Part 3_USHUHUDA WA ASTON ADAM MBAYA WA KONGO ALIYESHUHUDIA VYUMBA 351 VYA KUZIMU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 92

  • @MizpahGoodnewsTanzania
    @MizpahGoodnewsTanzania ปีที่แล้ว +1

    Mungu awabariki promover kazi yenu ni njema,na Bwana azidi kumtumia mtumishi wake Aston

  • @edwiniluther3263
    @edwiniluther3263 3 ปีที่แล้ว +12

    Eee Mungu wa Majeshi na Mfalme tunakushukuru kwa ajili ya Mtumishi Jacktani Msafiri mpe nguvu na Mfunike kwa Moto wa Mbinguni pia Baba Msamehe pale anapokukosea mpatie Rehema yako.....amen

  • @sylvestermhojaaron9659
    @sylvestermhojaaron9659 3 ปีที่แล้ว +13

    BWANA YESU nipe mwisho mzuri wa maisha yangu ya utakatifu hapa duniani

  • @JoshuaSumaye-p7v
    @JoshuaSumaye-p7v 6 หลายเดือนก่อน +2

    Ubarikiwe mtumishi

  • @victoriaaman
    @victoriaaman 2 ปีที่แล้ว +2

    Eeeee Mungu nisaidie kwa kila eneo apa Dunian Nisamehee dhambi zangu zote unirehem Eee Bwana Yesu Kristo kwa Damu yako

  • @alafsakisinda4886
    @alafsakisinda4886 3 ปีที่แล้ว +2

    Amina Mungu nisaidie , kweli vitu vingine tunaona kama vya kawaida tunachukua tu nakutumia kumbe tunakosea, ee Mungu naomba unirehem kweli nilichukua vitu vya watu nakutumia,

  • @hebronsdaughter1661
    @hebronsdaughter1661 3 ปีที่แล้ว +2

    Barikiwa sana Mtumishi, Ee Mungu uliye jaa huruma niongoze katika njia inayo kupendeza

  • @tatumluv6054
    @tatumluv6054 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen Amen barikiwa sana mtumishi wa Bwana

  • @perrywanjiru2754
    @perrywanjiru2754 2 ปีที่แล้ว

    Mungu nitenge na kila Jambo lolote linaweza fanya nikose kuingia katika ufalm wako ....ninaomba tombo na lehema Kwa dhabi zote nimefanya kama najua na kama sijui kubuka nafsi yangu katika ufalm wako 🙏

  • @kimsamespa8490
    @kimsamespa8490 3 ปีที่แล้ว +5

    Mara nyingi nina posikiza hizi shuhuda silali na lia na kutubu Mungu turehemu

  • @nelsonsalumuclovis753
    @nelsonsalumuclovis753 3 ปีที่แล้ว +2

    Amena,Mungu akubariki mtumishi

  • @biblianenolaukweli5616
    @biblianenolaukweli5616 3 ปีที่แล้ว +3

    Promover TV congratulations for this is message bro God bless you more

  • @josephinaakelo8040
    @josephinaakelo8040 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu nirehemu nsamehe dhambi zangu zote now kuushnda ulmwengu na uovu wote nam niingie mbingun

  • @dainesykalinga7133
    @dainesykalinga7133 2 ปีที่แล้ว +1

    Ee Bwana Yesu naomba unipe Mwisho Mema.

  • @emmanulmbembati
    @emmanulmbembati ปีที่แล้ว +1

    Bwana yesu ailinde PROMOVER na Timu nzima

  • @mariajili6319
    @mariajili6319 3 ปีที่แล้ว +1

    Jmn tangu nianze kuskiliza ushuhuda kwa hii channel ya promover tv huu ndio ushuhuda umenishinda kumaliza unaniogopesha sana kustuka stuka kila mdaa nime ishia ya 3 hata sija maliza, bwana yasu asifiwe ❤️❤️❤️🙏🙏

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  3 ปีที่แล้ว

      Pole sana mpendwa.Jipe moyo uendelee usiogope,uoga nao ni dhambi ya kukupeleka Jehanam

    • @livingforgod2705
      @livingforgod2705 3 ปีที่แล้ว

      Hata mimi nasikiliza ni usiku mpaka
      Nimefunga mapazia.Mungu atusaidie.

  • @millicentayangokunting3728
    @millicentayangokunting3728 3 ปีที่แล้ว +3

    Waah mungu atudaidie jameni

  • @ridiajofrey8276
    @ridiajofrey8276 ปีที่แล้ว

    Beans yesu niongeze ktk safar ya wokovu niweze kufika salama nife ktk kristo

  • @FrancineJollyofficial
    @FrancineJollyofficial 6 หลายเดือนก่อน +1

    Eee Mungu wangu naomba unisamee dambizangu zote.

  • @lucyakinyiowino8600
    @lucyakinyiowino8600 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu nirehemu

  • @titomolla4325
    @titomolla4325 ปีที่แล้ว +1

    Thanks

  • @peninahkariuki4679
    @peninahkariuki4679 3 ปีที่แล้ว +2

    Be blessed waiting for part 4🙏🙏

  • @aminaally4163
    @aminaally4163 3 ปีที่แล้ว +2

    Amen nimejifunza mengi

  • @linuxlipawaga1696
    @linuxlipawaga1696 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu atusaidie sanaa kwakwel

  • @hakizimanaconstantin6835
    @hakizimanaconstantin6835 3 ปีที่แล้ว +3

    Kweri mtu anaweza fariki bira YESU kujua ?

  • @susanwambui9817
    @susanwambui9817 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu tusamehe.dhabi zetu

  • @tabithakigongo7801
    @tabithakigongo7801 3 ปีที่แล้ว +1

    Na hao wanaongaliwa cd zao kwa AJILI ya kutupwa kuzimu ni wako mbele ya pepo au mbele ya Yesu.. Mana mambo ya Mungu yanachanganya sometimes et @anneth senga

  • @kinotititus8798
    @kinotititus8798 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki saaana

  • @kanyinginjoroge
    @kanyinginjoroge ปีที่แล้ว

    Tuwache dhambi, tumfwate YESU.

  • @josephmutemi7494
    @josephmutemi7494 3 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa sana mtumishi

  • @everlinekemunto2700
    @everlinekemunto2700 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akupaliki mtumishi.

  • @gaudenceharerimana7743
    @gaudenceharerimana7743 3 ปีที่แล้ว +1

    Yesuweee unisameheee dhambizote kwanzia saahii yoooooo

  • @tinamitamba4464
    @tinamitamba4464 3 ปีที่แล้ว +1

    Huu ushuhuda ni kweli kabisa,Tunaomba MUNGU azidi kukupa nguvu zaidi uzidi kufungua watu kiroho

  • @francisalcardo544
    @francisalcardo544 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akubariki sana , vip ushuhuda huu utaendelea lini ?

  • @Sherry72460
    @Sherry72460 ปีที่แล้ว

    Forgive me dear Lord for my sins😢😢😢

  • @alexamutawa5396
    @alexamutawa5396 3 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa sana ndugu

  • @bonifasemmanuel4700
    @bonifasemmanuel4700 2 ปีที่แล้ว

    Ktk ushuhuda huu kuna kauongo ndanimo,eti sabuni ya jirani yake,nawakati Yesu alipoona njaa aliingia shambani na wanafunzi wake wakaanza kula masuke,walipo muhoji ,akajibu hamjasoma ktk Daudi kula mikate ya wonyesho ,wala hakuhesabiwa dhambi,

  • @reginanamukuru3283
    @reginanamukuru3283 3 ปีที่แล้ว +1

    Bwana Yesu asifiwe, ni nguo gani hizo tuzijue

  • @dorisgesare7707
    @dorisgesare7707 ปีที่แล้ว +1

    Natubu dhambi zangu zote mbele za Mungu

  • @اماحمد-ض4ه
    @اماحمد-ض4ه 3 ปีที่แล้ว +2

    Yesu na omba rehema zako

  • @tamariophant6919
    @tamariophant6919 3 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana

  • @makavelimkuchi2967
    @makavelimkuchi2967 3 ปีที่แล้ว +1

    Atr sana

  • @seasonepisode3328
    @seasonepisode3328 3 ปีที่แล้ว +1

    Yesu kasema watoto wadogo waachwe so kvp Mungu akatae roho yake?

  • @tabithakigongo7801
    @tabithakigongo7801 3 ปีที่แล้ว

    Kwaiyo roho zinatupwa kuzimu na bado kunakutupwa jehanamu??

  • @deusmakoye9999
    @deusmakoye9999 3 ปีที่แล้ว +4

    Mbona kama imejirudia part one

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  3 ปีที่แล้ว

      Hapana bali ameongezea ambayo hakuwa ameyasema

  • @abbyadams8691
    @abbyadams8691 2 ปีที่แล้ว

    Je inawezekana kutunga yote haya?

  • @lilacjoseph9509
    @lilacjoseph9509 3 ปีที่แล้ว

    Jesus Christ son of God nakushukuru sababu ya huu ushuhuda

  • @abelkipege6121
    @abelkipege6121 3 ปีที่แล้ว +1

    Balikiwa sana lakini mbona Kama umeludia uleule wa part 2

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  3 ปีที่แล้ว

      Amen,Hapana hatujarudia bali tumeongezea ambayo hatukuyasema katika sehemu ya kwanza

    • @abelkipege6121
      @abelkipege6121 3 ปีที่แล้ว

      @@PromovertvTz sawa ahsante

    • @lilyrose7983
      @lilyrose7983 3 ปีที่แล้ว

      Amerudia ule wa kwanza.

  • @zenamakishe1358
    @zenamakishe1358 3 ปีที่แล้ว +1

    Jactan vipi mbona part 3 imerudia ya part 1

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  3 ปีที่แล้ว

      Haijarudia sikiliza vizuri,kule ilikuwa kidokezo na hapa ni ufafanuzi

  • @daudilazaro5551
    @daudilazaro5551 3 ปีที่แล้ว +1

    Glory to God

  • @anneafrica939
    @anneafrica939 3 ปีที่แล้ว +1

    Daah am scared but Bwana YESU utukuzwe turehemu. Eeeeh MUNGU.

  • @tabithakigongo7801
    @tabithakigongo7801 3 ปีที่แล้ว +1

    @anneth senga malipo ya wachawi ktk vitendo vyote wafanyavo kwa duniani ndo watakuwa ivoivo kuzimu au jehanamu!!

  • @veronicamwaseba7839
    @veronicamwaseba7839 2 ปีที่แล้ว +1

    BwanaYesu turehemu.

  • @lydiamichael5509
    @lydiamichael5509 3 ปีที่แล้ว +3

    Eeh tusamehe utukumbushe kule tunakosea pasipokujua

  • @mmma6210
    @mmma6210 3 ปีที่แล้ว +1

    💯

  • @deusmakoye9999
    @deusmakoye9999 3 ปีที่แล้ว +2

    Mm kunakitu mtumishi huwa sijakielewa kunatofauti gani kati ya umbo la roho na umbo la mwili hilo umbo la roho huwa linatoka wapi? Katika mwili hebu nisaidie kunifafanulia

    • @jeanamosi811
      @jeanamosi811 3 ปีที่แล้ว +5

      Umbo la kiroho yani njo île ambayo aina mipaka yani inaweza pita kyenye kimbambazi bila kizuwizi yoyote

    • @ngwanafabian9668
      @ngwanafabian9668 3 ปีที่แล้ว

      @@jeanamosi811 umemjibu vyema but niongeze tu mchawi hutumia umbo gani kuingia ndani ya nyumba iliyofungwa?

    • @happnesmatende6271
      @happnesmatende6271 3 ปีที่แล้ว +1

      Mwili wa nje ni feki wa ule wandani,yaan ule mwili wa roho ndo original wa ule wa mwili wa nje

    • @daudijacob7377
      @daudijacob7377 ปีที่แล้ว

      Ukiota ndoto ule mwili wa nje so unajuwa umell na unajiona ukiwa n mwili uko kwenye ndoto n Kam ukihis uwoga so ndipo had ukishtuka inasema haa imekuwaje kumbe nimelala

  • @livingforgod2705
    @livingforgod2705 3 ปีที่แล้ว +1

    The world is not as peaceful as it looks.

  • @louisendunguru7106
    @louisendunguru7106 2 ปีที่แล้ว

    Enzi za Trump hizi Rais wa 🇺🇸

  • @kimsamespa8490
    @kimsamespa8490 3 ปีที่แล้ว +2

    Doh tutatoboa kweli 😭😭😭

  • @forjesus1382
    @forjesus1382 3 ปีที่แล้ว +1

    Ulimwengu 555 vyakula ...na nguo... Mungu tuonyeshe vyakula hizi... 🤔🤔

    • @truth7796
      @truth7796 3 ปีที่แล้ว

      Make sure you pray for the food, clothes and everything before you use, nothing will happen to you there's power in the name of Jesus to break every forces of darkness

    • @ngwanafabian9668
      @ngwanafabian9668 3 ปีที่แล้ว +1

      @@truth7796 sawa but huwezi nunua min skirt kisha uiombee isishawishi uzinzi si kila jambo lazima tuombe mengine ni kuyaepuka tu.

    • @truth7796
      @truth7796 3 ปีที่แล้ว

      @@ngwanafabian9668 I mean some clothes that we wear are owned by those associates so it's good to pray for something before use,, about min skirt i don't recommend anyone to wear people should cover there body properly and decently

  • @davidmaina797
    @davidmaina797 3 ปีที่แล้ว

    No 6

  • @davidmaina797
    @davidmaina797 3 ปีที่แล้ว +1

    4