Day3b_SEMINA TEGETA TANZANIA NA ASTON ADAM MBAYA-SOMO 'Nguvu ya Ushuhuda'

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 46

  • @saramss7262
    @saramss7262 2 ปีที่แล้ว +1

    Jacktan barikiwaa SANA mtumishii Naomba maombi naomba kufunguliwa

  • @zitakomba5803
    @zitakomba5803 2 ปีที่แล้ว +3

    Mungu mkubwa Sana tusaidien

  • @nicolesafi3808
    @nicolesafi3808 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen Mungu azidi kuwabariki bwana wetu Yesu hawepamoja nami sikuzota za maisha yangu

  • @jesusreignsrestorationministry
    @jesusreignsrestorationministry 2 ปีที่แล้ว +1

    Bwana Yesu Aendelee Kuwalinda katika hii kazi nzito kwa Watu wa Mungu.

  • @gracelauzi9746
    @gracelauzi9746 2 ปีที่แล้ว +2

    MUNGU WANGU BADO TUNA HITAJI NEEMA YAKO ITUONGOZE KATIKA HII YESU TUSAIDIE SS WAPUNGUFU WA IMANI TUNAANGAMIA UFAHAMU HATUNA ROHO TUSAIDIE AMEN

  • @atanasmpigauzi3234
    @atanasmpigauzi3234 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu awabaliki

  • @dominicgreyson3734
    @dominicgreyson3734 2 ปีที่แล้ว +3

    Nabii wa kweli

  • @flm1530
    @flm1530 2 ปีที่แล้ว +2

    Ameeeeeeeeen

  • @happykajeli5453
    @happykajeli5453 2 ปีที่แล้ว +2

    Eeee Yesu unirehemu

  • @beatricebukuru7821
    @beatricebukuru7821 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen amen

  • @Priska247
    @Priska247 11 หลายเดือนก่อน

    Mungu be awabariki , Mimi nilipatizwa uluya mu kitu sa swimming pool ya mukanisa je ni batizwe Tena ??

  • @maryandason1815
    @maryandason1815 2 ปีที่แล้ว +1

    Jamn kaka jacktan mbona day2 sijaiona naona 3??na 3b?

  • @imagepower3641
    @imagepower3641 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwa hayo maelezo mimi ni member, yaani naota ndoto za uzinifu, kupigana na some time nipo kwenye bahari

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 2 ปีที่แล้ว

      Omba Saaana usiruhusu Ndoto zitawale Mawazo yako ,Acha kuangalia Movie chafu acha kuzungumza machafu,na Acha kusikiliza miziki ya Kidunia ,hivi vitakukimbia

  • @nicolesafi3808
    @nicolesafi3808 2 ปีที่แล้ว +1

    dototo mmbaya zananitesa niombeeni Mungu nipatekuwauru

  • @atanasmpigauzi3234
    @atanasmpigauzi3234 2 ปีที่แล้ว +1

    Mtumishi wa mungu ugetuelekeza na vyakula ambavyo shetani anavitumia kuwakamata wanadamu

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 2 ปีที่แล้ว

      Pombe kama Kinywaji,Sigara,Vinywavi vya Energy hivyo vyote shetani anavitumia

  • @hermanemmanuel1953
    @hermanemmanuel1953 2 ปีที่แล้ว +1

    JACKTAN PLEASE UKIWEZA , ULUSHE SIKU WANAPOBATIZWA,, AU IKIWEZEKANA HATA HAYO MAFUNDISHO YA UBATIZO WA KWA JINA LA YESU KRISTO WANAZARETI YA GALILAYA KWANI WENGI NI WAHANGA WA UBATIZO BATILI WA KIKATORIKI. ASANTE BARIKIWA SANA HALELUYA AMINA.

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 2 ปีที่แล้ว

      Huo Ubatizo hauko katika Utatu mtakatifu??Yaani Baba Na mwana Na Roho Mtakatifu??nahitaji mtu anifafanulie

    • @Joyceisaka
      @Joyceisaka 5 หลายเดือนก่อน

      Mm nimebatizwa kwa hili kanisa namshukuru Mungu ,,,,,ubatizoo wa Yesu Kristo umetajwa mara nyingi kwa biblia kuliko kwa jina la baba mwana roho MTAKATIFU

  • @nicolesafi3808
    @nicolesafi3808 2 ปีที่แล้ว +1

    mimi naitaji kufunguliwa nisaidiyeni nitatekuwauru katika jalayesu

  • @mmma6210
    @mmma6210 2 ปีที่แล้ว +1

    🙏🙏🙏😭😭

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 2 ปีที่แล้ว

    Can ni English

  • @tatumluv6054
    @tatumluv6054 2 ปีที่แล้ว +1

    YESU aturehemu sisi ambao tupo arabuni kwa kweli atujalie tufike kwetu bila ya chanjo 😭😭😭😭

  • @salomejames5892
    @salomejames5892 2 ปีที่แล้ว

    Kaka jactani barikiwa kwa uduma hii lakini nitafanyaje nipate maombi ya kufunguliwa maana nateseka na ndoto za Kula vyakula kwenye ndoto samahani naomba kuunganishwa na mtumishi nipate huduma ya maombezi na kufunguliwa

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 2 ปีที่แล้ว

      Nenda Kanisa liliko karibu na wewe la Kiroho uwe na Imani utafunguliwa,na Baada ya maombi fanya hata maomb ya kufunga ya masaa 24 bila kunywa wala kunywa ,na acha kusikliza miziki au nyimbo za mapenzi,Video au movie za mapenzi ,Maongezi ya mapenzi utakuwa salama kabisaa

  • @aberymsovela8866
    @aberymsovela8866 2 ปีที่แล้ว +1

    Jamani semina inaanza saa ngapi mbona hamnijibu mie nipo kawe ningependa kuja

    • @maryandason1815
      @maryandason1815 2 ปีที่แล้ว +2

      Sa 10 jioni kma uko tegeta nenda maaa angali day 0ne wanaelekeza jins ya kufika church

    • @aberymsovela8866
      @aberymsovela8866 2 ปีที่แล้ว +1

      @@maryandason1815 thanks alot

    • @godisable2098
      @godisable2098 2 ปีที่แล้ว +1

      Muite Jacktan Musafiri atakueleza

    • @maryandason1815
      @maryandason1815 2 ปีที่แล้ว +1

      @@aberymsovela8866 ok

    • @amaliaolunzi545
      @amaliaolunzi545 2 ปีที่แล้ว +1

      Nawafwatilia sana mmbarikiwe sana na bwana wetu YESU KRISTO 🙏

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 2 ปีที่แล้ว

    Mchujio huo siyo can

  • @esthernthambamusau756
    @esthernthambamusau756 2 ปีที่แล้ว +1

    Watu wenye tuko uarabuni, tufanye nini ju isha pitiswa ya kwaba hakuna kurudi kwetu bila kudungwa? Tusaidieni kwa jinsi ya kufanya. This is serious now.

    • @saramss7262
      @saramss7262 2 ปีที่แล้ว +2

      Esther nthamba musau uko uwarabuni sehem gani usikubali kupigwa CHANJOO hio nasiye tupo hilaa msimamo wako inatakiwa mdaa huu aitakiiwi kufwatisha mikumboo simaamia Maisha Yako please kwa aliye Oman Amna lazimaa kuchanja Hila Kama unaingiya ndio ulazima upigwee hio vaccine Yao simama kuwa na msimamo nitafute au nipe no Yako nipo Oman

    • @esthernthambamusau756
      @esthernthambamusau756 2 ปีที่แล้ว +1

      @@saramss7262 mi nko SaudiA na embassy ya huku ya kenya ilikataa kabisa mtu kusafiri kama hauna chanjo

    • @esthernthambamusau756
      @esthernthambamusau756 2 ปีที่แล้ว +1

      @@saramss7262 oman iko side gani

    • @hermanemmanuel1953
      @hermanemmanuel1953 2 ปีที่แล้ว

      IKIWA KAZI INAKUFANYA UMKOSEE MUNGU WA BWANA YESU KRISTO WANAZARETI YA GALILAYA, PATA NEEMA MSALABANI PAKE YA KUACHA KAZI NA KUPATA NYINGINE INAYOMTUKUZA MUNGU HALELUYA AMINA.

  • @bonifasemmanuel4700
    @bonifasemmanuel4700 2 ปีที่แล้ว

    Ktk shuhudia za kusisimua na kuaminika kama vile akina Katekela na Omali mnyeshani,za huyu jamaa hazimo

    • @ceciliastanley8157
      @ceciliastanley8157 2 ปีที่แล้ว +2

      Sikiliza vyumba mia 351 vya kuzimu utaelewa

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 2 ปีที่แล้ว

      Wale walienda kutenda huyu alienda kushuhudia kuna tofauti kubwa Hivyo lazima Usisimke ,Maana wale akina Mnyeshani wanakwambia waliyowafanyia Wakristo na kuwatesa na Jinsi walivyojirusha na Ndege hizo za kichawi,huyu hazungumzii Uchawi ,Alikufa akaenda kuzimu na Mbinguni,Pole saana

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 2 ปีที่แล้ว

      Wale walienda kutenda huyu alienda kushuhudia kuna tofauti kubwa Hivyo lazima Usisimke ,Maana wale akina Mnyeshani wanakwambia waliyowafanyia Wakristo na kuwatesa na Jinsi walivyojirusha na Ndege hizo za kichawi,huyu hazungumzii Uchawi ,Alikufa akaenda kuzimu na Mbinguni,Pole saana

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 2 ปีที่แล้ว

      Omary Katoka Uislamuni ambako ni Upinzani mkubwa wa Kikristo na Katekela ni wale wale maana ndio walimsilimisha na Kumfundisha Mambo ya Swala za huko ,Nao ni hatari kuwasikiliza kama Hujasimama Kiroho unaweza kupotea Gizani ghafla