Alhamdulillah hivo vyote nimeambiwa maana yake nikiwa mwali na manyakanga wangu,zamani mkoa wa mtwara kama ujawekwa jando utaimbwa wewe,kabla sijachezwa nilikuwa wananiimba
fanya ufanyalo utakutana ty na matatixo ya wanaume mke c mfanyakazi dini imeshasema bwana haijaacha kitu mke akifanya kazi za nyumban anatakiwa alipwe akizaa akinyonyesha anatakiwa alipwe yote hayo hakuna mwanaume anayetekeleza majukum yao
@@muhammadadam4769 sio akiachwa na akawa anyonyseha laa hata vile yupo kwenye ndoa akimaliza ty anatakiwa alipwe isipokuwa tu wanaume na wanawake dini iko nyuma hakuna wanalolijua ndo maana wanafanya makosa mengi mengi kazi za nyumban ni huruma tu na mke akisema sipiki wala sifanyi chochote hatakiwa kuulizwa kinachofuata mume nunua msosi mke ale ashibe mambo mengine hayamhusu
eSUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
Alhamdullilah nilipata mafundo lkn pia mama zangu mnatukumbusha asanteni sana
Mashaallah hongereni wazazi wetu mwenyezi mungu azidi kuwatunza nikweli wari wasiku hizi macho yametuparama kikubwa ni kuporomoka kwa maadili
Mashallah nimepata kitu kizito sna hapa Maana ya mtungi, chungu na kujua ww uko NA nafasi gani kwa mume Shukran makungwi
Alhamdulillah hivo vyote nimeambiwa maana yake nikiwa mwali na manyakanga wangu,zamani mkoa wa mtwara kama ujawekwa jando utaimbwa wewe,kabla sijachezwa nilikuwa wananiimba
Wazaramo na Asili zetu rahaa sana unanikushusha apo shuka yeupe na upande wa kitenge asanteni wazazi Nawapenda
Fiisabilillah mnafahamu maana yake au mnaropoka tu...
Mm ni Muha Lakin mafundo ya wazaram nayakubali Sana 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ndio sisi lkn nilipauka nilivyokuwa kwenye ndoa wee mwanaume anijari
Ahsanteni jamani mtufundishe tunejisahau
Ndowa za sasa nyingi biashara haohao wazazi husababisha matatizo ya ndowa
Inategemea sio wote mm mwali wazaman lkn wanaume ndoa sinaham niliparara
Najivunia kuwa mwali wazaman
Asante wazazi wangu
Na zaman hakuna sim sijuwi sim gani unazo zisema ukitaja sim mambo ya juzi .
Mashaallahu mwenyezi mungu azidi kuwatuzamama jeje naomba namba yako
samahani mama naomba namba ya kungwi niongee nae tafadhali
Kina mama mnaongea maneno kuntu sana napenda sana darasa leno
Mambo mazito 😍🔥
😄🤣😂😆😄🤣ndoà zenye kutu
Zilizo chakaa
Achante kungwiiiiii maneno kuntuuuu!
hapo kwenye kusafisha nyumba sasa
Kwani kuepua chungu cha mwenzako Iko na maana gani
kumpik
@@mariambintsaid3814 Kumpikia ama kumpic jaman
Ipo maana ss wazalam munazingatia mpakawaleo
Ipo maana ss wazalam munazingatia mpakawaleo
fanya ufanyalo utakutana ty na matatixo ya wanaume mke c mfanyakazi dini imeshasema bwana haijaacha kitu mke akifanya kazi za nyumban anatakiwa alipwe akizaa akinyonyesha anatakiwa alipwe yote hayo hakuna mwanaume anayetekeleza majukum yao
Hapana ,mwanamke atalipwa endapo atakuwa ameachika kisha ananyonyesha ila kufanya kazi za nyumbani tunafanya ihsani tunalipwa na Allah
@@muhammadadam4769 sio akiachwa na akawa anyonyseha laa hata vile yupo kwenye ndoa akimaliza ty anatakiwa alipwe isipokuwa tu wanaume na wanawake dini iko nyuma hakuna wanalolijua ndo maana wanafanya makosa mengi mengi kazi za nyumban ni huruma tu na mke akisema sipiki wala sifanyi chochote hatakiwa kuulizwa kinachofuata mume nunua msosi mke ale ashibe mambo mengine hayamhusu
@@muhammadadam4769 hakuna mwanamke anayeachika akalipwa mpka kiama kitasimama hatokei ndoo kwanza unaambiwa beba mitoto yako utadhan kaja na mitoto kutoka kwao tatixo dini mashee
@@heyumi2340 ushahidi wa hayo kaangalie suuratut twalaaq Aya no 6 kama unajua tafseer utaelewa
@@muhammadadam4769 hakun cha kuachwa ndooo ulipwe usipoachwa je unabaki kuwa mtumwa asolipwa yy full kaxi tu kila siku mashekhe husema na aya juu