Sijawai ona maubiri mazuri kama haya sikujua bado dunia hii iko na pastor kama huyu maana dunia sasa haina mapastor wa ukwele jina la yesu libarikiwe sana na pastor Adam yesu amubariki sana
Amen Amen najifunza mengi Mungu awabariki watumishi wa Mungu hawa na awatie nguvu mnapoendelea kutufunulia tusiyokuwa tunajua promiver TV team barikiweni kwa kazi njema ya kupeperusha fundisho moja kwa moja more grace upon you all🙏 Niko na swali kidogo nilibatizwa kwa maji mengi nikiwa mtoto around 12yrs sikuwa nimeokoka kuna kanisa hubatiza tu lakini tulifundishwa sawasawa na kupitishiwa kwa toba kabla tubatizwe lakini wakati ule na saa hii Niko mtu mzima nimeokoka ninafahamu neno je naeza nikabatizwa tena?ama venye nilibatizwa mara ya kwanza iliisha hivyo nieendelee tu na toba?
YESU nisaidiee niache mapambo yote ya yezebel peke angu nmeshindwa nisaidiee YESU kunitoa vifungo vy kuzmu vyote niwe mtoto mzuri, nifanye yakupendezayo wew cku zote za maisha yngu.naitaj kutubu kila iitwapo Leo maana mbingun kuingia c mchezo
Jamani mwanamke ukiweza kuacha mapambo kama ulikuwa unajipamba maombi ya ziada yanahitajika jaman maana kama si hivyo utajikuta unasuka mara na kunyoa tu mara zote asante mungu hapo nimepita na niliwwza
Bwana yesu asifiwe mtumishi, Samahani kuuliza, maana nimebarikiwa na maubiri , Naulizia kuhusu ubatizo , je watu wanaokaa mahali ya nyika yaani mahali ambapo hakuna mitoni au bahari yaani mahali ya nyika , je kubatiza kwa kisima itakuwa vibaya? Ila nakubaliana kuhusu kukataa ubatizo wa maji ya kunyunyiza kwa kichwa
Unajua huuuu ushuhuda wa Aston mbaya unakufanya ujitazame kama kiooo vile yaaan mm nimepatia Moja tuuuuu ubatizo wa maji mengi tuuu...mengi yote naomba Rehema za Mungu tuuuuu jamaniiii
Sijawai ona maubiri mazuri kama haya sikujua bado dunia hii iko na pastor kama huyu maana dunia sasa haina mapastor wa ukwele jina la yesu libarikiwe sana na pastor Adam yesu amubariki sana
Mungu naomba unisaidie nikutende mema,niwe mtiifu wa neno lako niishi kukutumikia wewe na kufuata njia zako in Jesus name.Nabarikiwa toka 🇸🇪
Mwenyezi mungu akusaidie nabii
Ameniameni wana wa mungu
Amin
Amen glory to God
Amen Amen God bless you all MUNGU AWAPE NGUVU ILI INJI ISONGE MBELE AMEN AMEN
Amen and Amen glory to our lord Jesus christ 🙏
Amen, mbarikiwe watumishi wa Mungu
Amina. Asante Yesu
Amen
HALLELUYA HALLELUYA HALLELUYA
Amen Amen najifunza mengi Mungu awabariki watumishi wa Mungu hawa na awatie nguvu mnapoendelea kutufunulia tusiyokuwa tunajua promiver TV team barikiweni kwa kazi njema ya kupeperusha fundisho moja kwa moja more grace upon you all🙏
Niko na swali kidogo nilibatizwa kwa maji mengi nikiwa mtoto around 12yrs sikuwa nimeokoka kuna kanisa hubatiza tu lakini tulifundishwa sawasawa na kupitishiwa kwa toba kabla tubatizwe lakini wakati ule na saa hii Niko mtu mzima nimeokoka ninafahamu neno je naeza nikabatizwa tena?ama venye nilibatizwa mara ya kwanza iliisha hivyo nieendelee tu na toba?
Unaweza kibatizwa ndio
Kwakwel mtumishi ninahitaj kubatizwa tena kwasbb nilibatizwa kwenye kisima kanisa la aic lutheran
YESU nisaidiee niache mapambo yote ya yezebel peke angu nmeshindwa nisaidiee YESU kunitoa vifungo vy kuzmu vyote niwe mtoto mzuri, nifanye yakupendezayo wew cku zote za maisha yngu.naitaj kutubu kila iitwapo Leo maana mbingun kuingia c mchezo
Kuna namna ya kuyaacha mapambo simple tu ukiamua
Jamani mwanamke ukiweza kuacha mapambo kama ulikuwa unajipamba maombi ya ziada yanahitajika jaman maana kama si hivyo utajikuta unasuka mara na kunyoa tu mara zote asante mungu hapo nimepita na niliwwza
Amen Amen Amen
AMEN 🙏🙏🙏
Bwana yesu asifiwe mtumishi,
Samahani kuuliza, maana nimebarikiwa na maubiri ,
Naulizia kuhusu ubatizo , je watu wanaokaa mahali ya nyika yaani mahali ambapo hakuna mitoni au bahari yaani mahali ya nyika , je kubatiza kwa kisima itakuwa vibaya?
Ila nakubaliana kuhusu kukataa ubatizo wa maji ya kunyunyiza kwa kichwa
Gharama ya kubatizwa ni ghali. Nenda kuliko na maji ya Mungu ukabatizwe. Hiyo unayosema ni kisima na maji kama hayo sio ya kubatizwa watu wa Mungu.
Por favor que sea en español soy de ecuador quito
Zaka ni AMRI YA MUNGU, wengi huwa wanaidharau.. Mungu atusaide kutoa 10% ya mapato yetu. Atusamehe pia tunaposhindwa kutoa 10%
Unajua huuuu ushuhuda wa Aston mbaya unakufanya ujitazame kama kiooo vile yaaan mm nimepatia Moja tuuuuu ubatizo wa maji mengi tuuu...mengi yote naomba Rehema za Mungu tuuuuu jamaniiii
Jamani Sehemu ya 6 tunaomba mrekebishe sauti imegoma kabisa jamani
Na aminiujumbehuu umetoka kwa MUNGU sababu umeendasawana maandiko ya biblia MUNGU akubariki mtumishi wa MUNGU
Mi nataka kubatizwa hata leo
Nauliza mnaruhusu lini maswari
Je ni nani atakayeingia mbinguni?masharti ni magumu Bwana Yesu tusaidie
Yaani mbingu si nyepesi
Amen