Ndacha mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana nimejifunza mambo mingi nisiyoyajua kutoka kwa roho wa mungu kupitia wewe,Mungu akutie nguvu mtumishi uendelee kuwasaidia wengi kujua ukweri wa Mungu kupitia kwa neno la mungu. Amen Amen Amen
Kama ana Elimu kweli ,asinge ahidi kusilimu iwapo atapewa andiko Ndani ya bibilia: Yesu Anamuita Mariam Mama. Aliahidi kusilimu iwapo atapewa, bt mpaka leo sijamuona Msikitini..
Thanks be to God. Kwa kweli kazi ya Mungu ni mingi wafanyi kazi ndio wachache. Neema ya Mungu ishukie watumishi wake ili neno lake liubiliwe kote ulimwenguni ili Yesu awezi kurudi upesi maana hii dunia imejaa maasi tu.(Mathew 24:14)Amen
Kama kanisa dogo hivi la kisabato linaweza kutingisha uislamu East Africa Je wakristo wote wangekuwa Wasabato uislamu haungepenya kabisa....Shukrani kwa Mwenyewezi kwa kulijalia kanisa lako Mamlaka
Huyo ustathi ni mrongo eti ukiiba haupigwi wala kuchomwa.Mbona Saudia mtu alisingiziwa ameiba champali na akakatwa mkono eti ni dini yao imewaruhusu?ni mengi tumejionea kwa waislamu arabuni ndio maana hatuwezi kukubaliana na nyinyi wala kuslim.
Ndacha mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana nimejifunza mambo mingi nisiyoyajua kutoka kwa roho wa mungu kupitia wewe,Mungu akutie nguvu mtumishi uendelee kuwasaidia wengi kujua ukweri wa Mungu kupitia kwa neno la mungu. Amen Amen Amen
Kazi nzuri
waambie pastor ndacha nakuamini sana
Baba mungu wa mbinguni mlinde na mpe maisha marefu uyu mtumishi ndacha ili tupone na tukujue ww na kukutumikia vema
Mungu amempa neema sana kaka huyu! Ameshiba neno
Kama ana Elimu kweli ,asinge ahidi kusilimu iwapo atapewa andiko Ndani ya bibilia: Yesu Anamuita Mariam Mama.
Aliahidi kusilimu iwapo atapewa, bt mpaka leo sijamuona Msikitini..
kbs barikiwa sana mpendwa!
nakuelewaga Sana ndancha fundisha hao makafir wakiislam na uwatolee majini maana yamesha wamaliza Bwana Yesu asifiwe sana
Thanks be to God. Kwa kweli kazi ya Mungu ni mingi wafanyi kazi ndio wachache. Neema ya Mungu ishukie watumishi wake ili neno lake liubiliwe kote ulimwenguni ili Yesu awezi kurudi upesi maana hii dunia imejaa maasi tu.(Mathew 24:14)Amen
😅😅😅 ndaacha kiboko Yao 😅😅😅 Yani mtumishi mmoja anawapa waislamu east Africa shida , God be the Glory and always protect your servant ndaacha 🙏🙏
Kama kanisa dogo hivi la kisabato linaweza kutingisha uislamu East Africa Je wakristo wote wangekuwa Wasabato uislamu haungepenya kabisa....Shukrani kwa Mwenyewezi kwa kulijalia kanisa lako Mamlaka
Ndacha wew mwalim bana
Nashkuru Mungu kwa kunijalia kuwa katika kanisa lake...Hakika milango ya kuzimu ya waislamu haitalishinda...Mathayo16
Sawa kabisa dacha...
Waaaaaaah!!!! Kweli Maandiko yanatimia,,,Uyu Ndacha ameshushwa na Mungu mwenyewe...
Mungu awabariki sana watumishi kwa kazi njema
Asalam alykum www ukristo ni ukafiri maandiko yako wazi kumutu mwenye akiri
Nyie waislam mmepetkana hoja zenu ni dhaifu sana
Hey😂😂😂 ndacha unawapea kabisa
Maranathaaaaaaaah!!!!! Shalom God is great,,, Strong man of God....
It's a great miracle to be here with you gentleman congratulations for uploading this Episode
Uko vizur sana brother from Tanzania
@@godfreysekumbo1523 yaap where did you go? SIR
Glory to God
Amina Amina 🤣🤣🤣🤣🤣🤣❤️🇺🇬🇺🇬 Amen 🙏🙏🔥🔥🔥🥰
Mwalimu kwan huyo msomaji alirudi kwa uislam
Waislam hawajakataa yote yanayosomwa wamekubali. Aibu. Muhammad si mtume. Mwizi haandikwi mwizi
Ulisikia wapi nabii karogwa?? Akaingilia kimwili aisha akiwa na miaka 6 ?? Huyu nabii wa kuoa mtoto wa miaka 6???
Wakorintho1 15:18
Htuongei utume wa yesu...wapi Muhammad kachaguliwa acha kuleta vichekesho ww
Huyo ustathi ni mrongo eti ukiiba haupigwi wala kuchomwa.Mbona Saudia mtu alisingiziwa ameiba champali na akakatwa mkono eti ni dini yao imewaruhusu?ni mengi tumejionea kwa waislamu arabuni ndio maana hatuwezi kukubaliana na nyinyi wala kuslim.
Hakika kuwa mwisilamu ni Rehema,
Unawaonea wanyonge Mtafute Yusuf Wambug'hu ndy kiboko yako.ndacha🤣🤣🤣
Ndacha Hana Elimu....... Aje kwa Yusuf kufanya nini wakati Kuna watu wasio na maarifa wataka kupotezwa????
Wambugu mwenyewe alitoroka aliposikia Ndacha yuaja,akazima Simu akawa mteja
Hivi waislam ubishi na vulugu mlilisi kutoka kwa mohamadi
lakini Muhammad ni mtume wa sheteni ndio maana tunamtusi na kumkemea.
Ndacha ulitoa ahadi ya Kusilimu ukipewa andiko YESU amuita MARIAM mama..... "SASA VIPI NAKUSUBIRI "