Hello wapendwa. Asanteni kwa sapoti yenu kila siku. Nikuombe ulike, ushee kwa mtu ambae Ana ndoto na mpango wa kuomba visa za Germany. Usisahau kusubscribe jamani. 😘
Ok. Naelewa Si rahis kusahau lugha yako ya kwanza. Japo lugha ukiwa huitumii kila siku na kusikia unaweza kua Una mix mambo japo inategemeana na mtu. Kwa mtu kama Mimi niliyeanza kuongea lugha yangu ya asili kabla ya kiswahili na kuongea lugha nyingi pia Inaweza kua changamoto. Naongea lugha 7. Ko at some point Inaweza kua shughuli kidogo
Very nice video ....Mimi visa yangu ilichukua 3 months na sikufanya A1...nimekuja Ujerumani mweupeee 🤣🤣sijui hata salamu . I definitely agree with Atugonza, learn some German while you are in Tz, itakusaidia
Aloooo😂😂. Ila sasa hivi sikinapanda. Thank you for sharing your experience with us. Ni kweli kujifunza lugha mapema kunasaidia na kuepusha stress ndogo ndogo. Ilikua visa ya nini if i may ask?
Umenifunza kitu, kubeba vyakula now namis kila kitu cha nyumbani, unga wa huku ni wa njano yale maindi ya njano. Nikirudi home next time watanikoma airport maana ntabeba kila kitu😂
🥹🥹Nimewahi kuomba mara 3 na kwa bahati mbaya nilikosa. Ila nashukuru Mungu nilikosa naona America hawana social benefits kama huku. Huku elimu bure chuo na matibabu ni bure kwa raia na wakazi kama mimi niliyeolewa n raia ila marekani ni kulipa. Afu kila mtu ana miliki silaha kule. Kushootiwa ni sekunde
Hv kumbe interview za ulaya n tofaut na ya america eeh....🤔 Naomba nijue ilooh..,maana visa ya america, unalipa visa fee, unachagua siku ya kufanya interview, na ukienda kwenye interview ya marekan..majibu ya visa n papo hapo...km NO! Wanakwambia NO! Kma yes YES! Na kesho unaambiwa ukafate visa yako km ukipaata.......kumbe za ulaya n tofaut eeh..mpk usubir mwenz au mawiki...duuh!
Exactly. Visa za ulaya unasubmit na kusubiri Visiting visa hadi mwezi mmoja. I think hii ni nzuri kuliko ya America hata documents zako zinaweza zisiangaliwe zote na ukanyimwa. It's not fair
ni vipi mnaweza kutusaidia na sisi wenye uhitaji wa kufika uko ughaibuni ili tuangalie video zenu huku wengine weny uhitaj tupat faida wengine tunahitaji kufanya kaz ughaibuni huko
Ndio lengo la kufungua channel hii kaks yangu. Endelea kuangalia kuna videos humu zenye fursa kadhaa angalia kama una vigezo apply. Na nitaendelea kushea kadri ninavozipata. Subscribe usipitwe
@@Witnessvlog oky ngoj nizipitie zote ila unaonaje ungekua pia na group hata la whatsapp hiv kam tukiw tumesha angalia video zako na tunahitaj ufafanuzi na msaada zaidi tukawa tunajadil kwa group tunawek mambo sawa kam utakua saw kwako tungefany hiv pia
Haya mambo ya ubalozini hayazoeleki😅 Nlifanya mistake wakati nakuja Turkey nkakata ticket kabla ya kupata visa, matokeo yake nkapata visa one day after my travelling date😢 ikabidi nikate ticket upya
Whoa! pole sana jamani. Hakuna kitu kigumu na kinachosha kama kusubiri visa. Inaweza chelewa au pitiliza muda wake. Asante kwa kushea. Ulilipa pesa yote au ulisogeza ticket mbele?
@@Witnessvlog nlilipa karibu nusu garama ya ticket nzima maana ilikua no show Ilikua nisafir alfajir saa kumi nikaenda ofc za ticket saa nne asbh yake so walinicharge no show fee na kuiweka open hadi nlipopata visa wakachek availability nkalipia difference
Asanteni sana kwa mapokezi mazuri ya hii video.
Part 2 hii hapa
PART 2: KUTOKA BUKOBA MPAKA ULAYA
th-cam.com/video/mp6kSsjEzl0/w-d-xo.html
Daah uyu muhaya mwenzangu ana mbwembwe adi anakera,,ila big up
Muhaya mwenzangu waooo natamin na mm kuja ughaibun
Hello wapendwa. Asanteni kwa sapoti yenu kila siku. Nikuombe ulike, ushee kwa mtu ambae Ana ndoto na mpango wa kuomba visa za Germany. Usisahau kusubscribe jamani. 😘
Dada mm nahitaji kuomba visa ya Germany naomba nisaidieh
Nadhani hii video imekupa mwanga
Mbona kuna videos humu za namna ya kufanya na requirements. Nikusihi uziangalie
Hapo smart ndio pangu nikavaa kama mfanyakaz wa Bank 😂😂😂 nimetuliaa
Wooow Goethe Institute chuo kizuri sana ndio nakosoma
Thanks for sharing
@@WitnessvlogThank you
Tunashukuru sana Dada yake tunazidi kujua mambo mengi ya muhimu kupitia ww nakupenda da witness ❤️🙏
Assnteni pia kwa sapoti yenu. Nakupenda pia🥰
Amazing video 🙏🏾 Asanteni sana….. haki… don’t listen to someone’s experience
Thank you for watching dear. Sure it might drain you mentally kwakweli😄. Hasa waliokosa they will sound like na wew utakosa
Beatiful video siwezi kusahau lugha yangu niliyozaliwanayo ndomaana wazungu wanaongea lugha zao
Lugha yako ya kwanza ni ipi?
Kiswahili mydear
Ok. Naelewa
Si rahis kusahau lugha yako ya kwanza. Japo lugha ukiwa huitumii kila siku na kusikia unaweza kua Una mix mambo japo inategemeana na mtu.
Kwa mtu kama Mimi niliyeanza kuongea lugha yangu ya asili kabla ya kiswahili na kuongea lugha nyingi pia Inaweza kua changamoto. Naongea lugha 7. Ko at some point Inaweza kua shughuli kidogo
😂😂😂 ila Atu unachekesha saana wewe mtoto kwakweeli mnafurahisha saana kwakweeli safi saana
😂😂😂Asante sana
Hongera sana wa nyumbani
😍
It’s helpful 💃🏼💃🏼
I am glad to hear that. Thank you for your positive feedback
Hongera upo uraya seemu gani karimu inye USA nyegera
Yuko Germany
Wachezi wajifunze Kiswahili
Huyu mtani wangu Acha hizo, wewe hyu ni washomile waitu, ongea kiswahili
Very nice video ....Mimi visa yangu ilichukua 3 months na sikufanya A1...nimekuja Ujerumani mweupeee 🤣🤣sijui hata salamu .
I definitely agree with Atugonza, learn some German while you are in Tz, itakusaidia
Aloooo😂😂. Ila sasa hivi sikinapanda.
Thank you for sharing your experience with us. Ni kweli kujifunza lugha mapema kunasaidia na kuepusha stress ndogo ndogo. Ilikua visa ya nini if i may ask?
ilikua ni family reunion visa!!! nilikuwa sina muda wa kusoma A1 so Kuna vigezo nilitumia kukwepa Hilo na ubalozi wakakubali kunipa visa bila A1 😄
@@witnesswilliam4930 oh asante kwa kutuambia. Karibu Europe
Appointment kwa Kiswahili ni Miyadi 😅😂
Hongera
Thank you so much for watching. Highly appreciated
👍👍🙌🏿
Twaweza ongea in box , kuna vitu siwezi kuongea humu
I like your makeup Wit 😊
Thank you dear🥰😍
Asante sana kwa kushsare
Karibu sana
Hey Sister sorry mimi nimeolewa na raia wa nje ila bado na cheti cha ndoa cha rangi blue ni tatizo??
Kile cha kawaida. Inatakiwa uchukue hiko international ni muhimu sana
Cha international ni cha rangi gani???
Pia hiki changu imekiregister hapa ulaya
Tunaweza ongea kwa WhatsApp hukanielezea vizur??? Pia na maswali very personal
Nichek insta @witness vlogs
nice conversation girls Hongereni Sanaa 👊
Thank you dearest. Nikutafutage tuongee ya Norway
@@Witnessvlog hahaha karibu
Zungumzeni Kiswahili
Kaangalie BBC Swahili
Umenifunza kitu, kubeba vyakula now namis kila kitu cha nyumbani, unga wa huku ni wa njano yale maindi ya njano. Nikirudi home next time watanikoma airport maana ntabeba kila kitu😂
😀😀Kumiss ni lazima yani. Uwe unabeba mimi nabebaga hadi unga wa ngano wa bakheresa😂. Sema nikutafute utusimulie ya uturuki
@@Witnessvlog kuna mambo nashughulikia yakishaisha ntakutafuta, nadhan nna mengi ya kusimulia na watu wapate kujifunza pia
Hao dagaa walinyeshewa, au hawakupata jua la kutosha. Wakipata jua lakutosha hawatoi harufu, zinaweza kukaa hata miezi 3
Asante kwa maoni yako
Mbona una mbwembwe nyingi we wa bukoba mwenzetu
Ana mbwembwe kivipi yani?
Da witness nimefurahi mahijiano na dafroza msalimie sana tumemmic mwanza mwambie
Asante sana. Zimefika kwakweli
Mwanza mwanza nimepamiss
Karibu sana dia ukirud Tz
Iko wapi mbona siioni
Like zangu kama zote.
Shukrani sana
🤣🤣🤣 me nitaweza
Sana tu yani. Kwanza Napenda muonekano wako na jinsi unavyoongea 😍
😂😂😂
😂
Uyu mdada ana sifa na nyodo nyingi mno,nmeshindwa adi kuvumilia kumalizia interview coz ana minyodo mingi kwenye kuongea
Inategemeana umeangalia kwa angle gani. Mtu humjui unamjudge. 😳😳
Witness nmekuckia unasema ulishawah kwenda kuomba visa ya america..? Vp ulifanikiwa kuipata?🤔
🥹🥹Nimewahi kuomba mara 3 na kwa bahati mbaya nilikosa. Ila nashukuru Mungu nilikosa naona America hawana social benefits kama huku. Huku elimu bure chuo na matibabu ni bure kwa raia na wakazi kama mimi niliyeolewa n raia ila marekani ni kulipa. Afu kila mtu ana miliki silaha kule. Kushootiwa ni sekunde
@@Witnessvlog 😁😁😁
Inabidi utupe deep tips witty tupate wamama wa kizungu😂😂
Haswaa nitatengeneza video soon
Mimi jamani nataka kazi
Habari Ester. Tafadhali angalia video za nyuma. Kuna fursa kadhaa.
Kuna msururu wa mambo duh
Kabisa dear sio rahisi but it worth it
Leo sijapenda hta
Hujapenda nini?
Hv kumbe interview za ulaya n tofaut na ya america eeh....🤔 Naomba nijue ilooh..,maana visa ya america, unalipa visa fee, unachagua siku ya kufanya interview, na ukienda kwenye interview ya marekan..majibu ya visa n papo hapo...km NO! Wanakwambia NO! Kma yes YES! Na kesho unaambiwa ukafate visa yako km ukipaata.......kumbe za ulaya n tofaut eeh..mpk usubir mwenz au mawiki...duuh!
Exactly. Visa za ulaya unasubmit na kusubiri
Visiting visa hadi mwezi mmoja. I think hii ni nzuri kuliko ya America hata documents zako zinaweza zisiangaliwe zote na ukanyimwa. It's not fair
@@Witnessvlog yaan..hyo ya marekani nmeshaomba witness...mmh!🙄..na ww itabd usimulie Hadith yako mpk ukawa unaish uko..km alivyofnya huyo dada...
@@Witnessvlog Sasa za ulaya unakuwa unapeleka documents kwanza au....? Na interview yao cio Ile ya face to face km ya america??
ni vipi mnaweza kutusaidia na sisi wenye uhitaji wa kufika uko ughaibuni ili tuangalie video zenu huku wengine weny uhitaj tupat faida wengine tunahitaji kufanya kaz ughaibuni huko
Ndio lengo la kufungua channel hii kaks yangu. Endelea kuangalia kuna videos humu zenye fursa kadhaa angalia kama una vigezo apply. Na nitaendelea kushea kadri ninavozipata. Subscribe usipitwe
@@Witnessvlog oky ngoj nizipitie zote ila unaonaje ungekua pia na group hata la whatsapp hiv kam tukiw tumesha angalia video zako na tunahitaj ufafanuzi na msaada zaidi tukawa tunajadil kwa group tunawek mambo sawa kam utakua saw kwako tungefany hiv pia
Kua na group sio rahis hasa kwenye kuliendesha. Ila ukiwa na swali uliza kwenye comment section ya video kwa faida ya wengine
@@Witnessvlog saw
Haya mambo ya ubalozini hayazoeleki😅
Nlifanya mistake wakati nakuja Turkey nkakata ticket kabla ya kupata visa, matokeo yake nkapata visa one day after my travelling date😢 ikabidi nikate ticket upya
Whoa! pole sana jamani.
Hakuna kitu kigumu na kinachosha kama kusubiri visa. Inaweza chelewa au pitiliza muda wake.
Asante kwa kushea. Ulilipa pesa yote au ulisogeza ticket mbele?
@@Witnessvlog nlilipa karibu nusu garama ya ticket nzima maana ilikua no show
Ilikua nisafir alfajir saa kumi nikaenda ofc za ticket saa nne asbh yake so walinicharge no show fee na kuiweka open hadi nlipopata visa wakachek availability nkalipia difference
Oh yea. Pole kwakweli