Part 2_USHUHUDA WA ASTON ADAM MBAYA WA KONGO ALIYESHUHUDIA VYUMBA 351 VYA KUZIMU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 91

  • @emmanuelzani2889
    @emmanuelzani2889 3 ปีที่แล้ว +11

    Asante kwa hizi shuhuda, maana zimekuwa msaada kwetu. Kama siyo hizi shuhuda, wengine Mbingu tusingeiona. Maana vitu vingine tulikuwa tunaviona vya kawaida. Asante sana Yesu kwa huduma hii.

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  3 ปีที่แล้ว +3

      Amen, tafadhali sambaza na kwa wengine

    • @daimavlog
      @daimavlog 3 ปีที่แล้ว +1

      Kabisa

    • @emmanuelzani2889
      @emmanuelzani2889 3 ปีที่แล้ว +1

      @@PromovertvTz inawezekana sijuwi namna ya kusambaza kwa wengine, maana nikitaka kufanya hivyo, haiendi clip, yanaenda maandishi tu. Nifundisheni. Asante.

    • @emmanuelzani2889
      @emmanuelzani2889 3 ปีที่แล้ว

      @@PromovertvTz inawezekana sijuwi namna ya kusambaza kwa wengine, maana nikitaka kufanya hivyo, haiendi clip, yanaenda maandishi tu. Nifundisheni. Asante.

  • @marianachriss2444
    @marianachriss2444 3 ปีที่แล้ว +8

    Ndio maana naomumbaga Mungu anisamehe dhambi za mwili na roho.kumbe ni Kweli ,ooh BWANA asante unisamehe

  • @happnesmatende6271
    @happnesmatende6271 3 ปีที่แล้ว +4

    Eeee Yesu mwana wa Mungu nisamehe dhambi zote nilizotenda kwa kujua au kwa kutokujua kwa kupenda au kutokupenda Yesu wote wanaoomba rehema pamoja na Mimi utusamehe wote pamoja

  • @totoyamungu
    @totoyamungu 3 ปีที่แล้ว +3

    Nisaidie ee Yesu ni epukane na kikombe hichi cha mateso ya milele😭😭 futa jina langu katika kitabu cha mauti niandike katika cha uzima kwa jina Yesu Kristo 🙏 😭

  • @abbygaelsharon497
    @abbygaelsharon497 ปีที่แล้ว +1

    Mungu nisamehe consume all the bitterness in my heart 🤦pia niondole roho ya ukali 🛐 father have mercy and save me🙏

  • @sylvestermhojaaron9659
    @sylvestermhojaaron9659 3 ปีที่แล้ว +1

    BWANA YESU nipe mwisho mzuri wa maisha yangu ya wokovu hapa duniani

  • @linuxlipawaga1696
    @linuxlipawaga1696 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante Mtumishi wa Mungu kwa ushuhuda mzr wa kutujenga

  • @tatumluv6054
    @tatumluv6054 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen Amen barikiwa sana mtumishi

  • @اماحمد-ض4ه
    @اماحمد-ض4ه 3 ปีที่แล้ว

    Amina barikiwa mutumishi, ee bwana yesu n saidie nishida dhambi z kiroho na za kimwili

  • @ridiajofrey8276
    @ridiajofrey8276 ปีที่แล้ว

    Mungu nisamehe huu ushuuda umenigusa sana kumbe kuvaa sket fupi no dhambi mungu nifunulie dhambi ambayo nimesahaau

  • @ndabatezebipemacho9724
    @ndabatezebipemacho9724 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki jackan usikose kuendeleza sehemu ya 3 uwanafatilia ju najifunza mengi mungu ni rehemu 🙏🙏🙏🙏🙏🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @salimaechessa8933
    @salimaechessa8933 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu nisamehe dhambi zangu

  • @jeanamosi811
    @jeanamosi811 3 ปีที่แล้ว +6

    Heee yesu niurumiye kwa zambi zangu za mwili kama vile za roho niondoleee mazambi zangu

  • @bonyemumosi1084
    @bonyemumosi1084 3 ปีที่แล้ว +2

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Bwana

  • @titinmbega4128
    @titinmbega4128 3 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa sna mtumishi Jactan kwa ushuhuda huu ili tukamtumikie Mungu kwa Roho na kweli. Mungu tuhurumie 😭

  • @sarahmichael7538
    @sarahmichael7538 3 ปีที่แล้ว +2

    Sauti iko sawa, nzuri, na inaeleweka! God Bless you Jactani

  • @lilianluhasi5053
    @lilianluhasi5053 3 ปีที่แล้ว

    Mungu wetu aliye hai tusamehe mwilini na rohoni tuwezeshe kuishi kwa mapenzi yako, tuvae nguo za heshima katika jina la Yesu Kristo

  • @MaggieG276
    @MaggieG276 3 ปีที่แล้ว +3

    Oh Lord may you forgive us.Help us to b holy just like you are.

  • @annadaffa7205
    @annadaffa7205 2 ปีที่แล้ว +1

    Mmmmh mungu nisaidie niepukane na adhabu za shetani🙏🙏

  • @monicabh1668
    @monicabh1668 3 ปีที่แล้ว +1

    😭😭😭😭Eee Mungu nisamehe mimi nikumbushe na unisamehe juu kuna dhambi nilifanya lakini nimesahau na kuna zile nakumbuka 🙏🙏🙏🙏😭😭😭 iokoe nafsi yangu baada ya kuondoka hapa duniani.

  • @monicabh1668
    @monicabh1668 3 ปีที่แล้ว +1

    Eee Mungu 🙏🙏😭😭😭😭nisamehe dhambi zangu,nisafishe niwe mkamilifu mbele zako na uniondolee kikombe hiki cha mateso 😭😭😭

  • @hebronsdaughter1661
    @hebronsdaughter1661 3 ปีที่แล้ว +3

    Mungu turemu maana tunakukosea kila wakati

  • @priscarmpinda6737
    @priscarmpinda6737 ปีที่แล้ว +1

    Ameeen

  • @Priscakihiyo4352
    @Priscakihiyo4352 3 ปีที่แล้ว +4

    Neema ya Mungu ituokoe bila yeye hatuwezi kushinda ya dunia😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @mabelgreatverypowerfulspir3470
    @mabelgreatverypowerfulspir3470 ปีที่แล้ว +2

    Jehovah have mercy on us

  • @wigomwenyeflevazake7913
    @wigomwenyeflevazake7913 3 ปีที่แล้ว +2

    Daaah yaan bro hyo miteso mikubwaa tofaut hata na kosa sasa mtu picha tu inamfanya ateseke kiasi hicho haoa najiuliza hv mungu ndo ana roho mbaya kias hcho this is not fair

  • @priscarmpinda6737
    @priscarmpinda6737 ปีที่แล้ว +1

    May GOD forgive us and help us.😭

  • @msanginaza905
    @msanginaza905 ปีที่แล้ว

    Mungu nisaidie nipe mwisho nisaidie nisamehe dhambi zangu

  • @dorisgesare7707
    @dorisgesare7707 ปีที่แล้ว +1

    Wah natubu dhambi zangu zote mbele za umati na mbele za Mungu nisamehewe

  • @seciliagwamaka3753
    @seciliagwamaka3753 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu nisaidie,

  • @happinesserick3552
    @happinesserick3552 3 ปีที่แล้ว +2

    I'm afraid ...ooh MY JESUS forgive us..🙏🤲

  • @humphreymapunda4999
    @humphreymapunda4999 2 ปีที่แล้ว +1

    Be blessed

  • @dorisgesare7707
    @dorisgesare7707 ปีที่แล้ว +1

    Wah natubu dhambi zangu zote mbele za Mungu

  • @tamaraeliz7114
    @tamaraeliz7114 3 ปีที่แล้ว +3

    Bwana Akubariki sana Jacktan na Group yote ya Promover tv 📺

  • @rehemaabinelynyagawa2878
    @rehemaabinelynyagawa2878 3 ปีที่แล้ว +5

    Mungu tuhurumie maana peke yetu hatuwezi😭

  • @peninahkariuki4679
    @peninahkariuki4679 3 ปีที่แล้ว +1

    Amina,Mungu aturehemu aki

  • @naomikalinga3042
    @naomikalinga3042 3 ปีที่แล้ว +1

    YESU tuhulumie baba yetu tuokoe na jehamu tulehemu baba

  • @jessekusipa7325
    @jessekusipa7325 3 ปีที่แล้ว +3

    Emen Yesu tusaidie wanao!!!

  • @alafsakisinda4886
    @alafsakisinda4886 3 ปีที่แล้ว +1

    Ee Yesu tusaidie maana dunia tuliyonayo niya uharibifu mwingi mno na miili hii tuliyonayo ndo shida kubwa yaani

  • @glorytoGod639
    @glorytoGod639 3 ปีที่แล้ว +1

    Tunafanyaje watu wengi zaidi wapate hizi jumbe, duh Mungu tusaidie

  • @kombomohammed2214
    @kombomohammed2214 3 ปีที่แล้ว +3

    Huu ushuhuda mbona unaenda kinyume na maandiko.Maana maandiko yanasema mtu akifa,Mara moja roho yake huenda mahali panapohusika.Namaanisha Kama alikuwa mtu mwema huenda sehemu ya watu wema na kama alikuwa mwovu huenda sehemu ya watu waovu yaani kuzimu,rejea mfano was tajiri na Lazaro katk kitabu Cha Luka 16:19-31.Sasa hizo roho zinazotangatanga zinatoka wapi?

    • @tonchersavage5742
      @tonchersavage5742 3 ปีที่แล้ว

      Je, unahamini misukule uwa awafi wapo wanatangatanga

    • @bonifasemmanuel4700
      @bonifasemmanuel4700 2 ปีที่แล้ว

      Msukule ni tofauti,maana ni watu ambao hawajafa

    • @bonifasemmanuel4700
      @bonifasemmanuel4700 2 ปีที่แล้ว

      Halafu Amesema hao wanao tangatanga,ni wale walio kufa kabla ya wakati wao,wakati wao kishafika ndo wanakwenda,mwenye mangojeo ni kweli kabisa,

  • @biblianenolaukweli5616
    @biblianenolaukweli5616 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu nimukubwa kwakweli tuna subiri part three

  • @victormbuya7108
    @victormbuya7108 3 ปีที่แล้ว +3

    Doctor wa Roho ninaomba mwemdelezo vyumba 351 vya kuzimu,mwendelezo wa 15 na kuendelea, kwaniaba yangu mim na wengine pia

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  3 ปีที่แล้ว

      Mwendelezo utakuja wiki hii, tuendelee kusubiri tu

  • @neemaalex903
    @neemaalex903 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu wetu tuhurumie nautukumbshe Sana jamani tuombeni

  • @erianne494
    @erianne494 3 ปีที่แล้ว +3

    Nihatar mungu turehemu

  • @Ellyfaragha
    @Ellyfaragha ปีที่แล้ว +1

    Ee nafsi yangu mche mungu 😢

  • @dokasa9176
    @dokasa9176 3 ปีที่แล้ว

    Mungu wetu tusaidie,sisi wana wako

  • @aminaally4163
    @aminaally4163 3 ปีที่แล้ว +2

    BWANA YESU TUSAIDIE BILA WEWE BWANA HATUWEZI

  • @millicentayangokunting3728
    @millicentayangokunting3728 3 ปีที่แล้ว

    Mungu ni guze

  • @nurumwita9034
    @nurumwita9034 3 ปีที่แล้ว +4

    Mmmh jmn ata ngono kwenye ndoto ni dhambi jmn tutapona kweli jmn..

    • @hebronsdaughter1661
      @hebronsdaughter1661 3 ปีที่แล้ว +3

      Yani kuingia mbinguni nikwa neema ya Mungu pekee

    • @sylvestermhojaaron9659
      @sylvestermhojaaron9659 3 ปีที่แล้ว

      Tutapona tu iwapo tutamtegee kwa miyo yetu yote, naye atatufungua na hayo yote

    • @tatuhongeranurushaus485
      @tatuhongeranurushaus485 3 ปีที่แล้ว

      😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭hadi ngono ya kwenye ndoto jomon 😭😭😭😭😭😭😭ee mungu tuhurumie

    • @bonifasemmanuel4700
      @bonifasemmanuel4700 2 ปีที่แล้ว

      Hiyo ya kwenye ndogo ninawasiwasi,ktk ukweli huo,

    • @JoyfulGod
      @JoyfulGod ปีที่แล้ว

      Yes it's very true.

  • @channel-qz5yq
    @channel-qz5yq 2 ปีที่แล้ว +1

    🕊❤

  • @damas5665
    @damas5665 3 ปีที่แล้ว +2

    Forgive me God 😭😭🙏

  • @alexamutawa5396
    @alexamutawa5396 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu wetu aturehemu😭

  • @marianachriss2444
    @marianachriss2444 3 ปีที่แล้ว +4

    Hii ni kweli shetani anakuletea dhambi hadi ktk mwili wa roho,jamani Mungu atusamehe

  • @josephmutemi7494
    @josephmutemi7494 3 ปีที่แล้ว +1

    Yesu zaidia watu waepuke mateso

  • @davidmaina797
    @davidmaina797 3 ปีที่แล้ว

    Part 3

  • @martinmaryogo3676
    @martinmaryogo3676 2 ปีที่แล้ว +1

    sasa km mitandao ya kijamii ni nguvu hzo za ulimwengu wa shetani, sasa watumishi wanaotumia whtsapp na inst, youtube kwa hiyo wamejisajili kuzimu kabsa jaman ama nyie mnaelewaje juu ya mitandao ya kijamii

  • @prophetrichard7669
    @prophetrichard7669 2 ปีที่แล้ว +1

    Watu watubu na kumupa MUUMBA WETU YESU KRISTO MAISHA YAO

  • @victormbuya7108
    @victormbuya7108 3 ปีที่แล้ว +1

    Doctor wa Roho,ushuhuda wa vyumba 351 nimeelea uliposimulia kote nimeelewa lakini aujamalizia, aliyesimulia mwingine kuanzia mwanzo mpk mwisho sijamwelewa Ata kido, unachambua vizuri katka kuelezea wewe mwenyewe ndo ninakuelewa msema kweli mpenzi wa Mungu mim niaomba unisaidiye kumalizia kuanzia kipande cha 15 nakwendelea

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  3 ปีที่แล้ว

      Sawa, vumilia kidogo mwendelezo unakuja

    • @victormbuya7108
      @victormbuya7108 3 ปีที่แล้ว

      Amina.,usisahau pale ulipoishia kuendelezea, naomba Mungu atikie nguvu na uwezo wa kutenda kazi yake vema

  • @christinalugenge290
    @christinalugenge290 3 ปีที่แล้ว

    Mungu naomba unihurumie kwa yote ninayo yafnya

  • @millicentnaliaka
    @millicentnaliaka 3 ปีที่แล้ว +1

    Maamuzi yako ya leo ni matokeo yako yakesho MUNGU atusaidie sana

  • @patrickmunishi2277
    @patrickmunishi2277 3 ปีที่แล้ว

    Hakika

  • @simbengalesijaona1844
    @simbengalesijaona1844 2 ปีที่แล้ว +1

    Ee BWANA YESU NAKUOMBA KWA DHATI, UTUSAIDIE SOTE TULIOBAHATIKA KUPATA NAFASI YA KUUSIKILIZA USHUHUDA HUU WA ASTON ADAM MBAYA WA CONGO, KUIFIKIA TOBA YA KWELI NA KUHAKIKISHA KUISHI MAISHA AMBAYO YATAUFAA UFALME WAKO HATIMAYE!!

  • @likatiabunuas2701
    @likatiabunuas2701 3 ปีที่แล้ว +2

    Tusome sana biblia jamani. Si kila shuhuda ni za kweli

    • @mgalilayamweusi6037
      @mgalilayamweusi6037 2 ปีที่แล้ว +1

      Hata kama si za kweli, nivile zinakusukuma kutubu na kutafuta mbingu, basi hupaswi kukanusha...

    • @bonifasemmanuel4700
      @bonifasemmanuel4700 2 ปีที่แล้ว

      Kwani kakosea wapi,

  • @eliyawilliammagesamarwa8413
    @eliyawilliammagesamarwa8413 3 ปีที่แล้ว +1

    Ee YESU NIOKOE😭

    • @judithherman6972
      @judithherman6972 3 ปีที่แล้ว

      Nimelia Sana Eee Mungu tukumbushe dhambi za zamani ili wewe Mungu unirehemu mimi ni mdhambi

  • @Agoodservant
    @Agoodservant 3 ปีที่แล้ว +1

    😭😭😭😭😭😭😭😢

  • @johnmwanjiku8391
    @johnmwanjiku8391 3 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU aturehemu kabisa

  • @christinalugenge290
    @christinalugenge290 3 ปีที่แล้ว

    Mungu naomba unihurumie kwa yote ninayo yafnya