MCHUNGAJI HANANJA AINGILIA KATI MCHUNGAJI KIMARO/AMISIMAMISHWA KAZI/AONDOKEA/NILIPELEKWA POLISI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024
  • Tumepiga story na Mchungaji Hananja

ความคิดเห็น • 16

  • @KamisSalim
    @KamisSalim ปีที่แล้ว

    Kiyakili unajua kma ukirsto ni taasisi sio dini uwisalamu hakuna iyo

  • @hancylaucymayunga3463
    @hancylaucymayunga3463 ปีที่แล้ว

    One of my best influencer

  • @abrahammwamakulaonline600
    @abrahammwamakulaonline600 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana mtumishi

  • @diti4899
    @diti4899 ปีที่แล้ว +1

    Staring wa kihindi Hamita Bachan haaaaaaa

  • @mankambise2000
    @mankambise2000 ปีที่แล้ว

    Eti unapenda ugomvi yaani wewe Mchungaji kiboko yaani nimecheka

  • @godwinmsuya6080
    @godwinmsuya6080 ปีที่แล้ว

    Huyu hafundishi chochote zaidi ya kupanda mbegu za chuki....kumbuka njaa zako ndo zilikupeleka KKKT, mafundisho yako yote ni comedy, huna fundisho lolote la kujenga washarika, leo una mtetea muajiriwa kakosana na muajiri, nani kakuomba nani kakutuma..azisha kanisalako umuajiri.

  • @annagipson6528
    @annagipson6528 ปีที่แล้ว +1

    Na Eliona kimaro lazima ataenda kuhubiri kimataifa 🙏 uko ulaya

  • @mudighurayra
    @mudighurayra ปีที่แล้ว +1

    Kwaiyo hapa napata picha rasmin kama ukiristo ni biashara kama zilivo kampuni nyengine 2

  • @Burner_Acc
    @Burner_Acc ปีที่แล้ว +1

    Ila Hananja 🤣🤣🤣

  • @geofreynjanga6794
    @geofreynjanga6794 ปีที่แล้ว +3

    Kuna watu wanajikuta Mungu watu.

  • @gilbertshirima2684
    @gilbertshirima2684 ปีที่แล้ว

    Ukweli uwekwe wazi. Huwezi nifukuza bila kunipatia sababu ya msingi. Tutaelewana. Enzi za giza zimepita

  • @annagipson6528
    @annagipson6528 ปีที่แล้ว

    Yan nacheka kama mwehu

  • @fanuelgibsonmtalikwa8784
    @fanuelgibsonmtalikwa8784 ปีที่แล้ว

    Kwani kafanyeje mtumishi wa Mungu Kimaro?