

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 2 ปีที่แล้ว

      Alinuna ile siku mwanamke anakaa na kitu moyoni na kinakaa milele

    • @delishaluhyaqueen6950
      @delishaluhyaqueen6950 2 ปีที่แล้ว +2

      Yes kuolewa na mty usiye mpenda hiyo ndoa ifanyi kazi

    • @Mzawadi
      @Mzawadi 2 ปีที่แล้ว +1

      Ni kweli 😭🤔

    • @witnessloodo1388
      @witnessloodo1388 2 ปีที่แล้ว +2

      Pole sana dada nami nlilazimishwa lakini nili🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️😁🤣🤣🤣🤣

  • @violethngalo6753
    @violethngalo6753 2 ปีที่แล้ว +2

    We call it tit for tat mwanaume ndo alianzisha kwa send-off Bibi kmalizia kwa harusi mengine tutamalizia ndani..cyo forced marriage ni utoto tuuuu😅😅😅

  • @Youtubeformore
    @Youtubeformore 2 ปีที่แล้ว

    Mmmmh , ndoa hii nahisi kama itakuwa ni ya visasi n visasi ,eeeh Mungu wape macho ya rohoni waoni .

  • @esternsimbila5359
    @esternsimbila5359 ปีที่แล้ว +1

    Wazazi waache kulazimisha watoto kuolewa inaumiza san afu nashangaa kwanin wachungaji nao wanafungisha ndo vile wkt hakuna aman ni hiiiii jmn😭😭😭

  • @abedysteven4930
    @abedysteven4930 2 ปีที่แล้ว +6

    Hii ndoa ya kulipizana visasi haitadumu kwa mda mref wote Wana vubur!!

  • @rosenchako1320
    @rosenchako1320 2 ปีที่แล้ว +3

    Mambo ya ovyooo alafu ni waha😂😂😂😂

  • @wannaproducts
    @wannaproducts 2 ปีที่แล้ว +9

    Inaonekana nu Kigoma hii!
    Mabinti wa Kkha Wana kiburi Sana.
    Nadhani ufahamu ni mdogo kielimu pia.
    Binti amelipiza kisasi kwa kuwa kjana alisema hawezi tambulisha nduguze wakiwa wamesimama wapewe kwanza viti hivyo bingo nae akaweka moyoni kaenda kulipiza kisasi. Watadundana Hawa huko ndoani

    • @selinaemanuel1877
      @selinaemanuel1877 2 ปีที่แล้ว

      Kwanini kigoma jamani🤣🤣mtuache

    • @mamaommi5696
      @mamaommi5696 2 ปีที่แล้ว

      Bro adza kujipanga hapo hakuna ndoa ya amani atakumisha kichwa bure huo mke hajakua tayari achana naeeeee

    • @mariashadrack9443
      @mariashadrack9443 2 ปีที่แล้ว

      Hahahahah kunakudundana kwee

    • @bethfrorambashaagabo4171
      @bethfrorambashaagabo4171 2 ปีที่แล้ว

      Honeymoon nikipigo na kutoa ngeo tu amna kutafta mtoto🤣🤣🤣🤣🤣

  • @cuthbertzillale6136
    @cuthbertzillale6136 2 ปีที่แล้ว +7

    Kwani send off si mwanamke ndo anawatamburisha ndugu zake mwanaume sio lazima kuwatamburisha ndugu...sema upande wa kike kwenye send off hawajatenda haki kutowaheshimisha upande wa kiume wakati wamekuja ukweni

  • @magwaza8904
    @magwaza8904 2 ปีที่แล้ว +3

    Hakuna Mungu hapo wala Roho kuna Miungu na Miroho

  • @jemimahnafula9457
    @jemimahnafula9457 2 ปีที่แล้ว +3

    Hakuna upendo hapa😔Sasa Hawa Kuna hanny moon kweli? Although mwanadada hafai ku behave hivi,Ako rude because hata haogopi mbele ya inlaws wake!Hapa ni kuandikisha historia Bali si ndoa Wah 😳😳😳 MALIMWENGU HAYA

  • @nixonmwezimpya9522
    @nixonmwezimpya9522 2 ปีที่แล้ว +3

    Hii inaitwa ukimwaga mboga namwaga ugali🤣🤣🤣🤣

  • @tumainichidunga4653
    @tumainichidunga4653 2 ปีที่แล้ว

    Yaan hii ndoa sio sawa kabisa mume ni mtu mzima sana na huyu binti ni mdogo sana anaonekana amelazimishwa ona aanavyolia jamani na inaonekana kama watu wamekuja kushuhudia kma ni kweli

  • @paulvitalis5558
    @paulvitalis5558 ปีที่แล้ว +1

    ASE nimeipenda hiyo watu waaaa
    Hyo ndo sherehe sasa

  • @magrethcostantine9223
    @magrethcostantine9223 ปีที่แล้ว +1

    Huyo Binti mmemlazimisha kuolewa na huyo jamaa? Maana hiyo sura ya mwanaume. Ni katili.

  • @fatumakingwaba7321
    @fatumakingwaba7321 2 ปีที่แล้ว +21

    Bwana harusi alijifanya mjuaji siku ya send off, bibi harusi kalipiza siku ya harusi, mambo sawasawa.

    • @sikuzanibusanya7352
      @sikuzanibusanya7352 2 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🛌🛌🛌nimecheka km fala khaaa

    • @judithkatoto3316
      @judithkatoto3316 2 ปีที่แล้ว

      Wazazi Awana hakili mtamlazimisha VIP MTU wakati ajampnda mwanamme jamni hiyo sio ndoa kbisa

  • @rosenyabuti8381
    @rosenyabuti8381 ปีที่แล้ว

    Pele sana binti, sentani ana tangulia Pele, rundi kwa mungu, makelele kanisani bila maombi jamani

  • @elizabethmwihaki2399
    @elizabethmwihaki2399 2 ปีที่แล้ว +1

    Waaaaaah.......this is soo saaaad...hata siwezi taka kujipata katika viatu vya bibi harusi....💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔hata sio lazima harusi iendelee...

  • @fulgencejackson5340
    @fulgencejackson5340 2 ปีที่แล้ว

    Wanataja Mungu kwenye ndoa za michongo mwanamke hampendi mwanaume
    Ndoa za kutafutiana wanaume mbaya sana hawawez kudumu hata kidogo watapataje watoto kama wananuniana mbele za watu jamaa ajipange kama sivyo atakua anam baka mdada wa watu

  • @SarafiaPetro
    @SarafiaPetro 2 วันที่ผ่านมา

    Hiii ndoa nahis walilazimishwa hakii wote wa babe

  • @zaikibacha6413
    @zaikibacha6413 ปีที่แล้ว +1

    Mi nadhani bi harusi ni muoga tu ila sio km hataki kumtambulisha Mme wake

  • @alicefuraha1985
    @alicefuraha1985 2 ปีที่แล้ว +2

    Crazy…and the man won’t even comfort the lady.My dear whatever it is its not ending well.Do something soon

  • @edwardmagige874
    @edwardmagige874 2 ปีที่แล้ว +5

    Huyo binti anaogopa huyo jamaa ni mrefu mno yawezeka hata fimbo ikawa ndefu!!

    • @rispermwangi4789
      @rispermwangi4789 2 ปีที่แล้ว +1

      Wacha ujinga😁

    • @sayunimahenge5227
      @sayunimahenge5227 2 ปีที่แล้ว

      Hahahahahaaa

    • @mercywanjala6123
      @mercywanjala6123 2 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂🤣

    • @mercywanjala6123
      @mercywanjala6123 2 ปีที่แล้ว

      Huenda ama washajaribu labda ni ile type hairithiki masaa ishin na nne yuakufinya hachoki🤣🤣🤣🤣

  • @Quilant749
    @Quilant749 ปีที่แล้ว +1

    Hapa sio hata wazazi kulazimisha ndoa hii, hapa kuna ugonjwa umetokea makasa hizi ndogondogo za biashara eti mchungaji ndio anawachagulia waamini waume na wake wakuoana, heee mm sitaki hayo mambo

  • @r0sewanjiru928
    @r0sewanjiru928 2 ปีที่แล้ว

    Wah Kijiji chote na venye wako n kelele wah

  • @pamaxhumble4159
    @pamaxhumble4159 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mwanaume ata haezi bembeleza Dem macho amepanua Kaa Kuma ya samaki na mwenzake analia nkt

  • @graceamran326
    @graceamran326 ปีที่แล้ว +1

    🤣🤣🤣🤣🤣wabaya sana hi nidhuruma kubwa sana

  • @nekoyevayola801
    @nekoyevayola801 2 ปีที่แล้ว +3

    Hapo mimi nitatoka pole pole kupatikana ni baada ya miaka weee kulazimishwa apana kwa DOA

  • @mesikamesika3008
    @mesikamesika3008 2 ปีที่แล้ว

    Dada pole kwanza mme hana busara kabisa wala hofu ya Mungu. Jicho langu ndoa hii haitamaliza miezi e

  • @ifgodsayyes.nobodycansayno1796
    @ifgodsayyes.nobodycansayno1796 ปีที่แล้ว +1

    YANI WATU WAZIMA WOOOTE HAKUNA HATA MMOJA ANAEZA JITOKEZA AMTETEE AU KUITA POLISI SIJUI NINI KINASHANGILIWA HARUSI NI FURAA ILA HII SIJAIPENDA KABISA

  • @ThomasLaurent-rw6pg
    @ThomasLaurent-rw6pg 3 วันที่ผ่านมา

    Ushenziii kabisaaa kwa wazazii ndoa hailazimishwi

  • @giftfredy5277
    @giftfredy5277 ปีที่แล้ว +1

    Hiyo Ni Hatariiiii nguo yenyewe Inaachilia jambo. Duuuuu

  • @eazieofficial6209
    @eazieofficial6209 2 ปีที่แล้ว +7

    Ndoa imeingiliwa huyu binti amefosiwa💔😭

  • @bernicemusenya5034
    @bernicemusenya5034 ปีที่แล้ว +2

    Kwani hii ndoa inalazimishwa, God have mercy

  • @minaelnathanael1846
    @minaelnathanael1846 ปีที่แล้ว

    Vitu vingine msiwe mnaweka kwenye mitandao. Halafu eti kuna na kanisa lililohusika. Hiki kijiji kizima kinaoneka mambo yake yote ni ya hovyo

  • @evaristamwinuka6494
    @evaristamwinuka6494 ปีที่แล้ว

    Hapo labda wazazi walikula vya watu bee, nayeye hana akili alishindwa hata kutoroka! Huyo siku chache zakazo titasikia amejinyonga!🤣🤣🤣

  • @fettykilango2814
    @fettykilango2814 2 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣etii jaman sherehe oyeee🤣🤣🤣 Daaaa ama hakika mpka binti kakataa kutambulisha daaaa anamengii ya moyonii sanaa ambayoo hamuayajuii😭 hajaridhiaaa kabsaaa sio powa ndio ile mtuu anaenda kuteseka mwishowee anaona bora ajiue wazaziii mjitafakarii na iwee funzoo kwa wenginee

  • @user-mc7pr6jd4t
    @user-mc7pr6jd4t หลายเดือนก่อน

    Hata mm nakataaa😮😮mbona yeye mkubwa hivyo Bwana harus😢😢

  • @linahsemindu4261
    @linahsemindu4261 2 ปีที่แล้ว +5

    Mwanaume anaonekana kibur Sasa ngoja waende nyumbn akamdunde Hadi akome 😆

    • @stellamsokwa6785
      @stellamsokwa6785 2 ปีที่แล้ว

      YAni atamdunda mpaka basi KWA aibu hii mhhhh sijapata kuona mimi uiii🤭

    • @linahsemindu4261
      @linahsemindu4261 2 ปีที่แล้ว

      @@stellamsokwa6785 😆😆😆😆

  • @carolinenjiro41
    @carolinenjiro41 ปีที่แล้ว +1

    Alijua kwamba ataolewa angekataa Toka sendoff party, Kuna kitu nyuma ya pazia, wanajuana wenyewe

  • @stephanosama-wf2or
    @stephanosama-wf2or 3 หลายเดือนก่อน

    Mbona aibu hii jaman labda bibi harus hakumupenda kijan au kaolewa kwa kulazimishwa

  • @ashnaom2270
    @ashnaom2270 2 ปีที่แล้ว

    Mbona ivyo au kafosiwa aku mpenda, au jeur heee mwanaume kaz unayo

  • @julianasekela9251
    @julianasekela9251 ปีที่แล้ว +1

    Ndoa za maono
    Ya watumishi Mimi km mamake
    Nahakikisha Binti kesho analudi

  • @sarahmaganga7498
    @sarahmaganga7498 2 ปีที่แล้ว

    Daah ! Ni harusiiii au mkutano wa hadhara 😁😁

  • @yunismacha3983
    @yunismacha3983 2 ปีที่แล้ว +5

    Mungu peke anajua,hili ni tendon la furaha,na kila mtu analitamani,jamani tusilaumu kabisa,ila wachungaji,wasingelazimisha kufunga hiyo ndoa jamani.Wangekaa nao kwanza Ili kila mmoja awe na amani kabisa

  • @tajilimtoto5009
    @tajilimtoto5009 2 ปีที่แล้ว +4

    Nimesikia sauti zawatu eti dada msamehe Yale yaliisha🤣🤣

    • @user-dg4zc2un1y
      @user-dg4zc2un1y 6 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

  • @fabiendoli2302
    @fabiendoli2302 2 ปีที่แล้ว +3

    Huyu dada alizamishwa kuolewa na huyo kijana

  • @ballackmwalupale2555
    @ballackmwalupale2555 2 ปีที่แล้ว +1

    M nachosubiri mwishoni nile wali 😉

  • @lordbroly2642
    @lordbroly2642 ปีที่แล้ว +1

    sai n digital kwn hiii n dunia gani haijawai toka kwa mira za t
    kitambo uuuuuuui hii n ujinga piiiiiii yaaani bado kuna kuforciwa kwa MARRIAGE

  • @getrudaemmanuel2110
    @getrudaemmanuel2110 2 ปีที่แล้ว +1

    Hii ni ukimwaga mboga namwaga ugali 😀😀😀. Hawa wamechaguana wanaofanana mume atakuwa dictator, mke kiburi. Kifupi wameoana wote wana tabia mbaya

    • @mkaiteafetu6782
      @mkaiteafetu6782 2 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣 hawa watu ni kiburi na jeuri

    • @mariachunga2191
      @mariachunga2191 16 วันที่ผ่านมา

      Kwani mchungaji kuivunje apo mnaandaa vifo

  • @ashurajengela3926
    @ashurajengela3926 2 ปีที่แล้ว

    Nyie nyie ni harusi kweli au maigizo 😂😂😂🙌🏻

  • @fatumamkuzi8051
    @fatumamkuzi8051 2 ปีที่แล้ว +40

    Hii ndoa ni ya lazima kwakweli
    Jamani 😭😭😭😭😭😭

  • @betsebamwenda4379
    @betsebamwenda4379 2 ปีที่แล้ว

    Hapa bi harusi amechemka Sasa umealika watu halafu utambulisho hataki sio sawa hafu tunajiita tumeokoka Mungu atusaidie

    • @partnersah8802
      @partnersah8802 2 ปีที่แล้ว

      Harusi ni siku ya furaha wewe unaona furaha usoni mwake?

    • @betsebamwenda4379
      @betsebamwenda4379 2 ปีที่แล้ว +1

      @@partnersah8802 hakuna halafu ni kama wanakomoana hivi hebu ona utambulisho ulivyokuwa upande wake kwenye send off ndugu wa mwanaume walivyozingua

  • @jemmoutuber4165
    @jemmoutuber4165 2 ปีที่แล้ว +2

    Kuna kijana jangili moyoni mwa huyu dada we call them bad boys girls usually fall for them.

  • @annastevensteven9515
    @annastevensteven9515 2 ปีที่แล้ว +4

    Mhuuuu warudishen hao maharus kweny mafundisho mbon haibu

  • @hoseakavubu2844
    @hoseakavubu2844 2 ปีที่แล้ว +1

    Sherehe kubwa.

  • @wacundirangu1661
    @wacundirangu1661 ปีที่แล้ว +1

    This is CRAZYYYYYYY?!! So insensitive and ruthless!
    Mbona hata waliendeleza hoi sherehe?? Someone save her!! 😭😭😭😭
    Follow up story iwapi?

  • @EsnathIsaya-eu9me
    @EsnathIsaya-eu9me 7 หลายเดือนก่อน

    Huyu dada kiboko aisee angeficha ata nakucha bass du kwer balaa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @mohammadoman8963
      @mohammadoman8963 6 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂mtu hajampenda afiche nini huenda kasema hajasikilizwa ndio maana amewanyoosha

  • @magejuliani5293
    @magejuliani5293 2 ปีที่แล้ว +7

    Nyie watu wabaya kwa Nini mumemlazimisha huyu Binti? Mwanaume anaonekana mkubwa na si kazi anafamilia nyingine

    • @alicewambu3136
      @alicewambu3136 ปีที่แล้ว

      How old are you? Wewe mwenyewe

  • @carolinenjiro41
    @carolinenjiro41 ปีที่แล้ว +1

    Huyu bi harusi anaonekana anakiburi mno, huyo mume atapata shida sana asipokuwa mwangalifu, aibu

  • @marrymbwiga3590
    @marrymbwiga3590 ปีที่แล้ว +3

    Nimejisikia vibaya sana 😭😭😭😭😭

  • @user-hq5mo3dx7l
    @user-hq5mo3dx7l 9 หลายเดือนก่อน

    Hapo serikali haifatilii kbs huyu bint mdogo na amelazimishwa huenda kwanini hajadurahi na mme mkubwa

  • @aminambise4387
    @aminambise4387 ปีที่แล้ว +2

    Mwanaume jeuri Binti kiburi bila shaka huku n kigoma

    • @monicaBahingai
      @monicaBahingai 6 หลายเดือนก่อน

      Hujakosea ni kigoma Tena kasulu