Asante sana kwa ushauri mchungaji mimi hapa nilikua nimekata taama kimaombi juu ya ndoto chafu niliomba na kufunga lkn ndio nazidi kupambana kiroho ,ndoto za nyoka, majeneza, kupigana na majitu mamba ngombe kuku nyoka panya lkn sai nijitia nguvu nakusimama tena
Nimekaribishwa kwenye Makambi ya Kinondoni 2022 "online" na mdogo wangu, Nicodemus Nyang'ura, nikiwa hapa New York. Ni wakati wa furaha kubwa za kiroho nikikumbuka kuwa Makambi yangu ya mwisho yalikuwa mwaka 1957! Tuzidi kubarikiwa.
Pastor mafundisho yamen fungua sana maan nilikuw na mawaz meng hadi sielew nifany chaguz gan kwa mgang au nifanyaj. Maan hat majirn wanan shaur nitafut mtaalam ila sas Bora Ni mtumaine MUNGU
Ubarikiwe paster na Bwana kwa mafundisho mazuri benard from Kenya
Ubarikiwe saana na Bwana Yesu
Barikiwa sana mujungaji niko kenya mafundisho yoko yaniweka sana kwa musingi
Barikiwa saana Pr,,hili somo limegusa maisha yangu
Nimezaliwa kushinda na sii kushindwa nitashinda kwa jina la YESU
Mungu nimwena akika nimebalikiwa mchungaji
Ameeeeee 🙏🙏🙏ujumbe mzuli sana
Hakika pr Mmbaga Mungu akupiganie
Mchungaji Mmbaga David, ulindwe na mbingu. You're real communicating we thank God for you brother in Christ.
Asante sana kwa ushauri mchungaji mimi hapa nilikua nimekata taama kimaombi juu ya ndoto chafu niliomba na kufunga lkn ndio nazidi kupambana kiroho ,ndoto za nyoka, majeneza, kupigana na majitu mamba ngombe kuku nyoka panya lkn sai nijitia nguvu nakusimama tena
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu na Mungu azidi kukupatia maisha marefu ili injili na neno la Yesu Kristu Bwana lieneye ulimwenguni pote
Nimekaribishwa kwenye Makambi ya Kinondoni 2022 "online" na mdogo wangu, Nicodemus Nyang'ura, nikiwa hapa New York. Ni wakati wa furaha kubwa za kiroho nikikumbuka kuwa Makambi yangu ya mwisho yalikuwa mwaka 1957! Tuzidi kubarikiwa.
Ubarikiwe PR nimebarikiwa sana
Barikiwa pastor
Mungu wa mbinguni akubariki saaan..
Ameeeen🙌🙌🙏 thank you God for sending your servant to us🙏 we are blessed🙏
Amen nlianza kushida tangu tumboni mwa mama yangu.
Asante Yesu kuniumba mshindi
Pastor mafundisho yamen fungua sana maan nilikuw na mawaz meng hadi sielew nifany chaguz gan kwa mgang au nifanyaj. Maan hat majirn wanan shaur nitafut mtaalam ila sas Bora Ni mtumaine MUNGU
Nimepona nimepata nguvu ya kuendeleaa
,
Ubarikiwe
Unanibarik saaaan
Hallelujah soma zuri sanaaa mungu akubariki pastor
Ubarikiwe
From Maryland usa blessed with message. Mungu nakushuru sana
Asante Mungu kunileta duñiani
Amina nimebarikiwa
Amen baba
MUNGU akubariki
Amen 🙏
Na iwe hivyo
Amen
On point 21:50
22:17
Ni kweli 31:50
Amen 🙏🙏🙏🙏
Amen Amen
AMEN
Asante nimebarikuwa
Ameen
Amen
Ameen
Amen
Amen
Amen
Amen bless you from kenya ninakuelewa kabisa mtumishi wa mungu
Amen