NAKURU WAISLAMU WASHINDWA KUTETEA MTUME MUHAMMAD

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.ย. 2024
  • BIBLIA INATAWALA MJINI NAKURU

ความคิดเห็น • 166

  • @enockndale2629
    @enockndale2629 5 ปีที่แล้ว +3

    AMEN PSTOR MUNGU WAO HANA JINA KAMA WAKRISTO JEHOVA ELOHIM

  • @abcdg1995
    @abcdg1995 3 ปีที่แล้ว +2

    Praise God Teacher Francis Ndasha MAY GOD cover you under his umbrella You never know who you are inspiring Nothing comes easy in life dear Thank you so much for uploading this Episode Iam also following from Diaspora U.S. foreigner lands

  • @godisgreat1845
    @godisgreat1845 4 ปีที่แล้ว +1

    Yesu Kristo Mungu ana ukoo na familia yake nayo ni miungu wewe huwezi kuushinda Uislamu

  • @andrewmoroto2794
    @andrewmoroto2794 2 ปีที่แล้ว

    very inspiring, may God bless you Pastor Ndacha.

  • @nanimkenya1015
    @nanimkenya1015 5 ปีที่แล้ว +5

    Mimi niko Saudi Arebia unayo yasema in kweli lakini Mungu asema anayemasikio asikie. Mimi nilikuja kikazi zikujua sikujua kwa sasa najua kila kitu, nanimeongesheka kwa imani yangu, naita damu ya yesu kila wakati mbaka nirudi, I know you Christians, you are tought by the pastor, but I know you my not take interest. But may God bless the pastor abaundalty.

    • @muslihmohd9420
      @muslihmohd9420 4 ปีที่แล้ว

      Unaita damu ya yesu umekuwa vanpaya wewe au zombi

  • @salmaothman153
    @salmaothman153 5 ปีที่แล้ว +1

    Inalilah wainalilah lajium mtihan sana

  • @omwengabetty4830
    @omwengabetty4830 5 ปีที่แล้ว +2

    very inspiring, may God help us to kusoma neno lake kama hawa ndugu, all verses in the head! may God bless u.

  • @petermagoye8324
    @petermagoye8324 3 ปีที่แล้ว +1

    Waislam wote ni wachawi

  • @lusekelomwansasu2502
    @lusekelomwansasu2502 5 ปีที่แล้ว +7

    Ivi waislam wanawake wananini hasa tatizo ni matusi tu kutukana hata kusoma kitabu chao hawasomi lakini matusi wa kwanza wanaume vivyo hivyo utasikia makafili wakati makafili ndo wao

  • @gladyskaraya7968
    @gladyskaraya7968 6 ปีที่แล้ว +9

    Hii inafaa kwenda world wide wajue ukweli

    • @josephkiswili1955
      @josephkiswili1955 6 ปีที่แล้ว +4

      YESU NI MUNGU WAPENDE AU WAKATAE.

    • @mbularose1525
      @mbularose1525 6 ปีที่แล้ว +2

      Joseph Kiswili waambie hata wakimkataa YESU hana hasara yeyote.Hasara ni kwao na ataishi akiwa MUNGU

    • @salimwheatgrass6711
      @salimwheatgrass6711 6 ปีที่แล้ว

      KWAMBA MUNGU ANAKUNYA??? 😁😁😁

    • @ericosoro7617
      @ericosoro7617 4 ปีที่แล้ว

      0705602959 hiyo ndo no yake

  • @enockndale2629
    @enockndale2629 5 ปีที่แล้ว +5

    WANAABUDU MISIKITI NA MWEZI

  • @feisalhussein8237
    @feisalhussein8237 5 ปีที่แล้ว +1

    Ndacha shidako unaweka nusu

  • @financialloan9818
    @financialloan9818 5 ปีที่แล้ว +1

    Waislam woteeee motoni

    • @rafoursamiol5244
      @rafoursamiol5244 4 ปีที่แล้ว

      Nakuunga mkono

    • @muslihmohd9420
      @muslihmohd9420 4 ปีที่แล้ว

      Kwa akili zako za kijuha unawapeleka waislamu motoni kwa maneno kutoka kitabu gani...
      Qur'an imesema ataekataa dini ya kiislamu atahukumiwa moto wa milele sasa wewe lete andiko kwa bibilia yako iyo ataekataa ukiristo ataenda motoni ili nibatizwe..

  • @Shaksy22
    @Shaksy22 ปีที่แล้ว

    Tj

  • @danielelnestngimba5516
    @danielelnestngimba5516 5 ปีที่แล้ว

    HII NZURI SANA TENA SANA

  • @shamimasalim6912
    @shamimasalim6912 6 ปีที่แล้ว

    Alhamdulillah nimezaliwa Muslim

    • @edwardmochabo5013
      @edwardmochabo5013 4 ปีที่แล้ว

      Jitafutie ukweli basi kwa vitabu

    • @omarmukhutar6847
      @omarmukhutar6847 4 ปีที่แล้ว

      @Shamima Salim# tafta ukweli mwenyewe kwa vitabu , sabubu kuna mambo mob ambayo unafichwa na hutawahi ambiwa ukiwa msikitini

    • @stephenobonyo6980
      @stephenobonyo6980 ปีที่แล้ว

      Na utakufa mkristo
      Halleluyah

  • @godisgreat1845
    @godisgreat1845 4 ปีที่แล้ว

    Ndacha unachwkesha sana wewe una kataa Muhammad lakini unakariri Quraan aliyoteremshiwa Muhammad halafu unasema Yesu ndie Mungu halafu jina lake yehova

  • @davikastir8193
    @davikastir8193 5 หลายเดือนก่อน

    Ati? Yesu ni Yehova? Nimepinga,kwa sababu yesuni Mwana wa Mungu,bali Yesu sio MunguMwenyeEnzi

  • @mbularose1525
    @mbularose1525 6 ปีที่แล้ว +7

    Hubilia hawa wajinga juu hawaskii neno la kweli wanafuata yao ya kibinadamu

    • @salimwheatgrass6711
      @salimwheatgrass6711 6 ปีที่แล้ว +1

      YESU ALIKUNYA. MUNGU ANAKUNYA??? 😁😁😁

    • @godisgreat1845
      @godisgreat1845 4 ปีที่แล้ว

      Kwe lakini naona wakristo ndio wajinga Zaidi maana hawajui wanabudu nini na akili za u huwa hamtumii juu ya mafundisho ya wachungaji zenu mnapelekwa watakavyo wao tafakarini wanawapoteza Hao

  • @petromachanga29
    @petromachanga29 5 ปีที่แล้ว

    Waislam nmajin nindugu

    • @erastomasaba4154
      @erastomasaba4154 4 ปีที่แล้ว

      Dini maana yake nn?

    • @petromachanga29
      @petromachanga29 4 ปีที่แล้ว

      Erasto Masaba,dini neno LA kiarabu , kwa kiswahili ni njia

    • @muslihmohd9420
      @muslihmohd9420 4 ปีที่แล้ว

      Na wakristo na shetani ni ndungu..
      Jini ni kiumbe kama wewe,wanyama,miti,maji,Na vtu vingine mungu alivoumba ila kwakuw majini na binadamu tu ndio wamepewa akili na maarifa ya kumjuwa mungu,mungu akawaamrisha wamuabudu,pia majini wapo wa dini nyingi kama sisi binadamu Na pia wana utawala wao na serikali zao kama sisi binadamu..
      Msichokijuwa ni kuwa kuna tofauti kati ya jini na shetani,jini ni kiumbe cha mungu kama sisi binadamu ila shetani ni sifa ya uasi kwa ataekwenda kinyume na vile mungu anataka,kwaiyo ata kama wewe binadamu ukimuasi mungu unakuwa shetani na jini pia akiasi anakuwa shetani mfano ibilisi alikuwa jini ila alipomuasi mungu akawa shetani,kwaiyo shetani ni sifa ya uasi anaweza kuwa jini au binadamu Qur'an 114:1-6.

  • @janenjenga5639
    @janenjenga5639 5 ปีที่แล้ว

    i really like how he quotes all books.

  • @feisalhussein8237
    @feisalhussein8237 5 ปีที่แล้ว

    Ci uweke full video

  • @jumakapinga621
    @jumakapinga621 3 ปีที่แล้ว

    Duh! Nakuru Elimu ya Dini bado sana. Kama maprofesa na madaktari waliosomea dini wanasilimu VP nyie? Mungu wasamehe. Hawajui walitendalo.

  • @enockndale2629
    @enockndale2629 5 ปีที่แล้ว +1

    WAAMBIE WAJUE PASTOR WAACHE KELELE WAJUE DINI YA KWELI NI GANI HAHAAAAAA MUNGU WAO NI YESU LAKINI HAWATAMBUI

    • @godisgreat1845
      @godisgreat1845 4 ปีที่แล้ว

      Wewe ndio hujitambui Yesu hawezi kuwa Mungu hivi nikuulize kama unajitambua miungu wako wangapi nijibu kama una maandiko au mshabiki wa kafiri ndacha

  • @annaethan888
    @annaethan888 5 ปีที่แล้ว

    Allah akusamehe hujui ulitendalo

  • @kausarabdulwahab3907
    @kausarabdulwahab3907 5 ปีที่แล้ว

    Kibarua kwako. 😂😂😂

  • @mimsbaibemimskim9556
    @mimsbaibemimskim9556 6 ปีที่แล้ว

    nmezaliwa Christian but sijaasoma yesu ni Mungu .Kwa waislamu Mungu ni Allah Arabic name English God

    • @lazaromalanga6543
      @lazaromalanga6543 5 ปีที่แล้ว

      Mungu anajinalake Unapo sema mungu unataja cheo chake ila anajinalake anaitwa yehova

    • @hamisikulola8481
      @hamisikulola8481 5 ปีที่แล้ว

      mimsbaibe mimskim wafundishe hao wasiojua

    • @lucybenjamini4925
      @lucybenjamini4925 5 ปีที่แล้ว

      kasome yohana 1

    • @feliciansabuwanka9140
      @feliciansabuwanka9140 4 ปีที่แล้ว

      Mistari iko mingi xana , kasome na mungu atakusaidia

    • @muslihmohd9420
      @muslihmohd9420 4 ปีที่แล้ว

      @@lazaromalanga6543 hata wahindu wana mungu wao pia ana jina kwaiyo sio kila mungu ndio wa kweli anaefaa kuabudiwa

  • @happyfraha5649
    @happyfraha5649 3 ปีที่แล้ว

    Kama nyoka anazaaa nyoka na mbuzi anzaa mbuzi kwanini MUNGU asi zae MUNGU

  • @godisgreat1845
    @godisgreat1845 4 ปีที่แล้ว +1

    Kumbe ibada Inatakiwa iwe sawa ndio maana ibada ya Waislamu ndio sahihi maana dunia nzima ibada ya Waislamu ni sawa sawa kumbe ndacha unatafuta sababu ya kuwaambia wakristo wana ibada ya kutunga

    • @omarmukhutar6847
      @omarmukhutar6847 4 ปีที่แล้ว

      @God is great , waislamu hamna ibada ya kweli ata usijipige kifuwa, niambie nabii mgani alipiga shetani na mawe,niambie nabi yupi alibusu jiwe (Kaaba),nabi mgani aliekua dini moja na shetani na majini,

    • @godisgreat1845
      @godisgreat1845 4 ปีที่แล้ว

      @@omarmukhutar6847 kwanza nilwambie ngurue na mbwa Ana thamani kwa Mungu kuliko kafiri

    • @godisgreat1845
      @godisgreat1845 4 ปีที่แล้ว +1

      @@omarmukhutar6847 kwanza nakuomba badilisha Jina la profile yako maana Jina la Omar ni Safi haitwi kafiri Bali muislamu pili kaaba haikujengwa na Muhammad ilojengwa na nabii Ibrahim nyie makafiri hamna mlojualo kwenye Uislamu walio ufahamu huwa wanasilimu nyie wenye akili zilizoshikwa na wachungaji huwa mnabakia kuamini mambo msiyokuwa na elimu nayo
      Mimi sikukosoi kwa Imani yako lakini nataka unieleze ibada ya wakristo inafanywa vipi na pia uniambie kwa maandiko kwa sababu Sasa ni mwezi wa pili sijajibiwa masuali yangu nimeuliza kwa Hao wahubiri wenu Sasa nakuuliza wewe ujibu kama unaelewa lakini nakuuliza katika Imani yako
      1 majina matano ya Mungu katika lugha unazo zijua na uthibitishe kwa maandiko
      2 Jina la dini yako na uliipata katika maandiko gani
      3 Yessu kwako ni Nani
      4 kanisa la kwanza lilijengwa wapi na mwaka gani
      5 Yessu alikuwa kabila gani
      6 Yessu laizaliwa mwezi wa ngapi kwa maandiko
      7 Yessu alibatizwa na Yohana yupi Kati ya wawili
      8 kuna Aya Yessu anasema sikutumwa ila kwa kondoo walio potea wa nyumba ya Israel je! Aya hii ni kweli maneno ya Yessu au imetungwa na waandisi unithibitishie kwa maandiko
      9 NI ipi dini ya manabii walio pita
      10 Paulo Mtume wa Nani A. Mungu B Yessu
      11 naomba andiko Yessu ameingia kanisani
      Haya najua hata wewe huna majibu yake lakini pia hakuna kafiri yeyote mwenye majibu ya masuali Haya naomba nambie nikupe muda gani utajibu
      4

    • @omarmukhutar6847
      @omarmukhutar6847 4 ปีที่แล้ว

      @@godisgreat1845 mze kabla nikujibu maswali zako yote nataka uniambie maana ya neno dini na neno kafiri.

    • @godisgreat1845
      @godisgreat1845 4 ปีที่แล้ว

      @@omarmukhutar6847 uko tayari kujibu au unataka kuelimishwa halafu swali halijibu swali jibu niliyokuuliza au na wewe unatafuta saba u ya kuhepa masuali magumu jibu niliyokuuliza kwanza

  • @hamisikulola8481
    @hamisikulola8481 5 ปีที่แล้ว +3

    sio lazima uamini mitume wengi tu walikanwa wengine wakauliwa wanamchukia Muhammad kwa kuwa ni muarabu pili Quran imepinga ukristo na dhehebu la kiyahudi.
    pili hakuna aya katika Quran inasema yesu mungu bali ni mtume wa mwenyezi mungu. kwani wakristo wakisema Muhammad si mtume ndo tayari si mtume? huu ni msiba utamkataa vipi Muhammad wakati ulizaliwa ummat Muhammad.
    alafu huyu mchungaji yupo biasharani kwanza haijui Quran anaisoma Quran alafu anaifasiri apendavywo Quran 61:6
    nabii issa anawaambia wayahudi "hakika mimi Issa ni mtume kwenu enyi bani Israel nami nawabashiria mtume atakaye kuja baada yangu jina lake ni Ahmed au Muhammad majina haya yana maana moja.
    John 1:19
    kisha wakamuliza yohana mbatizaji je wewe ni Elijah?
    akawajibu hapana
    je wewe ni kristo?
    akajibu hapana
    wakamuliza kwa mara ya tatu
    je wewe ni nabii yule?
    swali kwa wakristo huyo nabii Yule ni nabii gani?
    Quran :
    42:7
    25:56
    7:156
    33:40
    48:29

  • @omarshaban9157
    @omarshaban9157 6 ปีที่แล้ว +1

    Weka siku tupatane na ww alafu number yako naitaji

  • @happyfraha5649
    @happyfraha5649 3 ปีที่แล้ว

    Kama una sema YESU si MUNGU basi hata wewe ni mwana damu na mtoto wa ko sio mwana damu?

  • @salimwheatgrass6711
    @salimwheatgrass6711 6 ปีที่แล้ว

    YESU ALIKUNYA. MWENYEZI MUNGU ANAKUNYA???

    • @muhaboy7165
      @muhaboy7165 6 ปีที่แล้ว

      sasa wewe unakalia alikunya yesu ni mungu haipingiki

    • @muhaboy7165
      @muhaboy7165 6 ปีที่แล้ว

      sasa wewe unakalia alikunya yesu ni mungu haipingiki

    • @salimwheatgrass6711
      @salimwheatgrass6711 6 ปีที่แล้ว

      Muha Boy NA AKAPIGWA KOFI😁😁😁

    • @DavisWangodi
      @DavisWangodi 5 ปีที่แล้ว

      Toa andiko

  • @salimwheatgrass6711
    @salimwheatgrass6711 6 ปีที่แล้ว +1

    HOVAH IN HEBREW MEANS WICKEDNESS.

    • @zenassylvester125
      @zenassylvester125 6 ปีที่แล้ว

      salim harun Jehovah - Wikipedia

    • @zenassylvester125
      @zenassylvester125 6 ปีที่แล้ว

      Kasome iyo sio unakurupuka

    • @salimwheatgrass6711
      @salimwheatgrass6711 6 ปีที่แล้ว

      Clack Bonny WEWE NDIYE UMEREPUKA. KASOME KWENYE STRONG'S HEBREW DICTIONARY SUFFIX (HOVAH) NO.1943. WIKIPEDIA SIO DICTIONARY.

    • @alfredwanga7850
      @alfredwanga7850 5 ปีที่แล้ว +1

      Jehovah na hovah are two different meaning...

  • @hamisikulola8481
    @hamisikulola8481 5 ปีที่แล้ว

    wacha jazba huo ni upuz kwa kuwa aliyejenga Al Kaaba ni Ibrahim na Ishmael Quran 3:95-97
    pili mawe y'anayorushwa wakati wa hijjah waislamu Wanamkumbuka Ibrahim alipokuwa anamfukuza Iblis alipokuwa a amshawishi asitimize agizo la mungu wewe huna lolote.
    Kama yesu ni mkristo mbona usitoe aya? uwezi zuia kile Allah anachokitaka ukitaka baki kwenye ukafiri Allah ashasema dini ya haki ni uislamu Quran 3:19
    utajisumbua kuwachukia waislamu lakini uwezi kuzuia watu wasislimu kwa kuwa aliyewaumba ni Allah hujaumba mtu wewe.
    watu wote walizaliwa hali ya kuwa ni waislamu Quran 30:30.
    ukristo ni upagani tena finished ya warumi sio ya yesu wala wayahudi romans 1:7-8. pili aliyeleta kanisa la usabato ni mwanamke
    wewe pastor vipi?

  • @raphaelkimaro1753
    @raphaelkimaro1753 5 ปีที่แล้ว

    But not as allah the stone of makkha

  • @idrissatuppa3997
    @idrissatuppa3997 5 ปีที่แล้ว

    Kiboko yako Yusuf Wambug'hu😃😃🤣

    • @edwardmochabo5013
      @edwardmochabo5013 4 ปีที่แล้ว +1

      Mbona si wewe

    • @muslihmohd9420
      @muslihmohd9420 4 ปีที่แล้ว

      Hawajawhi kutana nae akaona mziki wqke halafu jamaa alikuwa kafiri kama nyinyi ila akaona kupotosha watu sio ishu bora niache nifate uislamu,unadhani hawa kina Ndacha hawajui kuwa ukiristo sio dini ni kampuni ya kutaftia hela tu....!!!!

    • @muslihmohd9420
      @muslihmohd9420 4 ปีที่แล้ว

      Wachungaji wanajuwa ila tatizo wanaona wakiacha kanisa watakuwa hawana pa kupata pesa ya bure

    • @athumanzahir8316
      @athumanzahir8316 2 ปีที่แล้ว

      Yesu ndy njia ya kweli na uzima

  • @mzitoempire6785
    @mzitoempire6785 5 ปีที่แล้ว

    Ndio maana wazee ni wachache nao Vijana wanakufa kila siku

  • @omarshaban9157
    @omarshaban9157 6 ปีที่แล้ว

    Wacha kusema tu weka Debate tukufunze Bible na Quran

    • @mbularose1525
      @mbularose1525 6 ปีที่แล้ว +1

      Omar Shaban huyu pastor hata ndiye hufunza ma sheikh Qur'an.you know nothing

    • @salimwheatgrass6711
      @salimwheatgrass6711 6 ปีที่แล้ว

      Mbula Rose MUNGU YESU ALIPIGWA KOFI😂😂😂.

  • @salimwheatgrass6711
    @salimwheatgrass6711 6 ปีที่แล้ว

    JEHOVAH TRANSLATION=GOD OF WICKEDNESS.

    • @enockndale2629
      @enockndale2629 5 ปีที่แล้ว

      WAISLAMU HAMNA MUNGU KUBALINI TUPE JINA LA MUNGU WENU BASI KWA MUJIBU WA QURANI

    • @shirikaniyonkuru6560
      @shirikaniyonkuru6560 4 ปีที่แล้ว

      Wewe mjinga sana kweli!

  • @shamimasalim6912
    @shamimasalim6912 6 ปีที่แล้ว

    Huna akili ata kidogo na kampuni yenu duh adi huluma wakrsto mnatia hulma sana

    • @fetrishakaza1473
      @fetrishakaza1473 5 ปีที่แล้ว

      Pole sana

    • @rafoursamiol5244
      @rafoursamiol5244 4 ปีที่แล้ว

      We mwenye akili ngoja Yesu akirudi ugeuke kuni jehanamu

    • @muslihmohd9420
      @muslihmohd9420 4 ปีที่แล้ว

      @@rafoursamiol5244 aliekwambia kuna jehannamu nani wakati bibilia huijui jehannamu;Yani nyinyi makafiri Qur'an mnaipinga ila kwasababu dini yenu haijakamilika mnaona bora muitumie tu

    • @athumanzahir8316
      @athumanzahir8316 2 ปีที่แล้ว

      Soma biblia ujuwe ukweli

  • @hamisikulola8481
    @hamisikulola8481 5 ปีที่แล้ว +1

    alafu nyie wakristo hamna chochote katika dini Bali mko katika hasara mwanzo nyinyi wenyewe hampendani 1 Corinthians 11:17
    Allah anasema katika Quran 2:111
    na kusema kwao hataingia peponi ispokuwa ni myahudi ama mkristo"
    sema: zileteni dalili zenu ikiwa haya msemayo ni kweli.
    alafu wewe Dasha nakushangaa eti waislamu hawana haja na Degree inalillah wainallah rajiun hivi nikuulize serikal yenu ya Kenya ina waislamu wangapi? wanafunzi wangapi waislamu wako university za Kenya? kuna mambo ukiongea walio na akili watakuona kauzu wallah.
    eti twafundisha watoto dini sasa watakaje? Allah ashasema hakuumba majini na binadamu ila wamuabudu Quran 51:56
    hii dunia mapito lakini kwa Allah ni Amalia njema ndizo zitaokoa nafsi

    • @enockndale2629
      @enockndale2629 5 ปีที่แล้ว +1

      QURAN NDO NINI SISI APANTAMBUA HIYO

    • @user-rf5tz5ft2y
      @user-rf5tz5ft2y 5 ปีที่แล้ว

      Shia and shunah ampendani plz so christian is to follow Jesus christ

    • @edwinchweya3436
      @edwinchweya3436 5 ปีที่แล้ว +1

      Hehee, Waislam ndio wanapendana?Somalia wako asili Mia tisini na Tisa waislam, lakini.kuuana kila siku.Hata kabila ni moja.Iraq,Libya,Syria etc.

    • @user-rf5tz5ft2y
      @user-rf5tz5ft2y 5 ปีที่แล้ว +1

      Come n see how middle east kill each other hao ni wa christo pole sana Jesus christ is the way

    • @idaroussaleh4757
      @idaroussaleh4757 4 ปีที่แล้ว

      @@edwinchweya3436wanaua no makafir

  • @kausarabdulwahab3907
    @kausarabdulwahab3907 5 ปีที่แล้ว

    Aee Dasha umelala au ?yaani wewe ni bure tu. Unawapoteza wa kristo yaani sisi waislamu unaweza kutundaganya? La kamwe akili zetu Alhamdulillah ni timamu.

    • @omarmukhutar6847
      @omarmukhutar6847 4 ปีที่แล้ว

      Toa andiko

    • @muslihmohd9420
      @muslihmohd9420 4 ปีที่แล้ว

      Hahaahaba hemu kauthar waambie hao sisi si mambumbumbu kuwa tufate tu bila ya kusoma.

  • @linahkikin2590
    @linahkikin2590 6 ปีที่แล้ว

    Wewe poster nimnakifi kazi yako niuchochezi na chuki hubiri mambo ya kuonyesha watu jia ya haki hivio ndio munahubiri makanisani ndio tunawachoka mbaka watu sikuizi wamewacha ukristo nakupotea wanaoabudu mashetani kwani nikina nani ata mm nahama ukristo

    • @zenassylvester125
      @zenassylvester125 6 ปีที่แล้ว +1

      Linah Kikin ....Hama ukristo upate hasara ya roho yako....
      Nenda kafwate wanaongozwa na kipofu ili uingie shimoni

    • @salimwheatgrass6711
      @salimwheatgrass6711 6 ปีที่แล้ว

      YESU ALIKUNYA. MUNGU ANAKUNYA???

    • @financialloan9818
      @financialloan9818 5 ปีที่แล้ว +1

      We ni muislm subili kwenda motoni waabudu majini nyinyi uko maka watu wanakufa mnauana

    • @rafoursamiol5244
      @rafoursamiol5244 4 ปีที่แล้ว

      Injili ya kweli lazima ihubiriwe wew nenda uendako humkomoi pastor kila asiemkiri Yesu ni Jehanamu ya moto

    • @feliciansabuwanka9140
      @feliciansabuwanka9140 4 ปีที่แล้ว

      Hama

  • @hamisikulola8481
    @hamisikulola8481 5 ปีที่แล้ว

    hao wanaosema waislamu motoni aya zenu hizi hapa Quran 43:68 Quran 40:40
    toeni aya katika biblia wakristo wataenda peponi

    • @financialloan9818
      @financialloan9818 5 ปีที่แล้ว

      Sio mkiristo tuu yyte dunian apa asie muamini yesu awez fika mbinguni uko mbinguni amna dini bali ni matendo na imani yko ndio maana sisi imani yetu ipo kwa kristo ndio maana nyinyi mnasema sisi atuna dini sisi tunamfata kristo sasa ww kaa apo apo ukingoja kwenda peponi kwa ajili tuu upo Kwenye uislam utasaga meno nakwambia

    • @edwardmochabo5013
      @edwardmochabo5013 4 ปีที่แล้ว

      Sisi tutaenda binguni

  • @hamisikulola8481
    @hamisikulola8481 5 ปีที่แล้ว

    Mchungaji wa kisabato unahitaji ufahamu kwa kuwa unachokisoma sivyo unavyo tafsiri.pili unaisoma tafsiri ya biblia iko wapi biblia ya ki Aramaic?
    pili aya za Muhammad ziko tele
    quran :
    48:29
    53:3
    33:40
    7:158
    42:7
    22:78
    25:56
    tatu siwe kiumbe wa kwanza kumkana Muhammad wako mamillion waliwakana mitume lakini Hilo halitupi bughudha kwa kuwa jahanam iliumbiwa makafiri

    • @financialloan9818
      @financialloan9818 5 ปีที่แล้ว +3

      Ww tulia Mohammed ndo nani?nabii wa mungu anabaka?Mohammed alioa adi mtoto wa Miaka6 Mohammed alioa wake11 Mohammed alirogwa Mohammed alipewa sumu Mohammed ajui kusoma naaa Mohammed akuchagulia na mungu nipe aya ya Mohammed kuchaguliwa kua nabii.

    • @hamisikulola8481
      @hamisikulola8481 5 ปีที่แล้ว

      unalo andiko Muhammad Alibaka? au unafata porojo

    • @financialloan9818
      @financialloan9818 5 ปีที่แล้ว +2

      @@hamisikulola8481 sasa unakataa nn Mohammed akuoa Bint wa miaka 6 nakumuingilia au unazan ile ndoa?mjinga Sana ww apo ulipo unawez muozesha mwanao wa miaka 6

    • @financialloan9818
      @financialloan9818 5 ปีที่แล้ว

      @@hamisikulola8481 nipe aya inayo Sema Mohammed alichaguliwa kua nabii mitume yoteee ilichaguliwa Mohammed unabii kautoa wp?zaid yakusema alitokewa na malaika wkt sio kweli nioneshe wp Mohammed aliongea na mungu au Mohammed Alifanya nn apa dunian?

    • @hamisikulola8481
      @hamisikulola8481 5 ปีที่แล้ว

      kwanza someni historia King Henry wa V111 aliowa mtoto wa miaka mitano
      King Richard wa II aliowa mtoto wa miaka mitano
      Joseph aliowa Maria akiwa na miaka 12 wakati yeye alikuwa na miaka 99
      Muhammad aliowa Aisha akiwa na miaka 6 kisha Aisha akaishi na babake mpaka alipofikisha miaka 9 ndipo akapelekwa kwa Muhammad.
      huu upumbavu mnaosema Muhammad alibaka mliupata wapi? mtahangaika Sana kuupinga uislam lakini uislam utabaki kuwa juu ya dini zote alafu kwa taarifa yenu watu wanaslimu kila kukicha tena makundi kwa makundi.
      eti sabato yesu alikuwa msabato? wapi yesu ni mkristo? aya gani katika biblia inasema ukristo dini ya mungu?

  • @happyfraha5649
    @happyfraha5649 3 ปีที่แล้ว

    Kama una sema YESU si MUNGU basi hata wewe ni mwana damu na mtoto wa ko sio mwana damu?