Hakika kigoma kuna neema nyingi kila sekta ya maisha yetu Mungu akutunze binti mzuri mcha Mungu ukawe taa ya familia tuwakilishe vema wasichana kutoka kigoma✌️✌️✌️
Daah hongera wanaopata mabint walio na hofu ya mungu neema hongera ww ni bint mzr na mweny hekima mungu aibarik ndoa yenu katka jina la yesu kristo Ameen
Mungu awabariki na ndoa yenu iwe na amani na hidhumu milele.Bibi harusi anapendeza na anaheshima kweli kweli. congratulations 👏
Wow very good wedding with big respect God bless you dear with your husband Amen thank you❤️🙏❤️❤️👏👏👏
Hongereni mungu awapemaisha marefu
Very emotional at the end .may God bless yr marriage gal
Hakika kigoma kuna neema nyingi kila sekta ya maisha yetu
Mungu akutunze binti mzuri mcha Mungu ukawe taa ya familia tuwakilishe vema wasichana kutoka kigoma✌️✌️✌️
Hapo sawa
Kazuri Mashallaah Allah ailinde ndoa yenu 🎉🎉
Hongera sana binti mungu aibariki ndoa yenu
Matron wa bi harusi ziwa saa sita kidogokidogo chenyewe 😂😂❤
😂Sijapenda MC anapendeza kulko bwana Harusi tabia mbaya
😂😂😂😂😂😂
Duuuuuuu masihara hayo😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂 waha bana sura mumenyimwa wake kwa waume hahahaha
Ameen mngu abariki ndoa yenu mm nimependa mavazi ya bibi harusi mtarajiwaa mngu amtangulieee
Hongera Sana dadangu iwe harusi ya kheri inshaallah
umependeza sana dada angu nakutakia maisha mema kwenye ndoa yako
Mie Sy mkristo lkin Hy bint kiukwel ameniliza .lkn nakuombea kwa muumb wet amtangulie ktk maisha yake mapya❤❤❤❤maana anaenda ktk familia nyingine sasa
Daah hongera wanaopata mabint walio na hofu ya mungu neema hongera ww ni bint mzr na mweny hekima mungu aibarik ndoa yenu katka jina la yesu kristo Ameen
Shemeji yetu upo vizuri, hongera sana bro umepata ubavu wa maana, me pia namwomba mungu anijalie mke mwema,
mc nimekupenda Bure mana unajua maneno sana wewe da dada ongera sana mungu awabariki
MC hongera sana na anaonekana mtaratibu mungu akubariki ktk ndoa yako❤❤❤❤
Hongera mc unaweza vzr
Waooooooooooooooooooooooo binti mzuri San kigoma hoeeeeeeeeeeeeeeee 🎉🎉🎉🎉
Hongeraaaa kwa ndoaa dada neema
🎉🎉umependeza my ilaumejua kunilizadada
Mwenyezi mungu ailinde ndoa yenu!!
Hongela San dd umependeza san
Hongera dada neema ikawe kheri
Hii imeenda
Natamani kweli ihii hatua hongereni sana mmependeza sana mungu hawabariki kwenye ndoa yenu
Waa,aky pia mm nimetamani arusi❤❤
Mwaya binti ni mzuri mama mpe sifa mwanao,Mungu awapiganie kwenye ndoa yenu
Hongera sana Mungu awatangulie
Nimewapenda kigoma mko vzr
Congratulations
Mungu awabariki ktk maisha yenu ktk kristo
Waha wajui tofaut ya R na L 😅😅
Hongera sana bwana harusi na bi harusi mungu awabaiki sana
Hongera mung aibarik ndoa yenu
Ongera jaman dada ney 🎉🎉🎉🎉
Safi san dada kwa kumkumbsh mumeo
Umenikumbusha send off yangu nlilia mpk nkakauka Koo,any way congraturation dear mpendane much❤
Umependeza sana mdogo wangu
Huo wimbo mzur kwani bibi harus ndo kaimba mwenyew
Dah hadi nami nimelia
Hongeraa saaaaaaa
Hongera neema ndoa yako ikawe ya baraka siku zote one day na mimi nitalia kwenye sendo off yangu😂
Thank God Amen and Amen 🙏🙏🙏🙏
Very powerful massage
Mungu akutanguriye katikadowa yako dadayagu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Hongera kwa zaidi Nzuri, Ushauri ungekabidhi pamoja na Box lake, ili mpambe wake ndiye atoe kwa Maelekezo ya MC
Jaman sdhan kama Kuna jina LA neema anaeolewa bila ndoa ongera sana dada🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🎉🎉🎉🎉🎉
Yap
Hongeren kina Neema
Njoo nikuonyeshe huku
@@TamalyMichael 😂😂😂😂 mwambie
Wengi mno
Hongera sana neema
Jina la wimbo mom
Dah! MUNGU akutunze sana b harusi mtarajiwa umeimba vizuli
umependeza sana dada
Hongera Sana neema kila la heri ktk ndoa yako
mungu akuzidishie katika ndoa yako mungu akupe maisha malefu
Umeimba vizuri sana Neema, hata vazi limesitiri mwili maana maharusi wa siku hizi wanavaa nguo utafikiri amejifunga khanga anaenda kuoga!
Sana sana na Mungu awatunze
Bint mungu akubariki ukaitunze ndoa yako vyema mtangulize mungu kwa kila jambo
Mungu awapw mapacha had mala tatu mungu awape maisha ma
Eflefu saaaana
Naomba namba za MC
,Ila mc supesho😂😂😂😂😂😂 kigoma kumbe pia inachangamka ivoo
Kwani mama ni mchungaji 😊
Mama nimempenda uyo
Daaa nimejikuta nalia mimi
Imana ikutangulie chane
Mc ongera sana unaweza u mc❤❤
Ukumbi wa kigoma mbn kama ni ule ule tu😅😅😅
Bwanaharusi amevaaa kama baba Mkwe alivovaa nyumban 🤣
Ubarikiwe dada ijenge ndoa yako kwenye neno
Mungu awatangulie katika safari yenu ya maisha
Mungu awatangulie
Imana ibhe na wew iyoo yuko haugenda
Mungu awatanguli katikahii Safari
Pole mama pole dada namimi nimeliza jaman da
Daaah yan siku ya ndoa yangu mke wangu alikuw anaimba mwishowe wanakwaya wote wakajikuta wanaanza kulia pamoj namm
Amina Mungu kwa ajii ya binti huyu
Mbn mc snafanana na majizo
We mc kwenye harusi yangu nakuita we ndo utakuwa mc wetu, namba yako tafadhali
😂😂 jamn mbona adi lahaa
Aiseee umependza sana neema ila bwan harus amekaa kishamba sana
Mama hongera sanaaaa umemlea maadili mazuri binti ya kimungu
❤honger xn
Ameni
Asinge vaa makope yamemuharibia
So emotional
Asante yesu arusi poa Amina enda namani
kwakweli jmn Mungu awepe Heri
Very powerful
Sasa mimi nalia nn jmniii a😂
Ukiwa single lazma ulie😂😂😂
😂😂😂😂
Neema ndo anakuliza
hon gera sana dada nskuombea maisha mema uniombee na mm binti yangu aje afikie atua hii hapa
MC una ogea sana tatizo 😂😂
Mwelewe maana hilo ndio jukumu lake😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤ from Kenya 🇰🇪🇰🇪
😂😂😂
Jamani huu wimbo inaitwaje huko TH-cam ,,naomba mwenye anaujua anisaidie Jina lake
Ila wahaaa
Mum is a pastor ooooo?!!!
Mc maneno mengi sana
Harusi Pambe ila vinywaji Hamna
Mc jamani unajua kuchombeza
Mama mchungaji nn
Nimzuri.tu.ukipiga.mungu.kamweshimisha
Ucjari kashaurinda et mama jiachie
😂😂😂😂😂