Kwa damu ya mwanakondoo na kwa neno la ushuhuda. Pastor neno lako linaniponya maana hudanganyi hata kidogo, unatumia neno pekee hutumii chochote ila NENO LA KRISTO❤
Asante Sana Muhubiri Ndacha Sasa tuingiye kabisa Gani? Je hapa Malawi ninapo ishi kanisa Hilo linapatikana wapi Maana naona Maneno yako ni ya kweli kabisa
Waa message is powerful, the reality of the word of God 🙏. We have conquered through the word of God sio mateke, nimeshindwa ata kulala, ili niskize these great teachers Ndacha and Stephen
Mwalimu ndacha ningependa ukipata muda. Ufunze kuhusu rapture.ili nielewe vizuri. Iwapo ni nimwanzoni, au mwishoni mwa miaka Saba ya gadhabu kuu. Asante.
Mwalimu Duch no law 4roughiuos law belongs 2lawbrakers 1Timoty 1:9 yesu aka2toa kwa sheria Galatian 4.4.tena sheria ilikua jia ku2peleka kwa imani Galatian 3:23 Romas2 :17:25 sheria n ya wafubavu walionwamini yesu sheria iko dani yao a2wezifuja 2corinthias 3:2:6 tena Titus 2:12 yasema nn? Soma)pia Ducha kufugua waislam macho Mugu akuogeze Ekima
Pastor Nina swali mm ni muumin wa kristo wa kwel aliye hai Ila kuna kiumbe kinachanganya kichwa anasema yeye hana dini alafu Anatumia mistari ya biblia tena anasema mashetani watatu katika biblia ni uislam ukristo na uyahudi Msaaada kama ukisoma sms yang Na huyu Prophète Kacou 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Mulizeni Ndacha wapi kwenye bibilia imesema ukiristo ni dini?? Wapi kwenye bibilia yesu aliingia kanisani?? Wapi yesu au mungu alisema mumuabudu yesu?? Wapi kwenye bibilia yesu alivaa suti?? Ujanja Ujanja tu….
Isaiah 5:4 What could have been done more to my vineyard that I have not done in it wherefore when I looked that it should bring forth grapes but brought brought forth wild grapes.
Francis nayapata mahubiri yako namna unavyoifafanua Biblia kama ilivyoandikwa, naomba kuuliza DVD za mafundisho na midahalo yako nitazipataje mile nipo Tanzania kilombero sugar K2?
@@minaminaa1669 😂😂😂😂😂Leo Uko maka Kuna kuzunguka alikahaba😂😂😂😂😂si unajua wanazunguka uchi mala 7 ?ila waislam mpo gizani na mna busu jiwe mala 3.😂😂😂😂😂😂
NDACHA kazi yako kubwa ni kutafta vile tu hutaweza kulala njaa kwa kuhubiri kitu halipo kabisaa na kutafuta tu wafuasi..There is no day night week month year decades that you will prove that the Holy Qur'an has a mistake.😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂kazi yako ni kelele tu kwa ufupi.
Pastor Nina swali mm ni muumin wa kristo wa kwel aliye hai Ila kuna kiumbe kinachanganya kichwa anasema yeye hana dini alafu Anatumia mistari ya biblia tena anasema mashetani watatu katika biblia ni uislam ukristo na uyahudi Msaaada kama ukisoma sms yang Na huyu Prophète Kacou 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
May GOD protect you mwalimu ndacha
Kwa damu ya mwanakondoo na kwa neno la ushuhuda. Pastor neno lako linaniponya maana hudanganyi hata kidogo, unatumia neno pekee hutumii chochote ila NENO LA KRISTO❤
Brother NDASHA karib Tanzania uitangaze ile kweli ya KRISTO YESU; Unafundisha vizur sana Mungu akubriki......
Tena uyu nikilud African nitamfata kenya aje tz kuninyooshea watu
@@financialloan9818 sijui atanyoosha nani. ......yuwangojwa kwa hamu uko .
@@minaminaa1669 na bado mwaka huu mtanyooka makaaba wakubwa nyie😅😂🤣
Aje 2 huku tz coz watu hawaujui ukweli kbx
Wewe ni pastor wa kweli
Ubarikiwe mchungaji karibu Tanzania mkoa was Lindi Hulku kazi bado Sana.
Ndacha Wewe Karibuni utakuwa muislamu inshallah inshallah
Amina sana mtumishi wa MUNGU ndacha
MUNGU akubariki sana
Muchangaji nakuelewa sana Mungu akusaidie ufike na huku Tanzania
Asante Sana Muhubiri Ndacha
Sasa tuingiye kabisa Gani? Je hapa Malawi ninapo ishi kanisa Hilo linapatikana wapi Maana naona Maneno yako ni ya kweli kabisa
This is the thruth i was looking for, hey pastor Mungu amakutuma kwajili yangu.
Mungu akuzidishie Hekima Yake Mwalimu Ndacha. Hamna mtu hata mmoja wa Mungu atakayepotea . Fichua yote kwa jina la Yesu.
Amen,Mungu abariki kazi ya mikono yako mtumishi
Waa message is powerful, the reality of the word of God 🙏. We have conquered through the word of God sio mateke, nimeshindwa ata kulala, ili niskize these great teachers Ndacha and Stephen
Welkam hme my sister
SDA are among the few churches that preach the truth of God
Ndacha nakupata sana maubiliyako Fanya kaziyako usiludud nyuma Chrisipini from Tz
chrispini mpepo namkubari sana Ndacha
Hi pastor, ningependa sana ukuje hapo isili nairobi
😑😑😑😑😴😀😀😀
The truth I have known.hongera mwalimu mwema Ndasha..
Hapa umehubiri kwa uchungu sana.
Mungu akubariki
Nimeyafatilia haya mahubiri ya ndacha kwa uhakika ubarikiwe na uendeleza neno la mungu hadi mwisho.
Ubarkiwe sana mpendwa Mungu akupe ulinzi uendelee mbele mpaka kazi ikamilike
Thanks pastor keep it up! Injili iendelee!!
Let the Bible say. God bless you mtu wa mungu for the truthful insights of the Bible
Amen. Amen. Amen. 🔥🔥🔥 Jesus is coming back soon. We need truth like this one.
Barikiwa Sana mwalimu
I really like how he prove his theme quoting the bible
I love his teachings...God bless you with ua team
Asandi barikiwa
Asandi kwa hiyo maubiri Karibu kitale ili wasibotee.
I love this man of God haki mm Niko nyuma Yako pastor.
Hongera sana pastor , nice message.
Praise God Teacher Francis Ndasha keep grinding brother worth it Nothing comes easy in life guys
Matthew 23;9 Usimwite mtu yeyote hapa duniani baba,Baba yako ni mmoja,aliye mbinguni.
Good teachings....be blessed
Great teaching my brother. Pure biblical truths being proclaimed here. God bless you man of God
great man
Mwenye masikio na asikie ukweli huu
Neno la Mungu kama kawaida niupanga ukatapo mtu uumia ndio maana wasio jua neno la Mungu la kweli linawauma
bibilia inasema wachungaji wote ni mbwa na niwachungaji watu ilo ulijuwe mwenye anaumia ninani? 😀😅😅
Mwalimu ndacha ningependa ukipata muda. Ufunze kuhusu rapture.ili nielewe vizuri. Iwapo ni nimwanzoni, au mwishoni mwa miaka Saba ya gadhabu kuu. Asante.
Great mwalimu i always follow your teaching
Yaani nimekupenda Sana pastor
Mwalimu Duch no law 4roughiuos law belongs 2lawbrakers 1Timoty 1:9 yesu aka2toa kwa sheria Galatian 4.4.tena sheria ilikua jia ku2peleka kwa imani Galatian 3:23 Romas2 :17:25 sheria n ya wafubavu walionwamini yesu sheria iko dani yao a2wezifuja 2corinthias 3:2:6 tena Titus 2:12 yasema nn? Soma)pia Ducha kufugua waislam macho Mugu akuogeze Ekima
Mwalimu wangu nakuheshimu sana
Karibu hapa mumias
Mungu akulinde
Am being touched by power of words of God being blessed day by day.asante
Amen
Unatufundisha Sana mungu akubariki
man of God
Am with you ndacha tuko Sunday kwa kutojua
Amen tena ulirudi ama mlisha toka
Angalia Sikuya nane. Kutoka, Hosea, mambo us walawi. Kuna kusanyiko makini.
Ukweli umeusema na mwenye akili aufate apate kuokolewa....
tutafurahi ukifika huku congo DRC kutuhubiri
Congratulations Babaz
Iam a new subscribe here. .praise God Teacher Francis Ndasha and Teacher Stephen
Asante nguvu sana
Pga gospel bila kuogopa. Usiogope wauao mwili wasiweze kuiua na roho. Bali mwogope anayeweza kuua mwili na roho ktk jehanam
P
Balio chagulia nisisi basabato Balio mufata yesu kama gisi imeandikwa na mariko 1:...5
Mungu akutie nguvu sana mtumishi nitakukumbuka sana katika maombi
😀😀😀😀😀
Nakuombea Sana mtumishi usiogope
Wacatholic simbadilike jamani 😭😭😭😭 its soo sad.
Amen Amen Amen
Neno iendelee!!
Amen sana
Amina ,qwa neni zuri ,nakuomba huje na Tassia unene huu qweli watu wampokee mwenyezi
Amen ndacha
Barikiwa sana kwa somo zuri
Haya ndio mafundisho na injili ya ukweli
48:15 matapiko mtalishwa mpaja lini??
Walimu napenda sana mafundisho yenu ambayo ni ya kweli kabisa.tafadhali sungumuzia kuongea kwa ndimi no nini
Kweli biblia ni nuru ya ulimwengu
Pst nisaidie na nambayo
Toboa siri zote za giza ....
Pastor Nina swali mm ni muumin wa kristo wa kwel aliye hai
Ila kuna kiumbe kinachanganya kichwa anasema yeye hana dini alafu Anatumia mistari ya biblia tena anasema mashetani watatu katika biblia ni uislam ukristo na uyahudi
Msaaada kama ukisoma sms yang
Na huyu Prophète Kacou 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
True pastor the devil is at work
I would like to have his number
Ndacha humbiri🗣️🗣️🗣️ wakusikia asikie 👂👂👂wa kukataa akatae 🙅Siku yaja ukweli ufunuliwe
Lakini ikiwa injili yetu imesitirika, ni kwa hao wapoteao.
Malipo Yako nimakubwa mbiguni
Mulizeni Ndacha wapi kwenye bibilia imesema ukiristo ni dini?? Wapi kwenye bibilia yesu aliingia kanisani?? Wapi yesu au mungu alisema mumuabudu yesu?? Wapi kwenye bibilia yesu alivaa suti??
Ujanja Ujanja tu….
piga neno
The cost of discipleship preach brother in Jesus names.
Ruth Nyaundi Jesus name or Jesus names😏
Mwalimu kulingana na biblia kuna shule za wakristo?
Habari yako bwana dacha..plz can I have your number..
Hahahaha 😂
Io kitabu nita kipata aje?
Kelele yake imeharibu spika ya simu yangu
😅😅😅😂
Unafanya nini hapa?nenda ukamswalie Mohammed msikitini
Maskio yako ndio yana shida
Isaiah 5:4 What could have been done more to my vineyard that I have not done in it wherefore when I looked that it should bring forth grapes but brought brought forth wild grapes.
Ka mswalie Muhammad mchawi
Injili ya kweli lazima ihumbiriwe wapende wasipende.Nacha endelea kuhubiri wasiseme hawakusikia. Sinjui vyenye naweza pata hivyo vitabu??
niwapi hapo kenya ama Tazania
Kenya
😏😏😏😏
Francis nayapata mahubiri yako namna unavyoifafanua Biblia kama ilivyoandikwa, naomba kuuliza DVD za mafundisho na midahalo yako nitazipataje mile nipo Tanzania kilombero sugar K2?
I have wasted my bundles
Who told you to watch??you still use buddles??
MOHAMMEDZYEN Hassan juu wewe ni mwislamu upendi ukweli
You are at the verge of losing something greater than bundles brother
SDA
Sijawah Ona mchungaj kama ww Yan upo Kwenye point unawanyoosha waislam mpaka wanakimbia sijawah ona kalibu Tanzania
muislamu nani ananyooshwa na dacha aende kanisani akaubiri uko kwa makafiri wenzake........
@@minaminaa1669 😂😂😂😂😂Leo Uko maka Kuna kuzunguka alikahaba😂😂😂😂😂si unajua wanazunguka uchi mala 7 ?ila waislam mpo gizani na mna busu jiwe mala 3.😂😂😂😂😂😂
@@financialloan9818 wafikir ukicheka ndo umeshinda wala utajuwa maana yakuzunguka kahaba nivile nivile wachungaji wenu wanatafuta sadaka kanisani ndo wadanganye makafiri wenzao
@@minaminaa1669 ndo nn😂😂😂😂
@@minaminaa1669 maana ipo wazi iyo ilikua desturi ya wapagani kuzunguka kahaba uislam ni upagani acha kujifanya ujui
Fimbo yanini wapi imeandikwa tuhubiri nafimbo sielewi
Fredi Mbilinyi wewe ni wawapi musa alikwa na nini kwa mkono.
Wapi pameandikwa usishike fimbo wakati wa kuhubiri. Mahubiri yote hayo we umepata fimbo tu akilini mwako
Anatumia kama pointer
I do believe in God but I don't go to this churches of today...
Ujielewi
NDACHA kazi yako kubwa ni kutafta vile tu hutaweza kulala njaa kwa kuhubiri kitu halipo kabisaa na kutafuta tu wafuasi..There is no day night week month year decades that you will prove that the Holy Qur'an has a mistake.😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂kazi yako ni kelele tu kwa ufupi.
!!!
katekisimu sio biblia
Unatafta pesa kw watu tu wewe muislamu gani atakusmamisha na wote wanajua hujui maandiko ndio maana waislamu wanakukaranga kupitia maandiko
Sheitan Mkubwa Dundee ni yeye Nenda Danganya Kanisani wenye hwana Elimu Waislamu ni wasomi
mwambie ukweli
Waislamu wauwaji terrorist..mtume aliyeoa mtoto wa miaka sita!!Tena ametaja muislamu hapa?Kwa nini mnajishuku
Kama inachoma na niukweli mbona unajifurahisha na uongo
anaakili ww
Kwa taarifa yako mohamadi alipewa utume na wakathoric na wala sio Mungu waliopa utume na padre bwana waraka bin nafahi na jeswit khadija