UTACHEKA UFE! MCHUNGAJI HANANJA na MKEWE CHEKI WALICHOKIFANYA - "KILA SAUTI INA MAHALI PAKE"
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 16 มี.ค. 2023
- UTACHEKA UFE! MCHUNGAJI HANANJA na MKEWE CHEKI WALIKICHOFANYA - "KILA SAUTI INA MAHALI PAKE"
MTUMISHI wa Mungu, mtangazaji na mwandishi wa vitabu nchini Lilian Mwasha amefanya uzinduzi wa kitabu chake kinachokwenda kwa jina la 'Darleng Listen' ambapo mgeni rasmi alikuwa ni Waziri wa Habari Nape Nnauye huku mastaa kibao wakihudhuria akiwemo Masanja, Mchungaji Hananja na wengine kiba.....
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline - บันเทิง
Siku za mwisho watu watapenda mafundisho lainilaini, myaonapo haya changamkeni yu karibu mlangoni!
LLIAN kapendezaa💞💃
Hapa Mungu hayupo Kuna shetani anakunywa kahawa na kashata mchungaji anayeongea maneno ya kihuni huni
watu wanaogopa kusema ukweli ila mwenye kupewa macho ya rohoni waombe sana
Yani ukitaka kanisa lisonge mbele lazima comedy's ziwepo ndani yake
Izi clip zimungwa....
Wewweee mchungaji hananja🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
haha huyu baba ana maneno hatari
Nakenyewe kanapga mluzi
Sasa Lilian alivyo mkamatia huyo m baba Mmmh
Kamkamatia wapi?
Subira huvuta heri
Mchungaji anasema kama amemeza cd
😂😂😂😂
Chakushangaza watu walipo ukumbini hawacheki lakini vicheko vinasikika
Watu wanacheka hata wewe hapo unacheki
video ime editiwa vibaya
Ni uchanganyaji wa picha tu hakuna camera nyingi za live hapo
Anaechanganya video amekosea
ndo ushangae sasa
Hahaha hatari 🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂
Anaongea kama mzee majuto
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Bilion 😂😂hananja