Fungo la Kukosa 2003
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 12 ต.ค. 2020
- Rita anahamia mjini kutafuta Kabwe, ambaye alimzaa mtoto wake wa kiume. Baada ya Kabwe kuwakataa, mama anafikiria kumtelekeza mtoto kwenye jalala, lakini wawili hao wanachukuliwa na Dimoso mlevi. Baada ya hapo, Dimoso na Rita wanapendana. Wakati mtoto amelazwa hospitalini, Dimoso anasisitizwa juu ya pesa - lakini anapigwa na gari. Dereva, Mirate, anakubali kulipa bili za hospitali kwa Dimoso na mtoto - na inaonekana kwamba Dimoso na Mirate wanaanza kufanya mapenzi. Wakati huo huo, Rita anapewa kazi na rafiki yake wa utotoni, Raita, ambaye naye huanza kuwa na uhusiano wa kimapenzi. Kabwe, baba wa mtoto huyo, anajaribu kumrudisha Rita, lakini maendeleo yake yanapokataliwa ana mchawi kumtia uchawi. Katika harusi yake na Raita, uchawi husababisha Rita kushuka kuwa wazimu.
Rita moves to the city to look for Kabwe, who fathered her baby son. After Kabwe rejects them, the mother contemplates abandoning the baby at a dump, but the two are taken in by the drunk Dimoso. Thereafter, Dimoso and Rita fall in love. When the baby is hospitalized, Dimoso becomes stressed about money -- but is then struck by a vehicle. The driver, Mirate, agrees to pay the hospital bills for both Dimoso and the baby -- and it appears that Dimoso and Mirate begin to have an affair. In the meantime, Rita is given a job by her childhood friend, Raita, with whom she also begins to have an affair. Kabwe, the baby's father, tries to win Rita back, but when his advances are rejected he has a sorcerer put a spell on her. At her wedding to Raita, the spell causes Rita to descend into madness.
All movies ni chaneli ya filamu ya kwenye mtandao iliyo rasmi kwa filamu za kiswahili za kale zilizo pendwa Kuanzia maigizo, ucheshi na filamu zakutisha zilizo tamba myaka ya nyuma bila kusahau na filamu za mapenzi zenye kusisimuwa Tunakuletea kiwango cha juu cha ubora wa burudani za Kiswahili kutoka Afrika Mashariki.
All movies is an online video channel dedicated to Swahili oldschool movies . horror to love story movies and comedy we bring you the highest quality Swahili old school entertainment
| Bongo Filamu | Comedy |Bongo Movies
#moresubscribers2020#moreviews2020#Growmychannel - ภาพยนตร์และแอนิเมชัน
Nilikuwa darasabla pili movie hii inatoka now 2024 naingalia Tena Yani ni nzuri kwa kweli
Kutoka 2003 mpaka tunao angalia 2022 bado tunacheki filamu hii tujuane hapa kwa like
Nikiwa darasa la 4 siyo poa
MUNGU ANA PENDA BADO TUENDELEE KUISHI NA KUTANGAZA UKUU WAKE DUNIANI
Dada Riyama nakukubali hii movie umeitendea haki dada hongera Sana.
Da mumetisha san mumetukumbusha mbali sana bigap kwenu
Jamani kitambo sana nilikuwa naitafuta hii movies tuwekeeni Na My darling
Hawa jamaaa wanajua kuigiza ya hatuzichok kuangaliaaa
Daaah safii sanaa..nilikua darasa la 2 ..2003 hii kweli old bongo movie
Riyama ni Legend, ajengewe sanamu pia
Daaaaa move ya zaman sana nilikua darasa la kwanza
Filam ni nzuri enzi hizo riyama alikuwa mwembamba
Ahsanteni naamin yupo riyama mambo ni moto wameeka baada ya interview ya salama na riyama part two wapendwaa basi
Dah kiukweli uyu jamaa ana moyo wapekee sana japo kwa sasa hakuna mwanaume atakae beba majukumu ya kuudumia mtoto ambae sio wake kiukweli hapa kwa akina dada inabidi wajifunze jambo kwamba wasichague wanaume na sisi pia vijana tujifunze kitu kupitia filam hii 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Inauma sana kiukweli
Hongera kwa kuiweka hii movie aissee nmefurah,
Nzuri filamu za zamani
Tunashukuru kwa movie hii ,tunahitaji maiti ya mwanangu, chozi la urithi.
Daaaah hii move niliitafuta mpaka bas nashukuru kuikuta tena.
Haaa! Jmni mm 2003 ndokwanza nakaumli Wa miaka 4 ata shure sijaanzaga hadi rleo talehe 4/3/2021 give up hongeleni
Mastar wa enzi hizo jmn tamuuuuu
Movie walijua sana hii now 2024❤
Kipind hikoo anaitwa mama mateso, mdada mwenye machoz yakee kwasasa ni mama wa michamboo riyama ally
Au Jitaidi Utuweke na Comedy Za Enzi Hizo Za Kina King Majuto, kingwendu, Chil na Ringo, Zimwi mfano Mume bwege
Tuwekee kihongwe mzee wa busara party one na filam ya Marehem sajuki na wastara inaitwa vita
Na briefcase ya marehemu sajuki na wastara
Uyo mtt atakua mkubwa saizi
Dada riyama kipindi hicho ulikua msichana kweli ya mungu ni mengi
BOSS WEKA COMEDY YA KANJIBHAI ILE YA KING MAJUTO
Niliitafuta sana hii movie baada ya kuangalia kipindi cha salama na Riyama
Niliitafuta hii movie bila ya mafanikio, lkn nashukuru leo hii mmetuletea asanteni sana
Tunaomba muendelezo
Na mm pia nimeitafuta sana ata leo naiyona nimefurah sana
👍
💕💕💕💕👍
Duh kweli movie za zaman ndo nilizaliwa Nina umri sawa nayo
Daaaa kitambo sana
Muvi flani hivi amazing tamu sana
Yaani we ulioeka hi I movie nakupa hongera mno nmeitafta mpaka nmechka asante sana
fungu la kukosa
Riyama kalikua kadogo
Tunao Angalia 😂 hii fungus la kukosa tujuane Toka 2003 mpaka 2024 jamani 😅
Asante kwa kutuletea movie za kizamani🙏💚
Asante
Film hii inanipa faraja sana jamani
Movie za zamani zilikuwa nzur sana, tuwekee na kihongwe, mzee wa busara na pete
Umenikumbusha mbali mzee Wa busara
mashaailaah.movie.tamu.sana
Movie za zamani ni nzuri sana, tunaomba ututafutie movie ya My darling (kifo cha penzi) alicheza Riyama ally .
Lakini pia kuna movie ya comedy inaitwa Kanjibahi aliigiza marehemu mzee majuto, hizi movie hazipo kabsa you tube, tusaidie utuletee hapa
Kweli kabisa nzuri sana,tunaomba na Sarafina ya kibongo,alicheza mshindo Jumanne na wasanii wengine wengi.
Hiv ile aliyocheza mazoea na musa banz iliitwaje? Ni fake promise au unbroken promise naipenda ila siielew
Hadi raha kipindi hicho anaitwa Riyama hivi Sasa anaitwa Ryama hatariiiii 😜
Wapi pat2
Tuwekee saladini
Nzur Sana jmn part 2 please
Twaomba Na harusi ya candy jamaniiii
Jaman m naitafuta xana harusi ya Candy
Makerere hyooo mtoto siatamukaaa mm namuonea huruma mtoto2
inapendeza sana hii ndio raha ya mtanzania
Tuwekee my darling na sikitiko langu
Nzuri sana jamani
Nibebe mimba miezi tisa 9 nizae mtotowangu nimuite mateso matatizo shida hahahahaa majina mengine bwana mna mtoto unamuita mateso akikua anakua namateso kunarafkiangu mtotowake kamuita raha nikamuuliza mbna umemuita raha akaniambia ulitaka nimuite shida nikamuambia majina yote hayo mazuri jina gani ilo akaniambia jina lamkwe wake
Nikiwa darasa la tatu hadi saa hii na bado inanoga tu riama shikamoo asante kwa kutuekea umetukumbusha utotoni
nimezikubari sana
Pamoja nami
@@kulwashabani3328 🥰🥰zama hizo ikianza tuu waambiwa mida ndio hiyo kalale
Da nilikuwaga darasa la tatu enzi hzo kibanda cha video sh50 kuangalia hyo mikanda😁😁😁😁mweeeh miaka inaenda
Hii movie niliiangalia Mara ya kwanz 2005 nikiw LA sits move ya 2003 sasa 2023 naiangalia move za zaman zilikuwa nzuri sana walikuwa wanajituma wanagharamkia mno tofaut na sasa hongera riyama huzeeki we ni wa zaman but you look beautiful till now
Na saradini zote
Iko poa mpaka leo. Mafundisho yako sawa
Mussa Banzi apewe Heshima yake kikweli
Nilikuwa n miaka3 hiii movie inatok nw 22 aloooo
Nice movie
Naombeni like zenu
2024 still on fire❤❤
Watu wanatoka mbali jamani
Riama jaman.. Nampend Musa banzi cjui yuko wapi sahv
Unataka kumjua
Izi njo sinema zakuona
Ebu wekeni na my darling
Kweli kabisa ndugu yangu naipenda sana my darling
Haswa
My darling waigizaj wamo nan na nani
Kutok 2003 adi 2023 tujuan like
Hiyi movi imenifulahisha kipindi hico,Bujumbura tumeipenda saaaaana.mpaka Sasa sijagoma kuiona.
Tupo wengi
Tuwekee na The best wife zote
Ryma ana kiswahili
Uk vzrii dada yetu jamn nakpnda saaan
KUTOKA DRC KINSHASA 🇨🇩 2022 NAPENDA SANA
Kitambo sana one of the best
Vzr
Thank you for uploading it. Please upload my Darling with riyama Aly about a blind guy
Mateso Ana umri gani sasaivi siatakua amekua
Hahahaha aki tena😅
Tunaomba movie ya my darling
Aisi
Nimeamini akuna mtu mwembamba
Nimecheka
Nc
Riama alikuwa mwembamba
Mara ya kwanza kuiona hii filamu nilikuwa miaka tisa.
Kuna filamu jmn inaitwa joanita jmn aneijua atusaidie
Ni bonge la filamu iyo.
@@twalibndauka1451 haipatikan kweny youtube xx nitaipataje
huyu ndo Riyama bint yangu
Nimejikuta nalia
Naomba utuwekee na chite ukae please
Tuwekee itunyama, safari ya chiku na kapili
Nzuri san kwakweli
Hakuna mwembamba duniani 🔥🔥😂
tupo
🤔😧😧👍 gostei da tua historya
2021
Zamani Raha
Kitambo Sana bonge la muvi
paparaz bas weka
plz upload SABRINA ya Cloud 112 na Monalisa
2wekee na shaidi
Wap sikitikolangu?
Picha nzuli
Riyama kalikua kaxuri Masha Allah bila mamek up
2023 december
Kutoka 2003 mpaka tunao angalia 2024 tujuwane apa
❤❤❤
Tuwekee usiku wa maajabu na in the house ya kina zigi
Daaah enzi izo nlikua namiaka mitano uuuuuuwi move naikumbuka hii wadogo hamsin wakubwa mia
In the house😂😂 skulala vizuri sku iyo
@@omanimujsa9756 😂😂😂😂
So nice movie
Nilikuwa darasa la tatu na miaka tisa nakumbuka songea kwa bibi