Part 4_CHUMBA CHA MUZIKI KATIKA VYUMBA 351 VYA KUZIMU|USHUHUDA WA ASTON ADAM MBAYA WA KONGO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 73

  • @titinmbega4128
    @titinmbega4128 3 ปีที่แล้ว +11

    Unaweza kujiona uko kamili kumbe kuna mambo yamefichika ktk maisha ambayo unadhani si dhambi ni kawaida kumbe ni dhambi Mungu nifunulie nikaweze kutubu dhambi zangu zote hata zilizo
    fichika Bwana zi funue😭😭Na nlizo
    ona si dhambi kumbe kwako ni chukizo Mungu nisamehe. Inapaswa kutubu kila dakika kwa dhambi unazo zi fahamu na usizo zifahamu. Ubarikiwe sana Mtumishi na team yako kwa kutuletea ushuhuda huu ili kuokoa maisha Yetu baada ya kuishi hapa duniani.

  • @ivonaevarista4654
    @ivonaevarista4654 3 ปีที่แล้ว +7

    Jamani kumbe unaweza kujiona mtakatifu umekamilika,kumbe Bwana anakuona umeganganiwa na kuzimu,Eee Yesu turehemu,Ila muda mwingine ni bora tumsifu Bwana kwa tenzi,kaka jack asante kwa kutuletea shuhuda nzuri,Bwana apewe sifa kukupa shuhuda hii ili utuwekee.

  • @everlinekemunto267
    @everlinekemunto267 2 ปีที่แล้ว +5

    Asante sana kwa shuuda,sasa inabidi maombi na kutubu kila dakika,sababu kwa kweli,tutajuaje nyimbo sisizo za Mungu.

    • @consolathaamandus8136
      @consolathaamandus8136 ปีที่แล้ว

      Mungu atusaidie kwa kweli yani Sasa tutapataje kupona na tutajuaje kuwa zinatoka kuzimu na wakati wengine tunanena kwa lugha kabisa...YESU tusaidie

  • @ridiajofrey8276
    @ridiajofrey8276 ปีที่แล้ว +1

    Ee mungu wangu nisaindie niache kumsikiliza nyimbo za kidunia tunajiona tumekamilika kumbe tuna dhambi ee beans yesu nirehem

  • @emmanulmbembati
    @emmanulmbembati ปีที่แล้ว +2

    Kazi yenu si Bure bwana yesu kristo awape nguvu zaidi

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 ปีที่แล้ว +1

    Sichomoki mimi bila fever yako KRISTO YESU ULIYE HAI naomba msamaha na rehema zako

  • @annamarei8937
    @annamarei8937 ปีที่แล้ว +2

    Mungu nirehemu zambi zangu zote

  • @jesusfirstchurch4162
    @jesusfirstchurch4162 3 ปีที่แล้ว +5

    Ee Mungu tukumbuke watu wako ulituumba kwa sura na mfano wako usituachie magumu Baba. ..Baba kwa Jina la Yesu wasamehe watoto wote wadogo maana hawana ufahamu wa haraka kukumbuka kutubu au kuomba msamaha ... Damu yako Yesu ilimwagika kwa ajili ya watu wote....kwenye hizo sarakasi za kuzimu abaki shetani na jeshi lake...

  • @queenmwaweya9691
    @queenmwaweya9691 2 ปีที่แล้ว +2

    Ameeni mungu akubariki na abariki kazi ya mikono yako eeh mungu nisamehe kwayote niliokosa pasipo kujua nirehem niasidie nimalize mwendo salama nifanye mapenzi yako

  • @sallymumia8425
    @sallymumia8425 3 ปีที่แล้ว +4

    Thank you so very much, for this great testimonies that opens up our spiritual eyes,be blessed,

  • @ninabintizion1411
    @ninabintizion1411 3 ปีที่แล้ว +3

    Mimi ninalia kutokana na mateso haya ninawaza ee Mungu uturehemu uturehemu. Ninaomba ushuhuda huu ukawaguse wengine Kama ulivyonigusa ukatubadilishe
    Ee Mungu mwenyeenzi uturehemu 🥲🥲🥲

  • @gaudenceharerimana7743
    @gaudenceharerimana7743 3 ปีที่แล้ว +3

    Yooooooooo Munguwangu unisamehe najua niliwahi kushelekea noel ishindwe katika jinala Yesu mukombozi wamaisha yetuuuuu

  • @francisalcardo544
    @francisalcardo544 3 ปีที่แล้ว +4

    Ubarikiwe sana mtumishi waiting for part 5 please put soon

  • @nelsonlushasi8365
    @nelsonlushasi8365 3 ปีที่แล้ว +4

    Mungu akubariki mtumishi

  • @tinamitamba4464
    @tinamitamba4464 3 ปีที่แล้ว +4

    MUNGU azidi kuwalinda wazilishaji wa vipindi ivi vya shuhuda,vinabadilisha maisha ya watu mubarikiwe sana

  • @ndabatezebipemacho9724
    @ndabatezebipemacho9724 3 ปีที่แล้ว +5

    Tu nashukuru kuendeleza sehemu ya inne

  • @matungumatungu662
    @matungumatungu662 3 ปีที่แล้ว +3

    Mimi nachanganyikiwa kila nikiwatch nashindwa cha kufanya

  • @hebronsdaughter1661
    @hebronsdaughter1661 3 ปีที่แล้ว +5

    Ni kuomba rehema Mungu atuongoze

  • @DenisCasey-kh8ub
    @DenisCasey-kh8ub 28 วันที่ผ่านมา

    Yesu Kristo tusaidie tuweze kuchinda maovu ya dunia baba😢

  • @peninahkariuki4679
    @peninahkariuki4679 3 ปีที่แล้ว +5

    Mungu apewe sifa,barikiwa ndugu jacktan,waiting for Part 5🙏🙏

  • @marianachriss2444
    @marianachriss2444 3 ปีที่แล้ว +7

    Tunatakiwa tuombe rehema kila siku bila kukoma tumwambie BWANA YESU asichoke kutusamehe

  • @sarahmdindile4301
    @sarahmdindile4301 3 ปีที่แล้ว +3

    Daah! Sasa kujua kwamba hii nyimbo ya injili imetungwa na pepo ni ngumu, Mungu tu atusaidie.

  • @lucywilson5875
    @lucywilson5875 3 ปีที่แล้ว +3

    Mungu usituache tafadhali tuongoze kwenye njia iliyonyoofu

  • @epiphaniemugwaneza1259
    @epiphaniemugwaneza1259 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu adusamehe tutajyuwa ajye nyimbo za Mungu

  • @tamaraeliz7114
    @tamaraeliz7114 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu wangu na Baba yangu tuhurumie. Jacktan Barikiwa sana na Media yote ya Promover 📺 🖥 Barikiweni Sana

  • @roselineatamba916
    @roselineatamba916 3 ปีที่แล้ว +2

    Asante Jaktan nauwelewa sasa.

  • @plastidiacasmiry2234
    @plastidiacasmiry2234 ปีที่แล้ว +1

    Je tutatofautishaje nyimbo zilizo ongozwa na roho mtakatifu na zinazoongozwa naapepo ikiwa zote zaonesha kuifi utukufi wa Mungu?

  • @foundationfaithtv
    @foundationfaithtv 2 ปีที่แล้ว +2

    Nahitaji Mungu anisamehe dhambi nilizo zitenda tangu utotoni hadi leo hii zile nilizo sahau n'a nazile nilizo zifanya kwa ndugu n'a marafiki huenda wakafa tayari

  • @millicentnaliaka
    @millicentnaliaka 3 ปีที่แล้ว +3

    Yesu atuokoe na adhabu kali ya mwisho

  • @aminaally4163
    @aminaally4163 3 ปีที่แล้ว +4

    Tumwombe Sana MWENYEZI MUNGU tuepuke haya manyimbo kabisa

  • @charlesmwakisopile9002
    @charlesmwakisopile9002 3 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana

  • @perrywanjiru2754
    @perrywanjiru2754 2 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana mtumishi wa Mungu

  • @paulmtweve109
    @paulmtweve109 3 ปีที่แล้ว +2

    Hakika Mungu atuongoze kwa mapenzi yake daima

  • @sarahmichael7538
    @sarahmichael7538 3 ปีที่แล้ว +1

    Kumbe wote watakaoenda jehanamu/kuzimu wamelaaniwa na Mungu?!
    Ee mwenyezi Mungu nisaidie kujitakasa

  • @josephmtatilo2326
    @josephmtatilo2326 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu turehemu wanao

  • @davidmaina797
    @davidmaina797 3 ปีที่แล้ว +2

    I'm following

  • @sylvestermhojaaron9659
    @sylvestermhojaaron9659 3 ปีที่แล้ว +5

    Amina

  • @vicktorialessostuder7318
    @vicktorialessostuder7318 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu atuokoe jamaniii

  • @christinaisanguisangu2974
    @christinaisanguisangu2974 ปีที่แล้ว

    Jamani nisaidie namna yakutubu huenda nakosea jamani

  • @magretjohnas8105
    @magretjohnas8105 ปีที่แล้ว

    Nyimbo za injili za kipepo za kikristo zipoje emungu turemu

  • @edwiniluther3263
    @edwiniluther3263 3 ปีที่แล้ว +7

    Nikushukuru umekuwa msaada mkubwa kwa Upendo wa Kristo, Mimi binafsi nilikuwa nimeloea kujichua sikujua nafanya uzinzi
    Kuanzisha kipindi hiki kimeyabadilisha maisha yangu na simulizi na shuhuda zako na unayo sauti ya kumfanya mtu ajisikie mwenye hatia, Ee Mungu tunaomba Rehema ya msamaha isikauke kwetu utukumbushe kila saa na sekunde maana mshitaki wetu halali ili tuwe macho kwa silaha za vita kusali kufunga na kutubu
    Mjalie maisha Yenye afya na familia yote ya Promover tv na kazi zao zipate kibali kwako kwa ajili ya Utukufu wako Ee Baba Mtakatifu wa Milele tulitoka kwako na twakusihi turudi kwako kwa Mapendo yako ya Hekima na Utukufu Amee

  • @magdalenemaya3096
    @magdalenemaya3096 7 หลายเดือนก่อน

    Music😢😢😢 wat kind should we listen coz all musicians are worshipping satan 😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @josephmutemi7494
    @josephmutemi7494 2 ปีที่แล้ว +1

    BWANA tusaidie tuepuke kuzimu

  • @vumiliawambula1716
    @vumiliawambula1716 3 ปีที่แล้ว +2

    Aman

  • @salomengas9113
    @salomengas9113 3 ปีที่แล้ว +2

    True ,strange holy spirit ,strange healing,,strange deliverance and all are fake,,strange speaking in tongues,,all from he'll,,May God help us.

  • @tantinemwemendi8790
    @tantinemwemendi8790 3 ปีที่แล้ว

    Nisaidie yesu

  • @mercyetago4020
    @mercyetago4020 3 ปีที่แล้ว

    Mungu aturehemu.

    • @vumiliawambula1716
      @vumiliawambula1716 ปีที่แล้ว

      Mungu atusaidiye tutajuwaje nyimbo za Mungu za ukweli

  • @deusmakoye9999
    @deusmakoye9999 3 ปีที่แล้ว +3

    Kwa mtirriko huu mbingu ni ngumu

    • @ngwanafabian9668
      @ngwanafabian9668 3 ปีที่แล้ว

      Kweli ni ngumu ila panaendeka isipokuwa kuzimu panaendeka kirahisa japo hapavumiliki hata kwa wenye kiburi sugu.

    • @valentinandukuvalentinandu4779
      @valentinandukuvalentinandu4779 3 ปีที่แล้ว

      lazima tutubu tumurudie Mungu wetu

  • @eliyawilliammagesamarwa8413
    @eliyawilliammagesamarwa8413 3 ปีที่แล้ว

    Ee YESU NISAMEHE 😭😭😭😭😭😭😭

  • @heritier5119
    @heritier5119 3 ปีที่แล้ว

    Maisha ya mwafrika ni mateso tosha, ukiweza teseka afrika utoshindwa kuishi kuzimu

    • @thomasfungo2496
      @thomasfungo2496 2 ปีที่แล้ว

      Mbona hujielewi omba Toba kwa Mungu

    • @estherjustine8251
      @estherjustine8251 ปีที่แล้ว

      Mungu akusamehe ndg kwakuwa hujielewi vizuri, acha mizaha ndg yangu Mungu ametupabupendeleo kuzi jua hizi Siri ni neema yake kubwa......atusaidie hata Sasa kwakuwa kwa nguvu zetu hatuwezi lolote

  • @sarahmichael7538
    @sarahmichael7538 3 ปีที่แล้ว +1

    Ee BWANA MUNGU...
    NAOMBA UNISAIDIE KUISHI MAISHA SAFI YA UTAUWA! MAISHA YAKUPENDEZAYO WEWE!

  • @janecherutomutai1551
    @janecherutomutai1551 3 ปีที่แล้ว

    0

  • @DenisCasey-kh8ub
    @DenisCasey-kh8ub 28 วันที่ผ่านมา

    Yesu Kristo tusaidie tuweze kuchinda maovu ya dunia baba😢