Mambo ni mengi muheshimiwa mda ni mchache hofu yangu kuuwacha mirajdi njiani mrisi wako atayamudu kumaliza ama yatakuwa ya karume mkubwa na nyumba za michenzani na zile za vijiji mfano kombeni nyamazi maungani dunga chaani na kwengineko mzee alikufa na vikaishiya hapo😢😢😢 Tunakuombeya umalize ama upate mrithi anoumwq na nchi utapoishiya aendeleze kwa kasi ileile nguvu ileile .mungu akulinde akutunze afya njema akupe wewe na wasaidizi wako mukamilishe maxuri na mema yote alama ionekane Natamani kabla sijafa kuona uliyoyaahidi mola atatuwqfikisha tuyashuhudiye amin yarab laalamin inshaalla dua iwe maqbul. Hongera rais wetu
Allah akufanyie wepesi katika safari hii ya uongozi wako mzuri na akuzidishie afya na familia yako amin. Hapa mabadiliko tumeyaona kwa muda mfupu. BarakaAllah fih. Rais wetu. Hofu ipo hapa jee ukimaliza muda wako wa uongozi huyo ataefatia atapeleka gurudumu mbele is maendeleo . Au ataturejesha nyuma ?
Jee kumsema kiongozi ndio suluhisho? Dini yetu imetufunza Ikiwa kiongozi atakua mbaya basi tunafaa kumuomba ALLAH amuongoze afanye uadilifu na haki na sio kumkashif na kumlaani sio sahihi bali kumlaani ndio twajipa matatizo sio tunafaa tusome uislam Alhamdulilah haujaacha kitu
@@Awatee mwinyi si mbaya vo ila hajakaa katika utawala kwa ridhaa za wazanzibar amekaa kwa dhulma nd hicho kinachouma ,kwaio hawez kuleta mamlaka kamili kwa wazanzibari
@@AwateeMimi kuitikia Amin Amin Amin... Dua za kuombea viongozi huwa siitikii. Napa fahamu wakiombewa dua nasi tunaitikia Amin ndio ugumu wa maisha haupungui plus na mikwaju na vifo wakati wa uchaguzi. Wewe fikiria wale watoto wa Kidoti waliouawa mpaka leo rais wetu kimnyaaa, unadhania wale wazee wake wanaitikia dua, mimi naona hizo dua tukiwaombea kwa Allah wawe wema majibu yanakua tofauti, ndio mikwaju inazidi, na magereza hata masheikh hukaa. Kila mtu ajiombee mwenyewe, mimi tangu siku ile jeshi aliponipa adhabu kubeba baskeli yangu bandarini malindi, wakati wa uchaguzi wa Sheni, kisa nimepandia. Na zama zile Amani akiwa mgombea nikakoswa kupigwa rungu zito, moja lilinipata, tangu siku hiyo huwa nawaombea dua wazee wangu na Mimi mwenyewe na waja wema tu.
Neema tupu wakati wananchi ata mlo mmoja unawashinda..kwanza ondosha hyo njaa watu wapate angalau mlo mmoja na utuletee mamlaka kamili..ndio tutakushukuru..
Ndio stone town conservation lakini kuwe na Zanzibar new city kama Darajani hapawezi kunyanyuliwa SKYSCRAPERS. Zanzibar inataka uso na pua.Hapo maeneo ya Kinazini pakiendelezwa panaweza kuwa mji mpya na majengo ya kwenda juu
@ mamba ndugu zangu tulipigieni kampeni lifanyike. Mauritius kisiwa kidogo ila city centre yako inavutia. Zanzibar haijulikani mbele ni wapi uso wake uko wapi.
Baba jenga lete wawekezaji Zanzibar tulizoea saaana kudanganywa sasa tunaona kama ajabu haya baba fanya kazi na inshaallah utuongoze mpk uzeeke hapa hapa serikalini
pia jitahidi kusimamia saaana baadhi ya viongozi wako waache dhana ya uvivu, na wajue kama wana jukumu la kuijenga Zanzibar yoote kwa usawa bila kujali huku kuna watu wangapi na kule kuna wangapi miradi ya maendeleo ni suistainable endelevu, kama waliopita wangefanya miradi kuwa endelevu wewe leo usingehangaika na barabara tena ungejenga mambo mengine mazuuri zaidi ya haya baba
Mh.hio parking itakua na sehemu ya kulala maskini tusio miliki gari wala bajaj? kwasababu yote ya kisasa ni ya matajiri sio ya walala hoi na ndio wengi Zanzibar
Mimi nakosana na nyinyi kuita flyover, kwa hapo mnakosea, hilo ni daraja la juu tu, Flyover gani haifikii hata nusu kilomita?. Kama hamzijui flyover tembeeni, Tanzania hakuna flyover
Yote haya ni swa Rais ila bila mamlaka kamili Hakna zanzibar, Maana yte haya Ypo zaid ungja na sio pemba, Barabar ya mkoan, Cheka wete na maeneo mengine ni aibu kubwa pemba
Na masoko yanojengwa yawekewe na viwanja vyakufurahishia watoto juu na mapunguzo ya bidhaa baba ni muhimu wenye bei kali wafungiwe leseni tu wakauze huko mitaani kwao
Vifanywe zaidi vya mcngi ndio zije flyover. Njaa mwanangu! Maskuli bd no ni kubwa kwa darasa! Viti bd. Baadhi ya maskuli ni msoto. ALLAH aku zindue juu ya hayo kwanza kuliko kwenye mwengine
Maashallah! Allah akubariki na akupe afya njema.
hongera Dr mwinyi Rais wetu Allah akupe umri mrefu
Hongera Sana mheshimiwa vizazi vyetu vitakukumbuka maisha kama tunavyomkumbuka Abed Karume
Mambo ni mengi muheshimiwa mda ni mchache hofu yangu kuuwacha mirajdi njiani mrisi wako atayamudu kumaliza ama yatakuwa ya karume mkubwa na nyumba za michenzani na zile za vijiji mfano kombeni nyamazi maungani dunga chaani na kwengineko mzee alikufa na vikaishiya hapo😢😢😢
Tunakuombeya umalize ama upate mrithi anoumwq na nchi utapoishiya aendeleze kwa kasi ileile nguvu ileile .mungu akulinde akutunze afya njema akupe wewe na wasaidizi wako mukamilishe maxuri na mema yote alama ionekane
Natamani kabla sijafa kuona uliyoyaahidi mola atatuwqfikisha tuyashuhudiye amin yarab laalamin inshaalla dua iwe maqbul.
Hongera rais wetu
Mashallah ❤❤❤❤❤❤
Rais mwinyi hoyeeeeeeeereeee ijenge zanzibar kwa uwezo alokujaalia allah tunakupenda baba etu mlezi wetu❤❤❤❤❤❤❤❤
Allah akusimamie na akuongoze kiongozi wetu ❤
Mashaa-Allah Mashaa-Allah
Hongera mkuu
Allah akufanyie wepesi katika safari hii ya uongozi wako mzuri na akuzidishie afya na familia yako amin. Hapa mabadiliko tumeyaona kwa muda mfupu. BarakaAllah fih. Rais wetu. Hofu ipo hapa jee ukimaliza muda wako wa uongozi huyo ataefatia atapeleka gurudumu mbele is maendeleo . Au ataturejesha nyuma ?
Mungu akufanyie wepes Rais wetu
Mashalah kiongoz wetu
Weweeee sio poa rais huna baya dah sio poa kabisa yani jamani rais wetu anapiga kazi sana jamani sio mitano tunampa kumi tena 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Allah akupe umri mrefu Rais wetu mitano tena
Mashallaaaaaaah!!.
Fane'emal Maulaa wane'emal naseer. 😂❤😂
Allah akupe nguvu na kila la heri yafanikishwe hayo
Mashallah yajayo kweli ni neema tupu
Yalaitan wange fanya haya tungekuwa mbali sana kimaendeleo Mwenyeezi akuweke na atuweke tuje tuyaone
Kheri Ishaalakh
Allah akupe umr mrefu
Mpeni 7
Mamlaka kamili, Zanzibar
Ungelifanya la maana sana ukaondosha uhuni uliozidi zanzibar na kuporomoka kwa maadili
Mwizi mwizi tu km umeacha alama fanya mdahalo na OMO, hicho n kidaraja tu na si flyover tembea uone kwenye flyover
Jee kumsema kiongozi ndio suluhisho? Dini yetu imetufunza Ikiwa kiongozi atakua mbaya basi tunafaa kumuomba ALLAH amuongoze afanye uadilifu na haki na sio kumkashif na kumlaani sio sahihi bali kumlaani ndio twajipa matatizo sio tunafaa tusome uislam Alhamdulilah haujaacha kitu
@@Awatee mwinyi si mbaya vo ila hajakaa katika utawala kwa ridhaa za wazanzibar amekaa kwa dhulma nd hicho kinachouma ,kwaio hawez kuleta mamlaka kamili kwa wazanzibari
OMO anataka mdahalo gani na kwao Pandani hata kituo cha Afya hakuna
@@AwateeMimi kuitikia Amin Amin Amin... Dua za kuombea viongozi huwa siitikii. Napa fahamu wakiombewa dua nasi tunaitikia Amin ndio ugumu wa maisha haupungui plus na mikwaju na vifo wakati wa uchaguzi. Wewe fikiria wale watoto wa Kidoti waliouawa mpaka leo rais wetu kimnyaaa, unadhania wale wazee wake wanaitikia dua, mimi naona hizo dua tukiwaombea kwa Allah wawe wema majibu yanakua tofauti, ndio mikwaju inazidi, na magereza hata masheikh hukaa.
Kila mtu ajiombee mwenyewe, mimi tangu siku ile jeshi aliponipa adhabu kubeba baskeli yangu bandarini malindi, wakati wa uchaguzi wa Sheni, kisa nimepandia. Na zama zile Amani akiwa mgombea nikakoswa kupigwa rungu zito, moja lilinipata, tangu siku hiyo huwa nawaombea dua wazee wangu na Mimi mwenyewe na waja wema tu.
@@mussasaidhamad1891 kituo cha afya hajengi yeye inajenga serikali yeye yupo tu hana uamuzi
Neema tupu wakati wananchi ata mlo mmoja unawashinda..kwanza ondosha hyo njaa watu wapate angalau mlo mmoja na utuletee mamlaka kamili..ndio tutakushukuru..
Anae uwezo wa kuondoa njaa ni allah na juhudi za mtu wee lala usubiri uondolewe njaa sie tunahangaika
Mwinyi oyeeee
Umewafunga midomo waropokaji
Sisi wengine hatuhitaji nani kafanya, maendeleo hayana chama na napinga kwa nguvu zote ubaguzi, hongera Mwinyi jenga na Pemba pia
Ndio stone town conservation lakini kuwe na Zanzibar new city kama Darajani hapawezi kunyanyuliwa SKYSCRAPERS. Zanzibar inataka uso na pua.Hapo maeneo ya Kinazini pakiendelezwa panaweza kuwa mji mpya na majengo ya kwenda juu
Hasa pale Gulioni ni central
@ mamba ndugu zangu tulipigieni kampeni lifanyike. Mauritius kisiwa kidogo ila city centre yako inavutia. Zanzibar haijulikani mbele ni wapi uso wake uko wapi.
Ahsante mipasho Jimbo la uzini na makunduchi nipo ulipo bakisha
Matam apo asante mwiny
Baba jenga lete wawekezaji Zanzibar tulizoea saaana kudanganywa sasa tunaona kama ajabu haya baba fanya kazi na inshaallah utuongoze mpk uzeeke hapa hapa serikalini
Aliwadanganya nani, ASP? 😂😂😂
Kidarajantuu banaa hichooo
Piga kazi kiongozi wetu
Kwenu Bumbinwi!! 😀😂🤣
Nimependa parking ya juu na bara zingejengwa nyingi kuondoka magari kando ya barabara
Pemba jeee
Umeenda lini pemba maana kila kukicha kuna jambo jipya linafanyika
Na hata mkajengewa hayana umuhimu sana maana hamukai
Hongera dr mwinyi
jenga baba pia kumbuka saana kujenga na Pemba maana hapa Zanzibar nafasi ishajaa hapatoshi tena
Nyinyi watanganyika msifuni mwezenu lakini mwambieni znz tumechoka kuburuzwa na nyinyi tanganyika tunataka uhuru wetu znz
Taxi majini au za kwenye maji?
Bila haki yte hayo hawezi kupatikana
Yaguju kwa wizi ulonao wa kuifisidi zanzibar na vibaraka wako
pia jitahidi kusimamia saaana baadhi ya viongozi wako waache dhana ya uvivu, na wajue kama wana jukumu la kuijenga Zanzibar yoote kwa usawa bila kujali huku kuna watu wangapi na kule kuna wangapi miradi ya maendeleo ni suistainable endelevu, kama waliopita wangefanya miradi kuwa endelevu wewe leo usingehangaika na barabara tena ungejenga mambo mengine mazuuri zaidi ya haya baba
Wapinzani nnjooni kwa mwinyi kumenoga huku
Ila kidogo daraja lipo chini fupi nguzo
Jenga viwanda kama mkweli
Bila ya haki Amani itaota mbawa
Nchi ijengwe tu haijalishi wakina nani wansema nini ikiwa Zanbar inaboreshwa bila ya kuathiri watu na mali zao MWINYI TUNA HAKI YA KUMPONGEZA
Huyu Rais anafaa aendelee kuongoza anafanya vitu vinaonekana
Mh.hio parking itakua na sehemu ya kulala maskini tusio miliki gari wala bajaj? kwasababu yote ya kisasa ni ya matajiri sio ya walala hoi na ndio wengi Zanzibar
Kama kidaraja subir ikamilike. Mwanzo hata hicho kidaraja kilikuwa hakipo
Maneno MAZURI ; lkn nahisi wengine tunaochukuluwa maneno yetu na vingoz wako wa vyama unatusaidiajee? Tunafatilia mpaka tunakata tamaa miaka imekatika
Pemba pemba pemba bara bara ya mkoani tu kila cku kesho kesho watu na vibanda vyao hawajui wafanye nini mkuangalie nako ni sehem ya Zanzibar
Wenye chuki waache tu na chuki zaooooo zidisha maendeleo
Mimi nakosana na nyinyi kuita flyover, kwa hapo mnakosea, hilo ni daraja la juu tu, Flyover gani haifikii hata nusu kilomita?. Kama hamzijui flyover tembeeni, Tanzania hakuna flyover
Yote haya ni swa Rais ila bila mamlaka kamili Hakna zanzibar, Maana yte haya Ypo zaid ungja na sio pemba, Barabar ya mkoan, Cheka wete na maeneo mengine ni aibu kubwa pemba
Na masoko yanojengwa yawekewe na viwanja vyakufurahishia watoto juu na mapunguzo ya bidhaa baba ni muhimu wenye bei kali wafungiwe leseni tu wakauze huko mitaani kwao
Heee si mchezo
Mimi sikudai ila ww unanidai
Mwinyi apewe tena bila kipingamiz chochote
Kushashibaa...wenzio walia njaa
@@NassoroHaji-i8kwavivu wa kufanya kazi hao njaa lazima itawaumbua.
Huyu niraisi waunguja tu kule pemba yupo nani ????
Yote Fanya hayo ila muungano hatuutaki wazanzibar mbona vinganganizi
😂
Wadanganye wanawake ss wanaume hatudanganyiki
Hahahaha daraja ndio fle oveor mzaramu wa mkuranga kacharukwa sasa mpaka asema kwao ni bumbini
Ni wajibu wako kujenga nchi wewe si mtawala lazima uyafanye hayo
Tunachokitaka ni mamlaka kamili sio kujenga
Vifanywe zaidi vya mcngi ndio zije flyover. Njaa mwanangu! Maskuli bd no ni kubwa kwa darasa! Viti bd. Baadhi ya maskuli ni msoto. ALLAH aku zindue juu ya hayo kwanza kuliko kwenye mwengine
Hongera sana Rais Mwinyi Allah akupe afya njema