AHMED ALLY ALAMBA DILI LA UBALOZI, AMPIGIA ALLY KAMWE SIMU KUMTAMBIA "HANA HATA BIASHARA "

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 171

  • @IssaMatandi
    @IssaMatandi 4 หลายเดือนก่อน +49

    Ahmedi Aly na Aly kamwe kiukweli hawa jamaa wapo vizuri sana.Na wanaendana sana.Kuukweli mungu awajalie maisha marefu.Wapo vizuri sana.

    • @KongoJefwa
      @KongoJefwa 4 หลายเดือนก่อน +4

      Ameen wamejitolea ki ukweli mwenye kujitahidi upata

    • @hassanlikwenangu8471
      @hassanlikwenangu8471 4 หลายเดือนก่อน +1

      Kunaa "WAITI" fulani ametugombanisha sana kum**ke

    • @tunukid3758
      @tunukid3758 4 หลายเดือนก่อน

      @@hassanlikwenangu8471😂😂😂😂 waiti kashapotea kwenye mfumo

    • @omarkipotwile9052
      @omarkipotwile9052 4 หลายเดือนก่อน

      @@hassanlikwenangu8471 Kalikonji sahivi amebaki na mapenzi tu

  • @yonawilliam9419
    @yonawilliam9419 4 หลายเดือนก่อน +14

    Ninyi mnafanya tuone mpira si uadui, bali ni burudani na ajira. Hongereni sana kwa kuitumia fulsa zaidi ya ajira zenu. I really like it

  • @ziadamuhunzi6210
    @ziadamuhunzi6210 4 หลายเดือนก่อน +27

    Nawapenda sana the way mnakumbukana na mnasuportiana kwa kila hatua kwa kweli im hppy to hear you guys in touch mostly of the time big up sana vijana

  • @ShaulizSeleman
    @ShaulizSeleman 4 หลายเดือนก่อน +4

    AHMED ALLY NOMA SANA ALAF HII SERIKALI YETU KALIBIA WOTE NI SIMNA SC ❤❤❤SIMBA KUBWA SANA

  • @mwajumamsogoti95
    @mwajumamsogoti95 4 หลายเดือนก่อน +12

    Mungu awaunganishe kaka zangu mfanye kazi vizur kwa umoja nimeipenda sana umoja wenu mungu awasaidie

  • @lydiathomas2905
    @lydiathomas2905 4 หลายเดือนก่อน +38

    Hongera sana Ahmed Ally. Sisi mashabiki wa Simba tuko pamoja na wewe.

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 4 หลายเดือนก่อน +3

    ...Nadhani Ahmed Ally anafaa kuwa Msemaji wa Idara ya Kitengo chochote cha Serikali. BIG UP TO YOU Brother..💪

  • @LindaMbilinyi-n3n
    @LindaMbilinyi-n3n 4 หลายเดือนก่อน +20

    Wa kwanza leo😂😂😂😂😂Ahmed juu ubaya ubwela😂😂😂❤❤❤❤

  • @ShaulizSeleman
    @ShaulizSeleman 4 หลายเดือนก่อน +2

    UBAYA UBWELA IMETAWALA KILA KONA ❤❤❤ SIMBA NAMB 1

  • @hajimahamudu7059
    @hajimahamudu7059 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hii safi sana semaji letu halina choyo kambusti mwanawe sasaivi utasikia kamwe nae kapata shavu this is ❤

  • @endwardntandu3736
    @endwardntandu3736 4 หลายเดือนก่อน +7

    Kila LA kheri Mr Ahmed Ally ujumbe wetu UBAYA UBWELA

  • @SamsonSimba-k4l
    @SamsonSimba-k4l 4 หลายเดือนก่อน +12

    Semaji la nchi 🇹🇿👏👏👏🙏🙏

  • @kitoleally
    @kitoleally 4 หลายเดือนก่อน +1

    Allah azidi kuwaunganisha ktk michezo , uchumi na masuala ya kijamii. Allah awabariki mno. Amin

  • @deograusmaswi3502
    @deograusmaswi3502 4 หลายเดือนก่อน +3

    Ally na Ahmedi ni mwijako na baba levo....great combination

    • @angellomarcel5677
      @angellomarcel5677 4 หลายเดือนก่อน

      Combination ya Comedy ya Watu wenye ELIMU

  • @sngrafx8000
    @sngrafx8000 4 หลายเดือนก่อน +2

    Hawa watu Mwenyez Mungu awafungulie rizki

  • @IssaMatandi
    @IssaMatandi 4 หลายเดือนก่อน +15

    Hawa jamaaa wapo vizuri sana.

  • @IlhamKhalid-mt3jp
    @IlhamKhalid-mt3jp 4 หลายเดือนก่อน +14

    Keep going masha allah

  • @AdamCheze
    @AdamCheze 4 หลายเดือนก่อน +5

    Nawakubali sana kama vijana wenzangu wa Tanzania na kama wasemaji mnaofanya soka liwe ni undugu sio uadui

  • @sashawambura
    @sashawambura 4 หลายเดือนก่อน +3

    We really admire you, UBAYA UBWELA

  • @FrankMkome-df9bn
    @FrankMkome-df9bn 4 หลายเดือนก่อน +3

    mwamba anazidi kupeperusha chama lake la simba ❤❤❤

  • @MADINAKITEMO
    @MADINAKITEMO 4 หลายเดือนก่อน +13

    Hongera sana semajii letu la CAF Ahmedi Ally

  • @abdallahmikidadi7341
    @abdallahmikidadi7341 4 หลายเดือนก่อน +15

    Tuach mapenzi ya vilabu kiukweli napenda sana team work inayofanywa na hawa watu wawili hakuna ugomvi matusi kama wasemaji waliopita kwenye utani wa mpira wapo lakini kuna kitu cha ziada walicho nacho ndiyo maana wanakula shavu kwa pamoja hawa roho ya umimi bora wote wapate

  • @bbclondonulimwenguwasoka6126
    @bbclondonulimwenguwasoka6126 4 หลายเดือนก่อน +9

    Hongera sana kijana utafika mbali

  • @FrankMkome-df9bn
    @FrankMkome-df9bn 4 หลายเดือนก่อน +2

    semaji la caf lazidi kuchanja njia ❤❤❤❤

  • @Ommybabaa47
    @Ommybabaa47 4 หลายเดือนก่อน +6

    ❤️ALHAMDULILLAH❤️ 🇹🇿 🇦🇪

  • @STELLAMARCELY
    @STELLAMARCELY 4 หลายเดือนก่อน +14

    Semaji letu pendwa....Ubaya ubwela🎉🎉

  • @Ayubuhilaly
    @Ayubuhilaly 4 หลายเดือนก่อน +8

    Saluti kwenu nawapenda sana mnavyoishi

  • @ZubedaMgaya
    @ZubedaMgaya 4 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera Ahmed Ally

  • @davidmlima7808
    @davidmlima7808 4 หลายเดือนก่อน +16

    MWAMBA AHMED ALLY
    UMETENDEA HAKI UBAL0ZI
    HUUU, NA SIMBA LAZIMA
    UITAJEE SANAA

  • @Banzok700
    @Banzok700 4 หลายเดือนก่อน +4

    😂😂😂
    Big up brother, naisubiri hyo elimu ndugu

  • @RukiaMazai
    @RukiaMazai 4 หลายเดือนก่อน +5

    Hongera sana Ahmed Ally

  • @hamzaamry6251
    @hamzaamry6251 4 หลายเดือนก่อน

    Yule mzungu pori alituaminisha mpira ni uadui na vita lakini hawa vijana wameleta mabadiliko kwenye tasnia ya mpira kuwa mpira siyo uwadui binafs nafurahi kuwaona wamempoteza mazima yule mpiga kelele mnajua🙌🙌🙌🙌

  • @AsheryMahayu
    @AsheryMahayu 4 หลายเดือนก่อน +2

    Semaji la CAF
    good job

  • @absm8084
    @absm8084 4 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤❤❤❤❤❤ ila nawapenda fanyeni kazi

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 4 หลายเดือนก่อน +6

    Hongera sana family auna baya kaka yangu Pambana kijana wangu

  • @davidsimbeye1548
    @davidsimbeye1548 4 หลายเดือนก่อน +10

    Jamaa yuko vizuri sana kichwani

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 4 หลายเดือนก่อน +2

      Ahmed Ally shule IPO ndugu

    • @JuliusMahinya-wl7mq
      @JuliusMahinya-wl7mq 4 หลายเดือนก่อน +1

      Hapo umetudanganya😂😂😂! Huyu ni comedian kama ulivyo kwa Masanja, Mpoki na Joti

    • @yokoi3970
      @yokoi3970 4 หลายเดือนก่อน

      Embu jaribu na ww fala na utabaki masikini wa akili mwezako yupo kwenye kideo na ww huko na dada zako una hate ha ha ha ​@@JuliusMahinya-wl7mq

  • @MathiasBonifasi
    @MathiasBonifasi 4 หลายเดือนก่อน +11

    Ila hawa Jamaa kiukweli Wana injoi sana ukiwa na msela wako mkuwa hivi Raha sana

  • @fettyabuu2644
    @fettyabuu2644 4 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤❤ongera sana mwambaa

  • @fabianlucas3594
    @fabianlucas3594 4 หลายเดือนก่อน +1

    Semaji la CAF 🎉 hongera sana
    Tuko pamoja nawe.

  • @rashidichuri1149
    @rashidichuri1149 4 หลายเดือนก่อน +3

    manara ajifunze sana kwahawa vijana maana yeye kila kitu niugomvi tu

  • @fettyabuu2644
    @fettyabuu2644 4 หลายเดือนก่อน

    Ongera sana kijana uko vizuri sanaaa

  • @shabanimwinyikhery1174
    @shabanimwinyikhery1174 4 หลายเดือนก่อน

    Hongera semaj letu

  • @fettyabuu2644
    @fettyabuu2644 4 หลายเดือนก่อน

    Wewe ni semaji la Dunia

  • @SamsonSimba-k4l
    @SamsonSimba-k4l 4 หลายเดือนก่อน +5

    Simba bingwa 🏆🏆🦁💪💪💪💪

  • @NeemaMushi-wj1zn
    @NeemaMushi-wj1zn 4 หลายเดือนก่อน +1

    Semaji la caf🎉🎉🎉

  • @TatuNhonoli
    @TatuNhonoli 4 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana semaji letu. Semaji mimi niko Zanzibar nahitaji kadi ya uanachama wa simba naipataje na ni bei gani?

  • @HusseinBundara
    @HusseinBundara 4 หลายเดือนก่อน

    Safi sana ❤❤❤❤❤❤

  • @bigirumanalululouise4540
    @bigirumanalululouise4540 4 หลายเดือนก่อน

    Ubaya ubwela❤❤❤

  • @ANZURUNAMAN
    @ANZURUNAMAN 4 หลายเดือนก่อน

    Ongera sanaa

  • @riyadhamasha2404
    @riyadhamasha2404 4 หลายเดือนก่อน +1

    Naukubali sana ushkaji wa ahmedi na kamwe,,

  • @YusterLeonard
    @YusterLeonard 4 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana 2:34

  • @romanshirima5883
    @romanshirima5883 4 หลายเดือนก่อน

    Hawa watu safi sana❤

  • @gabrielmamela2206
    @gabrielmamela2206 4 หลายเดือนก่อน +5

    Nawasalimu katika jina la Simba Sports club
    UBAYA UBWELA😂😂😂😂
    NIMEPENDA HII

    • @sarahmathias3518
      @sarahmathias3518 4 หลายเดือนก่อน

      Yaan imetuliajeee!!!dah😅

    • @sarahmathias3518
      @sarahmathias3518 4 หลายเดือนก่อน

      Ubaya ubwela kweliiii!

  • @israelmunuo7938
    @israelmunuo7938 4 หลายเดือนก่อน

    Ubaya ubwela 🎉🎉🎉

  • @neemamasimba2981
    @neemamasimba2981 4 หลายเดือนก่อน

    Na wameshalamba dume. Hongera kwenu

  • @TumainiMbati
    @TumainiMbati 4 หลายเดือนก่อน

    Hawa ni ndugu tena zaidi ya ndungu Mungu awape moyo huo huo Kwa Kila mmoja

  • @Tee-King
    @Tee-King 4 หลายเดือนก่อน +3

    Ahmed ni mtt wa Ally...... kamwe

  • @saimonijonas4356
    @saimonijonas4356 4 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂Nimecheka sana.

  • @allymwashambwa5920
    @allymwashambwa5920 4 หลายเดือนก่อน

    Tunakupenda Ahmedi na maneno ya shetani hayatakupata kaka

  • @Wami-Sababisho
    @Wami-Sababisho 4 หลายเดือนก่อน +4

    Hapo Ally Kamwe ndio amepush zaidi ya aliyepewa Ubalozi 😂😂😂😂😂😂

    • @Abuuhamda256
      @Abuuhamda256 4 หลายเดือนก่อน +1

      Wote mabalozi mzee wa hiyo kitu so usichukulie too personal

    • @asmaramadhani8592
      @asmaramadhani8592 4 หลายเดือนก่อน +1

      Alikamwe ndo alianza kuitwa na alimpigia sm Ahmed

    • @gabrielmwambogo3891
      @gabrielmwambogo3891 4 หลายเดือนก่อน

      wami sababisho niny ndo watu hamkosaji wivu usio maan kweny jamii yako

  • @haidhautumwahawezikuisha8779
    @haidhautumwahawezikuisha8779 4 หลายเดือนก่อน

    Safi sana,wasemaji nafurah wanavopata endorsement

  • @FrankKongwe
    @FrankKongwe 4 หลายเดือนก่อน

    Ongera kijana

  • @hajisaid1457
    @hajisaid1457 4 หลายเดือนก่อน

    Umefaa kuwa balozi kaka..unajua mno!!

  • @WaziriRamadhan-ML
    @WaziriRamadhan-ML 4 หลายเดือนก่อน

    Daaah awa jamaa wamenichekesha sana leoooo😂😂😂

  • @GatsonGweso
    @GatsonGweso 4 หลายเดือนก่อน

    Safi sana kaka

  • @MATEOJOSEPH-nc8gf
    @MATEOJOSEPH-nc8gf 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ubaya Ubwela

  • @IddyZohan
    @IddyZohan 4 หลายเดือนก่อน +3

    Hawa jamaa wanaonyesha kwamba mpira si uwadui..Manara bora astaafu tu hawa jamaa wanatosha sana

  • @RamosMicrocredit-v6o
    @RamosMicrocredit-v6o 4 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana ubaya ubwela

  • @gudimbwana8088
    @gudimbwana8088 4 หลายเดือนก่อน

    Upendo na umoja huwezesha connection na malengo kutimia

  • @josephvenus3259
    @josephvenus3259 4 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉🎉

  • @HerielJoel-d7g
    @HerielJoel-d7g 4 หลายเดือนก่อน

    Mbay tu

  • @PhillyAmbilikile
    @PhillyAmbilikile 4 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂nawasalimu kwa jina la Simba sports club 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Minjum-j5m
    @Minjum-j5m 4 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤

  • @frankmalema5350
    @frankmalema5350 4 หลายเดือนก่อน

    Simba inawapa heshima na vibarua vikubwa wasemaji wake alikuwa manara sasa semaji la caf ndio maana haji amepotea anahangaika kurudi unyamani 😂😂😂😂
    Pongezi sana semaji

  • @marselinarweyemamu4034
    @marselinarweyemamu4034 4 หลายเดือนก่อน

    Ninachojua mm Amedy Ally atamvuta swahiba wake ili wote wanufaike Ama kweli ubya ubwela

  • @marselinarweyemamu4034
    @marselinarweyemamu4034 4 หลายเดือนก่อน

    Tusipangiane

  • @barakakilama5147
    @barakakilama5147 4 หลายเดือนก่อน +5

    Keep going bro

  • @josephatisidori3060
    @josephatisidori3060 4 หลายเดือนก่อน +2

    Kweli hivi vichwa viwili vinatufanya kuahirisha mpango wa kuihama nchi hii😂

  • @Sebastianmangenyi
    @Sebastianmangenyi 4 หลายเดือนก่อน

    Mama samia anapowekeza kwenye michezo kuna watu hawamuelewi, mama ana malengo mengi kupitia michezo

  • @joelsamwel2580
    @joelsamwel2580 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kiufupi apo ahmed kacheza kama pele ally kamwe soon Wanamaker na yeye ubalozi akili kubwa sana

    • @KeaAbdallah
      @KeaAbdallah 4 หลายเดือนก่อน

      Kwan hii c niile aliosain ally kamwe thn akampgia cm Ahmed. Bila shaka Dil n hilhil sema wamesain CK tofaut

  • @Juliusantipas
    @Juliusantipas 4 หลายเดือนก่อน

    UBAYA UBWELA

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kula matunda kijana hii ndio simbaaa,,,na ndio maana manara anateseka hadi leo

  • @SalumSalum-k1n
    @SalumSalum-k1n 4 หลายเดือนก่อน

    upo vizuri kwenye uzungumzaji ni kweli ww ni semaji la dunia

  • @ambakisyemwanjemba5787
    @ambakisyemwanjemba5787 4 หลายเดือนก่อน +1

    semaji limeanza kula maisha yule mzungu ameanza kuchanganyikiwa alikoenda anatafutiwa cha fufanya

  • @JosephAtanazi-hs3gw
    @JosephAtanazi-hs3gw 4 หลายเดือนก่อน +5

    Nawasalimu kwa jina simba sport club ( ubaya ubwela) ile nawasalimu kua jina la muungano wa tanzania ( kazi iendelee) imepitwa na wakati kwa sasa ubaya ubwela ndio habari ya mjini

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c 4 หลายเดือนก่อน +1

    ILA MILARD TAJIRI SANA,,WE KILA KUNAKOKUCHA HUKOSI TANGAZO DAH MAISHA HAYA❤

  • @FAUSTINAULEDI-ln5fi
    @FAUSTINAULEDI-ln5fi 4 หลายเดือนก่อน

    Semaji letu tunazidi kukuombea ss mashabiki wa Simba uzidi kuonekana zaidi na dili nyingi zikufuate semaji

  • @ChaseGabagambi
    @ChaseGabagambi 4 หลายเดือนก่อน

    Haji ajifunze kupitia nyie watu😂😂😂😂

  • @suleimanjokoro
    @suleimanjokoro 4 หลายเดือนก่อน +2

    Na sisi tunasubiri atokee mkurugenzi aitwaye Dennis Yanga, atatupatia ubalozi.😂

  • @chotark1881
    @chotark1881 4 หลายเดือนก่อน

    Niwasalimu kwa jina la Simba sport clubu "ubaya ubwela"😅😅

  • @Nuru8700
    @Nuru8700 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amepata ubalozi kwasababu yeye ni mfanya biashara

  • @frankmwinuka6298
    @frankmwinuka6298 4 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂ubaya ubwela

  • @allyhamisi-pq7yf
    @allyhamisi-pq7yf 4 หลายเดือนก่อน +1

    NeST Ubaya Ubwela

  • @mtangag774
    @mtangag774 4 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂uwiiiiii Hawa jamaa hatar

  • @GofA2023
    @GofA2023 4 หลายเดือนก่อน +1

    Manara alitaka aharibu, Mpira sio uadui.

  • @HairuIssa-f9y
    @HairuIssa-f9y 4 หลายเดือนก่อน

    Ubaya ubwelaa

  • @Mahonda8080
    @Mahonda8080 4 หลายเดือนก่อน

    How we supposed to live

  • @BonaventureBazira
    @BonaventureBazira 4 หลายเดือนก่อน +2

    Kumbe hawa washkaji ni maswahiba!

  • @mankamanka7415
    @mankamanka7415 4 หลายเดือนก่อน +1

    Semaji la nchi ongera sn hunakoendeya nakuwombeya huchahuliwe ht uwe mbunge au DC

  • @EmmanuelMatogolo-l2y
    @EmmanuelMatogolo-l2y 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nawasalimu kwa jina la Simba Sc
    Ubaya ubwela 😂😂😂