Nakitia Yona 'niliolewa na niliedhani namjua kumbe simjui'

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024
  • Nakitia Yona ni Mwanamke Mtanzania ambaye aliolewa na kwenda kuishi nchini Marekani, sio msanii wala mwigizaji lakini watu mbalimbali kwenye nchi za Marekani, Uingereza na kwengine wameanza kumjua baada ya kuandika kitabu ya maisha yake ya kweli baada ya kuolewa.

ความคิดเห็น • 217