Amen Amen nabarikiwa na kujifunza mengi kutokana na huu ushuhuda Mungu akulinde mtumishi prophet Aston mbaya pamoja na mtumishi pastor Langi kiswahili chako ni safi kabisa👌,team promover barikiweni pia kwa kazi njema watching you from Saudi Arabia
Naomba sote tuliousikiliza ushuhuda huu tutambue ya kwamba Upendo wa Mungu ni mkubwa sana kwetu, na Neema ya Mungu iko juu ya maisha yetu, kwa hiyo tusijidanganye kwmb tulikuwa tumeokoka bali tutafute wokovu kwa upya kabisa, na kuanza kuishi maisha ya utakatifu na kumtumikia Mungu. Naamini Mungu ni mwingi wa huruma atatusamehe kabisa
Mungu aibariki promover Tv Kupitiya hiyo nimeokolewa. Nauliza kuhusu mtoto ambaye amesha kuona utupu wa mzazi nifanye je kwa kumuokowa? Na sielewi kama ukumu itakuwa kwa mtoto wa miaka ngapi
@@maryandason1815 NEEMA IMEKWISHA KUJA AMBAYO NI YESU KRISTO, AKATUOKOA KWA NEEMA MAANA TULIKUWA HATUSTARI, UKIMKUBALI YESU UTAFANIKA KUWA MWANA WA MUNGU, JAMSINGI NI SISI KUITUMIKIA NEEMA ,UKISOMA NENO VIZURI UTAGUNDUA, WANAOSEMA TUTAOKOLOLEWA KWA NEEMA WANATUDANGANYA MAANA UKITUBU ZAMBI NA UKIMKUBALI YESU NIKITENDO CHANEEMA MAANA HATUKULIPA CHOCHOTE WALA HATUKUMSHAWISHI YESU KUJA KUFA . KITU MUHIMU NI SISI KUITUMIKIA NEEMA AMBAYO IMEEEKWA NDANI YA NENO LA MUNGU . FANYA MAPEZI YA MUNGU SOMA NENO LA MUNGU NA UTAIONA UFALME WAKE. PELEKA MTOTO WAKO KANISANI NA UENDELEE KUMWOMBEA MSAMAA NA KUMFUNDISHA NENO LA BWANA
Kaka jactani samahani nauliza tulio mbali huku mwnza kuhusu ubatizo tutafanyeje? Maana tulibatizwa kwenye visima Mimi binafsi nilibatizwa kwenye kisima nikazamishwa maana naweza kwenda kwa mchungaji wangu asinielewe naitaji mdaada
@@magdalenapeter6106 yahn mm at sitaman at Kuendlea kuckiliza nazid kuogopa tu.kwa kwel coz kila kitu dhamb mtto uyo sas hakumuona mama ake kwa kusudia n bahat mbya tu.sasa jehanamu kaenda jmn mm at sitaman. Maana nawaza n Bora at ningeokoka cku nakufa tu il niingie mbingun celew at kidgo hi dunia n mambo yke
@@maryandason1815 kwakuwa Yesu anatùjua tulivyo anatuwezesha kushinda yote. Moja ya siri kubwa ya ushindi ni kuomba ujazo wa Roho Mtakatifu. Nimegundua walojazwa nguvu za Roho mtakatifu kisha wakatii neno la Mungu wana nafasi kubwa zaidi kuingia mbinguni kuliko wakristo wasiojazwa. Biblia inasema walio na Roho wa Mungu ndiyo watoto wa Mungu. Kwakuwa Roho mtakatifu ni halisi yeye anawezakukupatia nguvu ya kuishi maisha ya ushindi.
Kama mimi nimefanya ngono na wanaume wengi Karibuni ya 50 wala zaidi Hata nimeza na wa ume ambao wameowa Nimejuwa kuwa ni zambi ila sikuwa nimeokoka sasa nimekubali kumpokeya Yesu Sijuwi sasa nifanye je kuhusu Hilo?
asante sana dada kwamaswali zako na juwa utajibiwa ila naweza kukusaidia unapo okoka na kuacha byote iyo inatosha kulipa yote nikuishi sasa maisha matakatifu waku mupendeza MUNGU 1yahana 1:9
Yesu alishalipa yote msalabani kwa damu yake kinachotakiwa ni kumkubali Yesu na kumpokea moyoni na kuacha dhambi. Tayari unaanza maisha mapya ya kale yote yanafutwa wala hayatakumbukwa tena. Ukitenda dhambi tena yote yanafufuliwa
Amen Amen nabarikiwa na kujifunza mengi kutokana na huu ushuhuda Mungu akulinde mtumishi prophet Aston mbaya pamoja na mtumishi pastor Langi kiswahili chako ni safi kabisa👌,team promover barikiweni pia kwa kazi njema watching you from Saudi Arabia
Oh God help me to obey you totally coz I don't want to go to hell give the grace.promover TV continue airing this seminar it is blessing many lives
Amen Amen nabarikiwa na kujifunza mengi kutokana na huu ushuhuda Mungu akulinde mtumishi prophet Aston mbaya pamoja na mtumishi pastor Langi kiswahili chako ni safi kabisa👌,team promover barikiweni pia kwa kazi njema watching you from Saudi Arabia
heri niue mwili nisiende kuzimu. nimkubali Yesu Christo
Naomba sote tuliousikiliza ushuhuda huu tutambue ya kwamba Upendo wa Mungu ni mkubwa sana kwetu, na Neema ya Mungu iko juu ya maisha yetu, kwa hiyo tusijidanganye kwmb tulikuwa tumeokoka bali tutafute wokovu kwa upya kabisa, na kuanza kuishi maisha ya utakatifu na kumtumikia Mungu. Naamini Mungu ni mwingi wa huruma atatusamehe kabisa
Ooh Bwana Yesu Kristo uturehemu utuokoe tusije kuangamia sisi na baba na mama na watoto na wajukuu zetu na vizazi vyetu vyote
Nabalikiwa cana na Astony Adam mbaya, mungu amupe maisha malefu
Amen Amen Amen barikiweni sana watumishi wa BWANA
ASANTE MUNGU AWA BARKI NYOTE HUKO ULINZI WAKE UWE PAMOJA NANYI UJUMBE MUZITO LAKINI UNA TIBU BWANA YESU AWA BARKI SANA
Mungu unisamahe....I am a sinner
Blessings in Jesus Name.
MUNGU utusamehe sana utuokoe na utusaidie kufika mbinguni
Amen nabii wa Bwana wetu Yesu Kristo
Eeh Bwana tuhurumie nimengi tulifanya pasipojua..tusamehe Mungu baba
Ee Mungu turehemu, utusaidie macho ya rohoni tuweze kujijua nyimbo za kiroho
true men of God
What is amazing is how this servant has used his own money to support gospel even using video in his testimony,may God remember him in his kingdom
BWANA tusaidie ,nawapata kutoka Nairobi
Mungu aibariki promover Tv
Kupitiya hiyo nimeokolewa.
Nauliza kuhusu mtoto ambaye amesha kuona utupu wa mzazi nifanye je kwa kumuokowa?
Na sielewi kama ukumu itakuwa kwa mtoto wa miaka ngapi
Unatubu wewe na yeye kama sijakosea
Amen
Jesus what am I going to do kwa sababu ata mtoto wangu uwa ananichukulia nguo za ndani
Jamni watoto kma hao Bora mm nafanya dhambi nikiwa na akil timamu kulko watoto jmn.sasa hyo NEEMA iko wapi? Kma kuona chup tu kwenda jehanamu?
@@maryandason1815
NEEMA IMEKWISHA KUJA AMBAYO NI YESU KRISTO, AKATUOKOA KWA NEEMA MAANA TULIKUWA HATUSTARI, UKIMKUBALI YESU UTAFANIKA KUWA MWANA WA MUNGU,
JAMSINGI NI SISI KUITUMIKIA NEEMA ,UKISOMA NENO VIZURI UTAGUNDUA, WANAOSEMA TUTAOKOLOLEWA KWA NEEMA WANATUDANGANYA MAANA UKITUBU ZAMBI NA UKIMKUBALI YESU NIKITENDO CHANEEMA MAANA HATUKULIPA CHOCHOTE WALA HATUKUMSHAWISHI YESU KUJA KUFA . KITU MUHIMU NI SISI KUITUMIKIA NEEMA AMBAYO IMEEEKWA NDANI YA NENO LA MUNGU . FANYA MAPEZI YA MUNGU SOMA NENO LA MUNGU NA UTAIONA UFALME WAKE.
PELEKA MTOTO WAKO KANISANI NA UENDELEE KUMWOMBEA MSAMAA NA KUMFUNDISHA NENO LA BWANA
Je! Kama ulitegemea kumlipa mtu aliekua anakudai ghafla ukafa na wakati kesho yake ulikua unapata ela ya kulipa deni bado utahukumiwa kwa deni lile?
Kaka jactani samahani nauliza tulio mbali huku mwnza kuhusu ubatizo tutafanyeje? Maana tulibatizwa kwenye visima Mimi binafsi nilibatizwa kwenye kisima nikazamishwa maana naweza kwenda kwa mchungaji wangu asinielewe naitaji mdaada
Yahn mm nawaza Nan ataweza kutoboa aingie mbinguni?? Jmn mbona shuhuli nzito ngumu yhn kadri nackilza hz shuhuda nazd kuogopa tu nawaza mpk naumwa kichwa
Yaan Bila YESU kwakweli ni ngum sana
@@magdalenapeter6106 yahn mm at sitaman at Kuendlea kuckiliza nazid kuogopa tu.kwa kwel coz kila kitu dhamb mtto uyo sas hakumuona mama ake kwa kusudia n bahat mbya tu.sasa jehanamu kaenda jmn mm at sitaman. Maana nawaza n Bora at ningeokoka cku nakufa tu il niingie mbingun celew at kidgo hi dunia n mambo yke
@@maryandason1815 yaan hapo mpnz no kuomba rehema kila kikicha usiogope jakuna dhambi isiyosamehewa
@@magdalenapeter6106 wayyyyyy
@@maryandason1815 kwakuwa Yesu anatùjua tulivyo anatuwezesha kushinda yote. Moja ya siri kubwa ya ushindi ni kuomba ujazo wa Roho Mtakatifu. Nimegundua walojazwa nguvu za Roho mtakatifu kisha wakatii neno la Mungu wana nafasi kubwa zaidi kuingia mbinguni kuliko wakristo wasiojazwa. Biblia inasema walio na Roho wa Mungu ndiyo watoto wa Mungu. Kwakuwa Roho mtakatifu ni halisi yeye anawezakukupatia nguvu ya kuishi maisha ya ushindi.
Kama mimi nimefanya ngono na wanaume wengi Karibuni ya 50 wala zaidi
Hata nimeza na wa ume ambao wameowa
Nimejuwa kuwa ni zambi ila sikuwa nimeokoka sasa nimekubali kumpokeya Yesu
Sijuwi sasa nifanye je kuhusu Hilo?
Uko nchi gani Christine Rehema? Ili nikushauri.
Chukua no za promover tv mpigiee kka jacktan atakusaidia kumpta mtumish
@@ngwanafabian4612 naishi Marecani state of UTAH
@@maryandason1815 Asante sana ndugu yangu
@@christinerehema2814 sawa wapigie promover tv kaka jacktan atakusaidia
Jackitani mimi nataka kutubu nitapataje namba za wachungaji
Nipigie
At mm naitaj at no ya pastor stany n Adam jmn mm naogopa Nan ataingia mbingnun??
Ikiwa mtu amefanya hayo yote na bado hajaokoka akisha okoka anatakiwa kulipa ao
asante sana dada kwamaswali zako na juwa utajibiwa ila naweza kukusaidia unapo okoka na kuacha byote iyo inatosha kulipa yote nikuishi sasa maisha matakatifu waku mupendeza MUNGU 1yahana 1:9
Yesu alishalipa yote msalabani kwa damu yake kinachotakiwa ni kumkubali Yesu na kumpokea moyoni na kuacha dhambi. Tayari unaanza maisha mapya ya kale yote yanafutwa wala hayatakumbukwa tena. Ukitenda dhambi tena yote yanafufuliwa
@@ngwanafabian4612 Amina
@@ngwanafabian4612 Mungu awabariki mmenijibu