KIBU DENIS AVAMIA MASTORI YA KARABAKA NA CHASAMBI/UTATA WA KARABAKA/"MIMI MTOTO MDOGO SANA MJOMBA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 142

  • @beatricembunda6168
    @beatricembunda6168 4 หลายเดือนก่อน +24

    Waacheni watt na furaha zao ndani ya lunyasi ❤❤mnasema wameiga,hivi hamna la kusema.

  • @waziribori2280
    @waziribori2280 4 หลายเดือนก่อน +18

    Hawa ni wachezaji wa Simba watakaowika sana au kuimbwa sana baadae wako vizuri sana

  • @abelimaganga417
    @abelimaganga417 4 หลายเดือนก่อน +38

    Kitengo Cha habar kipo mikono salama Hawa watu ni wabunifu mnoooo maana page klabu haipoi❤❤❤❤🦁🦁🦁🦁🇹🇿🇹🇿😂👏👏👏🙏🙏

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 4 หลายเดือนก่อน +5

    ❤❤❤❤❤❤❤❤kiuweli simba raha sanaaaaaaaaa😂😂😂😂🦁🦁🦁🦁🦁💪💪💪💪🏽💪🏽ubaya ubwelaaaaa

  • @annajohn2488
    @annajohn2488 4 หลายเดือนก่อน +8

    Tunawapenda vijana wetu na hii inajenga upendo❤

    • @GloryMapunda
      @GloryMapunda 4 หลายเดือนก่อน +1

      Aswaaa

  • @kefangendwa3336
    @kefangendwa3336 4 หลายเดือนก่อน +8

    Simba raha waanzirish wa kila kitu🎉🎉🎉🎉

  • @maryamhashim1759
    @maryamhashim1759 4 หลายเดือนก่อน +2

    I love you simbaaaaa ❤❤

  • @RahmIssa-c6q
    @RahmIssa-c6q 2 หลายเดือนก่อน

    Waaoooh I like it❤❤ ubaya ubwelaa❤❤

  • @RizikiclementiRizikiclemen-i1z
    @RizikiclementiRizikiclemen-i1z 4 หลายเดือนก่อน +4

    Naitwa riziki clmnt mwana simba nawa.peda wachezaji wa simbac mmwaaaa simb❤

  • @MahaSaeed-hf3gs
    @MahaSaeed-hf3gs 4 หลายเดือนก่อน +13

    Congratilations ubaya ubwela

  • @RaphaelRapha-vz2sh
    @RaphaelRapha-vz2sh 4 หลายเดือนก่อน +14

    Story izur pia upendo ndani yasimba Raha sana

  • @saidizuber8831
    @saidizuber8831 4 หลายเดือนก่อน +1

    Simba nguvu moyaaaaaaaaa

  • @AcksunBonifas-mj2sw
    @AcksunBonifas-mj2sw 4 หลายเดือนก่อน +2

    simba's my life❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @LauMagwaja
    @LauMagwaja 4 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤simba nguvu moja 💪

  • @Husna-jf5qg
    @Husna-jf5qg 4 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤simba yetu nguvu moja

  • @barackmoses7003
    @barackmoses7003 4 หลายเดือนก่อน +15

    Nimeupenda huu mfumo kila siku tuleeteni wawili au watat

  • @LassonDominick
    @LassonDominick 4 หลายเดือนก่อน +16

    😂😂 hawa jamaa wana story daaah had raha! Nataman niwepo hapo nimemisi school life😢

  • @bigirumanalululouise4540
    @bigirumanalululouise4540 4 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤Nawapenda san 🇧🇮🇧🇮🇸🇦🇸🇦

  • @magrethjacob1191
    @magrethjacob1191 4 หลายเดือนก่อน +3

    kwahiyo sisi tunaoishi kigogo ni waswahili😂😂cjapenda

  • @luluray2115
    @luluray2115 4 หลายเดือนก่อน +14

    Nimefurai sana 😂😂 najikuta nacheka

  • @B12Dazzen
    @B12Dazzen 4 หลายเดือนก่อน

    Simba vijana wa kazi wapo kazini pigeni kaz vijana

  • @hamisihamadi8337
    @hamisihamadi8337 4 หลายเดือนก่อน +2

    Duuu saf sana💪💪💪

  • @Fofo-z6t
    @Fofo-z6t 4 หลายเดือนก่อน +3

    Et😂😂wanaongea wao huko Mie huku nafrahi simb hii mtanipa uchiz mjue ❤🤍🤍🤍♥️♥️🦁🦁🦁🦁Penda sana chama langu 😊

  • @jacksonmtenga1276
    @jacksonmtenga1276 4 หลายเดือนก่อน +5

    Madogo wanaenjoy kuwa Simba

  • @absm8084
    @absm8084 4 หลายเดือนก่อน +2

    Hivi ndivyo tunataka❤❤❤❤❤

  • @WendeMposola
    @WendeMposola 4 หลายเดือนก่อน +1

    Simba nguvu moja ubunifu kila kona ❤❤

  • @GeorgeTereven
    @GeorgeTereven 4 หลายเดือนก่อน

    Ubaya ubwela❤❤❤❤❤❤

  • @DainessDainess
    @DainessDainess 4 หลายเดือนก่อน

    Nguvu moja🇹🇿🇹🇿🏆🏆⚽⚽

  • @Lightinessmfumakule-w2n
    @Lightinessmfumakule-w2n 4 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤ vijana endeleeni naupendo huo ata mkiwa uwanjani

  • @JavierIsmail-tq2xd
    @JavierIsmail-tq2xd 4 หลายเดือนก่อน

    Mmetisha vijana ❤❤

  • @AbednegojrMachum-jh4js
    @AbednegojrMachum-jh4js 4 หลายเดือนก่อน

    Nguvu 1🦁

  • @abouamazing3406
    @abouamazing3406 4 หลายเดือนก่อน

    Nguvu mojaa 💪

  • @afcon4155
    @afcon4155 4 หลายเดือนก่อน +2

    Simbaaaaa mastor

  • @jennyDeusi
    @jennyDeusi 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kalabaka nakupenda❤❤

    • @NoshadiHenje
      @NoshadiHenje 4 หลายเดือนก่อน

      Nikupe namba yake uwe unapiga naye store

  • @KhamissiNikha
    @KhamissiNikha 4 หลายเดือนก่อน +3

    Ila karabaka noma sana aliupiga mwing

  • @IbrahMoyo
    @IbrahMoyo 4 หลายเดือนก่อน +3

    Unajua kibu ukimwona anafanana na mabululu yule muangola lkn kibu kwann ewe hurengi shabaa km za mabululu langoni upo tafu spidi dribolingi nzur shida nini kurenga lango ndugu yangu sisi mashabiki tunakupenda kibu shida hurengi lango Bora kipa acheze sio kupiga nje Kaka pls 🙏🙏badilika ndugu yangu mabululu wangu wa Simba sc..

  • @DavidPaschal-h3l
    @DavidPaschal-h3l 4 หลายเดือนก่อน +2

    Nguvu moja

  • @LeahJordan-lt4uc
    @LeahJordan-lt4uc 4 หลายเดือนก่อน

    Watoto mnanikosha sana❤❤

  • @davidmollel2988
    @davidmollel2988 4 หลายเดือนก่อน

    Safi Sanaa

  • @AbdullrazackHussein
    @AbdullrazackHussein 4 หลายเดือนก่อน +7

    Kibu fanya mpango uwakande komaaaa mazoezini kakaa

  • @molenicharles9107
    @molenicharles9107 4 หลายเดือนก่อน +7

    Kibu diiii..kibu mkandajiii....Raha hixo uliataka kuzipiga kibutii...KENGE wale wasikupoteze direction🤣🤣

    • @lindambilinyi6253
      @lindambilinyi6253 3 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂😂😂na sis tumemsamehe mazima

  • @SimuliziZaOscar
    @SimuliziZaOscar 4 หลายเดือนก่อน

    Nimeenjoy sana

  • @alexmasinde2471
    @alexmasinde2471 4 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂 heeeeee UBAYA UBWELA kweli 👁️👁️ nakubari 💪🦁🦁💪💪🦁

  • @PhilipsDones
    @PhilipsDones 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ubaya ubwela raha sana

  • @YohanmechaMarwa
    @YohanmechaMarwa 3 หลายเดือนก่อน

    Nawapenda

  • @josephinejoseph3618
    @josephinejoseph3618 4 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤🎉🎉

  • @HadijaAbdalah-i9d
    @HadijaAbdalah-i9d 4 หลายเดือนก่อน

    ❤️❤️❤️🦁🦁

  • @EmanuelMoses-g2t
    @EmanuelMoses-g2t หลายเดือนก่อน

    Pamoja San wana familia

  • @BarteziLucas
    @BarteziLucas 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mnapendana sana inapendeza

  • @DenisBablay
    @DenisBablay 4 หลายเดือนก่อน

    Hiyo ndo Simba mastor zangu apa

  • @jumambarale699
    @jumambarale699 4 หลายเดือนก่อน

    Raha hii ndio simba mastory

  • @NtamamiloGibson
    @NtamamiloGibson 4 หลายเดือนก่อน

    Nimejikuta nacheka sana. Chasambi anatumaneno twakuchekesha sana😂😂😂

  • @jamesmwilima1358
    @jamesmwilima1358 4 หลายเดือนก่อน +8

    Huku tulipo wanayanga washaanza kutulia kinachobakia tumieni juhudi za ziada mpira upasue safi za walinzi

    • @NeymaTarimo-uk1zw
      @NeymaTarimo-uk1zw 4 หลายเดือนก่อน +1

      Dah😂😂😂umenichekesh sana kaka

    • @edwingideon3606
      @edwingideon3606 4 หลายเดือนก่อน +1

      Sema Utopolo, sio Yanga

  • @ammyjr...bestgamer4640
    @ammyjr...bestgamer4640 4 หลายเดือนก่อน

    Good idea😂😂

  • @laurentwilson-db4ir
    @laurentwilson-db4ir 4 หลายเดือนก่อน +7

    Wakuu wa ubaya ubwela na story tamu tamu

  • @raajtz8073
    @raajtz8073 4 หลายเดือนก่อน

    Watu wapole ila ile uwanjani wabishi❤

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 4 หลายเดือนก่อน +1

    Utoporo wataiga tu😂😂😂😂😂kazi kuiga tu kuoga ahhha😂😂😂😂

  • @Enokeyjaqsone
    @Enokeyjaqsone 4 หลายเดือนก่อน

    Hajui kusoma au

  • @MeshackChenya
    @MeshackChenya 4 หลายเดือนก่อน

    Nawapenda san

  • @ibrahimimu4618
    @ibrahimimu4618 4 หลายเดือนก่อน

    Yaani zote zilizopita hawajamaaa wanaskilizika 😅😅😅😅#simbanguvumoja

  • @Mumlion2624
    @Mumlion2624 4 หลายเดือนก่อน

    Hahaha mnapendan sana

  • @Salum-ij6mg
    @Salum-ij6mg 4 หลายเดือนก่อน

    Pesa ikiingia kwa watoto inakua ubaya ubwera🦁🦁🦁🤣🤣🤣🤣

  • @GoodluckNjau-km3ym
    @GoodluckNjau-km3ym 3 หลายเดือนก่อน

    Ahahaha nime cheka sana safi sana wana ,eti mafuta uta yaweza ahahaha

  • @Immahjr
    @Immahjr 4 หลายเดือนก่อน +2

    Hii movie hii part 2 haipo

  • @LaurentFrenk
    @LaurentFrenk 3 หลายเดือนก่อน

    Karabaka mselaaa sanaaa😅😅

  • @malengaWetuTv2699
    @malengaWetuTv2699 4 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @chandeemanuel6303
    @chandeemanuel6303 4 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤

  • @malietamaliet
    @malietamaliet 4 หลายเดือนก่อน +1

    Karabaka anavyoongea kama vile nimgonjwa😂

  • @judithkisavanga7244
    @judithkisavanga7244 4 หลายเดือนก่อน

    Chasambi unapendaa story😂😂😂😂

  • @FestonSengo
    @FestonSengo 4 หลายเดือนก่อน

    Upendo uzidi wakati wote

  • @Nsanyabrand
    @Nsanyabrand 3 หลายเดือนก่อน

    Simba tv owekeni Azam tv itakuwa unyama

  • @hadijamaiga948
    @hadijamaiga948 4 หลายเดือนก่อน

    🥰

  • @yuleboywapili2494
    @yuleboywapili2494 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kwnini amjawapa watoto chai😅

  • @allymwashambwa5920
    @allymwashambwa5920 4 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂Kigogo

  • @jumambarale699
    @jumambarale699 4 หลายเดือนก่อน

    Ubaya ubweeeeeeelaaa

  • @turogabriel4070
    @turogabriel4070 4 หลายเดือนก่อน

    Karabaka anajikuta muhuni😂😂😂😂

  • @JudithMwambole
    @JudithMwambole 4 หลายเดือนก่อน +1

    Vijana

  • @RisiandumiEphata
    @RisiandumiEphata 11 วันที่ผ่านมา

    Jmn wanasimba mbona huyu dogo hachezeshi shida n nn na n mzuri tu. Swalehe karabaka tunaomba apewe nafsi na c kuuwa vipaji vya wachezaji Kwa sababu mlimsajili Kwa kuwa mlimwona n mzr. Iweje akalie benchi?

  • @aminaabdalla-uo9zq
    @aminaabdalla-uo9zq 4 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa me nacheka nn😂😂😂

  • @idrissahathumani5136
    @idrissahathumani5136 4 หลายเดือนก่อน

    Samba nguvumoja

  • @jumajagwasangala9215
    @jumajagwasangala9215 4 หลายเดือนก่อน

    😊😊😊

  • @SamsonSimba-k4l
    @SamsonSimba-k4l 4 หลายเดือนก่อน

    👏👏👏👏👏👏👏👏🦁❤️💪

  • @josephvenus3259
    @josephvenus3259 4 หลายเดือนก่อน

    KOCHA ATUPANGIE KIKOSI CHA WATU WA MBELE, CHASAMBI, KALABAKA NA BARUA. AKIJARIBU SIKU MOJA HATOMPANGA KIBU TENA KWENYE KIKOSI CHA KWANZA

  • @MohammedySaidy-m8x
    @MohammedySaidy-m8x 4 หลายเดือนก่อน

    ILA KIGOGO😂😂😂😂

  • @JenethShadrack
    @JenethShadrack 4 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤😂😂😂

  • @neemaraphael8732
    @neemaraphael8732 4 หลายเดือนก่อน +2

    Chasambi mdgo sana anapnekana tu

  • @NasoMussa-e8r
    @NasoMussa-e8r 3 หลายเดือนก่อน

    Unyama

  • @jofreymwampamba1236
    @jofreymwampamba1236 4 หลายเดือนก่อน

    Ety mtelemko nyumbn sipiki 😂😂😂😂

  • @RizikiclementiRizikiclemen-i1z
    @RizikiclementiRizikiclemen-i1z 4 หลายเดือนก่อน

    Naoba kibudenis aogee kisukuma

  • @عزيزه-ر1ه
    @عزيزه-ر1ه 4 หลายเดือนก่อน

    😂😂 kigogo

  • @Thomasmeleji471
    @Thomasmeleji471 3 หลายเดือนก่อน

    Chasambi chasambi

  • @dixhangdecious7528
    @dixhangdecious7528 4 หลายเดือนก่อน

    Dah kigogo sio poa mwenyew nmeama juz

  • @alfredmtatina9318
    @alfredmtatina9318 4 หลายเดือนก่อน

    🤣🤣karabaka so mtu,anapiga watu bila sababu

  • @josephvenus3259
    @josephvenus3259 4 หลายเดือนก่อน

    CHASAMBI APEWE NAFASI ZAIDI KWENYE KIKOSI CHA KWANZA

  • @KhamisiMbarami
    @KhamisiMbarami 4 หลายเดือนก่อน

    Hii itawafanya wachezaji waweze kujieleza pia wawe wenyekujiamini katika midia.

  • @musampanda3643
    @musampanda3643 4 หลายเดือนก่อน

    Vijana wanakula life

  • @mfalmewanyika.
    @mfalmewanyika. 4 หลายเดือนก่อน

    KIGOGO🤣🤣🤣🤣

  • @halimalachpat1927
    @halimalachpat1927 4 หลายเดือนก่อน +1

    Jenga nyumba kwanza ndipo ununue gari unanunua gari huku unapanga?

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 4 หลายเดือนก่อน +1

      Wewe umejuaje km wanapanga na hawakujenga nyumba ?

  • @FumaoFumao-d8w
    @FumaoFumao-d8w 4 หลายเดือนก่อน

    Navona waigaji wakiiga kiaina

  • @JoshuaDawido-p2o
    @JoshuaDawido-p2o 4 หลายเดือนก่อน

    inapendeza san