GIGY MONEY NA DIVA WARUSHIANA MANENO MAKALI STUDIO, UGOMVI MKUBWA...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ก.ย. 2022
  • GIGY Money kupitia kipindi cha Mashamsham ameibua tafrani baada ya kutoelewana na mtangazaji wa Lavidavi, Diva the Bawse.
    GIGY MONEY NA DIVA WARUSHIANA MANENO MAKALI STUDIO, UGOMVI MKUBWA...
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #gigymoney
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 1.6K

  • @shabiki2292
    @shabiki2292 ปีที่แล้ว +286

    Gigy anampenda truly diva Yani Hadi alivyokuwa anapanick inaonesha truly walikuwa sisters wanapatana natamani kuwaona wapo cool again

    • @kgchippy
      @kgchippy ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/2apIro4o91s/w-d-xo.html

    • @sayimadahachalres130
      @sayimadahachalres130 ปีที่แล้ว +11

      Hakuna lolote studio hapo ya wenda wazm

    • @auntmakochela4202
      @auntmakochela4202 ปีที่แล้ว +4

      @@sayimadahachalres130 🤣🤣🤣

    • @betrackjasson6698
      @betrackjasson6698 ปีที่แล้ว +4

      Uyo dada diva mpumbavu sana mtu mzima kipande lijibwa tu

    • @ashanaomymwakimwagile7772
      @ashanaomymwakimwagile7772 ปีที่แล้ว +10

      Huyo gigy huwa anapanikigi katika kila jambo.. hiyo ndiyo hulka yake na inabidi abadilike!! hana busara kabisaa

  • @user-jq9rj4dm5u
    @user-jq9rj4dm5u 3 หลายเดือนก่อน +26

    Waliotazana hii interview 2024 gonga like tukisonga!!!

  • @noahnox4991
    @noahnox4991 9 หลายเดือนก่อน +12

    Diva uko wapi diva kipenzi changu, uvare so calm n composed❤

  • @ahsadonlnetv4077
    @ahsadonlnetv4077 ปีที่แล้ว +9

    Kuna muda unajizuia sana usihamaki ila ukifikiria yale unayofanyiwa bas unakosa amani na unataman upatie haki yako gig yuko.swa ila diva anajifanya sioo mkosa ila ukitizama.hii vdeo kwa umakin bas unakuta gig anaumia kwa yale anayofanyiwa Big up gigi ILOVE YOU 🥰

  • @atamotivetv8104
    @atamotivetv8104 ปีที่แล้ว +26

    Gigy nakupenda ila leo umeniangusha Yan umeshindwa kujicontroo 🙌🙌🙌🙌

  • @hahmadhabibu2076
    @hahmadhabibu2076 ปีที่แล้ว +144

    Gigy yuko na drama nimependa jinsi Diva is so mature

  • @enocklubengo8514
    @enocklubengo8514 9 หลายเดือนก่อน +6

    I come from Zambia 🇿🇲 I love you diva ❤❤❤

  • @Tessy254
    @Tessy254 ปีที่แล้ว +25

    Gigy is suffering from depression &the people that love her should get her help ASAP

  • @bonifas814
    @bonifas814 ปีที่แล้ว +5

    Mashaaa m skuwezij ndoo unampepeaa apo amaa alafuu wee gigy mpuuzii Sanaa unaringishiaa mtotoo kamaa Mtoto nikituu chamanaa Sanaa kama mwenzakoo ajajaliwaa usimsimangiee

  • @ashurahatibu5069
    @ashurahatibu5069 ปีที่แล้ว +33

    Mungu wangu dah asante kwa uliponiweka

  • @enizemwayingatv5196
    @enizemwayingatv5196 ปีที่แล้ว +29

    Nakupenda sana Gg pole sana kwa uonevu siku zote ukionewa kuongea unashindwa kwa sababu unakuwa na uchungu mwingi sana

  • @lilianmakau6196
    @lilianmakau6196 ปีที่แล้ว +18

    Gigy your reaction was uncalled for !You need to mature up!!uko mshamba sana dadaaaa

  • @user-fs7xc2bb5d
    @user-fs7xc2bb5d ปีที่แล้ว +17

    Masha Love 😘😘😘 umenifanya nimecheka kwa sauti ila nimemuonea huruma Gigy nampenda sana huyu dada mimi binafsi nikiwa na hasira nilie nikinyamaza na hasira zimeisha

    • @rehemaathuman6669
      @rehemaathuman6669 ปีที่แล้ว

      Asila zisaidii jua ilo , na kulia Sana au KUTOA machozi sio suluu ya jambo Wala kuepuka tatizo unaweza ukalia na tatizo litabaki pale ,,kama busala zinatakiwa Ili KUSULUISHA jambo

    • @user-fs7xc2bb5d
      @user-fs7xc2bb5d ปีที่แล้ว

      @@rehemaathuman6669 mimi binafsi niko hivyo nikiongea nikiwa nimekwazika au nikisemwa niko lazima nilie ila nikishikana na ww kama upo karibu lazima nipigane hapo sitalia hasira zangu zitakuwa zimeisha kwa kupigana na muhusika na nikilia hasira zinazidi toka nipo mdogo hadi kufikia sasa miaka 48 nakuwa na jazba nikisha lia huku naongea nikishanyamaza nikitutulia hapo sasa naweza kukaa na ww nakuongea na ww sio mtu wakinyongo Mwenyeezi Mungu awanusuru watoto wangu nilikuwa napigana sana

    • @user-fs7xc2bb5d
      @user-fs7xc2bb5d ปีที่แล้ว

      @@rehemaathuman6669 hao watu wawili wanaoendana ila ndio hivyo kwenye maisha ipo siku mnaweza mkakwazana kama angekuwa hawana upendo Gigy asingesema kama nimekwanza nimuombe msamaha Diva kachukia kwa sababu anasema anasemwa mala mtt na Gigy nae kilichomkwanza hapo alipoambiwa na Diva kuna amemwambia achana nae huyo hajielewi pale ndipo kilichomkwanza akasema ninafamillia tuwaombea wapatane kujwazana kupo hata ndugu mnagombana

    • @halimasulaiman3229
      @halimasulaiman3229 ปีที่แล้ว

      itakuwa kweli alimpeleka na mtoto asingelia hivyo kwa uchungu jamani wengine wanapenda gigy

  • @janembalinga7074
    @janembalinga7074 ปีที่แล้ว +218

    Moja ya sifa mwanamke mpayukaji hasikilizi wengine

  • @victormushi6641
    @victormushi6641 ปีที่แล้ว +91

    gigy mshamba sana, sas unapaniki nini mbona kama hujielewi, unapayuka af unazingua, mtoto ndio nini kila siku unafanya vituko kwa kisingizio cha mtoto.

    • @linahyohana7876
      @linahyohana7876 ปีที่แล้ว

      Hpn usiseme mshamba gigy anachollmikia sbb ya yy kupelekwa police na mtot mgongo jmn uto diva hajui uchungu Wa mtt hajawah kwend leba ndo anchpniki diva hajakua em muangalie so kuta anapyuk kwa kituu gigy kamwmbia asem ukwelii Lkn diva hsem

    • @storytime1204
      @storytime1204 ปีที่แล้ว +4

      @@linahyohana7876 useme hivo eti hajui uchungu wa mtoto kisa hana diva anashida ya uzazi bro sio kosa lake na sidhani kama aliwaambia police wamkamate na mtoto, alafu wakati anatukana watu huyo gigy alitegemea nini? I love her but sometimes she's overreacting very dramatically

    • @spicediva5498
      @spicediva5498 ปีที่แล้ว

      Hpn bwana kampeleka na polisi na mtoto wak

    • @mdyoung5163
      @mdyoung5163 ปีที่แล้ว

      Chapombe tatizo

    • @zulfaamaan2312
      @zulfaamaan2312 ปีที่แล้ว +1

      @@linahyohana7876 asieke kisingizio cha mtoto kwenda nae police alitakiwa amuwache nyumbani kesi ni yake yy sio ya mtoto mbona akienda kwenye bata huwa anamuacha.??

  • @shebeshshebesh828
    @shebeshshebesh828 ปีที่แล้ว +5

    Gigy ckindogo 👍 Nakupenda kabisa 👍💯💃😃 my phone

  • @silentkillertv9338
    @silentkillertv9338 ปีที่แล้ว +9

    Wamwache gigy yupo really ❤️

  • @neviyuzzle3905
    @neviyuzzle3905 ปีที่แล้ว +21

    That why I real appreciate Diva she so cool

  • @gladyswanjiri9292
    @gladyswanjiri9292 ปีที่แล้ว +16

    Masha apana always a vibe

  • @monicahallan5024
    @monicahallan5024 ปีที่แล้ว +20

    Kuna vitu vingi sana vimekua condensed kwa giggy. Kwa upendo tu giggy needs time and therapy ili awe healed anaonekana she is stressed kama sio depressed na vitu vingi sana. Angepata mwana saikologia mzuri ingemfaa she needs to pour out kila uchungu alionao.

  • @lyrics_forum
    @lyrics_forum ปีที่แล้ว +96

    Mapenzi yakuumize, Mtoto akuchanganye, Pesa iwe Ngumu na Marafiki wazingue hili ndio linalotokea

  • @maniragabaandrew9512
    @maniragabaandrew9512 ปีที่แล้ว +175

    I love Diva she's so calm

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 ปีที่แล้ว +7

      Saaana, na baadhi hawamuelewi masikini wanamchukia sijui kwanini au ni jealous

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 ปีที่แล้ว +3

      What do you suppose to mean when you say she is calm?

    • @amrirweyemamu8519
      @amrirweyemamu8519 ปีที่แล้ว +4

      @@fahadfaraj6474 she/he mean she's not arrogant and she's politely speaking

    • @SirKilaga
      @SirKilaga ปีที่แล้ว +6

      Naona nyote hamjui chokochoko ya Diva tulieni tu coz mmetanguliza mbele mahaba, ivi mtu anaweza kukutukana tu bila sababu?

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 ปีที่แล้ว +2

      @@SirKilaga yeah, hizo mbona zipo nyingi tu'

  • @perpsgiovanna1933
    @perpsgiovanna1933 ปีที่แล้ว +141

    Diva is telling the truth, Gigy is the kind of person who will wake up today and decide to insult everyone and I think as a star she should choose her words wisely....

    • @irenenduku5012
      @irenenduku5012 ปีที่แล้ว +1

      Yea

    • @scribemelody
      @scribemelody ปีที่แล้ว

      Yeah but on her protection defense?

    • @stevekdaniel
      @stevekdaniel ปีที่แล้ว

      Star gani , star wa nini

    • @perpsgiovanna1933
      @perpsgiovanna1933 ปีที่แล้ว +2

      @@stevekdaniel🤣🤣🤣🤣🤣🤣 humfahamu kama star? 🤣🤣🤣 kila siku anajiita star sisi kama wakenya tukaamini ni star, ila ndo hivo hatujui anachofanya huko maana hana lolote zaidi ya kuwatukana wanaojiweza kimaisha🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @Kellyhakizimana92
      @Kellyhakizimana92 ปีที่แล้ว

      Nop

  • @monicaalute3143
    @monicaalute3143 ปีที่แล้ว +34

    Ila bff Masha nimempenda buuure❤️❤️❤️❤️🤣🤣🤣🤣

    • @cialyzool8949
      @cialyzool8949 ปีที่แล้ว

      Bff Masha😅😅😅😅😅🙌

  • @faithjonathan3845
    @faithjonathan3845 ปีที่แล้ว +136

    Giggy nilikuwa nampenda sana. Ila hapa kuanzia leo basiiii. Kumbe mpumbavu sana huyu anajidai kutaja mtoto ili aonewe huruma

    • @glorymwasile464
      @glorymwasile464 ปีที่แล้ว +12

      Kapuuzi sana haka katoto, sipendi mtu anayejiliza bila sbb za msingi kwa kigezo cha mtoto

    • @maxwell8007
      @maxwell8007 ปีที่แล้ว +5

      Mmh huyu marsha uchawa
      wake umezidi sasa khaaa

    • @lovenessmushendwa1230
      @lovenessmushendwa1230 ปีที่แล้ว +3

      Hata mie kanikinai leo

    • @Heal-with-Dodo
      @Heal-with-Dodo ปีที่แล้ว +2

      Bora na ww ulione…yani anafanya upumbavu afu anamueka mtoto mbele ili watu wamuonee huruma…

    • @aysheraden7718
      @aysheraden7718 ปีที่แล้ว +2

      Umeonaeee

  • @annnjeri661
    @annnjeri661 ปีที่แล้ว +55

    I love Diva💓💓💓🥰

  • @judithgodfrey8121
    @judithgodfrey8121 ปีที่แล้ว +9

    Diva I like the matured you are❤️❤️❤️

  • @rachelkente3382
    @rachelkente3382 ปีที่แล้ว +12

    i love diva❤❤❤❤❤❤❤

  • @morinejoseressiriam4581
    @morinejoseressiriam4581 ปีที่แล้ว +4

    I love diva she is so calm girl...and I love gigy...too naamin IPO cku watapatana

  • @imma_billy
    @imma_billy 9 หลายเดือนก่อน +4

    Mungu awasaidie wapatane yaishe. Si vizuri kuona kila siku inakuwa hivi! Wote watumie hekima ya kiutu uzima wakae wa’sort mambo yao.

  • @rosekulola8355
    @rosekulola8355 ปีที่แล้ว +17

    Nakupenda sana Gigy jameni,mbona wanapenda kukuchokora sana hao

  • @kissamwamunyange1018
    @kissamwamunyange1018 ปีที่แล้ว +15

    Gigy ni chiziiii fresh

  • @happinessmwaipopo7426
    @happinessmwaipopo7426 ปีที่แล้ว +73

    Diva is real Diva. I love her

    • @seevanny9578
      @seevanny9578 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/lHojQ5p0DrE/w-d-xo.html

  • @goldprocessplant5893
    @goldprocessplant5893 ปีที่แล้ว +61

    diva anaonekana ana asili ya ukorofi nakumbuka hata diamond walishakosana Tena live kwenye kipindi lakini pia gigy hatakiwi kupaniki anapotafuta suluhisho

    • @reynaaalrawahi4137
      @reynaaalrawahi4137 ปีที่แล้ว +3

      Anapenda sana kupeleka watu polis kidogo polis diva

    • @salim02tv24
      @salim02tv24 ปีที่แล้ว +1

      Binaadam tunatofautiana kuliakti

    • @mereyamhomesmariamhomes3464
      @mereyamhomesmariamhomes3464 ปีที่แล้ว +1

      Asaivi anahangaika sana na Faiza Ally

    • @irenemakange6153
      @irenemakange6153 ปีที่แล้ว +1

      Hats we we ukikosewa lazima ukasoriki huyu mtoto yupo katika kutafuta riziki lakini vita kibaooo wazee wazimaa mnahangaika na gigy yaaani

    • @user-fs7xc2bb5d
      @user-fs7xc2bb5d ปีที่แล้ว

      Mwingine akiwa na hasira lazima alie na sauti inakuwa juu lakin akishanyamaza na hana kinyongo tena

  • @JUSTWANGUI
    @JUSTWANGUI ปีที่แล้ว +188

    Gigy needs to grow up not every action deserves a reaction

    • @miaerny6609
      @miaerny6609 ปีที่แล้ว +8

      100%

    • @jacklinejerr2447
      @jacklinejerr2447 ปีที่แล้ว +4

      Fact girl she is overreacting

    • @scribemelody
      @scribemelody ปีที่แล้ว +6

      NO IT LOOK LIKE DIVA SHE DOING TO MUCH BEHANDE THE CAMERA AND THIS IS NOT GOOD DIVA EVEN YOU Have loyal immagine gigy asked her thta what is the reason you to go make report to police

    • @JUSTWANGUI
      @JUSTWANGUI ปีที่แล้ว +6

      @@scribemelody character and mannerism in the public is the first thing people observe so gigy should behave like a grown woman , she is ever complaining and insulting everyone, let her change her way

    • @scribemelody
      @scribemelody ปีที่แล้ว +4

      @@JUSTWANGUI u can’t tell lion to stop biting u sis because that only way of his protection Diva she doing to much

  • @magrethgeorge9253
    @magrethgeorge9253 ปีที่แล้ว +1

    Gigy jamaniiiii pole mtoto ulee,pesa utafte,bado wanadam,pole mdogo wangu gigy ktk maisha uwez pendwa nawote,diva anaonekana anamatatizo

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 ปีที่แล้ว +9

    Wakati mwingine tafuteni wachonga VINYAGO...WASUSI....WAFINYANZI...WACHORAJI muwahoji, sio hizi TAKATAKA...!

  • @sikudhanimoshi6967
    @sikudhanimoshi6967 ปีที่แล้ว +9

    Ilove you two Giggy

  • @gloriamwalongo3661
    @gloriamwalongo3661 ปีที่แล้ว +5

    Nakupenda Sana Masha love

  • @feisaljoseph9921
    @feisaljoseph9921 ปีที่แล้ว +2

    i love masha kwa kweli i need friends like them

  • @yasminoluoch169
    @yasminoluoch169 ปีที่แล้ว +2

    Mm nampenda gigy sanaa sema watu wanamuona anapiga kelele ako na kitu kinamuumiza huyu dem ako na depression

  • @sophierseyyd1162
    @sophierseyyd1162 ปีที่แล้ว +63

    Gigy sio mnafk naukiwa sio mnafk kila mtu atakuona mbaya utanuniwa bila sababu

    • @kursoomabuu8192
      @kursoomabuu8192 ปีที่แล้ว

      Huyu gigy ni mm kabisa

    • @ahz6907
      @ahz6907 ปีที่แล้ว +2

      Tatizo anapanik

    • @reynaaalrawahi4137
      @reynaaalrawahi4137 ปีที่แล้ว

      Diva mkorofi sana.

    • @ismaelmatano3571
      @ismaelmatano3571 ปีที่แล้ว

      Hapo ni kweli Dada Sophie sijui kwanini kama ww ndio uko innocent inaonekana ww ndio uko mbaya sijui kwanini

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 ปีที่แล้ว

      💯💯💯💯💯💯✌

  • @kulwahalfani9767
    @kulwahalfani9767 ปีที่แล้ว +12

    Masha kumpepea mwenzie jmn

  • @linahcharles1619
    @linahcharles1619 ปีที่แล้ว +13

    Whoever shows silence is matured gigy needs to grow up na usitumie kifua she has to respect diva ni kubwa wake jamani

  • @minanitheophile3583
    @minanitheophile3583 ปีที่แล้ว +1

    In 🇧🇮 natamani kuwona kipindi kama iki caku unganisha wasani nama shabiki is a peaceful big up WSF media

    • @ramadhanimohamed2272
      @ramadhanimohamed2272 ปีที่แล้ว

      Ki ukweliii umenisikitisha na mmenisikitisha sana hiyo media ni kubwa sanaa na Kuna mambo ya msingi sana yangepaswa kujadiliwa, respect muhimu sana, msanii ni kioo cha jamii, but Giggy not have respect, bado ni mtoto, hajapevuka, au anatumia vileo? Kwa mtu anayejitambua kamwe asingepayuka vile, she's show bad reaction to us as followers. Akue sasa aache utoto na ujinga. Yeye anapaswa atuombe radhi. Sitamfuatilia tenaa. Wasafi watch out mnajishushia respect

  • @nyokskinyah8246
    @nyokskinyah8246 ปีที่แล้ว +5

    Giggy mgovi saaaana hana ustarabu kabisa🇰🇪🇰🇪

    • @mcback4384
      @mcback4384 ปีที่แล้ว +1

      Mgonvi sio mgovi hilo ni tusi 😂😂😂

    • @petermanala6138
      @petermanala6138 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@mcback4384😂😂😂😂😂jaman apelekwe polisi na mwenzie gigy

  • @wardakhalfan7016
    @wardakhalfan7016 ปีที่แล้ว +9

    Gigy kuna muda uwe mpole na upotezee maisha ndio yalivo usije kupata presha Dada mengine hayataki hasira

  • @georgejackson4430
    @georgejackson4430 ปีที่แล้ว +3

    Wasafi fm, bado wageni mjini, mnaendaje LIVE na GIGY

    • @Bensonfrank25
      @Bensonfrank25 ปีที่แล้ว

      Media yoyote wanapenda content kama hvo,, bila hvo wasingekuwa ON TRENDING!!!

  • @georgerichard6706
    @georgerichard6706 ปีที่แล้ว +7

    Kenyans should learn a thing or two in bongo show biz ...smart🇰🇪🇰🇪

    • @sharleenjj8548
      @sharleenjj8548 ปีที่แล้ว

      Smart gani?

    • @mcback4384
      @mcback4384 ปีที่แล้ว

      @@sharleenjj8548 caught your attention

  • @Mimy_keys
    @Mimy_keys ปีที่แล้ว +17

    Yaani hata kama ana haki na kaonewa ila Mtoto wakike hupashwi kuwa hivyo Giggy "Kuskia sana na kuongea Madogo ndo inatufikisha Mbali" We love you DIVA THE BOSS ♥️🙏🏾

    • @andrewpeter4321
      @andrewpeter4321 9 หลายเดือนก่อน

      Ttz bangi nyingi huwezi kuongea kama umefungiwa Mota bila kuvuta

  • @batulimabewa6953
    @batulimabewa6953 ปีที่แล้ว +33

    Wee chawa Masha wee kazi unaiweza 😂😂😂

  • @markmwambala9834
    @markmwambala9834 ปีที่แล้ว +1

    Hii bangi anayovuta Gigy sio ya kawaida aisee Hebu wamshauri aiache Daaaah

  • @eliajason3287
    @eliajason3287 ปีที่แล้ว +5

    Content za wasafi !! 100%-105 kuanzia fm hadi tv

  • @hassanzizi8420
    @hassanzizi8420 ปีที่แล้ว +173

    Wasafi FM should be very professional it's a very big shame to media fraternity #🇰🇪

    • @kennethbenjamin275
      @kennethbenjamin275 ปีที่แล้ว +4

      Wanafanya mambo kiajabuajabu tu

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 ปีที่แล้ว +6

      It has full of mediocre journalists so what do u expect

    • @abubakarmalinza9339
      @abubakarmalinza9339 ปีที่แล้ว +3

      No big deal

    • @andallaathman3856
      @andallaathman3856 ปีที่แล้ว +4

      @@fahadfaraj6474 alipo ANZa hizo Kelele tuu alikua atolewe nje coz Hana heshima na kipindi

    • @pasiasumaili7972
      @pasiasumaili7972 ปีที่แล้ว

      What did they do?? 😅😅😅

  • @bahatidaudi599
    @bahatidaudi599 ปีที่แล้ว

    Mnazinguwa sana mjue mnakumbuka Gigi arisha waikusababisha wasafi tv ifungiwe au mnajisaurisha reo anaropoka studio je akimtukana diva watu wengine msiwe mnawaleta redioni inavyo fungiwa redio yetu tunayo ipenda tunaumia mashabiki Wawa safi

    • @noahmadali7150
      @noahmadali7150 ปีที่แล้ว

      Kwani hivo vipqzq sauti/mic hazina sehemu ya kuzima km hamtaki mtu asikike km Bungeni basi kuwe na mabaunsa wakutoa watu nje

  • @alexmte8684
    @alexmte8684 ปีที่แล้ว +4

    Masha anafanya kazi yake ya uchawa vizur

    • @eggysulle7988
      @eggysulle7988 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣mixa kupepea 😅😅

  • @deboraadolfu4011
    @deboraadolfu4011 ปีที่แล้ว +83

    Gigi inaweza kufika mbali zaidi ya hapo ulipo ula jitahidi sana kushusha sauti na kuongea kwa nukta inawezekana kweli umeonewa kalini unavyopayuka unapoteza dhamani yako na kile unachokiongea

    • @Blue-vk5ce
      @Blue-vk5ce ปีที่แล้ว +1

      Exactly 👏

    • @christianminja8972
      @christianminja8972 ปีที่แล้ว

      Sn ata kwenye kesi km una nukta una shindwa kesi

  • @yousramutwale2463
    @yousramutwale2463 ปีที่แล้ว +44

    Gigy nimswahili sana mbona ua anagombana nakila mtu uswahili Adi kwenye media

    • @deepcbeatz9495
      @deepcbeatz9495 ปีที่แล้ว

      Heloo< ukisema Gigy ana mambo ya kiswahili unakosea, afazari ungesema Gigy tabia yake si mzuri.

    • @jumakibula4851
      @jumakibula4851 ปีที่แล้ว

      Watu wa pwani ni waswahili , si vyema kunena ya kwamba Giggy ana Tabia za kiswahili , Afadhwali ungenena hana akhlaq nzuri .

  • @karakatamuumba4310
    @karakatamuumba4310 ปีที่แล้ว +1

    Gigy ni mpumbafuuuu.mwamnke mpayukajiii...mropokojai,,,sijui ji bangi...DIva the boss...mwaa

  • @user-qy8fl2fd9q
    @user-qy8fl2fd9q 21 วันที่ผ่านมา

    I love diva❤,ebu wamuache,huyu Malaya gigy akadange,anajikutaa muhunii,akutane na tom gal mm natwanga vitasa,

  • @sky-wz5zi
    @sky-wz5zi ปีที่แล้ว +7

    Gigy ni mswahili sana halafu hana displine,! Kama kichaa flan hv, anaboa

    • @MrNdanguza
      @MrNdanguza ปีที่แล้ว

      Hahahaha chizi sana hana heshima kabisa !

    • @handramatei5108
      @handramatei5108 ปีที่แล้ว

      Nyie nae weuuu mmemsahau huyo diva sindo alikua anamuongelea vbaya na kumkashivu nassib... Ni anajipnaga mtu fulan mweny wadhifa kumbe mweuu

  • @fatmaabeid9668
    @fatmaabeid9668 ปีที่แล้ว +14

    Mkomeee mashamsham uyo ndo giggy mtovu wa nidham

  • @Aidansimwanza
    @Aidansimwanza ปีที่แล้ว +4

    Diva your so mature Safi sana

  • @susannesusie3217
    @susannesusie3217 ปีที่แล้ว +73

    I need a friend like masha 😂😂😂😂😂

  • @godsdaughter2820
    @godsdaughter2820 ปีที่แล้ว +89

    I'm not Diva's fan,ila gigy hauna displine kbs.unapenda kutukana wenzako,what Diva did,you deserved it.

    • @saeedmassoud256
      @saeedmassoud256 ปีที่แล้ว +1

      Straight up

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 ปีที่แล้ว +3

      Hivi havuti bangi huyuuu? Nauliza Tu cos matusi si style yangu, lakini anavyoongea mmmh!

    • @martinakimaro3302
      @martinakimaro3302 ปีที่แล้ว +3

      Mimi ni fan wagigy 💯% ila for now anatakiwa kubadilika.

    • @deograsiaomary62
      @deograsiaomary62 ปีที่แล้ว +4

      Thats why even unakuta gigy alikua mkorof ndo mana alipelekwa jela na mtoto ...she deserve kwa kweli ..napenda diva fata sheria

    • @soudbako5925
      @soudbako5925 ปีที่แล้ว +2

      Anatengeneza kiki makusudi kujipanikisha coz she has a new song anataka kuachia kama si kesho keshokutwa

  • @asmamkufya51
    @asmamkufya51 ปีที่แล้ว +6

    😃😃😃😃hii ni 🔥sanaa

  • @irenegudluck1214
    @irenegudluck1214 ปีที่แล้ว +121

    Gigy kama sio unga basi yuko na depression mbaya sana 😢

    • @nuruosward8161
      @nuruosward8161 ปีที่แล้ว +4

      Janamke payukaji kama hilo la kaz gan 😂😂😂

    • @salim02tv24
      @salim02tv24 ปีที่แล้ว +3

      Life la street kawaidaa Sanaa

    • @mrambadiana9678
      @mrambadiana9678 ปีที่แล้ว +8

      Lazma ni drugs hayupo normal

    • @luckstarmunuo9584
      @luckstarmunuo9584 ปีที่แล้ว +5

      Nafikiri pia atakuwa na depression. Ila hajui, wasafi wamsaidie kwani ni mental health is real

    • @ruthchaz4536
      @ruthchaz4536 ปีที่แล้ว +3

      Hovyo kabisa yan

  • @rymax7790
    @rymax7790 ปีที่แล้ว +2

    Gigy nampendaga bure🔥🔥🔥🙌🙌🔥

  • @michaelkessy5740
    @michaelkessy5740 ปีที่แล้ว +11

    Gigy Money hana ukomavu wa kuwasiliana na watu.
    #HonMichaelDeusdedityKessy

  • @claudia1500
    @claudia1500 ปีที่แล้ว +14

    Gigy nimekuelewa,Diva anakujiona Ana status kubwa sana! Wengine anawaona waswahili sana

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 ปีที่แล้ว +1

      Ndiooo hata Clouds hawampend Diva majivunoooo fyuuuuuuuu

    • @wahdahabibu8036
      @wahdahabibu8036 ปีที่แล้ว

      Gigy yupo sawa

    • @jovanafidelis2802
      @jovanafidelis2802 ปีที่แล้ว +4

      Basi alipaswa atulie wasikilizane,Kwa Hali hiyo ataendelea kuonekana mswahili tu.

    • @missykalele5520
      @missykalele5520 ปีที่แล้ว +1

      Hapana Gigy ni mswahili asee,anastahili kubadilika kwa jinsi akivyofikia

    • @IANA2030
      @IANA2030 ปีที่แล้ว

      Na msura wake kama uji wa wimbi uliochacha😂😂😂😂😂😂😂

  • @merinajuma6948
    @merinajuma6948 ปีที่แล้ว +2

    Masha🙌🙌

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly ปีที่แล้ว +2

    Kwani mtu akiwa na mwanasheria wake ndo anafaa kuwakosesha amani watu wengine???kha!!!
    Gigy kapanik hataki mchezo;
    Diva muache tu dada wa watu amlee mwanae kwa amani..

  • @stanleyochieng5518
    @stanleyochieng5518 ปีที่แล้ว +6

    I think diva is telling the truth..coz when she wants to speak her mind for what she was accused of Gigy started shouting for her not to reveal the truth..she makes sure interview imeharibika

  • @rachelsamwel5359
    @rachelsamwel5359 ปีที่แล้ว +30

    Diva you are so good and mature

    • @seevanny9578
      @seevanny9578 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/lHojQ5p0DrE/w-d-xo.html

  • @ellennkota6599
    @ellennkota6599 ปีที่แล้ว +1

    Gigy anahitaji msaada wa ki saikolojia Yuko kwenye depression Kali sana anaweza kua hata chizi

    • @-cv4qk
      @-cv4qk ปีที่แล้ว

      👏

  • @nourathommy1346
    @nourathommy1346 ปีที่แล้ว +1

    Love you diva💕💕💕

  • @yunislemnge5558
    @yunislemnge5558 ปีที่แล้ว +8

    Naipenda utube 😂😂😂

  • @kakongemushota8738
    @kakongemushota8738 ปีที่แล้ว +13

    I wonder why these media is for crazy person,u can't find this in clouds or EFM

  • @janenalemkori9096
    @janenalemkori9096 ปีที่แล้ว +2

    Gigy has a true and a big heart, when she acts crazy wanasema ooh she's drunk crazy etc but I see sense in whatever she speaks husipomchokoza Ako tu sawa

  • @dotogiving9293
    @dotogiving9293 ปีที่แล้ว +1

    Uyu gigy mshamba sana cjui wa wapi uyu hana hadhi kuitwa star

  • @asiashaban5809
    @asiashaban5809 ปีที่แล้ว +21

    Tunagoja pati 2😂😂😅😂😆😄mlevi kamwagiwa pombe yake Gigy

    • @jaycodestz1304
      @jaycodestz1304 ปีที่แล้ว +1

      😂😂 nyoko wew

    • @rosemakatia7377
      @rosemakatia7377 ปีที่แล้ว +1

      Komaeni jamani...Kenya huwezi ona ivyo....

    • @aysheraden7718
      @aysheraden7718 ปีที่แล้ว +1

      Gigy piere liquid

    • @mcback4384
      @mcback4384 ปีที่แล้ว

      @@rosemakatia7377 who cares?

  • @zennahmtoto1867
    @zennahmtoto1867 ปีที่แล้ว +11

    Mashaa anampepea shogga akee😂😂😂😂😂😂😂kesho anatukanwa yeye🤣🤣🤣🤣🤣🤣Gigy rafiki yake nguu la kitanda

  • @umurerwamignone9440
    @umurerwamignone9440 ปีที่แล้ว +25

    I love me some masha😍😍😍she's very friendly 😂😂😂😂

  • @araffaratibfiremoma
    @araffaratibfiremoma ปีที่แล้ว +1

    Wakenya kujeni muione the kind of people station za Tanzania wana ajiri😅😅😂😂

  • @richardbegga6679
    @richardbegga6679 ปีที่แล้ว +15

    Media zikiendeshwa na matahila ndo shida hii

  • @alimbaraka7563
    @alimbaraka7563 ปีที่แล้ว +3

    I love masha love for her drama 😅

  • @shamsakiobia6421
    @shamsakiobia6421 ปีที่แล้ว +7

    Gigi ni mwehu sana ana adabu

  • @japhethmangaka3768
    @japhethmangaka3768 ปีที่แล้ว +2

    On trendi no 2, Tz nchi Yangu

  • @azizamohamed7692
    @azizamohamed7692 ปีที่แล้ว +8

    Yaan leo ndo masham msham haswaaa

  • @allyabdy7499
    @allyabdy7499 ปีที่แล้ว +13

    Hill ndo tatizo ya kuwaleta watu studio wakiwa wamelew

  • @makavelihassani9694
    @makavelihassani9694 ปีที่แล้ว

    Sasa hii inshu ya kupayuka studio hata km kweli yy ndio anaonewa jmn siyo sawa, artist mwenye kujitambua hawi hivi aisee. Daaaaaaah

  • @patriciacarlo7236
    @patriciacarlo7236 ปีที่แล้ว +1

    Huwa nashangaa sana media zinazomualika gigy

  • @reneejollie5117
    @reneejollie5117 ปีที่แล้ว +5

    Gigy as much i love you please ur better than that calm down .and i love saying the truth Diva ako right mature up my beste♥

  • @mariebazege3125
    @mariebazege3125 ปีที่แล้ว +3

    Nakupenda gigy

  • @ambrosealfred1031
    @ambrosealfred1031 ปีที่แล้ว

    Hivyi hii chaneli ni ya ledio au ni sehemu ya kuzungumzia maisha ya wasanii

  • @aminakawawa5800
    @aminakawawa5800 ปีที่แล้ว

    Dah mtihani sana

  • @adamsengo1869
    @adamsengo1869 ปีที่แล้ว +3

    Hakuna tatizo hiki sio kipindi cha dini by the way inaongeza chachu sana kipindi kinanoga, cha msingi hakuna tusi lililo sikika, Nimependa hii. Big up wasafi fm (uhalisia)🙌🏾🙌🏾🔥🔥🔥🔥🔥 shout out to giggy

    • @achi_raymond
      @achi_raymond ปีที่แล้ว

      mshenzi sio tusi mbona kataamka

  • @salhaayub1338
    @salhaayub1338 9 หลายเดือนก่อน

    Diva unajielewa sana hongera huyu gigy mmh kweli zinamtosha mwenyewe

  • @emmasonanjawe9042
    @emmasonanjawe9042 ปีที่แล้ว +1

    Gigi msengelema sana itafika kipindi atagombana na watu wote

  • @fatmaabdallah7709
    @fatmaabdallah7709 ปีที่แล้ว +8

    Huyo gigy ndo anaomba msamaha au ndo kachafuwa zaidi hali ya hewa?!