Haya ni mafundisho yaliyo katik maisha yetu ambayo tunapaswa kujifunza na kutoa elimu kama wasanii wanavyotoa katika hadhara hongera sana nabii mswahili ww pamoja na wenzako kwa mafundisho yenye ukwel na ualisia wa maisha ya kiafrika
Madebe lidai anauwezo mkubwa sana naona sasa bongo movies wairudisha pahala pake kama wamkubali ebu Fanya kama wagonga like akuna kama Madebe lidai(Nabii mswahili)
Nakubali sana.kazi zako umenifanya nimeangalia zaidi ya Mara tatu filamu yako ya matusi wewe sio msanii chipukizi wewe ni zaidi ya wasanii hapa Africa tatizo lako ni moja tu bloo jalibu kuweka maneno ya kingeleza chini ili na nchi zingine zielewe unacho wakilisha Mimi nimebadilika kwaajili yako mungu akuongoze bloo
If everyone could be here watching this guy's teachings . The world could be a better place to live. Keep it up bro. Give me a thumb up if you agree with me 👍
Mungu wangu,hivi madebe huwa unatumia siku ngapi kukamilisha movie zako,maana naona kama ziko very unique kabisa can't believe,mwenyezi mungu akusaidie ufike mbali!!!
Nabii mswahili atakuja kumrith marehem kanumba maan movie zak zinaushawish mwing kwajamii pia al along from burundi to dubai kam kweli unafikiria kam mimi wap like zang jamen
Huyu ndie msanii pekee aliebaki anakula bando lango kiroho saaaaafi, yaani hua nikiangalia kazi zako najisikia kamoyo keupeee Kama nipo na demu wa kihindi vile
nilicho gundua kwa madebe mpaka havumi ni ukweli anao uzungumzia ktk ulimwengu tunao ishi ila usikate tamaa wapenda ukwer tunakuelewa na kuyafanyia kazi
Haya ni mafundisho yaliyo katik maisha yetu ambayo tunapaswa kujifunza na kutoa elimu kama wasanii wanavyotoa katika hadhara hongera sana nabii mswahili ww pamoja na wenzako kwa mafundisho yenye ukwel na ualisia wa maisha ya kiafrika
Mi ni Kenya ila nimependa sana move zauyu kijana
Haya ni mafundisho yanatakiws tujifunze asnte madebe nabii
Uko vzr saana ,, lakn kwann video inakata saut ,,
MAUZA UZA. sehemu ya kwanza new swahili series
Madebe lidai anauwezo mkubwa sana naona sasa bongo movies wairudisha pahala pake kama wamkubali ebu Fanya kama wagonga like akuna kama Madebe lidai(Nabii mswahili)
Mungumba classic ✅✅✅✅✔
By v
nmkubal mpka xo poa ......mung akuongz kaka ang
Good ww ni nomaaaaaaaaA
kwa kwl huyu jamaa anajua bongo move ilishapotea kabisa
Nakubali sana.kazi zako umenifanya nimeangalia zaidi ya Mara tatu filamu yako ya matusi wewe sio msanii chipukizi wewe ni zaidi ya wasanii hapa Africa tatizo lako ni moja tu bloo jalibu kuweka maneno ya kingeleza chini ili na nchi zingine zielewe unacho wakilisha Mimi nimebadilika kwaajili yako mungu akuongoze bloo
If everyone could be here watching this guy's teachings . The world could be a better place to live. Keep it up bro. Give me a thumb up if you agree with me 👍
MAUZA UZA. sehemu ya kwanza new swahili series
@@swahililandtv1ó½ 10 to😢 it to see 2qqqw2² 3:01 ❤ my O$kdkklllllssssksiá⅔2😂2ll lol ew 4:35
Mungu wangu,hivi madebe huwa unatumia siku ngapi kukamilisha movie zako,maana naona kama ziko very unique kabisa can't believe,mwenyezi mungu akusaidie ufike mbali!!!
Namkubadili sana madebe anaelimisha sana anaitaji apewe tuzo from 254🇦🇪🇦🇪
Madebe wewe hongra sana
Madebe yupo vizuri kweny kiswahili fasaha gonga like kama unakubaliana na mm
Vizuri madebe
@@rehemakasimh6273 niuge
Yuko vzur kweny kiswahili.
Yuki vizur San kweny kiswahil
Daniel petro kwel madebe watisha kaka!!! Unasitahili kuigwa unaziba nafasi yakanumba"""""by kiyumban
Kaka madebe you are killing it... ww na yule kaka white yule simtaji mnajua mnachokifanya asee... all the best
hongera sana madebe....tafadhali tuletee MASHARTI
napenda sana kuona vitimbi vya madembe lidai mtu mcheshi sana
Pamoja sana
Hii filamu inakatakata sauti lakini kwa vile ni madebe lida lazima niangalie.madebe hongera sana 👊🏼👊🏼👊🏼
Like this man he always talk thth
Hongera sana lidai
Hongara kwa kazi nzuri,,ya kuilinda luga ya kiswahili
Ukiwa unajua utabaki kua unajua tu wewe ni the nambary 1 Tanzania
IAM kenyan.madebe brought me here.l love his teaching movies.♥️♥️♥️
Namukubali madebe naxikilixa toka kenya....kaka umetisha....ww mkali...
hizi ndizo kazi tulizozisubiria muda mrefu kwenye tasni, hali ya kuwa kweli zilivuma Pasi na kweli
Nampenda nabii jamani Ilove you so much
Ashura Omary
Kaka ingapu San
Na mm je unpendi tena
Nilianza kuona filamu zako nikiwa likizo pale Mwanza.Hadi waleo sijapinduka nafurahia kazi na mawaidha yako sana.Fan wako kutoka Kenya.Inshallah
kaka madebe uko vizuri sana katika maneno yako
I love this guy huwa ananipashauri nzuuri
Huyu kaka amemakinika.....Kutoka Nairobi napenda mafunzo anayotoa hapa.
One of my favorite bongo actors madebe uko sawa.
Duuu kama kuna mtu namsikiliza kupita kiasi bc ni madebe kama na wewe ni kama mimi gonga like
,madebe ni fundi haswa
Madebe watasubili Sana kweli shimo limo shimoni
Tatizo matangazo mengi sana
Madebe lidai is King of movies tz:; siikila mzee nimwenyebusara nasii kilakijana unaemuona hanaushauri kamaunamuelewa madebe the lidar mpe✍️🙏
u kona ubunifu ya hali yaju sana kama kweli wewe ni professor
nakuelewa sana MADEBE
Madebe Nimekukubali hongera sana kwakuvi jua
Nabii mswahili atakuja kumrith marehem kanumba maan movie zak zinaushawish mwing kwajamii pia al along from burundi to dubai kam kweli unafikiria kam mimi wap like zang jamen
Napenda sana made be na mafumbo yake
Madebe madebe lidai lazima nikuone live
kaz nzuri broo , mungu akutangulie kwa kila atua unay piga ili uendelee kutuelimisha
👏
Huyu ndie msanii pekee aliebaki anakula bando lango kiroho saaaaafi, yaani hua nikiangalia kazi zako najisikia kamoyo keupeee Kama nipo na demu wa kihindi vile
😂😂😂
Madebe nakukubali sana kaka piga kazi
Nabi ndio huyo mwongo Muswahili huyo safi sana
Brother madebe ww ndie mrithi kweli wa kanumba endelea kuinua bongo movies brother
Made be umetisha kama jua ra kiangazi Nakupenda bure
Ndio kabisa
napenda sana more more again zipo sawa
Napenda.hii cenema inafundisha
Na mbona hawajakupea tuzoo juu tangu marehemu kanumba mpaka sasa hakuna MTU ambaye amefanya kazi nzuri kama madebe
Tuzo ni Kujuana, hukuona wakipea watoto wenye Ata filamu zao hazijulikani? Madebe yupo vizuri sana
Kwakweli uko sawa kabisa kwa misamiati unatisha
kazi nzur sana Madebe hongera
nani kama Mdebe gonga like kama unamkubal madebe
Pqpi Boy nice
Jamaa yuko vizuri zaidi sana matumizi ya lugha,kuvaa uhusika,madhari anazochukulia video ebwanaeeeeeeee jamaa mtamu kwenye sanaa ni fanani haswaaaa
Big up mr madebe
Yuko viziri
akuna
Ni shwari kabisa Nabii kazi shamba unaleta funzo mingi kwa vijana, I support it
Tz naikubali Mimi vipaji vipo kweli ,,afu mi mkenya napata shida Sana kutafsiri mafumbo haya ...ila napenda chenu kiswahili ...madebe mkali kweli
Akuna kam madem jaman mim sjaona mm nadhan kamwen kapew kwa Sabab ni mtot tu lakin kaz yako hakun wa kuirith gong like kama unamkubal madebe lidai
Mung akuzidishie miak ming sanaah katk maish yako salute kwak madebe
Nakupenda sana nabii mswahili
Kunamda tunanyimwa sauti Kama umeliona gonga like
Kweli nabado twatizama 💃💃💃💃
MashaAllah Mr. Madebe u got the best lessons n life n all of your movies, May Allah continue 2guide ad bless you Ad Add you Mo yrs 2liv
Muvi ni nzuri mashallh Lkn Tu sauti jomon mbona
Kwa kweli Mimi, nmejengwa sana katika ndoa yangu. Thank you so much bro Keep it up.
Madebe my favorite actor oll a Way From Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kutoka kenya 🇰🇪 Nakufwatilia sana
No body like you #,Madebe. Kazi zako nzuri sanaaaa, NEVER SEEN BEFORE Wallahi
Kakaa uko vizuri kanumba kanumba karudi
Mafunzo mazuri sana thanks madebe
Namkubali madebe sana ....
Madebe anaweza!
Jamni tuzo za sanaa si watu wa kuwapa wapo. Madebe apewe tuzo jaman
daah iko pow San big up
madebeh nomaa sana
kaka nomaa sana
Hongera nabii mswahili madebe lidai
Made be ni roll model wangu .... Pita na like
Napenda Sana vipindi zenyu wenzangu watanzania 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇹🇿
Nabii upon njema mzee, akili global, act local. Ur exception. Advance location pia wahusika waendane atleast na ndoto zako. See you broo
Wanao tazama iyi 2020 mnipeni like zenu
Memory
Nabii ako namafundisho
Tupo mpaka Leo💃💃💃💃💃
Madebe Tunapenda Move Zako Sana Mi Naburudika Kwa Simu Nikiwa Qatar 🇶🇦 Ila Nyumbani Wwe Katika Televishoni❤❤❤❤❤❤
Kazi nzuri Sana madembe nafanya...
Hii filamu nzuri kweli ..madebe amekaribia kuchukua nafasi ya kanumba
Nabiii kuna baadhi ya wanawake awajui dhamani ya miili yao
Kaka uko vizuri lidai
Honger xana uko vizur tukukubal
Bado cjaona mpinzan wako madebe
Naangalia toka Kenya na namkubali madebe A.K.A nabii mswahili ,kama nawe wamkubali gonga like
Noma san
Big up sana madeb kwa hii movie
Uko vizuri nabiii mswahili
Huyo nd nabiii
nazielewa kazi zako kaka Madebe
lusongondola.the boy.made be UK xawa
daah huyu jamaa anaelimisha jamii
Ditective nabii mwenyewe watu Wana unafsi kibao alafu wanamlaumu mungu
Movie nzuri madebe kaiga kanumba
Nakubari madebe enderea kuerimisha jamii
Nzur sanaaaaa
Unaee jiita nabiii ujumbe wako
Duniya tambara Bovu mdau
Siku hizi Hatari meanangu
hata uwongo Unafanana na ukweli
Nakubali sana kazi yako
Yaani ile fresh
Kumbe Kuna movi nzuri hivii sijajua kwakweli🤔
Nakukubali sana kaka uko vizuri MUNGU akutangulie katika kazi yako
nilicho gundua kwa madebe mpaka havumi ni ukweli anao uzungumzia ktk ulimwengu tunao ishi ila usikate tamaa wapenda ukwer tunakuelewa na kuyafanyia kazi
Akika unacho ongea ni sahihi
Kabisaa
Sana
Nikweli msema ukweli siku zote hapenezi na haikunza kwako made be tokea enzi mtume tunajua alipingwa na familia yake tatizo no kusema ukweli
Kama umeona move ya matusi move ya Sheba move ya chanuo na mama mwali gonga like ❤ kwa madebe lidai
Yaani yabidi nichukue kitabu na kalamu ninakili...aisee filamu ya tz sasa ipo na mtazamo mpya na mtamu
2024 still watching,, hizi sauti mbona zakatakata
Daah hii simulizi nizaidi ya maisha
Nakukubali sanaa
What a fantastic🎉🎉🎉
Iko p sana
I like this guy madebe
safi sana madebe lidai
Nimafunzo kubwa sana katika maisha ya binadamu...pakini swali ni je mbona hii video haiwezi ikajidownload 🤔??!!
huyu madebe anajua aisee dah hongera kaka
Naaaaaaaam bob madebe like izo kama zako
Madebe unajuaaaa
Kwa mafumbu baba wewe namba moja baba❤
Unajua brother madebe
sana nambi mswahili uko juuuii
Saf sana
Tamu iyoooo
daaa nimeipenda sana nabii hongela kwakaz nzuli
#ktk life yako xingatia vitu 2 " kuna kupuliza ili uwake & kupuliza ili ipoe!! 😀😀😀😀😀😀😀😀 @madebe
ivi mnapo angalia muvie zamadebe mnajifunza nini barikiw san madebe
Nakubali xana madebe landai ipo siku nitafanya kazi na wewe madebe
LAURENT PHABIANI kweli
KWELI KABISA @@reubenjohn4
Daaah jamaa yuko vizuli penda sana misemo yako kaka