GOOD NEWS IN EAST AFRICA 🌍 BURUNDI ITAKUWA INCHI YAMANA SANA VERY SOON BURUNDI DUBAI OF AFRICA 🌍 INCH IMEJAA GOLD AND MAZIWA NA HASALI GOOD TZ AND BURUNDI
Kaka magufuli ndo aliainisha hio miradi yote unayoona inafanyiwa kazi. Alisema tanzania ina vyanzo vya umeme vinavoweza kuzalisha mpaka megawat 18000. Ukiwemo huu hapa. Maongezi ya kuujenga huu mradi ulianza kipindi cha magufuli. R.I.P JPM@@HajiMgwami
🇹🇿Yeah ♥️Rwanda na♥️ Burundi ni ndugu zetu wa damu tukiondoa siasa.Historia inaonyesha taifa lao mama ni Tanganyika (Tanzania bara) waingereza waliitoa ardhi ya Tanganyika kwa wabelgiji na kuunda nchi ya Rwanda na Burundi na hii inasababisha uadui wakati sisi ni ndugu.Watanzania tunawapenda sana warundi na wanyaranda ni ndugu zetu.karibu Tanzania kivutio kikubwa Cha utalii duniani: ngorongoro Serengeti Zanzibar mikumi ,mafia nk
Bado utakuta Rwanda 🇷🇼 Inaendelea kimaendeleo na Pesa ya Rwanda 🇷🇼 inaendelea kuwa na thamani sana kuliko Nchi zote hapo. Tatizo sio uwekezaji, kitu muhimu sana hapa ni ufanisi katika usimamizi na ukuaji ( Nilikua sina shaka na Dr.John Pombe Magufuli kwenye hili ). Congrats to Rwandans for reelection of H.E Kagame continue protecting that valuable treasurer🫡.
@@IsufuRajabu-v9c Congo na wakongomani hatutotaka kua katika mambo na Rwanda. Nyinyi ambao hamjajua unafiki na uongo wa hao watu, fanyeni hivyo nao. Hao wana deal wamepewa na ma beberu kuteketeza waafrika wa bantu. Mtayaona huko mbele.
Mtangazaji amekatisha hapo kwenye historia ya mradi, maana aliona anataka kutajwa magufuli, alivyo sikia mawaziri wa awamu ya tano tu, akasema tusimalize uhondo hapa,
Hii ilitakiwa iwe ya Kingereza ili muite wawekezaji wa kigeni waje kuwekeza sasa mnatutanazia sisi waswahili hata mitaji hatuna tunawekeza nini?😂😂😂😂 #TBC
Ushawah kuona wachina wanatangaza mradi wao kwa kiingereza? Muwekezaji kama anania ya kuwekeza kiswahili atajua tu kiswahili hatuwezi tukuza lugha za mabeberu hadi hii leo ni utumwa wa kifikra.
@@section8ight174 mcxh matatizo ya umeme yangeisha na serikali ingepata mapato mazuri kwa utozaji kodi kwa kampuni husika pia ongezeko la ajira.. Na ingeongeza nguvu viwandani kuliko kukodisha magenereta😂😂🇹🇿
@@jacksonhyera2230 Kwani wewe bado upo mwaka 2023 nini? Majenereta ya nini mzazi? 😂 mbona makubwa Haya! Nenda kasikilize speech ya Magu kuhusu strategic infrastructure alafu uangalia vile SA walivyohangaika na umeme wao walipobinafisha!
Vipi mutaonyesha mitambo yenu kwa undani hadi chumba cha mipango. Jifunzeni kama wote sio wema. Usalama wa mitambo hauruhusu hayo hata siku moja. Kama mtaalam wa ninatoyasema jitafakarini kabla ya kuweka habari zenu. Kwangu Mkurugenzi wa usalama inabidi ajiuzuru na kuomba video nzima ifutwe
Ukisikiliza kiswahili cha huyu Mhandisi Ntare Karitanyi wa Rwanda, utafahamu kwamba huyu jamaa amejifunzia kiswahili huko Ckongo DRC. Inawezekana ka zaliwa huko na alienda shuleni Congo, na sio yeye tuu, ni ma elfu kama yeye; lakini leo hawa hawa ona wanavyo fanya kuuzi CKongo.
@@omkalo4 Again, you have no idea what you're talking about. First off, Ntare never lived in the Congo. 2nd of all, there is a difference between Rwandan nationals, and Congolese who happen to speak kinyarwanda! What's happening in DRC is deeper than what you are hearing from BBC and VOA. Go back to your initial comment and see how ridiculous it sounds!
Good news Viva africa ❤❤❤❤🤝🤝🏻💪💪💪💪from Burundi 🇧🇮 Lives in cape Town ❤❤❤
Nice family! that's what we call unity.❤
GOOD NEWS IN EAST AFRICA 🌍 BURUNDI ITAKUWA INCHI YAMANA SANA VERY SOON BURUNDI DUBAI OF AFRICA 🌍 INCH IMEJAA GOLD AND MAZIWA NA HASALI GOOD TZ AND BURUNDI
God Bless TANZANIA, RWANDA, BURUNDI, as well as KENYA, UGANDA and Africa.
Mama iko kazini Kazi ienderee
Burundi 🇧🇮 🇧🇮 razima isongembale tanzania 🇹🇿 tuyipenda 🇧🇮 I ❤❤a lov
viva Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮viva africa good job for african countries
R.I.P john pombe magufuli hakika utaishi mioyoni mwetu daima kwa alama zako nyigi ulizo tuachia 🙏🙏
HUO SIO MRADI WA BWAWA LA NYERERE, KHAAAAA
Kaka magufuli ndo aliainisha hio miradi yote unayoona inafanyiwa kazi. Alisema tanzania ina vyanzo vya umeme vinavoweza kuzalisha mpaka megawat 18000. Ukiwemo huu hapa. Maongezi ya kuujenga huu mradi ulianza kipindi cha magufuli. R.I.P JPM@@HajiMgwami
@@highlife6779anachuki na Magu
🇹🇿Yeah ♥️Rwanda na♥️ Burundi ni ndugu zetu wa damu tukiondoa siasa.Historia inaonyesha taifa lao mama ni Tanganyika (Tanzania bara) waingereza waliitoa ardhi ya Tanganyika kwa wabelgiji na kuunda nchi ya Rwanda na Burundi na hii inasababisha uadui wakati sisi ni ndugu.Watanzania tunawapenda sana warundi na wanyaranda ni ndugu zetu.karibu Tanzania kivutio kikubwa Cha utalii duniani: ngorongoro Serengeti Zanzibar mikumi ,mafia nk
Hongera sana Vumilia mwasha uje sasa mwanza jamani.
Hongera Tanzania
Rwand is Tanzania is good
Jamani bendera ya tanzania imegeuzwa juu chini taharifa ziwafikie wahusika.
Hongera umoja ninguvu endeleeni kupendana nakuungana mukono
Bado utakuta Rwanda 🇷🇼 Inaendelea kimaendeleo na Pesa ya Rwanda 🇷🇼 inaendelea kuwa na thamani sana kuliko Nchi zote hapo. Tatizo sio uwekezaji, kitu muhimu sana hapa ni ufanisi katika usimamizi na ukuaji ( Nilikua sina shaka na Dr.John Pombe Magufuli kwenye hili ). Congrats to Rwandans for reelection of H.E Kagame continue protecting that valuable treasurer🫡.
CONGRATULATIONS ! HIYI NDIO KWELI ! VIGINE NA KUPIGANA MA VITA YASIYO NA MAANA NI UWONGO MTUPU NDUGU ZANGU !
My home,,,,na mimi nakujaaaa kuwekeza huko soon
Bendera ya Tanzania imepandishwa ndivyo sivyo. The blue is always at the bottom.
Its like a radio programme, haina taste ya Tv, mandhari hayaonyeshwi, just standing in one place
Good
Ntare kwa lugha ya Kisukuma ni Mkubwa (Big)
TBC1 ni nini wandugu zangu??
Kwa umoja tuko nao Burundi Rwanda na Tanzania mnajifikiria nini kufanya muunganiko wa nnchi hizo tatu ikiwezekana na congo iwemo ????
@@IsufuRajabu-v9c Congo na wakongomani hatutotaka kua katika mambo na Rwanda. Nyinyi ambao hamjajua unafiki na uongo wa hao watu, fanyeni hivyo nao. Hao wana deal wamepewa na ma beberu kuteketeza waafrika wa bantu. Mtayaona huko mbele.
@@omkalo4 vraiment stupide tribaliste
Mtangazaji amekatisha hapo kwenye historia ya mradi, maana aliona anataka kutajwa magufuli, alivyo sikia mawaziri wa awamu ya tano tu, akasema tusimalize uhondo hapa,
Umoja ninguvu tuunge umoja ili nguvu za hizi nnchi tatu au nne ziwe pamoja ili ziweze kufanya kitu kikubwa zaidi hikibhapa
Hii ilitakiwa iwe ya Kingereza ili muite wawekezaji wa kigeni waje kuwekeza sasa mnatutanazia sisi waswahili hata mitaji hatuna tunawekeza nini?😂😂😂😂
#TBC
Ushawah kuona wachina wanatangaza mradi wao kwa kiingereza? Muwekezaji kama anania ya kuwekeza kiswahili atajua tu kiswahili hatuwezi tukuza lugha za mabeberu hadi hii leo ni utumwa wa kifikra.
Watanzania bwana, kukitangazwa kingereza mnalia lia, kiswahili mnalia lia
@@BigZhumbewatanzania kwani wanajua wanataka Nini wamo tu
Kawambie basi wewe kwa kingereza waje kwani si anaongea nasi waswahili
Natamani kuwe na kampuni private za uzalishaji na usambazaji umeme Tanzania
Sio kwenye vitu vyenye maana kama hivi😊
@@section8ight174 mcxh matatizo ya umeme yangeisha na serikali ingepata mapato mazuri kwa utozaji kodi kwa kampuni husika pia ongezeko la ajira.. Na ingeongeza nguvu viwandani kuliko kukodisha magenereta😂😂🇹🇿
@@jacksonhyera2230 Kwani wewe bado upo mwaka 2023 nini? Majenereta ya nini mzazi? 😂 mbona makubwa Haya! Nenda kasikilize speech ya Magu kuhusu strategic infrastructure alafu uangalia vile SA walivyohangaika na umeme wao walipobinafisha!
Wananchi wanaruhusiwa kununua share
Good question
Tafuta. mutu anaweza sema kiswahili kizuri uyu hajuwe kiswahili
Vipi mutaonyesha mitambo yenu kwa undani hadi chumba cha mipango. Jifunzeni kama wote sio wema. Usalama wa mitambo hauruhusu hayo hata siku moja. Kama mtaalam wa ninatoyasema jitafakarini kabla ya kuweka habari zenu. Kwangu Mkurugenzi wa usalama inabidi ajiuzuru na kuomba video nzima ifutwe
Ukisikiliza kiswahili cha huyu Mhandisi Ntare Karitanyi wa Rwanda, utafahamu kwamba huyu jamaa amejifunzia kiswahili huko Ckongo DRC. Inawezekana ka zaliwa huko na alienda shuleni Congo, na sio yeye tuu, ni ma elfu kama yeye; lakini leo hawa hawa ona wanavyo fanya kuuzi CKongo.
Wewe hauelewi kinacho endelea kivu kaskazini nchini Congo! Stop opining on geo-political matters that are above your pay grade!
@@vyuguruzumwangumwereka Kama ungefahamu ujuzi wa geo-politics wa unaye jaribu ku bishana nae, usingefungua hata mdomo wako ku ...
@@omkalo4 Again, you have no idea what you're talking about. First off, Ntare never lived in the Congo. 2nd of all, there is a difference between Rwandan nationals, and Congolese who happen to speak kinyarwanda! What's happening in DRC is deeper than what you are hearing from BBC and VOA. Go back to your initial comment and see how ridiculous it sounds!
Mwanangu unazingua😂😂
gzhh
Pumbavu tu hakuna kitakacho fanyika hapo eti kampuni ya rusumo kwa nini miradi kama hii muhimu msiwape wazungu wenye akili kuliko sisi
Mbona unangea pumba? Kachambe ulale, huna hoja hapa!!