Wali Wangu (Episode 1) - Madebe Lidai (Official Bongo Movie 2020)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024
  • Wali Wangu |Ukurasa wa 1| - Madebe Lidai (Official Bongo Movie 2020) Madebe Lidai
    Watch Part 2 Here: • Wali Wangu (Episode 2)...
    CAST: Madebe Lidai, Ochu Kiota, Isiaka Ngokwe, Jumbe Safi, Rehema Chambuso, Pendo Ismail,
    STORY/SCRIPT: Madebe Lidai
    EDITOR: Master Lee
    PRODUCER: LP Media, Madebe Lidai
    DIRECTOR: Kayto Kae
    Subscribe to Africa Movies on TH-cam here: bit.ly/AfrichaM...
    Bongo Movies, Tanzania Movies, African Movies, Movie, Comedy, Bongo Comedy, comedy, film #AfrichaMovies #BongoMovies #SwahiliMovies

ความคิดเห็น • 662

  • @خسنموس
    @خسنموس 4 ปีที่แล้ว +59

    Wanao angalia hii movie baada ya interview ya madebe na chanuo tujuane hapa kwa like

  • @fabianndimanya2055
    @fabianndimanya2055 3 ปีที่แล้ว +16

    Naona wote humu mmepata Like Ebu nipe na mm japo moja🤣🤣🤣🤣🤣

  • @buajayfreeboy2028
    @buajayfreeboy2028 4 ปีที่แล้ว +7

    Kama una mukubal madebe ni king wa bongo movies nipe like

  • @khalidngwembele9075
    @khalidngwembele9075 4 ปีที่แล้ว +157

    Ukinichana mwil wangu ni Madebe mtupuuu kwaiyo tunaye mkubal madebe like kwa saaana

  • @خسنموس
    @خسنموس 4 ปีที่แล้ว +10

    Wanao angalia hii movie baada ya interview ya madebe na chanuo tujuane hapa kwa like

  • @onesmorichard4845
    @onesmorichard4845 4 ปีที่แล้ว +5

    Na mimi leo nakoment maana naongoza kwakusoma coment za watu,kama nawewe ni msoma coment za wengine harafu wewe hucoment kama mimi tujuane

  • @hendryprosper9950
    @hendryprosper9950 4 ปีที่แล้ว +43

    Jamn ni miez 7 sasa imepita sasa tunao angalia hii mwezi wa huu wa. 7 had wa 12 tujuanee like 100 tu wapendwa

  • @nellytsuma7519
    @nellytsuma7519 2 ปีที่แล้ว +3

    Bibi ya katambuga mzuri Mashallah 🥰

  • @athaum05
    @athaum05 4 ปีที่แล้ว +92

    Walioangalia baada ya kuridhishwa na maelezo ya comments tujuane,
    👇👇👇👇👇👇

  • @listentoquranandmawaidhach4992
    @listentoquranandmawaidhach4992 4 ปีที่แล้ว +9

    Sijaona mfano wa Madebe tamthilia zake zina mafunzo mengi sana na tena napenda methali unazozitumia nakukubali sana🙌

  • @umisidi1816
    @umisidi1816 4 ปีที่แล้ว +9

    Katika movi ya madebe nampenda sana manyele napenda movi zenu sana

  • @halimaomar2795
    @halimaomar2795 4 ปีที่แล้ว +11

    That's ma man Madebe nakukubali sn mtu wng, Asante sn kwa mafundisho haya, naangalia kutoka Qatar. Nxt part pls

  • @ramadhanipachella2430
    @ramadhanipachella2430 4 ปีที่แล้ว +214

    Wangapi wanaungana na Mimi kua madebe lidai akoseag Story ktk move Zake Gonga lake ili Tuendelee kujuana Hap🖕

    • @مارياكافشى
      @مارياكافشى 4 ปีที่แล้ว +3

      Historia yake nzuri tatizo yeye arichidwa nawake watatu je tutamwerewa kivipi????🇧🇮🇧🇮🇧🇮

    • @davidraphael1975
      @davidraphael1975 4 ปีที่แล้ว +1

      Ramadhani Pachella exactly

    • @fatmaaly9686
      @fatmaaly9686 4 ปีที่แล้ว +1

      Movie zake hazimalizi anaishia njian

    • @youngjmstaarabu2559
      @youngjmstaarabu2559 4 ปีที่แล้ว +1

      Kweli

    • @samsalehe2351
      @samsalehe2351 4 ปีที่แล้ว +1

      yuko vzr sana cha muhimu aongeze juhudi kwenye kazi zake

  • @مارياكافشى
    @مارياكافشى 4 ปีที่แล้ว +10

    Wewe madebe uricha owa marangapi🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @خسنموس
    @خسنموس 4 ปีที่แล้ว +78

    Wanao angalia hii movie baada ya interview ya madebe na chanuo tujuane kwa like.

    • @swissvany55
      @swissvany55 4 ปีที่แล้ว +1

      YANI Sasa hvi nmetoka kuangalia interview ya madebe na chanuo

  • @malaikalardy2456
    @malaikalardy2456 4 ปีที่แล้ว +374

    Tunaompenda madebe na tunao angalia muda huu tujuane🙌🙌

  • @Prem_Rich
    @Prem_Rich 4 ปีที่แล้ว +20

    Big up Kaka Lidai! Ila hapo kwa mafunzo ya Dini ya Kiislam kuna kitu ujagusia ulitakiwa umfunze huyo mkeo kujistiri kichwa chake

    • @seasononline4618
      @seasononline4618 ปีที่แล้ว

      "KUJENGA NI RAHISI ILA KUBOA NI KAMA MZIGO ALIO TWISHWA PUNDA TU!"*BY Samir MSWAHILI

  • @saumrajabpalomar9569
    @saumrajabpalomar9569 4 ปีที่แล้ว +131

    Unajuwa zamani ndoto niile unayo iyota usingizini lakini sasa ndoto niile inayo kunyima usingizi👌👌👌kama umeiyona hiyo tujuwane ili twende sawa 💋 💋 💋

  • @manhajmuslimtvshortclips1135
    @manhajmuslimtvshortclips1135 4 ปีที่แล้ว +193

    Wanao angalia huku wanasoma comment tujuane gonga like

  • @jacksontawete4448
    @jacksontawete4448 3 ปีที่แล้ว +3

    Jaman Madebe anajua respect bro👮

  • @paulbinezekiel8225
    @paulbinezekiel8225 4 ปีที่แล้ว +216

    Kama na wewe unaangalia movie huku unacoment tujuane hapa

  • @twalib09
    @twalib09 4 ปีที่แล้ว +84

    Likes from +254 madebe tupo pamoja

  • @theophileniyonkuru2116
    @theophileniyonkuru2116 4 ปีที่แล้ว +12

    Napenda movie zake kwasababu turikuw tusha coka magorofa na magari.wanao ikubali tujuwane

  • @twahaburuhani245
    @twahaburuhani245 2 ปีที่แล้ว +1

    Madebe ishi miaka 1000000 maana unatuelimisha Sana sisi wadogo zako

  • @daudyramadhanywalonde2898
    @daudyramadhanywalonde2898 4 ปีที่แล้ว +1

    Nampenda san madebe napenda movie zake

  • @athumanisigaye1463
    @athumanisigaye1463 4 ปีที่แล้ว +41

    nawwe uwe unaweka episode zote mwanzo mwisho hapo ndohuwa unanikwazaga au unaanza kulewa sifa weka zote maana maisha yenyewe mafupi unataka tufe kabla hatujamalizana et!!!!!!!

    • @mawaidhatv8557
      @mawaidhatv8557 4 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂

    • @merympamba3126
      @merympamba3126 4 ปีที่แล้ว

      😆😆😆😆👌

    • @honestgroup2116
      @honestgroup2116 4 ปีที่แล้ว

      Athumani Sigaye yaniii weee acha 2

    • @jumarazman6973
      @jumarazman6973 4 ปีที่แล้ว

      Hahahahhahaa maisha mafupi kweli

    • @marywambui519
      @marywambui519 4 ปีที่แล้ว

      Athumani sigaye hahahaa we noma yani umenichekesha sana...na kuna ukweli hapo made be miendelezo ije haraka tusife kabla ya kutazama weeee

  • @mussayusuph8661
    @mussayusuph8661 4 ปีที่แล้ว +4

    unatufurahisha sana madebe mungu awe p1 na ww

  • @nibigiramwajuma7925
    @nibigiramwajuma7925 4 ปีที่แล้ว +11

    Madebe hujawai kukosea bgp sana

  • @shamsalulanje4151
    @shamsalulanje4151 4 ปีที่แล้ว +6

    😀😀😀😀😀Duhhhh wanaume wote wanavichwa viwili vyote vinatoka ubongo hatareeeeee

  • @hawamaida1927
    @hawamaida1927 4 ปีที่แล้ว +2

    Madebe ww noma wapge bao wakina ray

  • @jadixtheblacker3411
    @jadixtheblacker3411 4 ปีที่แล้ว +27

    Nabii mswahili kama unampenda tujuwaneee

    • @issaally1710
      @issaally1710 4 ปีที่แล้ว

      Daaah nakubali sana madebe

  • @agnesnjeri3881
    @agnesnjeri3881 4 ปีที่แล้ว +4

    Watching from saudia rabia madebe love u

  • @seasononline4618
    @seasononline4618 ปีที่แล้ว +1

    "SAMIR ONE TV ON TH-cam " Naitwa samir MSWAHILI nampenda sana kaka angu NABII MSWAHILI TOKA NIKO MDOGO MPAKA SASA "MPENDE UMPENDAE USIJE PENDA USIPO PENDA""by Samir MSWAHILI

  • @asiamussa396
    @asiamussa396 4 ปีที่แล้ว +25

    Kumbe kuna mkojoaji na kikojozi watu wawili tofauti😀😀😀

  • @celestesanitoussene823
    @celestesanitoussene823 4 ปีที่แล้ว +9

    Japo kuauchache nieleze wariwangu😅😅😅😅

  • @paulkessy5267
    @paulkessy5267 4 ปีที่แล้ว +28

    Huyu ndio staa wangu wa siku zooote kwenye bongo move

  • @azizajackson1147
    @azizajackson1147 3 ปีที่แล้ว +3

    Reality to african culture napenda sana kazi yako

  • @trecyeddie4064
    @trecyeddie4064 4 ปีที่แล้ว +8

    #vichwa vyote vya mwanaume vina UBONGO ila kichwa 1 uBONGO wake ukimwagika kina leta manufaa ktk TAIFA_daaaaaaaah cjui kichwa KIPIHICHO@wali_wangu@madebe_🙌🙌👍

  • @tajirilaizer8524
    @tajirilaizer8524 4 ปีที่แล้ว +11

    Nimeikubali kinoma ina mafundisho kweli kweli

  • @chitwangaseif8162
    @chitwangaseif8162 4 ปีที่แล้ว +14

    Madebe wanao kupinga waache wakupinge ila ukweli utabaki kuwa ukweli......

  • @martinjacobtv9864
    @martinjacobtv9864 2 ปีที่แล้ว +4

    Mwana fasihi wa kupigiwa mfano, mtamaduni maigizoni na maisha halisi, hongera madene lidai na washirika wako kwa kazi na mwongozo mwema.

  • @sultansultan4129
    @sultansultan4129 4 ปีที่แล้ว +1

    Kwanini hawa wasanii wakibongo hawajifunzi kiswahili wajue michezo yao inaonekana dunia nzima. Kwa mmfano hii filamu ya madebe anaita (wali wangu )badala ya wari wangu hujui kama wanaojifunza kisawahili utakuja kuwapoteza malengo.

  • @director_sonny
    @director_sonny 4 ปีที่แล้ว

    kiukweli najiskia raha sana kuangalia movie za madebe nipende kutoa ushauri wa kujenga kidogo kwenye wahusika jitahidini sana kila mhusika awe na rafdhi yake maana kuna muda inasikika rafdhi ya aina moja kama ya mwalimu🙄 zaidi ya apo Madebe kwa upande wangu unafanya vizuri Tanzania nzima🙏 keep it bro

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 4 ปีที่แล้ว +19

    Kumbe wali tayari wachatuzame ndani tuone kama umekolea nazi ndotucoment🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️

  • @nazirnoor4160
    @nazirnoor4160 4 ปีที่แล้ว +11

    Unajua.
    Quality safi.
    Epuka kutumia background sound wakati wakuongea, LADHA YA PICHA NI USIKIVU WA MANENO YA MUIGIZAJI NA MNG'AO WA PICHA.

  • @aminasuleiman1275
    @aminasuleiman1275 ปีที่แล้ว

    Mashallah mkija kenya muntafuta napenda kuigiza vilamu za tamaduni

  • @mustaphasdaughter7451
    @mustaphasdaughter7451 4 ปีที่แล้ว +20

    Hahaa!Jamani katambuga anataka apeleke maombi ya uumbaji wa mtoto kwa mungu

  • @boazmtilege146
    @boazmtilege146 4 ปีที่แล้ว +9

    Anataka apeleke maombi ya uumbaji wa mtoto kwa mungu 😂😂😂😂😂😂 akiri za K - Vant ukichnganya na bingwa kinye grass

  • @queenprinces8604
    @queenprinces8604 4 ปีที่แล้ว +46

    I always read comment first before starting watching

  • @jazzsule5046
    @jazzsule5046 4 ปีที่แล้ว +7

    safi sana madebe lidai bila kumsahau brother jumbe saphy.

  • @MadiggerMuyyer
    @MadiggerMuyyer 4 ปีที่แล้ว +8

    Unafaa sana kuwa mwalimu wa kiswahili madebe lidai kwa kiswahili tu unacho manake unamisemo kama mchanga nakukubali sana bro

  • @fredricknkole5481
    @fredricknkole5481 4 ปีที่แล้ว +15

    Duuuh kaka hatahuruma hauna only part 1? Please we need more

  • @billylovebilly9418
    @billylovebilly9418 4 ปีที่แล้ว +9

    Please part 2 jomon movie tam

  • @fatumamacharia9465
    @fatumamacharia9465 4 ปีที่แล้ว +17

    Nakubaliana na Mr madebe kwa haya mafundisho. Representing +254 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @sjl3207
    @sjl3207 4 ปีที่แล้ว +21

    Ambao tunaiangalia 2019 xmas tujuane kwa like

  • @wemafarida2405
    @wemafarida2405 4 ปีที่แล้ว +1

    Yupo

  • @bantuboytz3980
    @bantuboytz3980 4 ปีที่แล้ว +10

    Kama unakubal kunatabia zaki vulana na mwanaume

  • @actomaniatheatrefilm1157
    @actomaniatheatrefilm1157 4 ปีที่แล้ว +17

    May the other episode come through so educative

  • @smilebeautycosmeticssmileb5033
    @smilebeautycosmeticssmileb5033 4 ปีที่แล้ว +8

    Twende sawaa hadi ep2

  • @irenecharles5919
    @irenecharles5919 4 ปีที่แล้ว +11

    Hii movie nmekw nikiisubir kwa hamu jmn, sijawah ona movie mbaya ya madebe

  • @rodgerskusimba2428
    @rodgerskusimba2428 4 ปีที่แล้ว +1

    Nzuri sana

  • @zenaabdala2776
    @zenaabdala2776 4 ปีที่แล้ว +35

    Naanzaga kusoma coment kabla kuangalia

  • @jacobyusuph7231
    @jacobyusuph7231 4 ปีที่แล้ว +6

    Nipe like tano tu

  • @abuumsofe3691
    @abuumsofe3691 4 ปีที่แล้ว +6

    Hahahahhahhaha😀😀😀ZAMANI NDOTO NI ILE UNAYOIOTA UKIWA USINGIZINI.....ILA KWA SASA NDOTO NI ILE INAYOKUNYIMA USINGIZI

  • @ndayisengasaidi4370
    @ndayisengasaidi4370 4 ปีที่แล้ว +1

    Nakubali sana muokozi wa bong mv naiangalia nikiwa saudia safi

  • @jonathansamwel7794
    @jonathansamwel7794 4 ปีที่แล้ว +9

    Mmeendelea kuweka kitu cha maana mno hongereni sana,ila katambuga 🙌🙌kauvaa usika vilivyo

  • @allymsegeju4847
    @allymsegeju4847 4 ปีที่แล้ว

    Mr.umenikosha sana hapo nanukuu"ukisoma katk kitabu kisicho na shaka ndani mstar wa...mpaka wa.......unaambiwa zungumza kwa upole ..........kama mtu akiwa si mwana kiswahili yaan atapata tabu sanaa nakubali kazi yako tupo pa1

  • @irakozealice5321
    @irakozealice5321 4 ปีที่แล้ว +16

    Nzuli san kabisa dup mwendelez plz madebe

  • @allynyoni4587
    @allynyoni4587 4 ปีที่แล้ว +1

    Good madebe uko vzr sana kweity moja

  • @laylasuliman5805
    @laylasuliman5805 4 ปีที่แล้ว +6

    Jmn huyu jamaa anaitwa nani anayeimba huu wimbo wa wali wang plz anayejua

  • @mohdibnsaleh9949
    @mohdibnsaleh9949 4 ปีที่แล้ว

    Mashallah hapo kwenye sura ya 31 aya 19 umepatia mungu akujaalie kher...hio ni surat luqmaaan

  • @sande427able
    @sande427able 4 ปีที่แล้ว +9

    Madebe wewe ukoseyangi kaka

  • @amani2555
    @amani2555 4 ปีที่แล้ว +37

    Tunaosubiri episode ya 2 tujuane

  • @wemafarida2405
    @wemafarida2405 4 ปีที่แล้ว +1

    Tunaangalia madebe kwa Sana ndio msanii alibak

  • @munnababygal8460
    @munnababygal8460 4 ปีที่แล้ว +7

    Napenda sana movie za madebe haki zina mafundisho sana

  • @faridahmbalu8897
    @faridahmbalu8897 4 ปีที่แล้ว

    Penda sana madebe, big up kwa saana

  • @azeezaabdalla4673
    @azeezaabdalla4673 4 ปีที่แล้ว +6

    Jamani nitumieni ilosongi madekakayangu nakukubali sogambele ushindi unakuja

  • @tumusaidmwakinyex3931
    @tumusaidmwakinyex3931 4 ปีที่แล้ว +11

    Popote mukimuona madebe mwambieni nampenda buree

  • @masuabdallah5313
    @masuabdallah5313 4 ปีที่แล้ว

    Bwana madebe unatisha

  • @mwajayhaxxan5507
    @mwajayhaxxan5507 4 ปีที่แล้ว +15

    Movie nzurii ilaa tunaomba muendelezo usichelewe saana mpaka tukasahau maudhui mwalimuu madebw

  • @daisykioko7897
    @daisykioko7897 4 ปีที่แล้ว +23

    Representing 254🇰🇪🇰🇪 wapili hapa

  • @yusuphkidoto9353
    @yusuphkidoto9353 4 ปีที่แล้ว +31

    Basi msicheleweshe muendelezo🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @boazmtilege146
    @boazmtilege146 4 ปีที่แล้ว +9

    Wnawake jitambueni sio mnaangalia huku mpo kufanya 😂

  • @mbatatakiazi1678
    @mbatatakiazi1678 4 ปีที่แล้ว +12

    **Mimi ningetaka aje, Ningmsubirihapa hakuna mkutano*

  • @tzboyclassic9596
    @tzboyclassic9596 4 ปีที่แล้ว +10

    Daaa, good movie Nakubali xana

  • @iddjuma9179
    @iddjuma9179 4 ปีที่แล้ว +5

    Nzuri sana...tunaomba tujuzwe epsode inatoka kila baada ya muda gani...?

  • @kulwanono5888
    @kulwanono5888 3 ปีที่แล้ว

    MAZINGAR
    A YA WAPI HAYO MBN MATAMU SANA

  • @andrewlujuo4776
    @andrewlujuo4776 4 ปีที่แล้ว +10

    Mwendelezo bn

  • @Platnumz11
    @Platnumz11 4 ปีที่แล้ว +10

    oyaa madebe bona unatukatiziya utamu wa mafundisho

  • @shebychazy3589
    @shebychazy3589 4 ปีที่แล้ว +13

    Mashallah vzr xn madebe

  • @leonardally2111
    @leonardally2111 4 ปีที่แล้ว +11

    Daaa brother madebe big up wewe ni zaidi ya mwalimu mwendelezo plz

  • @rahooseleman3097
    @rahooseleman3097 4 ปีที่แล้ว +4

    Mnao angaria mkiwa oman like zenu hapa

  • @andrewsteven7901
    @andrewsteven7901 4 ปีที่แล้ว +13

    Mm nilicho kiona
    Nikwamba madebe ni MTU wakipekee sana afu ana ubunifu wa tofauti sana

    • @othmansharif2630
      @othmansharif2630 4 ปีที่แล้ว

      Jamani mm nilikua wapi naangalia Leo 2020

  • @godfrey3926
    @godfrey3926 4 ปีที่แล้ว +5

    Movie hii jamani imetulia..🙏🙏

  • @radhiaomary5591
    @radhiaomary5591 4 ปีที่แล้ว +13

    Asante madebe na misemo ya wali wako ukweli tu tuambizane

  • @marymary4720
    @marymary4720 4 ปีที่แล้ว +6

    Nzuri sana

  • @tajirilaizer8524
    @tajirilaizer8524 4 ปีที่แล้ว

    Nimeikubali kinoma ina mafundisho kweli kweli

  • @siriyangu4724
    @siriyangu4724 4 ปีที่แล้ว

    Mi napenda movie za madebe uwa najifuza mengi kama za hayati kanumba raha ya movie utoke na chchote akili mashaallah pongezi kwenu nyote wadau na subiri muendelea

  • @mussanganda505
    @mussanganda505 3 ปีที่แล้ว

    Safi sana

  • @fatmaaliy6196
    @fatmaaliy6196 4 ปีที่แล้ว +8

    Hata mimi mwali wa madebe

    • @bintihassan6534
      @bintihassan6534 4 ปีที่แล้ว

      Cjachelewa🇰🇪🇰🇪leo madebe nakubali mafunzo yko
      Mashaallah mungu akujaze hekma na busara tele🤲

    • @ibrahimally7811
      @ibrahimally7811 4 ปีที่แล้ว

      hi