MSEMAJI WA COASTAL UNION ATHIBITISHA LAMECK LAWI ATACHEZA SIMBA SC

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 39

  • @JackMsuya-j6q
    @JackMsuya-j6q 19 วันที่ผ่านมา +3

    Top 10 TV mikundu yenu

  • @allysunday8614
    @allysunday8614 20 วันที่ผ่านมา +8

    Kichwa cha habari na maelezo aliyotoa msemaji wa Coastal Union ni vitu viwili tofquti kabisa... Yaani hata hajagusia chochote kuhusu Lameck Lawi.. Uandishi huu hauoneshi umahiri na weledi ktk uandishi wa habari... Huu bu ukanjanja

    • @yohanakayinga9279
      @yohanakayinga9279 19 วันที่ผ่านมา

      Yan wapuuzi sana hawa wandishi

    • @danieligledson5697
      @danieligledson5697 19 วันที่ผ่านมา

      Waandishi wa kitanzania hao vichwa vibovu anaandika kingne Juu ndani ukifingua unakuta vitu vya ajabu

    • @pcthemaster9096
      @pcthemaster9096 19 วันที่ผ่านมา

      Muongo sana uyu jamaa. Mm saizi ata aandike vip napita tu ata siangaiki ku view

    • @HauletKindole
      @HauletKindole 19 วันที่ผ่านมา

      Mwandishi usitufanye hamnazo, unatupotezea mb mjinga wewe

  • @DavidPeter-b3x
    @DavidPeter-b3x 19 วันที่ผ่านมา +1

    Nyie mbn mnatuchukulia maboya furani kichwa cha habari kilivyo andikwa nitofauti nayanayo zungumzwa

  • @khalidmwakabuta5045
    @khalidmwakabuta5045 20 วันที่ผ่านมา +2

    Mi nikajua mwandishi umekuwa bora zaidi kumbe ni wale wale wapuuzi kama wengine, kichwa cha habar kinginge habar nyingine ujinga uache

  • @SamiriSaidi-k3w
    @SamiriSaidi-k3w 19 วันที่ผ่านมา +1

    Mbona nyie jamaa waongo sana maelezo ya msemaji na kichwa cha habari ni different kabisa acheni hizo bahna andikeni kilichopo ndani ya jambo husika ndugu zangu

  • @eliahnjavike4827
    @eliahnjavike4827 20 วันที่ผ่านมา +2

    Hiyo ni kukufajamisha kwamba media zetu ni za hovyo na hazina weledi.

  • @simaishariffoum9882
    @simaishariffoum9882 19 วันที่ผ่านมา +1

    Channel ya ovyo sana hii

  • @IlhamKhalid-mt3jp
    @IlhamKhalid-mt3jp 19 วันที่ผ่านมา +2

    Insha allah mfungwa tena 2 0

  • @ernestkamata2555
    @ernestkamata2555 19 วันที่ผ่านมา +1

    Ninyi mnaiga timu kubwa zenye uwezo, kesho mtapigwa sana

  • @jaffaralimakame1533
    @jaffaralimakame1533 19 วันที่ผ่านมา +1

    MIKUMA NYIE MFUNGWE 80 BILA

  • @jonamnyone8014
    @jonamnyone8014 20 วันที่ผ่านมา +3

    Wachezaji wazingatie kuwa unapoitwa Europe Kwa majaribio chances za kufanikiwa ni 50 - 50 hivyo usipende Kwa kiburi. Ondoka Kwa maridhiano na timu yako ili usipofanikiwa wakupokee Tena

  • @AbisinaRashidi-c8d
    @AbisinaRashidi-c8d 19 วันที่ผ่านมา +1

    Coastal sis wanasimba tutawaombea mabaya hamtafika mbali na mtapigwa kama Ngoma na msimu ujao nafasi ya kumi mbwa nyie na uyo mchezaji pia atajuta

  • @waynesflansicx8032
    @waynesflansicx8032 18 วันที่ผ่านมา

    kichwa cha habari na post haviendani kbsa

  • @HamisiMbagulwa
    @HamisiMbagulwa 19 วันที่ผ่านมา

    Hamna akili kichwa cha habari kingine maelezo mengine

  • @mastermwakyembe1093
    @mastermwakyembe1093 20 วันที่ผ่านมา +1

    Wapi alipoongekea kuhusu Lameck mikundu nyie

  • @MsafiriBaruti
    @MsafiriBaruti 20 วันที่ผ่านมา +2

    Achani ujinga nyie wachezaji wote mlimpkonya kocha mkumbuke huyo kocha kasaidia kuifikisha timu katka nafasi ya nne hapo mmekurupuka tuu

  • @johnmnyema339
    @johnmnyema339 19 วันที่ผ่านมา +1

    Acheni ufa...

  • @theophilyedward2448
    @theophilyedward2448 20 วันที่ผ่านมา +1

    Nyoko nyieee

  • @yohanakayinga9279
    @yohanakayinga9279 19 วันที่ผ่านมา +1

    Wapumbavu ninyi

  • @SamwelKalonda
    @SamwelKalonda 13 วันที่ผ่านมา

    Wanonk'onyie

  • @najmjuma2880
    @najmjuma2880 19 วันที่ผ่านมา

    Nyie dawa yenu n badala ya kulike video n kudislike tu hii video iliiondolewe

  • @Moonshine-x8p
    @Moonshine-x8p 17 วันที่ผ่านมา

    Page Kama hizi inatakiwa usiangalie video zao maana ni wahuni kichwa cha habari na anachoongelea msemaji ni vitu tofauti HAWA NI WAHUNI

  • @deodatusnabaku6255
    @deodatusnabaku6255 19 วันที่ผ่านมา

    Mwandish unamdanganya nan?nina kuaunfolow kwahuu upumbavu wako!kichwa cha hbr ni tofaut na uhalisia

  • @geniuzinfromertz9546
    @geniuzinfromertz9546 16 วันที่ผ่านมา

    Hiki Ndo kinachofanya Millard Ayo Awe mstari wa mbele Sababu Anacho kiandika Ndo utakachokikuta..Na ndo maana Samisago kapotea na walikuwa sambamba ila kapotea kwa sababu hii ya ulichoandika kwenye caption hakifanani na kilicho ndani next time hata kama una taarifa za ukweli ataview Nani!!?..Unapoteza view wa kudumu kwa tamaa ya views wa haraka..😡😡

  • @miangijunior4358
    @miangijunior4358 17 วันที่ผ่านมา +1

    Wangapi Tunai Unsubscribe hii Chanel na kuiblock tujuane Mimi wa kwanza

  • @MosesMalale-kn2lz
    @MosesMalale-kn2lz 19 วันที่ผ่านมา

    Huu ni upuuzi mtupu yaani hivi mkiandika tu habar za kweli hampati views acheni upumbavu

  • @bakarimakalo7128
    @bakarimakalo7128 19 วันที่ผ่านมา

    Waandishi wengi Hawana Adabu. Ni vijana wajinga sana. Tena ni ....

  • @joelmichael9752
    @joelmichael9752 20 วันที่ผ่านมา

    We mwandishi huna tofauti na mazuzu na matapeli,unashindwa kujitambua na hujiamini ndio sababu unaweka taarifa za uongo mbwa wewe!

  • @jessemathew4696
    @jessemathew4696 19 วันที่ผ่านมา

    Admin wa hii channel hii huna akili.
    You tube wanatudai tu comment kistarabu lakini ww unapopost ujinga km huu unatarajia nini? Mpumbavu ww

  • @IlhamKhalid-mt3jp
    @IlhamKhalid-mt3jp 19 วันที่ผ่านมา

    Hamjielewi na tamaaa zenu za kijinga

  • @MuuYascohy-oc7os
    @MuuYascohy-oc7os 20 วันที่ผ่านมา

    Kumamako zenu angaliene iko kichwa cha habar mlichokiweka na kilichoongelewa kuma nyie fanyeni kaz kwa uweled bas kichwa habar kiendane na kilichozungumzwa ndani

    • @danieligledson5697
      @danieligledson5697 19 วันที่ผ่านมา

      Wakajifunze kwa Micky awape cnction

  • @revocatusmalimi4525
    @revocatusmalimi4525 20 วันที่ผ่านมา

    Mulipopata nafasi ya kushiriki kombe hili mukona tiyari mumechukua kombe hilo mukaendekeza malumbano na simba kuhusu mchezaji na kutofanya maandalizi ya kutosha,imekula kwenu

  • @DavidPeter-b3x
    @DavidPeter-b3x 19 วันที่ผ่านมา

    Nyie mbn mnatuchukulia maboya furani kichwa cha habari kilivyo andikwa nitofauti nayanayo zungumzwa