Part 9_PEPO LA NGONO NDOTONI(JINI MAHABA) |USHUHUDA WA VYUMBA 351 VYA KUZIMU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 64

  • @queenmwaweya9691
    @queenmwaweya9691 2 ปีที่แล้ว +1

    Eemungu nisamehe nirehem mimi naomba nisaidie pekeyangu siwez kuyashinda haya yote ubarikiwe mtumishi wa mungu kwa kuziponya roho zetu yesu naomba irehem familia yangu

  • @anneafrica939
    @anneafrica939 3 ปีที่แล้ว +22

    Daaaah team ya promover hatulali tuunde group letu tutiane moyo na kuinuana na kujengana Mtu akiwa ajiwezi.

    • @kombomohammed2214
      @kombomohammed2214 3 ปีที่แล้ว +1

      Naunga mkono hoja

    • @salomeogutu8490
      @salomeogutu8490 3 ปีที่แล้ว

      Very t

    • @lilianmugyabuso8908
      @lilianmugyabuso8908 2 ปีที่แล้ว

      Kabisa

    • @happykabaka8981
      @happykabaka8981 ปีที่แล้ว

      Tuunde group jamani njooni basi tutiane moyo safari ya mbinguni ni yetu

    • @Reginajohnson19884
      @Reginajohnson19884 ปีที่แล้ว

      Weeee hayo Magroup shetani ndio anayapenda , maana mawakala wake wapo humu humu na wana weka like, my dear Kama Wewe, Omba sana macho ya rohoni group, humo humo kutongodhana kutaanza, shetani mshenziii

  • @ridiajofrey8276
    @ridiajofrey8276 ปีที่แล้ว +1

    Ee mungu tuepushe na ndoto mbaya za Majin mahaba na za wafu ee mungu turehem tusamee ee bwana yesu

  • @elizabethnafunamakhanu8942
    @elizabethnafunamakhanu8942 3 ปีที่แล้ว +6

    Waah mgeni hapa lakini limenikusa hapo ooh Mungu nirehemu mimi mwili wangu wote una dhambi. 😭😭

  • @damas5665
    @damas5665 3 ปีที่แล้ว +12

    First one wapi like zangu!!!!!!!!!!watching........

  • @msanginaza905
    @msanginaza905 ปีที่แล้ว +3

    Yaaan jamani jamani Mungu nisaidie mbinguni sio rahisi km tunavyodhania mm hata sitasema mtu akifa apumzike Kwa Amani maana vyumba 351 sio mchezo..haya mapepooo naona kabla ya kulala tuyakemeee...nimeanza kuacha kupaka kucha rangi nataka nianze kuacha mawigi Mungu nisaidie

  • @DenisCasey-kh8ub
    @DenisCasey-kh8ub 9 หลายเดือนก่อน

    Yesu Kristo asifiwe, baba tujalie siku zote mafundisho yako usituachilie tuweze kuangamia sisi wana wako hooo, tujalie mwisho mzuri Yesu Kristo

  • @reginanamukuru3283
    @reginanamukuru3283 3 ปีที่แล้ว +5

    Asante Mungu kwa huu ufunuo, pia asante mtumishi hii channel ili kutufunza mapenzi ya Mungu 🙏🙏

  • @emmanulmbembati
    @emmanulmbembati ปีที่แล้ว +1

    Bwana mungu akuze huduma hihi iwafikie watu wengi zaidi na zaidi maelfu ya watu Bado wapo gizani

  • @marthampanda9956
    @marthampanda9956 ปีที่แล้ว +1

    Mungu atusaidie tusimame imara wakristo

  • @lucyakinyiowino8600
    @lucyakinyiowino8600 3 ปีที่แล้ว +5

    Bwana Yesu kwa neema yako nitawale na unimiliki

  • @peninahkariuki4679
    @peninahkariuki4679 3 ปีที่แล้ว +3

    Barikiwa mtumishi wa Mungu ndugu Jacktan kwa kutufikishia ushuhuda huu🙏🙏

  • @JustinaBoniphace
    @JustinaBoniphace 4 หลายเดือนก่อน

    Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu 🙏🙏

  • @tatumluv6054
    @tatumluv6054 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen Amen barikiwa mtumishi JACKTAN

  • @BIBLE-STORIES-KISWAHILI
    @BIBLE-STORIES-KISWAHILI ปีที่แล้ว

    AMEN AMEN. Mungu Atusaidiye Sana.

  • @emmanulmbembati
    @emmanulmbembati ปีที่แล้ว +1

    mungu akuinue kwa kutujenga na kukua kiroho

  • @vestinamdoe6737
    @vestinamdoe6737 3 ปีที่แล้ว +2

    Waooooh....mweeeh sio kwa kusubiri huku..Mbarikiwe promover Tv..🙏

  • @victormbuya7108
    @victormbuya7108 3 ปีที่แล้ว +2

    Unatusaidia sana kutoka katika dhambi,Mungu akubariki na azidi kukuinua kihimani zaidi

  • @zawadiomari7409
    @zawadiomari7409 3 ปีที่แล้ว +3

    Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu

  • @stellaelias8174
    @stellaelias8174 3 ปีที่แล้ว +1

    Amina Mungu akubariki sana tuko pamoja

  • @hebronsdaughter1661
    @hebronsdaughter1661 3 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa sana Mtumishi wa Bwana kwa kutuendelezea ushuhuda huu, nabarikiwa kila wakati

  • @victormbuya7108
    @victormbuya7108 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki na uzidi kuinuliwa,Kafka kazi ya Mungu

  • @petermkono6643
    @petermkono6643 2 ปีที่แล้ว +1

    Yesu unirehemu

  • @Klvn_Chriss
    @Klvn_Chriss 11 หลายเดือนก่อน +1

    Wengine hatuelew tumeshaoza YESU aturehemu

  • @jossyayielo7576
    @jossyayielo7576 3 ปีที่แล้ว +2

    Jamani tumengoja mwendelezo Kwa Muda Sana🇰🇪🇰🇪

  • @sarahmdindile4301
    @sarahmdindile4301 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki sana jaktan kwa shuhuda za kujenga ,umetuokoa wengi kupitia hizi shuhuda.

  • @naomi7256
    @naomi7256 ปีที่แล้ว +2

    Bwana asikuache siku akija kuchukua watu wake mtumishi

  • @nancyisoyi8164
    @nancyisoyi8164 ปีที่แล้ว +2

    HALLELUJAH ❤HALLELUJAH ❤HALLELUJAH.

  • @mercynyanchoka6283
    @mercynyanchoka6283 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimengoja hadi karibu nikuite mwongo, waaa, nimepata sasa sehemu ya 9

  • @veronicawilson4263
    @veronicawilson4263 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU wangu nirehem mm ni mwenye dhambi 😭😭

  • @alafsakisinda4886
    @alafsakisinda4886 3 ปีที่แล้ว +2

    Barikiwa sana mtumishi , ila ushuda ni kama unajirudia rudia iv

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  3 ปีที่แล้ว +3

      Siyo Kujirudia bali ni kwamba kuna matukio yaligusiwa tu kidogo mwanzoni ila huku mbele yanafafanuliwa kwa undani zaidi.

  • @chulelubella2819
    @chulelubella2819 ปีที่แล้ว

    Jactan naomba msaada Niko kwenye kifungo hiki kinanitesa sana Nina miaka 31 kimenifunga nisioe na imekuwa shida sana kupata mwenzio wa maisha.Nimekuwa nikijizuia kufanya zinaa lakini najikuta nazini katika ndoto hili jambo linanichukiza sana

  • @remmymhalla9925
    @remmymhalla9925 3 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu.

  • @christinaisanguisangu2974
    @christinaisanguisangu2974 2 ปีที่แล้ว

    YESU NIREHEMU MIMI MWENYE DHAMBI

  • @davidmaina797
    @davidmaina797 3 ปีที่แล้ว +2

    Powerful

  • @agustinolondon6968
    @agustinolondon6968 3 ปีที่แล้ว +1

    MTUMISHI huu ushuhuda unajirudia rudia sanaa

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  3 ปีที่แล้ว

      Siyo Kujirudia bali ni kwamba kuna matukio yaligusiwa tu kidogo mwanzoni ila huku mbele yanafafanuliwa kwa undani zaidi.

    • @agustinolondon6968
      @agustinolondon6968 3 ปีที่แล้ว

      @@PromovertvTz sawa MTUMISHI barikiwa sana

    • @vestinamdoe6737
      @vestinamdoe6737 3 ปีที่แล้ว +1

      Haujirudii..kuna matukio yanaunganishwa ili tuelewe vizuri..

    • @agustinolondon6968
      @agustinolondon6968 3 ปีที่แล้ว

      @@vestinamdoe6737 Amina

  • @peninahkariuki4679
    @peninahkariuki4679 3 ปีที่แล้ว +3

    Watching 😊😊

  • @prophetrichard7669
    @prophetrichard7669 2 ปีที่แล้ว +1

    Wacha YESU KRISTO awe KIONGOZI yetu

  • @Yudawise
    @Yudawise 3 ปีที่แล้ว

    Aa hatimaye mmeitoa good better best

  • @lilianachiengministries3386
    @lilianachiengministries3386 3 ปีที่แล้ว

    Jactan,nauliza kuna ushuhuda kuhusu kazi jumapili,wakristo wanaofanya kazi siku ya jumapili.

    • @anneafrica939
      @anneafrica939 3 ปีที่แล้ว +1

      Ndugu kuomba na kupumzika labda jmosi, jpili iliwekwa siku ya kipagani waliweka dunia nzima ipumzike this is secret mission macho na moyo wako ufunguke kujuwa nyakati katika jina la YESU Amen, ndio maana yaitwa Sunday means siku ya kumwabudu mungu Jua,shetani duniani. so nasi twaomba ila twajuwa twamuomba Baba wa Yote MUNGU wa milele duniani kuna kimbunga.

  • @nkugi
    @nkugi 3 ปีที่แล้ว

    Hatimayeeee namba 9

  • @johnsonally4828
    @johnsonally4828 3 ปีที่แล้ว +1

    Mbona namba 10hakunaaaaaa

  • @mariahyera3737
    @mariahyera3737 3 ปีที่แล้ว +1

    Kaka Jactani ninaomba unieleweshe kuhusu sadaka ya mbegu.

  • @johnsonally4828
    @johnsonally4828 3 ปีที่แล้ว +1

    Jamaniii namba 10 wapiiii

  • @penninahngau7399
    @penninahngau7399 3 ปีที่แล้ว

    Tuko pamoja wah magumu hayo

  • @fei3668
    @fei3668 3 ปีที่แล้ว +1

    Amina

  • @chriesterhaulejohn2444
    @chriesterhaulejohn2444 3 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU TUSAIDIE TUPONE

  • @nizaelluka627
    @nizaelluka627 3 ปีที่แล้ว +1

    Amina